×

Habari

CHADEMA Yajitosa Kinyang’anyiro cha Urais Zanzibar

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa upande wa Zanzibar kimetangaza kushiriki kugombea nafasi ya urais wa Zanziabar katika uchaguzi...

READ MORE

Hashim Rungwe Atangaza Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2020 – Video

  Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, Juni 6, 2020 ametangaza chama chake kushiriki...

READ MORE

Mhagama Apongeza Mafanikio Ya Ujenzi Kiwanda Cha Bidhaa za Ngozi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametoa...

READ MORE

Makamu Wa Rais Samia Akutana Na Viongozi Na Watumishi Waandamizi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Juni 6, 2020 amekutana na Viongozi na...

READ MORE

JPM Awashukuru Viongozi wa Dini Kwa Kuomba dhidi ya Corona -Video

Rais Magufuli leo Juni 7, 2020 amewashukuru Viongozi wa Dini na Watanzania wote kwa kuitikia wito wa kumuomba Mwenyezi Mungu...

READ MORE

Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yatoa msaada wa vitanda, magodoro na vifaa vya kukabiliana na majanga kwa wanafunzi wilayani Ukerewe, 

Mkurugenzi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza Ester Chaula (Kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo,  Focus Majumbi (aliyevaa miwani)...

READ MORE

RC Gaguti Atoa Siku 7 Kurejeshwa Kwa Sh. Mil 224

  Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Generali, Marco Gaguti ametoa siku 7 kwa watumishi wa halmashauri ya wilaya Biharamulo waliokusanya...

READ MORE

Mauaji Ya Floyd, Hasira za Corona Zinavyomtafuna Trump

    Kifo cha George Floyd (46) kilichotokea Mei 25 huko Minneapolis nchini Marekani, kimesababisha ghadhabu kote nchini humo na...

READ MORE

Makonda: Mwizi Akikamatwa Apigwe Kipigo Kizito

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda, amemwelekeza Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,  Lazaro...

READ MORE

Bosi MSD Ashtakiwa kwa Kutakatisha Fedha

  WALIOKUWA vigogo wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini  jana wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar...

READ MORE

Mwanri Kuwashughulikia ‘Machinga’ Wasio na Vitambulisho

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri,  ametoa onyo kwa wajasiriamali watakaokaidi kuchukua vitambulisho kufuatia hatua zitakazochukuliwa na serikali wakati...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafika 2474 Waongezeka 134

Katibu wa Wizara ya Afya Mercy Mwangangi ametangaza Ijumaa kuwa idadi ya waliothibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa Covid-19 nchini Kenya imeongezeka...

READ MORE

Marekani na Iran wabadilishana wafungwa

Iran na Marekani wamebadilishana wafungwa kwa mara nyingine licha ya mvutano mkubwa kati ya nchi hizo mbili hasimu, ishara kwamba...

READ MORE

Diamond Blackjack Ndio Habari Mpya Kwenye Michezo ya Mezani

    Meridianbet kasino imetengeneza utaratibu mzuri sana wa kuwapa wateja wake michezo bora ya Sloti na Karata. Na imekua...

READ MORE

Aliyesinzia baada ya kuiba shekhe atoboa siri

SHEHE Ahmed Kandauma wa Taasisi ya Kiislam ya Irshaad ya jijini Dar es Salaam, amejitokeza na kulitobolea siri tukio la...

READ MORE

Yanga watikisa droo ya tatu ya Jishindie Gari na Championi

NI Sawa kusema kuwa mashabiki wa Yanga wametisha baada ya kukomba shilingi laki mbili kutoka katika droo ya tatu ya...

READ MORE

Wakili Anayepinga Mwambe Kuendelea Ubunge Akwaa Kisiki

WAKILI Paul Kaunda anayepinga kauli ya Spika wa Bunge Job Ndugai kumtambua Cecil Mwambe kuwa bado ni mbunge, amegonga mwamba...

READ MORE

Ongezea Ladha ya Mashariki Kwenye Mikeka Mtandaoni

  Habari njema kwa wale wapenzi wa kasino bomba za mezani pamoja na gemu za kurusha dice, hii Barbut kwa...

READ MORE

Magufuli Aahidi Kutowangusha Walimu – Video

RAIS John Magufuli amesema Serikali yake itaendelea kushirikiana na walimu kuhakikisha sekta ya elimu inasonga mbele na kwamba madai yao...

READ MORE

JPM Amshangaa Ndugai Kuvaa Barakoa Bungeni – Video

RAIS John Magufuli ameleza kushangazwa kwake na spika wa Bunge, Job Ndugai, kuvaa barakoa bungeni tena akiwa ameketi kwenye kiti...

READ MORE

Mke wa Waziri Mkuu Asaka Dhamana ya Kumuuguza Mumewe

MKE  wa Thomas Thabane, aliyekuwa waziri mkuu wa Lesotho, Maesaiah Thabane, anayeshtakiwa kwa mauaji ya aliyekuwa mke wa mumewe, Lipolelo...

READ MORE

Trump Ashtakiwa kwa Kushambuliwa Waandamanaji

MAKUNDI ya kutetea haki za binadamu nchini Marekani yamewasilisha kesi dhidi ya Rais Donald Trump baada ya vikosi vya usalama...

READ MORE

Waziri Madini aimwagia sifa GGML kuwekeza kimkakati Geita

Waziri wa Madini, Dotto Biteko ameipongeza Kampuni ya Uchimbaji wa Madini ya dhahabu – Geita (GGML) kwa kuwa mdau wa...

READ MORE

Msigwa Azungumzia Urais, Kumuachia Jimbo Steve Nyerere

MBUNGE wa Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, baada ya kueleza kuwa anayo nia...

READ MORE

Mghwira Aagiza Video za ‘Fumanizi’ Ziondolewe Mtandaoni

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Anna Mghwira ameagiza kuondolewa mtandaoni video zenye viashiria vya udhalilishaji kwenye mahojiano ya wanandoa...

READ MORE

JPM: Hatukuwa na Ebola, wala hawara yake Ebola – Video

  RAIS John Magufuli  ameeleza namna alivyomfuta kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa Tanzania (NIMR), Dkt....

READ MORE

Msigwa, Watangaza Kuwania Urais 2020

Mbunge wa jimbo la Iringa Mjinikupitia chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA Peter Msigwa pamoja na Muheshimiwa Tundu Lissu wametangazwa...

READ MORE

Benki ya NMB Yasaidia Vifaa vya Ujenzi Kituo cha Afya Tunduma

  Benki ya NMB  imekabidhi vifaa vyenye thamani ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afyacha...

READ MORE

Mauaji ya Watu Weusi: Trump Hali Tete Marekani – Video

MCHAMBUZI wa Masuala ya Kidiplomasia, Dkt. Goodluck Ng’ingo, amesema kuwa kifo cha George Floyd ni mauaji ya kukusudia, yule askari...

READ MORE

Baraza la Madiwani Ngorongoro Laazimia Kutokuwaondoa Wananchi Kwenye Hifadhi

  Baraza la Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha limemuomba Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala...

READ MORE

Kinana Amwangukia Magufuli – Video

Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi, Abdulrahaman Kinana amemuomba radhi Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Dkt. John Pombe...

READ MORE

IGP Sirro Atoa Maelekezo kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaagiza Wakuu wa Polisi wa Wilaya OCDs kuhakikisha wanasimamia mikutano wakati...

READ MORE

EFM Redio Yamtambua Baba Kama Mshua Masta

Katika kuelekea maadhimisho ya siku ya Baba duniani tarehe June  21, 2020,   EFM redio imezidi kutambua na kuthamini mchango wa...

READ MORE

Tufanye mambo Gani ili Tuweze Kunufaika na Maendeleo ya Kiteknolojia?

Nchini Tanzania, kama ilivyo katika maeneo mengine duniani teknolojia imeleta maendeleo na mabadiliko makubwa kwenye jamii. Hakuna shaka yoyote kwamba...

READ MORE

Polisi Wengine Watatu Washitakiwa kwa Mauaji ya Floyd

Mwanasheria Mkuu wa Minnesota, Keith Ellison ametangaza kuwa maafisa watatu wa Polisi waliokuwepo wakati George Floyd anakandamizwa shingoni hadi kufariki...

READ MORE

Simanzi! Aongoza Mazishi Ya aliyekuwa Mpigapicha wa Waziri Mkuu

  MKUU wa Wilaya ya Mwanga, Bw. Tom Apson ameongoza mazishi ya aliyekuwa Mpigapicha wa Waziri Mkuu, Bw. Chris Mfinanga...

READ MORE

Vodacom Kuanza Kurusha Hadithi Za Shigongo

Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kwa kushirikiana na Global Publishers wamezindua huduma mpya ijulikanayo kama ‘HADITHI...

READ MORE

Mashtaka 9 Waliyofunguliwa Mahakamani Vigogo 4 wa NEMC

Vigogo wanne wa Baraza la Taifa la Hifachi na usimamizi   (NEMC),  wamefikishwa katika Mahakaka ya Hakimu Mkazi Kisutu na wakiiabiliwa...

READ MORE

Exim Yatangaza Likizo Ya Malipo Ya Mikopo Ya Bilioni 160

Benkiya Exim imetangaza msamaha wa likizo ya malipo ya mikopo kwa wateja wakewakubwa, wa kati na wadogo walipo katika sekta...

READ MORE

GGML Yatoa Milioni 100 Ujenzi wa Chuo Kikuu – Geita

KATIKA kukuza sekta ya elimu ya juu nchini, Kampuni ya Geita Gold Mining Ltd. (GGML) kupitia sera yake ya uwajibikaji...

READ MORE