×

Habari

Guu la Mugalu Laekezwa Yanga SC

AKIPACHIKA mabao matatu mfululizo katika michezo ya Ligi Kuu Bara, mshambuliaji mpya wa Simba Mkongomani, Chris Mugalu amesema kuwa nguvu...

READ MORE

Shule African Muslim Kilimanjaro Yaungua Moto

BWENI  la Shule ya Sekondari ya African Muslim iliyopo maeneo ya Kaloleni mkoani Kilimanjaro limeungua moto huku chanzo cha moto...

READ MORE

Nina Moto Mkali na Dar, Itakuwa ya Ma-Flyover Tu – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. John Magufuli, leo...

READ MORE

Vodacom Yafanya Jambo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA)

Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imeamua kufanya jambo kwa kuwafungulia duka wateja wa kampuni hiyo katika eneo la...

READ MORE

Shehena Simu za Magendo Yakamatwa Rombo – Video

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) katika Mkoa wa Kilimanjaro ikishirkikiana na Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Athuman Kihamia, na Kamati...

READ MORE

Sekta Ya Mawasiliano Ya Simu Na Kukua Kwa Teknolojia Kunavyobeba Fursa

Hakuna shaka yoyote kwamba mapinduzi ya kiteknolojia yameleta mabadiliko makubwa katika maisha yetu ya kila siku. Ugunduzi wa kupata mtandao...

READ MORE

Nmb Yazindua Jukwaa la Biashara ya Mtandaoni

  Benki ya NMB leo imezindua Rasmi huduma mbili za kuongeza ufanisi katika sekta ya utalii nchini. Huduma zilizozinduliwa leo...

READ MORE

Chanzo Ajali ya Ndege ya Ukraine Chabainika

NAIBU Waziri Mkuu wa Ukraine, Oleg Uruskiy, amesema kuwa chanzo cha ajali ya ndege ya kijeshi iliyoanguka katika mji wa...

READ MORE

Watano Mmbaroni Kwa Kuingia Nchini Bila Kibali

  Washtakiwa watatu raia wa Liberia na wengine  wawili raia wa Nigeria na Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo wamefikishwa Katika...

READ MORE

Muonekano wa Stendi Kuu ya Mabasi Mbezi Louis Dar

    Muonekano wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Kisasa kinachojengwa eneo la Mbezi Louis jijini Dar es Salaam ambacho...

READ MORE

Serikali Kuwatambua Wataalamu wa Tehama

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanzisha programu maalum ya kuwatambua, kuwasajili na kuwaendeleza wataalamu, wabunifu na wabobezi katika...

READ MORE

Shigongo Apokea Kilio cha Kinamama Wauza Viazi Bukokwa

MGOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, leo Alhamisi, Oktoba 8, 2020...

READ MORE

Shigongo na Shangwe za Madereva Bodaboda Bukokwa

  MGOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, ametumia usafiri wa pikipiki...

READ MORE

Magufuli Akagua Flyover Ubungo

RAIS John Magufuli leo Oktoba 8, 2020,  leo amekagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za juu (Ubungo Flyover) jijini Dar...

READ MORE

Mpakstani Anaswa Akidaiwa Kuingia TZ Kinyemela

IDARA ya uhamiaji mkoani Kagera inamshikilia  raia wa Pakstan, Mohammed Adinani Tahir, anayedaiwa kuingia nchini kinyume na taratibu akitokea nchini...

READ MORE

JPM: Tunataka Malawi Waamue Wenyewe – Video

RAIS wa  Malawi, Lazarus McCarthy Chakwera, ameendelea na ziara yake ya siku tatu nchini kuanzia jana  Oktoba 07,  2020,  yenye...

READ MORE

JPM Amtaka RC Dar es Salaam Abadilike (Picha +Video)

RAIS John Magufuli, amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge, abadilike na kuachana na upole badala yake...

READ MORE

RC Kigoma Awajulia Hali Zitto, Wenzake Waliopata Ajali

MKUU wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye, amemtembelea na kumpa pole  Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe,...

READ MORE

Shigongo Kuboresha Huduma za Afya Buchosa

MGOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, ametembelea ujenzi wa jengo la Mama na...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Siku Tatu kwa Wizara ya Kilimo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa Wizara ya Kilimo kukutana na menejenti ya kampuni ya utengenezaji na usambazaji...

READ MORE

Kalebezo Yaitikia! Shigongo Achanja Mbuga, Hakamatiki Buchosa

      UMATI wa wananchi wa Kijiji cha Kalebezo, Kata ya Kalebezo,  wamefurika kumpokea mgombea ubunge Jimbo la Buchosa...

READ MORE

Bad News: Katibu Mwenezi Chadema Auawa Singida

Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kata ya Mhintiri, Jimbo la Singida Magharibi, Nicholas Andrea Gui, amekutwa...

READ MORE

Benki ya NMB, NHIF Waweka Historia Afya Kwa Wote

Benki ya NMB na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) zimeweka historia mpya na ya aina yake nchini...

READ MORE

Mapokezi ya Shigongo Magulukenda Balaa – Pichaz

MAPOKEZI ya mgombea ubunge Jimbo la Buchosa, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo Jams, katika Kijiji cha Magulukenda, Kata...

READ MORE

Yanga Yanunua Vifaa Maalum vya Kuichapa Simba

NAELEZWA mmiliki wa Kampuni ya GSM, Ghalib Salim Mohamed ameamua kuwanunulia wachezaji wa Yanga vifaa maalum kwa ajili ya mchezo...

READ MORE

Mashabiki wa Yanga Wafurahishwa na Gazeti la Championi – Video

MASHABIKI Kindakindaki wa Klabu ya Yanga wameendelea kumiminika kwenye duka la kuuza jezi za timu hiyo ambapo amekutana na kamera...

READ MORE

Mzimu wa Lowassa Wamtafuna Membe

DAR: WAKATI zikiwa zimebaki siku 25 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu mwaka huu, upepo wa kisiasa kwa mgombea urais...

READ MORE

Usiku ‘Njoo Mume Wangu Hayupo’ Yamponza

KYELA: Kisa kifuatacho ni uthibitisho tosha kwamba, mke wa mtu ni sumu, Gazeti la IJUMAA lina kisa na mkasa. ‘NJOO...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji Tigo Aungana na ‘DREAM TEAM’ Kuhudumia Wateja

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo, Simon Karikari, leo ameingia mtamboni na watoa huduma wake aliowaita...

READ MORE

JPM, JK Wakiongoza Dhifa ya Kitaifa kwa Rais wa Malawi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, ameongoza dhifa ya kitaifa kwa heshima ya Rais wa Malawi,...

READ MORE

Benki ya Akiba Ilivyoungana na Wateja Kuzindua Wiki ya Huduma kwa Wateja

Benki ya Akiba Commercial imezindua wiki ya huduma kwa wateja katika hafla iliyofanyika tawi lao la Tegeta jijini Dar kwa...

READ MORE

Mshauri wa Whitehouse Aambukizwa Corona

Ugonjwa wa Covid-19 unaendelea kusambaa miongoni mwa wandani wa Rais wa Marekani Donald Trump, huku mshauri wa Ikulu ya White...

READ MORE

Konda Aliyenusurika Ajali Iliyoua Watano Temeke Asimulia – Video

NI simanzi baada kupata nafasi ya kukutana na aliyekuwa konda wa Coaster iliyopata ajali na kuuwa watu watano ambapo ameeleza...

READ MORE

Shigongo Awatia ‘Hasira’ Vijana wa Buchosa

MGOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, amekutana na vijana wa Kata ya Kalebezo...

READ MORE

Biden: Oktoba 15 Mdahalo Usifanyike Kama Trump Bado ana COVID-19

Mgombea wa urais nchini Marekani kwa tiketi ya chama cha Democratic, Joe Biden amesema mdahalo wa pili wa urais uliopangwa...

READ MORE

Walioshambulia Westgate Watiwa Hatiani

MAHAKAMA nchini Kenya, leo Oktoba 7, 2020 imewakuta na hatia washukiwa wawili y kupanga njama ya kutekeleza ugaidi na kusaidia...

READ MORE

Kauli ya Kwanza ya Zitto Baada ya Ajali

BAADA  ya kupata ajali siku ya jana mkoani Kigoma katika Jimbo la Kigoma Kusini alipokwenda kwa ajili ya mkutano wa...

READ MORE

Benki ya Exim Yaahidi Ufanisi Zaidi Huduma za Kidigitali

Benki ya Exim Tanzania imeungana na ulimwengu wote kwa kutoa heshima kwa wateja na wafanyikazi wa benki hiyo ikiwa ni...

READ MORE