×

Habari

Wanafunzi 10 Bora Matokeo Darasa la 7

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza watahiniwa kumi bora kitaifa katika matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi...

READ MORE

Maajabu ya Frirauni! Ukizikwa Unarudi Juu Kesho

UKISTAAJABU ya Musa utaona ya Firauni. Baadhi yetu tunamjua Musa ambaye Mungu akin‑ alia uhai huko mbele siku moja nitamzungumzia...

READ MORE

Tazama Orodha ya Madiwani Wote wa Viti Maalum CCM

Chama Cha Mapinduzi CCM kimetoa Orodha ya Madiwani wote wa viti maalum kwa nchi nzima Bonyeza link kutazama orodha hiyo....

READ MORE

Volcano ya Tope Yaibuka Kunduchi, RC Kunenge Awataka Wakazi Kuhama

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge akiongozana na wajumbe wa kamati ya usalama ya Mkoa, leo,...

READ MORE

Makamu wa Rais Samia Ashiriki Mbio za NBC Marathon Dodoma

        Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan leo Novemba...

READ MORE

Vodacom Kugawa Zawadi za Kusisimua Kusherehekea Miaka 20

DAR ES SALAAM, jana Novemba 21 Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali, Vodacom Tanzania PLC imeendelea kusherehekea miaka ishirini...

READ MORE

IGP Sirro Azungumzia Uhalifu wa Mtwara

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro, leo Novemba 22, 2020 amesema jeshi hilo litavitokomeza vitendo vya kihalifu...

READ MORE

Sakata la Saruji: Waziri Mkuu Atoa Maagizo kwa Wakuu wa Mikoa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini wafanye ukaguzi kwenye viwanda vya kuzalisha saruji, mawakala, wauzaji wa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Novemba 22, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 22, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

RC Chalamila: Wanaume wa Mbeya Wanapenda Kulelewa

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa mkoa wa Mbeya, wameachiwa jukumu la...

READ MORE

Ajali yaua watu watano Handeni

    Watu watano wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya magari mawili ya mizigo kugongana uso kwa uso wilayani...

READ MORE

Shule 38 Zafutiwa Matokeo Darasa la Saba, Yasome Hapa

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) limewafutia matokeo watahiniwa 1,059 kutoka shule 38 zilizofanya udanganyifu katika mitihani ya kuhitimu darasa...

READ MORE

Polisi Tz, Msumbiji Kufanya Oparesheni Pamoja

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Msumbiji, Bernadino Rafael, wamekubaliana...

READ MORE

Kabudi Amwakilisha JPM Kimataifa, Aanika Haya…

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuendelea kuisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kulinda amani na kuhakikisha...

READ MORE

Tecno Kutoa Mil. 1 kwa Mshindi Promosheni ya Tecno ‘Camon 16 Billboard Star’

Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO imetangaza kuanza rasmi promosheni ya Camon16 Billboard Star ambayo itawawezesha wafuasi wake wa...

READ MORE

Matokeo Darasa la Saba 2020 Yatangazwa, Tazama Matokeo Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) leo Jumamosi tarehe 21 Novemba 2020, limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba...

READ MORE

Shigongo Atangazwa Mwanafunzi Bora Wahitimu Chuo Kikuu – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametajwa kuwa miongoni mwa wanafunzi bora watatu ambao ni wahitimu wa...

READ MORE

Mwinyi Aapisha Mawaziri, Awapa Maagizo Mazito – Video

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, amewashukuru mawaziri wote...

READ MORE

Maalim Seif Akiri Kupokea Barua ya Rais Mwinyi

MWENYEKITI wa ACT-Wazalendo ambaye pia alikuwa mgombea urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika uchaguzi mkuu uliopita, Maalims Seif, amekiri...

READ MORE

Vita ya Biden na Trump Yazidi Kukolea

RAIS mteule wa Marekani, Joe Biden, amelaani kitendo cha, Donald Trump kutokubali kuwa ameshindwa katika uchaguzi wa rais na kwamba...

READ MORE

Katibu Tawala Arusha Asisitiza Waajiri Kuweka Mifumo Madhubuti Ya Kuwalinda Wafanyakazi Dhidi ya Magonjwa

Katibu tawala Mkoa wa Arusha Mhe. Richard Kwitega amewasisitiza waajirimkoani Arusha kuweka mifumo madhubuti ilikuwalinda wafanyakazi dhidi ya magonjwa na...

READ MORE

Mfumo wa Kuuza, Kununua Hisa Kwa Njia ya Simu za Mkononi Wazinduliwa

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA)imezindua mfumo wa kuuza na kununua hisa kwa njia ya simu za mkononi katika...

READ MORE

Kisa Fumanizi, Mrembo Atimuliwa Kijijini

UONGOZI wa kitongoji cha Namayana katika Kijiji cha Namayana wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha, umetoa siku saba kwa mkazi mmoja...

READ MORE

Sven Atoa Masharti Magumu Simba

KOCHA mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck anatarajia kukichuja kikosi chake kabla ya msimu wa sikukuu ya kuanza kwa michuano ya...

READ MORE

Baba Amkata Sime Mwanaye, Kisa Ushirikina

MTOTO mwenye umri wa miaka tisa, mkazi wa Kitongoji cha Batini, wilayani Gairo, mkoani Morogoro, amenusurika kifo baada ya kukatwa...

READ MORE

Georgia Yarudia Kuhesabu Kura, Biden Amgaragaza Trump Tena

  RAIS Mteule wa Marekani, Joe Biden (78),  ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa Jimbo la Georgia baada ya zoezi la...

READ MORE

Jamii Yatakiwa Kuungana Kupinga Ukatili kwa Wanawake na Watoto

Kuelekea siku maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kati ya Novemba 25 hadi Desemba 10, mwaka huu,...

READ MORE

GGML, NEEC Waanzisha Mafunzo kwa Wafanyabiashara 500 Geita

Katika jitihada za kuwapatia maarifa na ujuzi wajasiriamalimkoani Geita juu ya mchakato wa manunuzi yanayofanywa na Kampuni ya Geita GoldMining...

READ MORE

Live: CCM Yapitisha Majina Haya Umeya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha majina ya madiwani walioomba kuwania umeya wa majiji, manispaa na wenyeviti wa halmashauri katika maeneo...

READ MORE

Tanzania Yakanusha Kuwekewa Vikwazo na EU – Video

  BALOZI  wa Tanzania nchini Ubelgiji, Jestas Nyamanga, amesema taarifa zinazoendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, kwamba Bunge la Umoja...

READ MORE

Yanga Yatangaza Bosi Mpya, Yaanika Sakata la Morrison, Kabwili – Video

  UONGOZI wa Klabu ya Yanga SC, leo Novemba 20 umemtangaza Hajji Mfikirwa kuwa Kaimu Katibu Mkuu  mpya ambaye anachukua...

READ MORE

Watumishi Wasio na TIN Namba Hatarini Kukosa Mshahara

MKURUGENZI wa Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo, amesema serikali imetangaza kuwa mfanyakazi ambaye...

READ MORE

Fahamu Kuhusu Tai Nyekundu, Blue, Zambarau Rais JPM Akiapishwa, Kufungua Bunge

UWANJA wa Diplomasia tumepokea maswali mengi kuhusu tai alizovaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli wakati...

READ MORE

Ukimposti Mwanamke Milioni 50

UKICHEZA na mwanamke kwa sheria za sasa utaozea jela au kupigwa faini ya mamilioni ya fedha. Kama unabisha sema: “suuu”...

READ MORE

Mwalimu Matatani Ulawiti wa Wanafunzi 24

KIJANA Arnold Mlay almaarufu Big (31), mkazi wa Semtema A, Manispaa ya Iringa, ameingia matatani baada ya kuhukumiwa kifungo cha...

READ MORE

Kigogo Afumaniwa na Mke wa Rafiki Yake Usiku

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mtumishi mmoja anayefanya kazi idara ya kilimo Kata ya Itumba wilayani Igunga mkoani Tabora, aliyefahamika...

READ MORE

Wakurugenzi Wawili Kizimbani Kwa Makosa 45 Yakiwemo Ya Utakatishaji wa Sh Bil 1.6

Wakurugenzi wawili wa Kampuni ya Vinywaji Vikali (BEVCO) akiwemo Raia wa Ufaransa, Melaine Philippe wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Fahamu: Bunge la Tanzania Liliwahi Kufanya Vikao Kwenye Jengo la Freemason

WASOMAJI kadhaa wa gazeti la UWAZI wameomba Historia ya Bunge letu ambalo limezinduliwa na Rais Dk John Magufuli Novemba 13...

READ MORE

Chama Amerudi Huko

NYOTA wa Kimataifa wa Simba akiwemo Clatous Chama na Meddie Kagere, leo Jumanne wanatarajia kurudi Tanzania na kujiunga na kikosi...

READ MORE