×

Habari

Watu 16 Kortini kwa Mauaji ya Kada wa CCM Songwe

WATU 16 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Songwe juzi, wakikabiliwa na shtaka la mauaji ya anayedaiwa...

READ MORE

JPM: Matusi Nayotukanwa Nayafurahia, Wanamchukia Kigwangalla kwa Sura – Video

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe...

READ MORE

Video: Dkt Hussein Mwinyi Anarudisha Fomu Ya Urais Katika Ofisi Za ZEC

 Mgombea wa Urais Visiwani Zanzibar kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt Hussein Mwinyi leo Septemba 2, 2020...

READ MORE

Dkt. Akwilapo Ataka Taasisi za Elimu ya Juu Kuanzisha Programu za Vipaumbele Vya Taifa

    Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo ametoa wito kwa Vyuo Vikuu nchini kuhakikisha...

READ MORE

Shamimu Mwasha na Mumewe Wakutwa na Kesi ya Kujibu

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa maarufu kama Mafisadi imesema kwamba mfanyabiashara Abdu Nsembo (45) na mke wake...

READ MORE

Wanafunzi 7,586 Wachagulliwa Kujiunga na Kidato cha Tano Awamu ya Pili

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Seikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amesema kuwa wanafunzi 7,586...

READ MORE

JPM: Napenda Nifike Mbinguni, Niwe ‘Waziri wa Malaika’ – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kupitia chama hicho,  Dkt. John ...

READ MORE

Halopesa na Umoja Switch Wazindua Huduma ya kutoa Fedha Kidijitali

    KUTOKANA na kasi ya ukuaji wa teknolojia na uchumi, Halopesa imeendelea kutanua wigo wa kutoa huduma zake za kifedha...

READ MORE

Kuwatimua TBC! Wanahabari Wamtaka Mbowe Kuomba Radhi

CHAMA cha waandishi wa habari Dar es Salaam (DCPC) kimetoa taarifa inayomtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...

READ MORE

Mgombea Aangua Kilio Kwenye Mkutano wa Kampeni

MGOMBEA udiwani wa Kata ya Mumbaka, Masasi mkoani Mtwara, Salum Mwinyikheri, ameangua kilio mbele ya wananchi wakati akiomba kura.  ...

READ MORE

Watatu Mbaroni Kujiunganishia Umeme wa TANESCO

WATU watatu akiwemo mfanyabiashara, Gaston Masika (58) na wenzake wawili wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na kesi...

READ MORE

JPM: Mwambieni ‘Lissu’ Aachane na Urais, Nitampa Kazi Serikalini – Video

  MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amemtaka mgombea wa...

READ MORE

Magufuli: Hakuna Uzazi wa Mpango, Fyatueni Watasoma Bure – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),   Dkt. John  Magufuli leo alikuwa, katika Uwanja...

READ MORE

Kusajili Drone Dola 100 kwa Mwaka, Hizi Zinaweza Kuwa Silaha

Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania SACP David Misime, amesema kuwa Ndege zisizokuwa na Rubani maarufu kama drone, zisiposajiliwa zinaweza...

READ MORE

Tanzania, Ufaransa Zaingia Makubaliano Kufundisha Kifaransa

  Serikali za Tanzania na Ufaransa zimeingia makubaliano ya kutoa mafunzo ya mbinu za kufundishia lugha ya Kifaransa kwa walimu...

READ MORE

Dkt. Semakafu Atoa Mwongozo Ufundishaji wa Elimu Vyuo Vya FDCs

  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. AveMaria Semakafu amevitaka Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDCs)...

READ MORE

Wanne Mbaroni Tuhuma za Mauaji Mwanza – Video

POLISI Mkoa wa Mwanza inawashikilia watu wanne kwa tuhuma za makosa ya kupanga tukio la mauaji ya mtu mmoja wilayani...

READ MORE

Aibu! Askofu Anayetuhumiwa Uzinzi Avamiwa Madhabahuni

ZANZIBAR: Timbwili kuzuka baa si hoja; lakini askofu kuvamiwa madhabahuni, kusukwasukwa mpaka kuvuliwa kofia, ni jambo la aibu kufanywa kanisani....

READ MORE

HESLB Yaongeza Muda wa Kuomba Mkopo

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuongeza muda wa siku kumi za kuomba mkopo kuanzia...

READ MORE

Ni Kweli Roho Ina Uzani wa Gramu 21?

WATU wa kale nchini Misri walikuwa wakisema kwamba  baada ya kifo binadamu huingia katika safari ndefu yenye matatizo hadi pale...

READ MORE

Samia Azungumza na Wajumbe Tume ya Haki za Binadamu

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Tume ya Haki za Binadamu na...

READ MORE

Wanandoa Waliodumu Zaidi Waingia Rekodi za Guinness

JULIO MORA (110) na Waldramina Quinteros (104)  wenza walioana mwaka 1941, kwa ndoa ya siri baada ya familia zao kutoidhinisha...

READ MORE

Japan Yajaribia Gari Linalopaa Kama Ndege

KAMPUNI la Sky Drive Inc. lilifanya onyesho Agosti 25, 2020, eneo la  Toyota Test Field, ambalo ni moja ya makampuni...

READ MORE

Jimama (42) Mbaroni kwa ‘Kubemenda’ Katoto (14)

MWANAMKE mmoja mwenye umri wa miaka 42 nchini Kenya anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo kwa tuhuma za kwa...

READ MORE

Shule ya Mivumoni Islamic Yaungua kwa Mara ya 3 Ndani ya Miezi 2

Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic, iliyopo katika eneo la Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam, imeteketea kwa moto...

READ MORE

Kigoma: Mtoto Darasa la Pili Alipukiwa na Bomu, Afariki!

MTOTO mwenye mwenye umri wa miaka 9 katika kijiji cha Kasumo Kata ya Kajana wilayani Buhigwe mkoani Kigoma amepoteza maisha...

READ MORE

Waziri Kanyasu: Kuleni Nyama ya Mamba ni Tamu

NAIBU Waziri wa  Maliasili na Utalii, Constantine John Kanyasu,  amesema kuwa mamba ana nyama tamu na ngozi yake ni biashara...

READ MORE

Maharusi 6 Wafunga Ndoa Pamoja Kupunguza Gharama

JANGA la virusi vya corona si tu limeathiri watu kiuchumi, lakini pia kijamii hasa namna watu wanavyoshiriki katika shughuli zinazohusisha...

READ MORE

Tanzania Yatajwa Nchi ya Kwanza kwa Amani Afrika Mashariki

JAMHURI ya Muungano wa Tanzania imetajwa kuwa ndiyo nchi ya kwanza (inayoongoza) kwa kuwa na amani katika Ukanda wa Afrika...

READ MORE

Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania lafunguliwa rasmi kwa Ngao ya Jamii

Mwakilishi wa Vodacom Tanzania PLC, Rehema Kipanga (katikati) akimkabidhi medali ya ushindi wa pili mchezaji wa Namungo, Jamali Issa Dullazi...

READ MORE

FT: Yanga 2-0 Aigle Noir Uwanja Wa Mkapa

MECHI ya kirafiki imemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi Uwanja wa...

READ MORE

Zanzibar: Maalim Seif Achukua Fomu Za Kugombea Urais

Maalim Seif Sharif Hamad leo Agosti 30, 2020 amefika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa ajili ya kuchukua...

READ MORE

Magufuli Aahidi Kununua Ndege 5 Akishinda Urais 2020

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli ameahidi kuwa endapo atashinda,...

READ MORE

Kampeni za Uchaguzi Sio Mwanya wa Kufanya Ujangili

Simiyu. Kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu SACP Henry Mwaibambe, amewatahadharisha wananchi kujihusisha na vitendo vya ujangili kwa kudhani kuwa...

READ MORE

Mchungaji wa KKKT Ashikiliwa na Takukuru kwa Kutoa Mikopo Umiza

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara inamshikilia mchungaji kiongozi wakanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...

READ MORE

Wamepotea, Wanawatafuta Wazazi Wao

  Usiku wa kuamkia leo Agosti 29, 2020 majira ya saa 08:00, Hospitali ya Taifa Muhimbili (UPANGA) imewapokea binti Aurelia...

READ MORE

TANZIA: Mfalme T’Challa wa Black Panther Afariki Dunia

Muigizaji maarufu duniani CHADWICK BOSEMAN amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 jijini Los Angeles nchini Marekani kwa matatizo...

READ MORE

NMB Yaweka Mikakati Kukuza Utalii Tanzania

  Benki ya NMB imesema kuwa inathamini sana sekta ya utalii nchini na imeweka mikakati endelevu zaidi katika kuhakikisha shughuli...

READ MORE