×

Habari

Amuua Mkewe Baada ya Kumfumania na Njemba Ndani Kwake

  Peshi la Polisi  mkoa wa Mwanza linamshikilia mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Pastory Majura mwenye umri wa miaka...

READ MORE

Watumishi Wawili wa TPA Wafariki kwa Kutumbukia Baharini

Watumishi watatu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania wamefariki juzi usiku baada ya gari waliyokuwa wakitumia kwenye doria kuacha njia na...

READ MORE

Uganda Kumrudisha Nyumbani Mtanzania Aliyeambukizwa Corona

Wizara ya afya nchini Uganda imethibitisha kuwa ipo katika harakati za kumtafuta raia wa Tanzania aliyepatikana na virusi vya corona...

READ MORE

Nesi Mjamzito Afariki kwa Covid 19 Mtoto Aokolewa

MARY Agyapong (28) nesi aliyekuwa mjamzito, amefariki huku mwanae aokolewa. Japo mtoto bado hajapimwa kuthibitisha kama ana #Covid-19 au la....

READ MORE

Muhimbili Yafafanua Muuguzi Anayedaiwa Kufa kwa Corona

  Kuna taarifa inasambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Evodia Kapinga amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Corona na kwamba...

READ MORE

Breaking: Wagonjwa 23 Wapya wa Corona Zanzibar, Jumla Wafikia 170 Tanzania

Wizara ya Afya Zanzibar, leo Aprili 19, 2020 imetangaza ongezeko la wagonjwa 23 wapya wa Corona na kufanya idadi ya...

READ MORE

Kupata Huduma TRA Utalazimika Kuvaa Barakoa, Kuanzia Kesho

Kuanzia kesho Jumatatu Aprili 20, 2020 wageni wote watakaolazimika kufika katika Ofisi za TRA kote nchini, ili kupata huduma mbalimbali...

READ MORE

Wafanyakazi STAMICO Wapatamafunzo Dhidi ya Corona

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeungana na taasisi nyingine za umma na binafsi nchini katika kuwaasa wafanyakazi wake kuchukua...

READ MORE

Mapambano Ya Corona, Waziri Wa Afya Apokea Msaada Wa Bil 3.2 – Video

Serikali imepokea msaada wenye thamani ya Sh Bilioni 3.2 kutoka taasisi mbalimbali jijin kwa ajili ya kupambana na maamumbizi ya...

READ MORE

Ajali ya Mbaya Kongowe Kibaha, Yasababisha Kifo – Picha

Ajali hii imetokea asubuhi ya jana Aprili 18, 2020 eneo la Kongowe Kibaha katika daraja linalogawanyisha Misusugu na Kongowe, kati...

READ MORE

IMF Yataka Afrika Isaidiwe Kukabiliana na Corona

MAAMBUKIZI ya virusi vya corona kote ulimwenguni yamepindukia milioni 2.2 na watu zaidi ya 154,322  wamepoteza maisha. Sasa Shirika la...

READ MORE

Ma-Video Queen Wamechomoa Betri Mapenzi ya Watu!

WIVU ni kidonda na ukiushiriki utakonda, ni msemo wa Waswahili ulio na maana kubwa! Hivi karibuni baadhi ya wapenzi wa...

READ MORE

Kampuni ya SBL yasaidia usambazaji wa vipeperushi kujikinga na Corona

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imeshirikiana na Wizaya ya Afya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kusambaza vipeperushi...

READ MORE

Serikali Yazindua Muongozo wa Mpango wa Huduma za Afya katika jamii

    Serikali ya awamu ya Tano imesema kuwa itaendelea kutoa kipaumbele katika kuimarisha huduma za kinga, ikiwemo elimu ya...

READ MORE

Afrika Inaweza Kuwa Kitovu Kipya cha Corona – WHO

AFRIKA huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa virusi vya corona, Shirika la Afya duniani (WHO) limeonya kutokana na kuwepo...

READ MORE

CDC: Kiwango cha Upimaji Corona Marekani Hakitoshi

DKT.  Tom Frieden, mkurugenzi wa zamani wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa  nchini Marekani (Centers for Disease Control and...

READ MORE

Corona Tanzania: 127 Wapata Nafuu, Walioambukizwa 147 – Video

WAKATI idadi ya wagonjwa walioambukizwa virusi vya corona imefi kia 147 nchini kote, habari njema ni kwamba 127 kati yao...

READ MORE

PROF KABUDI: “SINA CORONA Kama MLIVYOSEMA, Sijawekwa KARANTINI” – Video

 BAJETI ya makadirio ya Wizara ya Katiba na Sheria, imewasilishwa Bungeni na waziri mwenye dhamana, Agustine Mahiga, ambapo wabunge...

READ MORE

Vodacom Tanzania Foundation yachangia Shilingi Billion 2 kusaidia juhudi za serikali kupambana na COVID – 19

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (Wapili kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi bilioni 2  kwa...

READ MORE

Marioo Achomoa Kusajiliwa kwa Harmo

BAADA ya kuwepo kwa tetesi kuwa huwenda msanii wa Bongo Fleva, Omary Mwanga ‘Marioo’ yupo mbioni kusajiliwa kwenye Lebo ya...

READ MORE

TECNO YAACHIA RASMI  CAMON  15 SMARTPHONE  MPYA

Kampuni ya simu za mkononi  ya TECNO, imezindua  rasmi simu yake mpya CAMON 15 ambayo imesheheni sifa mbalimbali ikiwemo  kamera...

READ MORE

Mbongo Uingereza Asimulia Alivyopona Corona

WAKATI maambukizi ya Virusi vya Corona yakizidi kushika kasi nchini, Mtanzania anayeishi katika mji wa Crawley nchini Uingereza, Happy Oshea...

READ MORE

Inasikitisha! Mtoto Miaka 14 ‘Apoteza Macho’ – Video

KUPITIA kijana Ali unaweza kuamini misemo mbalimbali inayotumiwa na baadhi ya watu “Ukiumwa na ukapata nafasi ya kuwaona wanaoumwa basi...

READ MORE

Corona: Muhimbili Yashona Vazi la Watoa Huduma – Video

Hospitali ya Taifa Muhimbili imeshona vazi maalumu (coverall) ambalo ni sehemu ya mavazi ya watoa huduma (PPE) kuvaa ili kujikinga...

READ MORE

Shamsa: Corona Imenituliza Nyumbani

STAA wa filamu nchini, Shamsa Ford amesema ugonjwa wa Covid19 umemfanya atulie nyumbani tofauti na hapo awali.Akichezesha taya na Amani,...

READ MORE

Mtatiro Ataka Walinzi Mipakani Kupambana ya Corona – Video

MKUU wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro,  akiwa katika ziara kwenye mipaka mbalimbali ya Tanzania na Msumbiji  upande...

READ MORE

Corona: Wenye Kipato Duni Kupatiwa Ruzuku na Serikali

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ametangaza hatua za kuwasaidia watu maskini nchini humo kutokana na janga la ugonjwa wa Covid-19...

READ MORE

Wauzaji na WALAJI wa CHIPS Wachangamkia Bidhaa Za RED GOLD

KATIKA mtindo wa maisha wa sehemu nyingi hasa mijini, chipsi zimezoeleka kwamba ndiyo chakula cha haraka ambacho unaweza kukipata kwa...

READ MORE

Jiji la Arusha Kufunga Maduka 400 – Video

HALMASHAURI ya jiji la Arusha imepanga kufunga maduka zaidi ya 400 ya wafanyabiashara iwapo watashidwa kulipa deni la sh. milion...

READ MORE

Corona: Sukari Yapaa, Serikali Yatoa Tamko – Video

SERIKALI imewahakikishia Watanzania kuwa hakuna upungufu wa sukari hivyo wananchi hawapaswi kuwa na wasiwasi wa aina yoyote ile.   Waziri...

READ MORE

Uchumi wa China Washuka kwa Asilimia 6.8, Kisa Covid-19

UCHUMI wa China umeshuka kwa asilimia 6.8 katika robo ya kwanza ya mwaka kwa mara ya kwanza baada ya miongo...

READ MORE

Obama Amuunga Mkono Biden Kumvaa Trump

ALIYEKUWA  Rais wa Marekani, Barack Obama, ametangaza kumuunga mkono aliyekuwa makamu wake, Joe Biden, kupeperusha bendera ya chama cha Democratic...

READ MORE

Vigogo Madawa ya Kulevya Wanaswa na ‘Unga’ Kilo 270 – Video

MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya juzi Aprili 15, 2020, imefanikiwa kumkamata kigogo wa dawa za kulevya...

READ MORE

Corona: JPM Awaomba Watanzania Kutumia Siku 3 Kumuomba Mungu

Rais Magufuli Aprili 16, 2020 kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema ‘‘Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba...

READ MORE

Mbaroni Kumdanganya Waziri Ummy Ana Corona

MKAZI wa Kijiji cha Mwakitolyo Namba 2 Mkoani Shinyanga, Mussa Jackson (25) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za...

READ MORE

Serikali Kumwaga Ajira Mpya 44,000

SERIKALI inatarajiwa kuajiri watumishi wapya 44,811 katika mwaka wa fedha 2020/2021. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya...

READ MORE

Rostam Akabidhi Vifaa Kupambana na Corona Kwa RC Makonda

Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz amekabiodhi vifaa mbalimbali vikiwamo vitakasa mikoni na barakoa ili kusaidia mapambano dhidi ya corona jijini...

READ MORE

Ndugai: Wabunge Mnaonekana Baa na Corona Hii Muambiweje? – Video

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, ameiomba serikali kutolea matamko kuhusu Corona Bungeni jijini Dodoma. Aidha, Spika Ndugai amewataka wabunge kuacha...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Tanzania Wafikia 94

Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya wa corona sita nchini na kufikia wagonjwa 24 kutoka...

READ MORE