×

Habari

Wahamiaji Haramu 51 Wakamatwa Msata

JESHI la polisi mkoani Pwani, linawashikilia wahamiaji haramu (wanaume) kutoka nchini Ethiopia wapatao 51, kwa kosa la kuingia nchini bila...

READ MORE

Waliorusha Mawe Kwenye Mkutano wa Lissu Wakamatwa

Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro kupitia kwa kamanda wa Polisi Emmanuel Lukula limesema wanawashikilia watu 12 mpka Sasa kufuatia msafara...

READ MORE

JPM Azindua Kanisa Dodoma, Achangisha Pesa za Kujenga Msikiti -( Picha +Video)

Rais Magufuli leo Agosti amehudhuria Misa Takatifu na uzinduzi wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Imakulata, Ikulu Chamwino Mkoani...

READ MORE

Video: Maneno ya Tarimba Kanisani Kwa Gwajima

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni, kupitia Chama cha Mapinduzi, Abbas Tarimba amesema kuwa yeye na Askofu Gwajima, wamejipambanua kwamba...

READ MORE

TIC Yafanikisha Mpango wa Kampuni Kutoka Misri Kuwekeza Kiwanda Kikubwa cha Vifaa vya Umeme Nchini

Mwakilishi wa Kampuni ya kuzalisha vifaa vya umeme ya Elsewedy Electric ambaye ni Mkurugenzi Mkaazi wa Afrika Mashariki wa Kampuni...

READ MORE

Baada ya Kunyweshwa Sumu, Kiongozi wa Upinzani Urusi Awasili Ujerumani Kutibiwa

MSEMAJI wa kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny amesema leo kuwa mwanasiasa huyo ameondolewa kutoka hospitali aliyokuwa anatibiwa katika...

READ MORE

Mgonjwa Amuua Mgonjwa Mwenzake, Ajeruhi Wauguzi

MWANAMME mmoja aliyekuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Nanyuki nchini Kenya amedaiwa kugeuka mbogo na kumuua mgonjwa mwenzake,...

READ MORE

Mr. Championi Agawa Tiketi Simba Day Kwa Wasomaji Wake

  Mapema leo Mr. Championi amewakabihi tiketi za kuingilia uwanjani kushuhudia sherehe za  Kilele cha Simba Day leo Agosti 22,...

READ MORE

Shigongo Achukua Fomu ya Ubunge Buchosa – Video

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa, Eric James Shigongo amechukua fomu ya kugombea...

READ MORE

Mwanamme Aliyefungiwa Ndani Miaka 30 Aokolewa

POLISI  nchini Nigeria wameumuokoa mwanamme mmoja aliyefahamika kwa jina la Ahmed Aminu mwenye umri wa mika 32 ambaye alifungwa na...

READ MORE

Madaktari Wafanya Mgomo Nairobi

ZAIDI ya madaktari 300 wanaofanya kazi katika hospitali za umma katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, wameanza mgomo wakishinikiza malipo...

READ MORE

Jela Miaka 30 kwa Kumbaka, Kumpa Ujauzito Mwanawe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Mahiwa, Kata ya Nyangao, Maulid Salum (25),  kifungo...

READ MORE

Ujenzi Nyumba za Kisasa Wahimizwa Monduli

  Baada ya serikali kupitia wizara ya ya Afya, maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto kuandaa mwongozo wa uhamasishaji ujenzi wa...

READ MORE

Video: Onyango Afungukia Umri Wake, Amtaja Kagere

BEKI mpya wa Simba, Joash Onyango amefungukia kuhusu umri wake kutokana na baadhi ya mashabiki na wadau kuwa na shaka...

READ MORE

Kocha Yanga: Kwa Bwalya, Simba Wamepata Mwamba

SI unakumbuka jinsi Simba walivyomnasa ‘kimafia’ kiungo matata Larry Bwalya raia wa Zambia ambaye alikuwa anaelekea kwa wapinzani wao Yanga?...

READ MORE

Matokeo Kidato cha Sita 2020 Yapo Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA)  Agosti 21, 2020, limetangaza matokeo ya kidato cha sita kutokea visiwani Zanzibar ambapo kulikuwa...

READ MORE

Hasunga Achukua Fomu ya Ubunge

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Majaliwa Achukua Fomu ya Ubunge Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Ruangwa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka kwa Frank...

READ MORE

Lori la Mafuta Lagonga Mti na Kupinduka Shinyanga

WATU wawili wamejeruhiwa baada ya Lori la mafuta gari lenye namba za usajili T674 BAA aina Tanker lenye tela lenye...

READ MORE

Silinde Achukua Fomu Kuwania Ubunge TUNDURU

Mgombea Ubunge Jimbo la Tunduma, David Silinde leo Ijumaa Agosti 21,2020 amechukua Fomu Kugombea Ubunge Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu...

READ MORE

Kuna Tofauti Kubwa Kati ya Resume, Profile, CV, Biography na Autobiography

Kuna swali nimeulizwa na watu wengi sana na nimeona nilifafanue. Swali; Mbona CV yako ni ndefu sana kurasa 51 nani...

READ MORE

Breaking: Wanane Wafariki Ajalini Muleba, Kagera

WATU wanane, akiwemo mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja ambaye mama yake amenusurika, wamepoteza maisha mkoani Kagera na wanne hali...

READ MORE

Masele Aaga Rasmi Bunge la Afrika

MAKAMU wa Rais wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Stephen Julius Masele,  ameaga rasmi Bunge la Afrika (Pan-African Parliament –...

READ MORE

Membe Awapa Neno Waliokatwa CCM kwa Ajili Yake

MGOMBEA  urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe, amewakaribisha ndani ya chama hicho...

READ MORE

Hakimu Atuhumiwa Kupokea Rushwa 150,000/=

HAKIMU mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Magugu,  Adeltus Richard Rweyendera, amefikishwa mahakamani na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa...

READ MORE

NEC Yatoa Siku 2 Waliochukua Fomu Bila Kutambulishwa na Vyama

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inafuatilia zoezi la kuchukua fomu za uteuzi na kubaini kuwa kuna changamoto ambazo...

READ MORE

Biden Adai Trump Ameiingiza Nchi Gizani

MGOMBEA urais wa Marekani kupitia chama cha Democratic, Joe Biden, amesema  Rais Donald Trump ameitumbukiza Marekani kwenye giza kwa muda...

READ MORE

Vigogo Waliopigwa Chini, Ubunge CCM Hawa Hapa!

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), jana Agosti 20, 2020, kimetaja majina ya wanachama wake wake watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika...

READ MORE

Vodacom na Smart Codes watangaza Washindi wa Shindano la ‘Vodacom Digital accelerator Program 2020

  Kampuni ya teknolojia ya mawasiliano inayoongoza nchini, Vodacom Tanzania Plc na Kampuni ya Smart Codes wanayofuraha ya kutangaza washindi...

READ MORE

Parimatch Yazinufaisha Timu za Tanzania

Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Parimatch Tanzania  imetimiza adhima yao ya kusaidia timu zenye uhitaji muhimu na ambazo ziliweza...

READ MORE

Watatu Wafikishwa Mahakamani Wakituhumiwa Kupanga Ugaidi

WTU watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yakiwamo mashtaka...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni kwa Kumshambulia Mwanafunzi kwa Fimbo

JESHI la polisi mkoani Pwani, linamshikilia mwalimu Evata Mboya, wa shule ya msingi Mwendapole, Kibaha, kwa kosa linalodaiwa ni kumshambulia...

READ MORE

Zimbabwe Yaihoji Vatican Ukosoaji wa Maaskofu

SERIKALI ya Zimbabwe imewasiliana na mwakilishi wa Vatican, Askofu Mkuu Marek Zalewski, kupata maelezo juu ya ukosoaji wa maaskofu wa...

READ MORE

Watanzania Kuendelea Kuwekwa Karantini Kenya

MAMLAKA nchini Kenya zimetoa orodha mpya ya raia wa nchi 130 ambao wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini.  ...

READ MORE

Yanga SC Kutambulisha Majembe Yake Agosti 30

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, Agosti 30, mwaka huu, unatarajia kutambulisha majembe yake mapya katika Tamasha la Wiki ya Mwananchi....

READ MORE

Benki Ya Exim Kuhudumia Sekta Kilimo cha Korosho

Benki ya Exim Tanzania mapema wiki hii ilishiriki kikamilifu kwenye mkutano mkuu wa wadau wa Korosho uliofanyika mkoani Lindi.  ...

READ MORE

Kiongozi wa Upinzani Anyweshwa Sumu Kwenye Chai

MSEMAJI  wa chama cha upinzani nchini Urusi kiitwacho Russia of the Future, ameeleza kuwa kiongozi wa chama hicho ambaye pia...

READ MORE