×

Habari

Rais Kagame Ampa Ukurugenzi Mwanaye

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame,  amethibitisha  uteuzi wa mwanaye,  Ivan Kagame (kushoto),  kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Rwanda...

READ MORE

Trump Asaini Sheria Kubana Twitter, Facebook na Youtube

RAIS Donald Trump wa Marekani jana Alhamisi alisaini Amri ya Utendaji (Executive Order on Preventing Online Censorship) inayolenga kuongeza uwezo...

READ MORE

Mateso Juu ya Mateso!

NI mateso juu ya mateso! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusoma habari ya mama huyu ambaye amekatwa miguu yote na...

READ MORE

Kisa Mtoto wa Mondi… Mwijaku Kumlipa Tanasha Mamilioni ya Fedha

JANGA alilochuma mtangazaji ambaye pia ni mwigizaji wa Bongo Movies, Burton Mwamba ‘Mwijaku’ kwa kujitangaza kwenye mitandao ya kijamii kuwa...

READ MORE

Mbunge Ataka Serikali Ianzishe Chuo cha WIZI – Video

BUNGE la Bajeti, mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu...

READ MORE

BREAKING: Zitto Aachiwa Huru, Apewa Masharti Magumu

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Mei 29, 2020 imemuachia huru Zitto Kabwe,  Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kwa...

READ MORE

Hukumu ya Zitto Kusomwa Leo Kisutu Dar

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, tarehe 29 Mei, inatarajiwa kusoma hukumu ya kesi...

READ MORE

Siri Ushindi wa Magufuli dhidi ya Corona Yafichuka

Mwanzoni mwa miaka ya 1990, niliwahi kuishi mkoani Geita kwenye machimbo ya dhahabu yaitwayo Mugusu, waliokuwepo maeneo hayo wakati huo...

READ MORE

Rais Kenyatta Amuonya Mwanae kwa Kutoka Nje Usiku

  RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amefichua jinsi mtoto wake wa kiume alivyovunja marufuku ya kutotembea nje iliyowekwa nchini humo...

READ MORE

Mauaji ya Mmarekani Mweusi, Maandamano Yashika Kasi

WAANDAMANAJI mjini Minneapolis nchini Marekani wamepambana na polisi wa kutuliza ghasia kwa usiku wa pili mfululizo kufuatia hasira ya umma...

READ MORE

Harmo Afunguka Kutoa Ahadi Hewa Hospitali

KONDE Boy, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo amefungukia madai ya kutoa ahadi hewa ya kusaidia hospitali mbalimbali na shule kisha...

READ MORE

Yanga Hakuna Kuremba, Sarpong na Ulimwengu Kutua

HESABU za vigogo wa Yanga ni kumaliza msimu huu kwanza, kisha fasta kuwaingiza mastaa wao wote kambini kuuwinda msimu ujao...

READ MORE

Jakaya Kikwete: Magufuli Hosteli Pako Salama -Video

  MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete leo Mei 28,...

READ MORE

Top 5 Marapa Bongo Walioweka Alama Na Kutoweka Duniani!

Kama taifa, Mungu alitupendelea sana kutupa vichwa ambavyo vilifanya poa sana kwenye muziki wa Hip Hop Bongo.Lakini kwa mipango yake...

READ MORE

Trump Avurugwa, Atishia Kufunga Mitandao

RAIS wa Marekani Donald Trump anatarajia leo, Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya...

READ MORE

Aliyetelekezwa na Mimba Amuua, Kumzika Mtoto Wake

  MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Lucia Lukenya Mahizi (42) mkazi wa Kitongoji cha Wizunza kijiji cha Seke Ididi kata...

READ MORE

Mdee Ana Kesi ya Kujibu Kuhusu ‘Kumfunga Breki’ JPM

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee, anayedaiwa kutoa lugha chafu...

READ MORE

TBS Yataka Taarifa za Wazalishaji Wanyaya Zisizo na Ubora

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wananchi  na wafanyabiashara wote nchini kutoa taarifa zitakazosaidia kuwabaini wazalishaji wa bidhaa za umeme...

READ MORE

TANZIA: Mbunge Mollel Afariki Dunia

ALIYEWAHI kuwa mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elisa Mollel, ambae hivi karibuni alitaganza nia...

READ MORE

TAKUKURU Yaanika Lilipofikia Jarada la Kangi Lugola

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) imeeleza lilipofikia Jarada la tuhuma za aliyekuwa Waziri wa...

READ MORE

KIGOGO Amshika Pabaya Mbunge Mlinga – Video

MBUNGE wa Ulanga (CCM), Goodluck Mlinga, amejikuta katika wakati mgumu baada ya mtu anayejiita KIGOGO katika mitandao ya kijamii kutumia...

READ MORE

NMB na SatF Zazindua Utoaji wa Huduma za Kidijitali Kwa Vikundi vya Kuweka na Kukopa

  Benki ya NMB na SatF zazindua utoaji wa huduma za kidijitali kwa vikundi vya kuweka na kukopa Benki ya...

READ MORE

JPM Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Dodoma – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika...

READ MORE

Global Habari Mei 27 – Barrick Yakabidhi Hundi Kwa Tanzania

 Kampuni ya Barick imekabidhi hundi yenye thamani ya dola za kimarekami millioni 100 ambazo kampuni hiyo zinailipa fidia Serikali...

READ MORE

TAKUKURU Yaanza Kuichunguza CHADEMA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha...

READ MORE

UDART Yaagizwa Kurejesha Huduma ya Kama Kawaida

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI) Selemani Jafo amemuagiza wakala wa mabasi...

READ MORE

Wenye Vikundi Wakumbukwa Na NMB Kupitia Akaunti Pamoja

BENKI ya NMB, jana Mei 26 imezindua rasmi akaunti ya NMB Pamoja, ambayo ni maalumu kwa ajili yakutoa mikopo kwa...

READ MORE

Boti ya Zanzibar 1 Yashindwa Kubeba Abiria Dar

UMATI mkubwa wa abiria Bandari ya Dar es Salaam wameonyesha masikitiko makubwa baada ya boti ya Zanzibar 1 ya Kampuni...

READ MORE

Idris Mahakamani Kutosajili Laini ya Simu – Video

  MSANII wa vichekesho, Idris Sultan, na mwenzake, Innocent Maiga wamefikishwa katika Mahakama ya Kisutu leo Mei 27, 2020, na...

READ MORE

Mavunde: Serikali Haiwezi Kuajiri Kila Mtu – Video

  NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde, amesema wapo vijana wengi wenye sifa za...

READ MORE

Mbaroni kwa Kuuza Mtoto kwa Sh. 3,000

  MSICHANA wa miaka 17, mama yake na mwanamke mwingine wamekamatwa na polisi kwa kumuuza mtoto mchanga kwa  Sh3,000.  ...

READ MORE

Utamu Usioisha Hamu -2

ILIPOISHIA JANA… Monica alishaingiwa na tamaa, alichokifanya ni kuingia bafuni kuoga. Alimuogesha mwenye jina kwa makini sana, huyu akimwambia “Uwe...

READ MORE

Wamarekani Weusi Wakinukisha Mauaji ya George Floyd

  POLISI na waandamanaji walishambuliana katika jijiji la Minneapolis, Minnesota,  jana (Jumanne) kufuatia maandamano yaliyofanywa kupinga mauaji ya Mmarekani mweusi, ...

READ MORE

Mwanamke CHADEMA Ajitosa Kupambana na JPM

  Dk. Mayrose Majinge, amekuwa mwanachama wa kwanza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutangaza nia ya kuomba ridhaa...

READ MORE

Mmarekani Mweusi Auawa Kikatili na Polisi

GEORGE FLOYD, Mmarekani mwenye asili ya Afrika (aliye lala chini) ameuawa kikatili baada ya kukanyagwa shingoni na polisi ‘mzungu’ huku...

READ MORE

MAOMBI CORONA Yatikisa Nchi Nzima

  WAKATI waumini wa Dini ya Kiislam wakisherehekea Sikukuu ya Idd El Fitr, furaha yao imezidi maradufu baada ya maambukizi...

READ MORE

Balozi wa Marekani Nchini Aitwa na Serikali kujieleza

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Kaimu Balozi wa  Ubalozi wa Marekani hapa nchini, Dk....

READ MORE

Polisi Yaaingilia Sakata la Mwanamke Anayeidaiwa Kufumaniwa na Mume wa Mtu

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limeanza kufanya uchunguzi kuhusu tukio la Vena Mushi kupigwa kwa madai ya kufumaniwa na mume...

READ MORE

Uteuzi Mpya Wizara ya Maji

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa amemteua Mhandisi Tamimu Twaha Katakweba kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi...

READ MORE

Serikali Yafafanua Kuondolewa Balozi wa Tanzania – Kenya

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imekanusha taarifa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. Pindi...

READ MORE