×

Habari

JWTZ Kuwachukulia Hatua Za Kisheria Wapotoshaji Katika Mitandao Ya Kijamii – Video

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ), linakemea tabia inayokithiri ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii inayolihusisha Jeshi na...

READ MORE

NEEC Yawataka Vijana Kuweka Akiba

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), CPA Ben’gi Issa amewataka vijana kuweka akiba na kuacha...

READ MORE

Rais Salva Kiir amfuta kazi Makamu wa Kwanza wa Rais Benjamin Bol Mel

Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit, amemfuta kazi Makamu wa Kwanza wa Rais, Benjamin Bol Mel, katika uamuzi wa...

READ MORE

NMB Yawatambua wanafunzi bora na Kuimarisha Ushirikiano na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Benki ya NMB kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitivo cha Biashara, imewatambua wanafunzi kumi bora katika...

READ MORE

Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Nchemba Apokelewa kwa Shangwe Dodoma – Video

Waziri Mkuu Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba, amepokelewa kwa heshima kubwa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu katika makazi ya...

READ MORE

Rais Mwinyi Atangaza Mawaziri Wateule Wa Serikali Ya Mapinduzi Ya Zanzibar -Video

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza uteuzi wa Mawaziri na Naibu...

READ MORE

Daniel Sillo Baran Achaguliwa Naibu Spika wa Bunge la 13

Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran amechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya...

READ MORE

Bunge la Marekani Laidhinisha Mpango wa Kumaliza Shutdown

Bunge la Wawakilishi (House of Representatives) limeidhinisha rasmi pakiti mpya ya fedha yenye lengo la kumaliza mgogoro wa kifedha uliosababisha...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu: Serikali Itatekeleza Miradi Inayogusa Maisha ya Wananchi -Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameahidi kusimamia kwa nguvu zote utekelezaji wa malengo ya...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dkt. Mwigulu Nchemba Kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania – Video

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akitangaza Jina la Waziri Mkuu aliyeteuliwa na Mhe....

READ MORE

Mchezaji wa Yanga Aziz Andabwile Awatoa Taarifa Kuhusu Sintofahamu Mitandaoni

Mchezaji wa Klabu ya Yanga SC, Aziz Andabwile ameweka wazi ukweli kuhusu taarifa zilizokuwa zikisambaa mitandaoni zikimhusu yeye na Klabu...

READ MORE

TTCL Yazindua Huduma Mpya ya Mawasiliano Ijulikanayo Kama T-Fibre Triple Hub

 KATIKA juhudi za kuunga mkono Serikali katika kukuza uchumi wa kidijitali kupitia matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA),...

READ MORE

Serikali Yajikiti Kuboresha Mfumo Wa Utoaji Gawio

Ofisi ya Msajili wa Hazina (Tanzania) imeshiriki kikao cha wadau cha kuwasilisha Rasimu ya Muongozo wa Uandaaji wa Sera ya...

READ MORE

Wanawake Wengi Wapo Jela India Kisa Unga

Mwanadada ambaye alikuwa akiishi nchini India kwa ajili ya majukumu ya kikazi, amerejea nchini na kufunguka kuhusu mambo mbalimbali aliyokutana...

READ MORE

Bunge Kumthibitisha Waziri Mkuu na Kumchagua Naibu Spika Kesho

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ametangaza kuwa kesho tarehe 13 Novemba 2025,...

READ MORE

Mahakama Yaahirisha Kesi ya Uhaini ya Lissu Hadi Ratiba Mpya – Video

Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa kwa muda hadi Msajili wa...

READ MORE

Maandamano ya Oktoba 29 Hayakuwa Halali, TPBA Yatamka

Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) kimetoa tamko rasmi kuhusu matukio yaliyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29...

READ MORE

Wabunge Walivyowasili Bungeni Kwa Kikao cha Pili cha Bunge la 13 leo

Wabunge wa Bunge la Kumi na Tatu walivyowasili katika viwanja vya Bunge, Jijini Dodoma, leo Novemba 12, 2025, kwa ajili...

READ MORE

Ukurasa Mpya wa Historia: Mhe. Shigongo Aapa Kulitumikia Taifa kwa Uzalendo na Uadilifu

Katika ukumbi wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jana taifa lilishuhudia tukio lenye thamani ya kipekee...

READ MORE

DR Congo: Askari Mwenye Umri wa Miaka 102 Bado Anahudumu Baada ya Miaka 78

Mwanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Sajenti Meja wa Kwanza Luhembwe Alfani, amevutia hisia za wengi baada ya kutimiza...

READ MORE

Unatamani Uhusiano wa Wenzako, Wako Majanga? Soma Hapa!

VUTA picha ni watu wangapi sasa hivi hawafurahii uhusiano wao. Wanatamani uhusiano wa wengine kwa jinsi wanavyoutazama, wengi sana wapo...

READ MORE

Familia Ya Rais Aliyepinduliwa Yasomewa Kesi Ya Ufisadi

Kesi ya Sylvia Bongo Ondimba na mwanawe Noureddin Bongo Valentin, mke na mtoto wa aliyekuwa rais wa Gabon Ali Bongo...

READ MORE

Taasisi ya The Same Qualities Yaandaa Marathoni Kuchangia Watoto

Taasisi ya The Same Qualities Foundation inayotoa matibabu bure ya watoto wenye mdomo wazi (sungura) yaandaa marathon itakayo fanyika Tanzania...

READ MORE

Wabunge Wapya Waapishwa Bungeni Dodoma Leo (Picha +Video)

Wabunge wameapishwa leo Novemba 11, 2025, katika Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu,...

READ MORE

Kibatala Afunguka Mazito kesi ya Niffer leo Mahakamani

Wakili Peter Kibatala anayewatetea mwanadada Jennifer Jovin almaarufu Niffer na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhaini, amefunguka kuhusu kilichoendelea leo...

READ MORE

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari Aapishwa Kuwa Mbunge

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amekula kiapo cha Uaminifu mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya...

READ MORE

Heche azungumzia kwa mara ya kwanza kuachiwa kwao na Jeshi la Polisi – Video

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema hakuna makubaliano yoyote yaliyofanyika kati yao na...

READ MORE

Video: Mussa Zungu Achaguliwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano

Mbunge wa Jimbo la Ilala, (CCM) Mhe. Mussa Azzan Zungu, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Tchiroma ampa Biya na Serikali Yake Saa 48 Kuachilia Huru Wafungwa wa Kisiasa

Yaoundé, Cameroon – Issa Tchiroma Bakary, mgombea wa upinzani ambaye pia amejitangaza mshindi wa uchaguzi wa rais, amempa Rais Paul...

READ MORE

TLS kutoa msaada wa kisheria bure kwa watuhumiwa wa matukio ya Uchaguzi 2025

Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetangaza mpango maalumu wa kutoa msaada wa kisheria bila malipo kwa watuhumiwa waliokamatwa au kufunguliwa...

READ MORE

Bunge jipya la 13 laanza rasmi leo Dodoma, uchaguzi wa Spika wavutia

Dodoma, Novemba 11, 2025 — Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza rasmi vikao vyake leo kwa...

READ MORE

Watanzania Waonesha Uwezo Katika Kampuni za Ubia

Kwa muda mrefu, kampuni nyingi za ubia kati ya Serikali ya Tanzania na wawekezaji wa kimataifa ziliongozwa na wataalamu kutoka...

READ MORE

Ruby Play Yaleta Ubunifu na Ushindi Ndani ya Meridianbet

Meridianbet inazidi kuteka mioyo ya wapenzi wa kasino mtandaoni kwa kuleta ushirikiano na Ruby Play, mtoa huduma mpya wa michezo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 11, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Viongozi Wakuu wa CHADEMA Waachiwa kwa Dhamana

Viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA): Makamu Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanzania Bara John...

READ MORE

Wagombea wa nafasi ya Spika wa Bunge Wapo Hapa… CCM, NRA, NLD, AAFP na ADC

Taarifa kuhusu uteuzi wa Wagombea wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

READ MORE

Rais Samia Ateua Wabunge Sita Wapya wa Bunge la 13 – Video

Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameteua wabunge sita kwa mujibu wa kifungu cha katiba kinachompa...

READ MORE

Mahakama Yakataa Ombi la Ahirisho la Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imekataa ombi lililotolewa na upande wa Jamhuri la kutaka kuahirishwa kwa siku...

READ MORE

Burkina Faso: Daktari Aliyekosoa Rais Traoré Atumwa Vitani Baada ya Kupata Mafunzo ya Kijeshi

Tukio lisilo la kawaida limetokea nchini Burkina Faso, baada ya daktari mmoja aliyemkosoa vikali Rais Kapteni Ibrahim Traoré kukamatwa na...

READ MORE

Denmark Kupiga Marufuku Mitandao ya Kijamii kwa Watoto Chini ya Miaka 15

Serikali ya Denmark imetangaza mpango wa kupiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio na umri chini ya...

READ MORE