×

Habari

Meli ya Msumbiji Yadaiwa Kuhusika Mlipuko wa Beirut

MAMLAKA ya bandari nchini Msumbiji imekanusha madai kwamba meli yake ilikuwa imebeba mzigo uliosababisha mlipuko wa Beirut, kwa mujibu wa...

READ MORE

Mlipuko Beirut: Maandamano Yaitikisa Serikali

WAANDAMANAJI katika mji wa Beirut nchini Lebanon walikabiliana na vikosi vya usalama vya nchini humo  wakipinga serikali siku ya Alhamisi....

READ MORE

Fisi Wakithiri Shinyanga, Serikali Kuwashughulikia

KUTOKANA na kukithiri kwa matukio ya fisi kushambulia wakazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga hususan watoto wadogo, serikali imeunda...

READ MORE

Waziri Bashungwa Asema Mfumo Wa CRDB Wakala Unachochea Ukuaji Sekta Ya Fedha Nchini

Waziri wa Viwanda Innocent Bushungwa ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuwa mstari wa mbele katika kusaidia jitihada za Serikali katika...

READ MORE

Jamaa Aliyesaidia Kutuliza Vurugu Kijiji Cha Mpeta Kigoma Amwomba Waziri Mkuu Awadie

Jamaa ameibuka kutoka katika kijiji cha Mpeta Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma akiwawakilisha wananchi sita wakimuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...

READ MORE

Majambazi Yamponza Kigogo wa Polisi

MAJAMBAZI yaliyomvamia mfanyabiashara mmoja, Mkombozi Mjaila (32) wilayani Handeni, mkoani Tanga na kumjeruhi kichwani, yamemponza kigogo wa polisi ambaye ni...

READ MORE

Majanga Yaendelea Kumwandama Mtoto Aliyeokolewa Chooni

MISUKOSUKO imeendelea kumwandama mtoto (jina linafichwa) ambaye aliopolewa kwenye shimo la choo cha Shule ya msingi Murganza iliyoko wilayani Ngara...

READ MORE

Binti wa Miaka 17 Mahakamani: Sikubakwa na Nilitaka Mwenyewe

MTOTO wa miaka 17, ameiambia Mahakama ya Mkoa ‘B’ Chake Chake kuwa, mshitakiwa Bakar Mbwana Juma wa Kengeja hakumbaka, bali...

READ MORE

Hati za Viwanja vya Wachezaji wa Taifa Stars Ziko Tayari

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas...

READ MORE

Atuhumiwa kwa Kuua Ndugu Zake Waliomtuhumu Kuiba Kuku na Redio

Mwanaume wa miaka 33, mkazi wa Lira, Uganda anashikiliwa na polisi baada ya kuwaua ndngu zake waliomtuhumu kuiba kuku na...

READ MORE

Mwakyembe Ataka Vitabu Visivyo na Ithibati Kuondolewa

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amelitaka Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), kuwasajili wafasiri, wakalimani...

READ MORE

JPM Aeleza Dhamira Kugombea Urais -(Video +Picha)

SIKU moja baada ya pazia la uchukuaji fomu za urais kufunguliwa na Tume ya Uchaguzi (NEC) leo mgombea urais was...

READ MORE

Twitter Yazuia Akaunti ya Kampeni ya Rais Trump

TWITTER imezuia akaunti ya kampeni ya Rais wa Marekani,  Donald Trump, kwa kukiuka sheria zake zinazohusu usambazaji wa taarifa za...

READ MORE

Naibu Waziri Adaiwa Kutoa Rushwa Kura za Maoni UWT

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Mary Mwanjelwa, amedaiwa kutoa rushwa kwa wajumbe wa Mkutano wa Umoja wa...

READ MORE

TB Joshua: Nasubiri Sauti Kutoka kwa Mungu

MCHUNGAJI maarufu wa Nigeria, Temitope Balogun Joshua maarufu kama TB Joshua,  anasema anasubiri kusikia ‘sauti ya Mungu’ kabla hajafungua huduma...

READ MORE

Ifahamu Kemikali Iliyoisambaratisha Beirut

  TAKRIBANI tani 3,000 za kemikali ya ammonium nitrate zilizohifadhiwa miaka sita iliyopita katika ghala zimeelezewa kusababisha mlipuko huo uliotokea...

READ MORE

Botswana Yapiga Marufuku Pombe Kuuzwa

SERIKALI ya Botswana imepiga marufuku uuzwaji wa pombe na kusimamisha leseni za wauzaji wote wa vinywaji. Marufuku hiyo itaendelea mpaka...

READ MORE

Matola Afunguka Kuhusu Kusepa Azam FC

Kocha msaidizi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho (ASFC) Simba SC, Selemani Matola, amekanusha uvumi wa kuwa...

READ MORE

Bashiru: Kazi na Bata, Sijui Wanalala na Bata! – Video

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amesema anashangwazwa na kaulimbiu ya moja ya vyama vya upinzani...

READ MORE

Magufuli Ataka Tanzania Iwe Kama Ulaya – Video

MWENYEKITI  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais . John  Magufuli, leo Agosti 6, 2020, amechukua fomu ya kugombea urais wa...

READ MORE

Spoti Xtra Yakutana na Wasomaji Wake

Kikosi cha Masoko na Usambazaji cha Magazeti ya Global Publishers watoaji wa gazeti la Spoti Xtra leo kimeingia mtaani na...

READ MORE

Updates: Mlipuko Lebanon Vifo Vyaongezeka

BAADHI ya maafisa wa mji wa Beirut nchini Lebanon wamewekwa katika kifungo cha nyumbani huku wakisubiri uchunguzi kuhusu mlipuko mkubwa...

READ MORE

Mahakama ya Rufaa: Makosa ya Jinai Yasiwe na Dhamana

MAHAKAMA ya Rufaa nchini imetengua uamuzi wa awali wa Mahakama Kuu na kusema kuwa makosa yaliyo chini ya kifungu cha...

READ MORE

Wananchi Zanzibar Wafurahishwa na Elimu ya TMA

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), inashiriki katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Dole, Kizimbani – Unguja,...

READ MORE

Waziri Bashungwa Aipongeza NMB Utoaji Elimu ya Kifedha Nanenane

  WAZIRI wa viwanda na biashara Innocent Bashungwa ameipongeza Benki ya NMB kwa utoaji wa elimu ya kifedha bure kwa...

READ MORE

ACT-Wazalendo: Membe, Maalim Seif Wapitishwa Kugombea Urais

Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, umewateua Bernard Membe na Maalim Seif Sharif Hamad kuwa wagombea urais wa Tanzania na...

READ MORE

Majaliwa Ashiriki Maziko ya Mtumishi Ofisi ya Waziri Mkuu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo (Jumatano, Agosti 5, 2020) ameshiriki maziko ya aliyekuwa mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu marehemu...

READ MORE

JPM Anunua Muhindi Dumila, Atoa Milioni 100 – Pichaz

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesimama na kuwasalimia wafanyabiashara wa mazao eneo la Dumila,...

READ MORE

Magufuli Kuchukua Fomu NEC Kesho Mapemaa!

MGOMBEA Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Joseph Maguful...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Maziko ya Aliyekua Mtumishi wa Ofisi Yake

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary washiriki maziko ya aliyekua mtumishi wa Ofisi Ya Waziri Mkuu, Joseph Ndonjekwa,...

READ MORE

Polepole: Chadema Nawaachia Watanzania – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi (CCM), Humphrey Polepole,   wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha Chama...

READ MORE

JPM Akichukua Fomu NEC, Wasanii 109 Kukesha Uhuru Stadium – Video

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi Mkuu wa 2020, Dkt. John Pombe Magufuli atachukua Fomu...

READ MORE

Polepole: Watia Nia Waliodanganya Tutawaadabisha – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitawashikisha adabu watia nia waliopenya kwenye kura za maoni za kutafuta wagombea wa Uchaguzi Mkuu...

READ MORE

Kikongwe Miaka 74 Anaswa Akisafirisha Mabaki ya Mumewe

POLISI  katika uwanja wa ndege wa Munich nchini Ujerumani wamepigwa na mshangao mkubwa wakati wakichunguza sanduku la mbao lililokuwa linasafirishwa...

READ MORE

Rais Lebanon Aapa Kumpata Aliyeilipua Beirut

SALAMU  za rambi rambi kwa watu wa Lebanon zimetumwa kutoka sehemu mbalimbali duniani, akiwemo jirani yaake, Israel, ambaye amesema haraka...

READ MORE

Fomu ya Urais Kuanza Kutolewa Leo NEC Dodoma

WAKATI baadhi ya vyama vya siasa vikiendelea na mchakato wa kusaka mpeperusha bendera wa chama kwenye Uchaguzi Mkuu, ratiba ya...

READ MORE

Mkuranga: Aachiwa Huru Baada ya Kukiri Kumuua Mpenzi Wake

MAMLAKA ya rufaa mjini Dar es Salaam imemuondolea mashitaka mkazi wa kijiji kilichopo wilayani Mkuranga baada kukiri kuwa alimuua mpenzi...

READ MORE

Video: Hotuba Ya Waziri Jafo Mbele Ya Waandishi Wa Habari

 WAZIRI wa Tamisemi, Selemani Jafo, leo Agosti 05, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya miundombinu… ⚫️ Kwa UPDATES zote,...

READ MORE

Makamu wa Rais awa Waziri wa Afya

MAKAMU wa Rais wa Zimbabwe, Constantino Chiwenga,  amechaguliwa kuwa Waziri wa Afya, mwezi mmoja baada ya kuibuka kwa kashfa dhidi...

READ MORE

Mlipuko Waua 78, Waharibu Majengo Beirut – (Video +Picha)

LEBANON inaomboleza baada ya mlipuko mkubwa katika mji mkuu wa Beirut kuwaua watu 78 na kuwajeruhi wengine 4000 jana  (Jumanne)....

READ MORE