×

Habari

NEC Yakabidhi Nakala Ya Daftari La Wapiga Kura Kwa Vyama Vya Siasa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Oktoba 15, 2020 imekabidhi vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mkuu nakala tepe ya daftari...

READ MORE

Mtuhumiwa Uvamizi Studio za S2Kizzy Akamatwa – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam wanamshikilia Mtu mmoja kati ya 17 waliovamia Studio ya @s2kizzy kwa kujifanya Polisi jamii...

READ MORE

Dkt. Abbas Atembelea Studio za S2Kizzy Zilizovamiwa – Video

  Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas mchana wa...

READ MORE

Ndege za Kivita Zagongana, Tisa Wafariki!

AJALI ya ndege mbili za kijeshi aina ya helkopta za Afghanistan zimesababisha wanajeshi kujeruhiwa huko kusini mwa jimbo la Helmand...

READ MORE

Breaking: Mvua Kubwa Yaua Watu 12 Dar – Video

MKUU  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakary Kunenge, amesema kuwa mvua kubwa zilizonyesha juzi Jumanne, Oktoba 13, 2020 jijini...

READ MORE

Benki ya Akiba Ilivyoshiriki Tamasha La Wamama Wajasiriamali wa Goba

Benki ya Akiba Commercial jana ilishiriki kwenye tamasha la Wamama Wajasiriamali waishio Goba Jijini Dar. Katika tamasha hilo lililofanyika ukumbi...

READ MORE

Baba Asimulia Familia Yake Ilivyoteketea kwa Moto – Video

FAMILIA  ya watu watano iliyokuwa ikiishi maeneo ya Pugu Stesheni jijini Dar es Salaam, imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia...

READ MORE

TANAPA Kununua Helikopta Dhidi ya Majanga ya Moto

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla, ameagiza Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), kujipanga upya kwa kuwa na...

READ MORE

Waziri Kabudi Aruhusiwa Kutoka Hospitali – Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi, ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Rufaa Mkoa...

READ MORE

Familia Iliyopoteza Watu Watano Kwa Kuungua Na Moto Huzuni Tupu!

Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wamefika nyumbani kwenye familia ya watu wa tano ya , Edward Jeremiah Katema waliopoteza...

READ MORE

Maalim Seif Aitwa Mbele ya Kamati ya Maadili

TUME ya Uchaguzi Visiwani Zanzibar (ZEC) imemtaka Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad,...

READ MORE

Kocha Mpya Yanga Tayari Safarini Kutua Dar

KOCHA  Cedric Kaze anayekuja kushika mikoba ya kuifundisha Yanga SC, yupo safarini kuja nchini Tanzania kwa ajili ya kuanza rasmi...

READ MORE

Vodacom Yaleta Huduma ya Kulipia Mafuta kwa M-Pesa, Vituo Oryx Nchini

Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kiteknolojia nchini, Vodacom Tanzania PLC na kampuni ya kuuza mafuta ya Oryx Oil Tanzania...

READ MORE

NMB Yatoa Msaada wa Vifaa vya Hospitali Tarime, Kahama na Kilombero

  Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya hospitali; vitanda, magodoro na mashuka vyenye thamani ya shilingi milioni kumi...

READ MORE

Mbatia Adai Kunusurika Kutekwa na Gari Namba za Ubalozi – Video

  Katika hali ambayo ni ya kushangaza na ya kushtusha sana watu wanne wakiwa na gari aina ya Prado yenye...

READ MORE

Mama Aliyemtupa Mtoto Wake Mtoni Apimwa Akili

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera, linatarajia kupeleka kwenye ofisi ya mashtaka jalada la kesi ya mwanamke Herieth Pontian...

READ MORE

Aunt Afunguka Siri Nzito Mimba Yake, Kusah…. – Video

#Exclusive: STAA wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel amefunguka siri nzito ya mimba yake, Kuhusu Kusah….. Stori bado ya moto…. Wahi...

READ MORE

Breaking: Waziri Kabudi Apata Ajali Morogoro – Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje, Prof. Palamagamba Kabudi, amepata ajali ya gari eneo la Kihonda, na  Morogoro, amepelekwa katika Hospitali...

READ MORE

JPM Aanika Siri Nzito ya Tarimba, Slaa – Video

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Cham Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho,  John  Magufuli, amewaomba wananchi...

READ MORE

Anaswa na Meno ya Tembo, AK 47, Risasi 27

JESHI la Polisi Mkoani Dodoma limekamata jumla ya watuhumiwa wanane kwa kukutwa na silaha  na nyara za serikali kinyume na...

READ MORE

JPM: Oktoba 28 Mapumziko, Mgonjwa Apelekwe Akapige Kura – Video

RAIS John  Magufuli amesema kuwa ataitangaza siku ya uchaguzi mkuu, Oktoba 28, 2020 kuwa siku ya mapumziko ili wananchi wote...

READ MORE

Apple Waitambulisha Iphone 12

KAMPUNI ya Apple leo imetambulisha simu zake aina ya Iphone 12 ambazo zimezinduliwa kwa miundo minne tofauti ambazo ni iPhone...

READ MORE

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji TFF, Dkt. Paul Marealle Afariki Dunia

Rais wa TFF Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kwa ndugu na wadau wa soka kutokana na kifo cha Mjumbe...

READ MORE

Watano Familia Moja Wafariki Nyumba Ikiwaka Moto

WATU watano wa familia moja akiwemo mama, watoto wake watatu na wifi yake, wamepoteza maisha baada ya nyumba yao kuwaka...

READ MORE

JPM Amshukia Halima Mdee Jimboni Kawe – Video

  MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Cham Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mwenyekiti wa chama...

READ MORE

Rais Magufuli Atembelea Msikiti Mkuu, Kinondoni Dar (Picha +Video)

Rais Magufuli Oktoba 13, 2020 ametembelea Msikiti Mkuu Uliojengwa Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa ufadhili wa Mfalme Mohammed VI...

READ MORE

Radi Yaua Mahabusu, Yajeruhi Wafungwa Wanne – Video

Mahabusu mmoja wa kesi ya mauaji, Mussa Haji (25), kabila Mkurya, amefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika Gereza...

READ MORE

Rais JPM Apokea Gawio la Bilioni 100 Kutoka Barrick – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amepokea gawio la zaidi ya shilingi bilioni 100 kutoka...

READ MORE

Taarifa ya TMA: Mwenendo wa Mvua Kwa Ukanda wa Pwani ya Kaskazini

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, inapenda kutoa ufafanuzi juu ya uwepo wa vipindi vya mvua zinazoendelea leo katika maeneo...

READ MORE

Bifu la Mondi, Harmo la Moto!

BIFU la mastaa wawili wakubwa wa Bongo Fleva na mabosi wa lebo za muziki Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au...

READ MORE

Wema, Kajala Ilikuwa Umbeya Kama Wote!

MALKIA wa fi lamu za Kibongo, mwenye jina kubwa ndani na nje ya Bongo, Wema Isaac Sepetu amesema kuwa, yeye...

READ MORE

RC KUNENGE AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI DHIDI YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewataka wananchi kuchukuwa tahadhari dhidi ya mvua zinazoendelea kunyesha kwa...

READ MORE

Mahakama ya Ndizi Sasa ni Mali ya Wananchi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. John Magufuli amesema Soko...

READ MORE

Chanzo cha Moto Mlima Kilimanjaro Chatajwa

KAMISHNA Msaidizi wa Mawasiliano wa TANAPA, Paschal Shelutete, amesema kuwa moto ulioteketeza na unaoendelea kuteketeza sehemu ya hifadhi ya Mlima...

READ MORE

Magufuli Amuomba Mungu Amsamehe Meya Huyu

Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt John Magufuli amemuomba Mungu amsamehe aliyewahi kuwa Meya wa Ilala na baadaye...

READ MORE

NEC Yatangaza Kampuni Inayochapicha Karatasi za Kupigia Kura 2020

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii ambazo si za kweli kuhusu mchakato wa...

READ MORE

Maalim Seif: Kiwango cha Mshahara Kitakuwa Laki 7

Mgombea Urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, ameahidi kuboresha mfumo wa utumishi wa serikali ikiwemo...

READ MORE

Tundu Lissu afika Nzega, Atoa Ahadi Hizi

Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Tundu Lissu, amesema kama atapata ridhaa ya kuiongoza nchi atahakikisha...

READ MORE

Wahukumiwa Kwa Kuisababishia Hasara Ya Mil 16 TCRA

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wafanyabiashara wanne wakiwemo raia wawili wa kigeni  kulipa fidia  ya shilingi  Milioni kumi...

READ MORE