×

Habari

NEC Yafafanua Waliokatwa, ‘Waliopita Bila Kupingwa’ – Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Agosti 26, 2020,  imezungumza na wanahabari kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo uchaguzi, ambapo kubwa...

READ MORE

Lindi: Mgombea Ubunge (Chadema) ‘Akamatwa Kwa Rushwa’

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Lindi imemkamata na inamshikilia mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia...

READ MORE

Mwinyi Achukua Fomu ZEC, Aahidi Zanzibar Mpya – Video

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein  Mwinyi amechukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea kiti hicho...

READ MORE

Rais Azuiwa Kushiriki Uchaguzi

RAIS wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo, amezuiwa kugombea urais katika uchaguzi ujao baada ya mahakama kuidhinisha uamuzi wa...

READ MORE

Urusi Yaituhumu Ujerumani Kuwa ‘Kimbelembele’

IKULU ya Urusi, Kremlin, imewatuhumu madaktari wa Kijerumani kuwa na ‘kimbelembele’, baada ya kusema kuwa vipimo alivyofanyiwa kiongozi wa upinzani...

READ MORE

Kitilya, Wenzake Wakiri Makosa, Kulipa Faini Bil 1.5

ALIYEKUWA Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Harry Kitilya, Shose Sinare, Sioi Solomon, Bedason Shallanda na Alfred Misana wamekiri...

READ MORE

Teknolojia Ya Kidijitali Inavyoweza Kuboresha Elimu Tanzania

Wiki hii serikali imetangaza mpango wa kutekeleza mkakati mpya unaolenga kuboresha elimu ya sekondari nchini Tanzania.   Akizungumza katika mkutano...

READ MORE

Trump Ashtukia Kuibiwa Kura, Akionya Chama Chake!

Rais wa Marekani Donald Trump amewaonya Warepublican wenzake kwamba wapinzani wao huenda “wakaiba” uchaguzi wa Novemba, wakati chama chake kilipomuidhinisha...

READ MORE

NEC Yampitisha Lissu Kugombea Urais wa Tanzania – Video

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu ameteuliwa na Tume ya Taifa ya...

READ MORE

Wafukua Sarafu za Dhahabu Zenye Miaka 1,100

VIJANA waliojitolea kuchimba katika hazina ya kiikiolojia ya Israel wamebaini sarafu 425 ambazo zilikuwa zimezikwa kwenye chungu cha udongo kwa...

READ MORE

Wanaodaiwa Kumteka Mo Dewji, Kesi Yafikia Hapa – Video

MUSA TWALIBU mkazi wa jijini Dar es Salaam,  anayekabiliwa na kesi ya tuhuma ya kumteka mfanyabiashara, Mohamed Dewji Mo,  ameieleza...

READ MORE

Trump Ateuliwa Kuwania Urais Kupitia Republican

CHAMA  cha Republican nchini Marekani jana kimemuidhinisha Donald Trump kuwa mgombea wake wa kiti cha urais katika uchaguzi wa Novemba...

READ MORE

Dada wa Kazi Mbaroni Akituhumiwa Kuua Mtoto

MTUMISHI wa kazi za ndani Ashura Suka (15) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za mauaji...

READ MORE

Mali: Jeshi Laigomea ECOWAS Kumrudisha Rais Keita

MAZUNGUMZO nchini Mali yanayolenga kutatua mzozo wa kisiasa unaoendelea kufuatia mapinduzi yaliofanyika wiki iliopita yamemalizika bila makubaliano huku viongozi wa...

READ MORE

Shambulio Burundi: Watu 15 Wauawa

TAKRIBAN watu 15 wameripotiwa kuuawa na wakati watu wenye silaha walipofanya mashambulio Kusini mwa Burundi.   Mapigano hayo yaliyotokea katika...

READ MORE

Tanzia: Rais Pascal Lissouba Afariki Dunia

RAIS  wa zamani wa Congo/Brazaville Pascal Lissouba, amefariki dunia nchini Ufaransa akiwa na umri wa miaka 88, chama chake kimeliambia...

READ MORE

Mwanza: Kichanga cha Wiki Mbili Chapotea Hospitalini

JESHI la Polisi mkoani Mwanza linachunguza tukio la kupotea katika mazingira ya kutatanisha kichanga cha wiki mbili ndani ya wodi...

READ MORE

JPM Akagua Magari Yaliyotaifishwa, Atoa Maagizo!

RAIS. John  Magufuli amekagua magari yaliyotaifishwa baada ya kuhusika katika matukio ya uhujumu uchumi, na kisha kuhifadhiwa katika kituo cha...

READ MORE

Wagombea Urais NRA Warejesha Fomu NEC, Wateuliwa – Video

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tikeki ya Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Janken Kasambala Malik...

READ MORE

Polisi Wakanusha Katibu wa Chadema Ruangwa Kutekwa

  POLISI Mkoa wa Lindi limekanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Treni ya Abiria Yawasili kwa Mara ya Kwanza Baada ya Miaka 30

Mamia ya wananchi wa Jiji la Arusha, wamejitokeza kuipokea treni ya abiria iliyowasili kwa mara ya kwanza ikitokea Moshi Mkoa...

READ MORE

JPM Arudisha Fomu NEC, Ateuliwa Kugombea Urais – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John  Magufuli na mgombea mwenza,  Samia Hassan,  leo Jumanne,...

READ MORE

NMB Yawakomboa Wanachi Mlimba

  Benki ya NMB imefungua tawi jipya la Mlimba katika Wilaya ya Kilombero, Mkoani Morogoro. Tawil hilo ambalo ni neema...

READ MORE

Wilaya ya Chemba Yaahidi Kutatua Changamoto za Elimu

  SERIKALI wilayani Chemba imeahidi kuzifanyia kazi changamoto za elimu ya msingi na sekondari zilizoibuliwa katika mijadala ya Maadhimisho ya Juma...

READ MORE

Vodacom: Mzalendo na Mlipa Kodi Kinara nchini Tanzania

Ni miongo miwili sasa tangia Vodacom ianze kutoa huduma za mawasiliano nchini Tanzania. Muriel Rukeyser (1913 – 1980), mshairi wa...

READ MORE

Tanzia: Dr Shika Afariki Dunia

Dr Louis Shika maarufu kama Mzee wa 900 Itapendeza amefariki dunia, akiwa nyumbani kwa kaka yake wakati wa uangalizi baada...

READ MORE

Mshauri White House Ajiuzulu

MSHAURIwa Ikulu ya Marekani, Kellyanne Conway, ametangaza kujizulu nafasi hiyo akisema ataacha rasmi kazi mwishoni mwa mwezi huu.   Katika...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni Kuishi Unyumba na Mwanafunzi

JESHI la Polisi Wilaya ya Igunga limemkamata mwalimu Keby Aron (32) kwa tuhuma ya kumweka kimada mwanafunzi wa miaka 17....

READ MORE

Mnangagwa Aruhusu Wajawazito Kuendelea na Masomo

RAIS wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, amesaini sheria inayozuia shule za serikali kuwatenga wasichana ambao ni wajawazito kuhudhuria masomo.   Chini...

READ MORE

Wamiliki wa Drones Waagizwa Kuzisajili TCAA

MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imewaagiza wamiliki wa ndege ndogo zisizo na rubani (drones) kuhakikisha ndege hizo zimesajiliwa...

READ MORE

JPM Awasilisha Michango Ujenzi Msikiti Chamwino

RAIS  John Magufuli leo Jumatatu, Agosti 24, 2020, amewasilisha fedha za michango iliyotolewa katika harambee ya kuchangia ujenzi wa msikiti...

READ MORE

Kigogo MSD Aendelea Kusota Mahakamani

MAPEMA leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa utetezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya...

READ MORE

Maelfu Waandamana Kumtaka Lukashenko Aachie Madaraka

KIONGOZI wa upinzani nchini Belarus, Svetlana Tikhanovskaya, amewataka waandamanaji wanaodai demokrasia kuendelea na juhudi hizo, akisema Rais Alexander Lukashenko hana...

READ MORE

Mali: Jeshi Lataka Serikali ya Mpito Miaka 3

JUMUIYA ya Kiuchumi ya nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) na kundi la wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Mali wamekubaliana kufunga...

READ MORE

Baba Auawa Baada ya Kubaka Maiti ya Mwanawe

AMA kweli duniani kuna mambo! Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 45, ameuawa kutokana na kipigo alichokipata kutoka...

READ MORE

Mr Kuku Azidi Kusota Kesi ya Uhujumu Uchumi

KESI  ya uhujumu uchumi inayomkabili mfanyabiashara maarufu, Tariq Machibya (29) maarufu Mr Kuku, imeahirishwa hadi Septemba 7, mwaka huu, katika...

READ MORE

LIVE: Kongamano la Maombi Maalum ya Uchaguzi 2020

Kongamano la maombi maalum ya dua na salama kwa ajili wa uchaguzi mkuu 2020 limefanyika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma....

READ MORE

Mwana FA Avunja Rekodi Mapokezi Muheza

MAPOKEZI ya mgombea ubunge Jimbo la Muheza (CCM), Hamisi Mwinjuma maarufu MwanaFA,  jana amevunja rekodi ya umati wa mapokzi katika...

READ MORE

Dada wa Trump Asema Kaka yake ‘Alifanyiwa Mtihani’

DADA wa Rais wa Marekani, Donald Trump,  ambaye pia ni jaji wa zamani nchini humo, Bi. Maryanne Trump Barry,  amesema...

READ MORE

Wahamiaji Haramu 51 Wakamatwa Msata

JESHI la polisi mkoani Pwani, linawashikilia wahamiaji haramu (wanaume) kutoka nchini Ethiopia wapatao 51, kwa kosa la kuingia nchini bila...

READ MORE