×

Habari

RC Kunenge Ampa Maagizo Mkandarasi Daraja la Kivule

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Aboubakar Kunenge,  amemuelekeza mkandarasi wa kampuni ya Nyanza inayojenga barabara na Daraja la...

READ MORE

JPM: Hatujampendelea, Kumwonea Mgombea Yeyote! – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. John Magufuli amewahakikishia wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...

READ MORE

Rungwe: Sera Yetu ni ‘Ubwabwa Kwanza’ – Video

  MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Spunda Rungwe ameendelea kukazia kuwa sera ya Chama chake katika...

READ MORE

Wanafunzi, Wazazi Washiriki Mijadala ya Juma La Elimu

  MTANDAO wa Elimu Tanzania (TENMET) ukiendelea na wiki ya maadhimisho ya Juma la Elimu yanayofanyika wilayani Chemba, umefanya mazungumzo na...

READ MORE

NMB Yatoa Gawio la Shilingi Bilioni 15.2

  Benki ya NMB imetoa shilingi 15. 2 bilioni kama gawio kwa serikali ambayo inamiliki asilimia 31.8 ya hisa zote...

READ MORE

Rais Magufuli Amwondoa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma

Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amemteua Joseph Constantine Mafuru kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma mkoani Dodoma.   Kabla ya...

READ MORE

Mbeya: Hofu Yatanda Mwalimu Kuchinjwa!

HOFU kuu imetanda wilayani Kyela mkoani Mbeya kufuatia tukio la kutisha la mauaji ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwenge...

READ MORE

Waliotishia Kuuawa ‘Wakutana’ na RC

MKUU wa Mkoa wa Pwani; Mhandisi Evarist Ndikilo, amekutana na wafugaji ambao baadhi yao wamewatishia kuwaua wakulima ambao wamemlalamikia kiongozi...

READ MORE

Mtoto Mwingine Atupwa Chooni Kagera

MTOTO mwingine wa kike mwenye umri wa siku tatu, ameopolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwenye choo cha Zahanati...

READ MORE

Rais Magufuli Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu Dodoma Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo...

READ MORE

Wasiojulikana Wachoma Nyaraka Ofisi ya Chadema Mbeya

MNAMO tarehe 19.08.2020 majira ya saa 03:00 usiku huko Mtaa wa Kagwina, Kata ya Sinde, Tarafa ya Sisimba Jijini Mbeya....

READ MORE

Baada ya Kumpindua Rais, Jeshi la Mali Latangaza Serikali ya Mpito

VIKOSI nchini Mali vimemuondoa madarakani rais Ibrahim Boubacar Keïta na kutangaza azma yao ya kuunda serikali ya mpito kabla ya...

READ MORE

Watatu Wafikishwa Kisutu Wakikabiliwa na Mashtaka Saba

Washtakiwa watatu wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka saba, yakiwemo ya kushiriki...

READ MORE

Sirro: Wanasiasa Fanyeni Siasa za Amani, Utulivu – Video

  ZIKIWA zimebaki siku chache ili kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Mkuu wa Jeshi la Polisi...

READ MORE

Waliofariki kwa Covid-19 Kenya Wafikia 487

KENYA imetangaza watu wanne zaidi kufariki kutokana na CoronaVirus na kufanya idadi ya vifo kufikia 487. Aidha, watu 271 wamethibitishwa...

READ MORE

Biden Ateuliwa Rasmi Democratic Kugombea Urais

WAJUMBE wa mkutano mkuu wa kitaifa wa Chama cha Democratic nchini Marekani wamemteua rasmi Joe Biden kuwa mgombea urais kwa...

READ MORE

Kenya: Mama Amzika Mtoto wa Siku 1, Kisa Kuchepuka

MWANAMKE mmoja nchini Kenya anatuhumiwa kumuua na kumzika mtoto wa siku moja baada kulaumiana na mume wake juu ya kupata...

READ MORE

Wanahabari Washiriki Maandamano Kumpinga Rais

WAFANYAKAZI wa Shirika la Habari la Belarus wameacha majukumu yao na kujiunga na maelfu wa waandamanaji kutaka Rais wa nchi...

READ MORE

Fahamu Eneo Lenye Jina Refu Zaidi Duniani

  Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu ni jina la muinuko ulioko Porangahau, New Zealand.   Jina hilo likiandikwa kwa urefu linakuwa na alama ‘Characters’...

READ MORE

Waziri Amsimamisha Mkurugenzi Kwa Tuhuma za Ngono

NAIBU Waziri wa Maji, Jumaa Aweso.  leo Agosti 19, 2020,  amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi...

READ MORE

Rais wa Mali Ajiuzulu Baada ya Kushikiliwa na Jeshi – Video

RAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keïta,  amejiuzulu muda mfupi baada ya kuwekwa kizuizini na jeshi la nchi hiyo. Akilihutubia taifa...

READ MORE

Ruth Zaipuna Atangazwa Kuwa C.E.O Mpya wa NMB

Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya NMB imemtangaza Ruth Zaipuna kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Benki hiyo uteuzi ulioanza...

READ MORE

Majambazi 4 Wauawa Dar, Bastola, Risasi Vyakamatwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam mnamo tarehe 15.08.2020 majira ya saa tisa na nusu alasiri kupitia kikosi...

READ MORE

Michelle Obama Amshambulia Rais Trump

VITA ya maneno kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2020, sasa imebebwa na Michelle Obama, mke wa Rais mstaafu wa...

READ MORE

Zitto: Wapinzani Tuache Ubinafsi, Wananchi Hawatotusamehe

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, ametoa wito kwa vyama vya upinzani nchini kuwa viache ubinafsi kwa kuwa...

READ MORE

Benki ya NBC Yajikita Kukuza Michezo Vyuoni

Benki ya NBC yaendelea kuchangia Maendeleo ya michezo katika vyuo nchini kwa kudhamini tamasha la michezo la “Daruso – DUCE...

READ MORE

Tujikumbushe Kampeni za Magufuli 2015, Magufuli Aunguruma Iringa

Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Iringa mjini kwenye...

READ MORE

Akaunti ya ‘NBC Shambani’ Yawavutia Wadau wa Korosho  

  LINDI: Agosti17, 2020: Wadau mbalimbali wa kilimo cha zao la korosho nchini  wameonesha kuvutiwa  na huduma mpya ya NBC Shambani hukuwakibainisha...

READ MORE

Njombe: CCM Yaanika Majina ya Wagombea Udiwani Waliyopitishwa

CHAMA  cha Mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kupitia kwa katibu wa siasa na uenezi Erasto Ngole wametangaza majina ya wagombea...

READ MORE

NMB Yatangaza Neema kwa Wachimbaji Wadogo

    Benki ya NMB imetenga shilingi bilioni 32 kwa ajili ya mikopo kwa wachimbaji wadogo nchini. Akizungumza jijini Mwanza...

READ MORE

Tanzia: Mwanasiasa Mkongwe Moyo Afariki Dunia

HASSAN NASSOR MOYO ambaye ni mwanasiasa mkongwe na muasisi wa Mapinduzi Zanzibar amefariki usiku wa kuamkia leo, Agosti 18, 2020,...

READ MORE

Majaliwa: Tanzania ya Kwanza Afrika kwa Kusambaza Umeme Vijijini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kufanikiwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia...

READ MORE

CHADEMA Yaaanika Warithi wa Mnyika, Lijualikali

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetaja awamu ya tatu ya majina ya wabunge wake watakaogombea katika uchaguzi mkuu ujao,...

READ MORE

Dkt.Bashiru Awataka Watia nia Ubunge CCM Kubaki Majimboni Kusubiri Uteuzi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Bashiru  amewataka wote waliotia nia kugombea ubunge kubaki kwenye majimbo...

READ MORE

Uchaguzi Mkuu: Dkt. Bashiru Azindua Kituo cha Mawasiliano CCM

  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bashiru Ally Kakurwa leo Agosti 17, 2020 amezindua kituo cha mawasiliano kuhusu...

READ MORE

Samia Aikabidhi Global Publishers Tuzo ya CRDB

MAKAMU wa Rais,  Samia Suluhu,  ameikabidhi Kampuni ya Global Publishers Tuzo kutoka Benki ya CRDB jana Agosti 16, 2020, ikiwa...

READ MORE

Muungano wa Tigo na Zantel Utakavyoimarisha Huduma za Mawasiliano Ya Simu

Inafahamika kuwa mawasiliano ya simu barani Afrika ni miongoni mwa sekta inayokua kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa na mchango mkubwa...

READ MORE

Mweka Hazina wa Harusi Atokomea na Michango

  AMA Kweli! Ukistaajabu ya Musa uyataona ya Firauni. Katika hali isiyotarajiwa, wageni waalikwa zaidi ya 150 katika sherehe ya...

READ MORE