×

Habari

Vita ya Mabingwa Imerudi Tena, Unangoja Nini Saka Pesa na Meridianbet

Ndugu mteja wa Mteja wa Meridianbet unajua kuwa unaweza ukatengeneza pesa zako leo hii na Meridianbet kwenye mitanange ya UEFA...

READ MORE

Waliotaka Kumteka Tarimo Wafungwa Miaka Saba Jela

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni imewahukumu vijana wanne, akiwemo askari mmoja na mabondia wawili, kifungo cha miaka saba jela...

READ MORE

Rais mpya wa Madagascar ateua Waziri Mkuu wa kiraia baada ya mapinduzi ya kijeshi

ANTANANARIVO, Madagascar — Rais mpya wa muda wa Madagascar, Kanali Michael Randrianirina, amemteua Herintsalama Rajaonarivelo kuwa Waziri Mkuu wa nchi...

READ MORE

RC Chalamila Amkabidhi Hati ya Nyumba Mjane wa Marehemu Rugaibula, Atoa Pia Milioni 10 – Video

Dar es Salaam, Oktoba 20, 2025 — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemkabidhi rasmi hati ya...

READ MORE

SanlamAllianz Yazindua Rasmi Chapa Yake Tanzania Ambayo Itakwenda Kutoa Huduma Bora

Dar es Salaam, Oktoba 23, 2025: Sanlam na Allianz, makampuni mashuhuri katika sekta ya bima ambao waliungana pamoja mwaka 2023...

READ MORE

Ndege Ya Mizigo Ya Emirates Yatumbukia Baharini Hong Kong, Watu Wawili Wafariki

Ndege ya mizigo iliyokuwa ikielekea kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hong Kong imepoteza mwelekeo na kutumbukia baharini...

READ MORE

Kilimanjaro International Marathon 2026 Ilivyozinduliwa Dar

Toleo la 24 la Mbio za Kimataifa za Masafa Marefu za Kilimanjaro Premium Lager limezinduliwa rasmi leo Ijumaa wakati wa...

READ MORE

Benki Ya Absa Tanzania Na ASA Microfinance Yaadhimisha Miaka Minne Ya Mafanikio Katika Kuwawezesha Wanawake Na Kubadilisha Jamii

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (Katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Dkt. Samia: Rukwa Ni Hazina ya Madini, Serikali Itaendelea Kuwezesha Wachimbaji Wadogo

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

READ MORE

Dkt. Mpango Awataka Viongozi wa Dini Kuendelea Kukuza Maadili na Uadilifu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa taasisi za dini kutambua wajibu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 20, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Usikose Mkwanja wa Ligi Mbalimbali na Meridianbet

Unakuwaje tayari kukosa mkwanja ukiwa na Meridianbet?. Mechi kibao zitaendelea leo hii huku wewe pia ukiwa na nafasi ya kuibuka...

READ MORE

Watanzania Wanufaika Na Ujio  Unaotarajiwa Kuzinduliwa Ivi Karibuni Ya Bluu Inatawala 

WATANZANIA zaidi ya 145 wamenufaika na ujio unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni ya Blue inatawala ambapo wamepatiwa huduma mbalimbali ikiwemo kulipiwa...

READ MORE

Mwili wa Hayati Raila Odinga Wazikwa Kwa Heshima Siaya – Video

Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Hayati Raila Amolo Odinga, umezikwa leo katika makazi yake ya nyumbani, Kang’oka...

READ MORE

Uhamiaji Yatoa Kauli Rasmi Kuhusu Safari ya John Heche

Idara ya Uhamiaji nchini imetoa taarifa ikieleza kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Wegesa Heche,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 19, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Awasalimia Wananchi wa Mikumi Akielekea Kilombero

Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasalimia...

READ MORE

Wanawake Wajasiliamali Wanufaika  Na Kampeni Ya “Jambo Kubwa Linakuja, Bluu Inatawala” 

Taasisi isiyo ya kiserikali ya Bluu imeendelea na kampeni yake ya “JAMBO KUBWA LINAKUJA, BLUU INATAWALA” kwa kutoa msaada wa...

READ MORE

Street University Yarejea kwa Kishindo Kikubwa Jijini Mwanza

Baada ya kipindi kirefu cha kusubiri, Street University imerudi tena kwa kishindo kikubwa! Mwasisi wake, Eric James Shigongo, amewaalika vijana...

READ MORE

Padre Aliyepotea Apatikana Akiwa Hai Mkoani Ruvuma – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limethibitisha kumpata Padre Camillus Nikata, wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea ambaye pia ni...

READ MORE

Jaji Mkuu Masaju amuapisha Hillary Massala kuwa Hakimu Mkazi

Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,  George Masaju Oktoba 17, 2025 amemuapisha Hillary Massala Kuzenza kuwa Hakimu Mkazi kwenye ukumbi...

READ MORE

Nmb Yawano Wananchi, Vikundi Vya Kijamii Kimanzichana

PROGRAMU Endelevu ya usambazaji wa Elimu ya Fedha, Huduma Jumuishi za Kibenki, Utunzaji Mazingira na Matumizi ya Nishati Safi ya...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Atoa Heshima za Mwisho kwa Raila Odinga Jijini Nairobi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa heshima za mwisho kwa mwili wa Waziri...

READ MORE

Ibada ya Kitaifa ya Kumuaga Raila Odinga Yafanyika Nairobi

Ibada ya kitaifa ya kumuaga Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, marehemu Raila Amolo Odinga, imefanyika leo jijini Nairobi, ikiunganisha...

READ MORE

Odinga Alipokutana Live na Mwandishi wa Global na Kumshangaza

Nikiwa mwandishi na mpiga picha wa kawaida sana nisiye na makuu Novemba 27 mwaka 2011 nilikuwa mpiga picha wa matukio...

READ MORE

Mkulima Singida Ahukumiwa Kifungo cha Maisha kwa Kumbaka Mjukuu Wake

Mahakama ya Wilaya ya Singida imemhukumu Hamis Said Debwa (65), mkulima na mkazi wa Mnung’una, kifungo cha maisha jela kwa...

READ MORE

Serikali Yapandisha Kima cha Chini cha Mshahara kwa Sekta Binafsi kwa Asilimia 33.4

Serikali imetangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kwa wastani wa asilimia 33.4, kutoka...

READ MORE

TBL Yafanya Maadhimisho ya Global Beer Responsible Day

Dar es salaam, 17 Oktoba, 2025. Kampuni ya bia Tanzania Breweries Plc (TBL), ambayo ni kuwa sehemu ya familia ya...

READ MORE

Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaahirishwa Ili Shahidi Atumie Kompyuta Kutambua Vielelezo

Kesi ya Uhaini inayomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu imeahirishwa kwa muda mpaka saa tisa kamili Alasiri baada ya Mahakama...

READ MORE

Vodacom Tanzania Kupitia VTV Yazindua Filamu Ya “NIKO SAWA” Inayochochea Mazungumzo Muhimu Kuhusu Afya Ya Akili

Dar es Salaam, 17 Oktoba 2025: Vodacom Tanzania PLC imetangaza uzinduzi wa filamu ya “NIKO SAWA”, filamu ya kipekee ya...

READ MORE

Dkt. Philip Mpango Awasili Nairobi Kumuwakilisha Rais Samia katika Mazishi ya Raila Odinga

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, leo tarehe 17 Oktoba 2025 amewasili Nairobi nchini...

READ MORE

Bluu Yagusa Maisha Ya Wagonjwa Hospitali Ya Mwananyamala Na Amana

Taasisi isiyo ya kiserikali ya Bluu imeendelea kurudisha kwa jamii kwa kuwasaidia watu wenye uhitaji katika maeneo mbalimbali, ikiwemo Hospitali...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango Ashiriki Mkutano Wa Dharura Wa Wakuu Wa Nchi Wa SADC Kuhusu Hali Ya Usalama Madagascar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi...

READ MORE

Mahakama yakataa ombi la kusitisha mazishi ya Raila Odinga – familia yapata ruhusa kuendelea

Mahakama Kuu nchini Kenya imekataa ombi lililowasilishwa na kundi la watu waliotaka kusitishwa kwa muda kwa mazishi ya Waziri Mkuu...

READ MORE

Mke wa Akon Atikisa Dunia Afungua Kesi ya Talaka, Adai Euro Milioni 100

Mwanamuziki wa kimataifa wa R&B, Akon, anakabiliwa na mgogoro mkubwa wa kifamilia na kifedha baada ya mke wake, Tomeka Thiam,...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali Yapanga Mageuzi Makubwa Sekta ya Kilimo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imedhamiria kuendelea kufanya mageuzi katika sekta ya kilimo ili kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa...

READ MORE

Rc Chalamila Atembelea  Na  Kukagua Miundombinu  Ya Tanesco Dsm

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Albert Chalamila amefanya ziara ya kutembelea kituo kikuu cha kuzalisha umeme TANESCO...

READ MORE

Rais Ruto Aongoza Viongozi Kuuaga Mwili wa Raila Odinga Kasarani

Shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Amolo Odinga, imeanza leo katika Uwanja wa...

READ MORE

Jeshi la Ulinzi la Wananchi latoa tamko kuhusu uchaguzi

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi...

READ MORE

Puma Energy Yazindua Kituo Cha Mafuta Mbezi Beach

Dar-es-Salaam, Puma energy Tanzania imezindua kituo cha mafuta na huduma za ziada ili kurahisha huduma za ziada kwa wateja wao....

READ MORE