Waziri wa Katiba na Sheria , Balozi Dkt Augustine Mahiga amefariki dunia alfajiri ya leo Mai 1, 2020 baada ya...
READ MORESPIKA wa Bunge la Tanzania, John Ndugai ameshauri watu kuzikwa kwenye maeneo yao wanakotoka pindi wanapofariki, kwani kwa kutokufanya hivyo...
READ MORECHUO Kikuu Katoliki Ruaha (Ruaha Catholic University) kimetoa taarifa ya kufunga shughuli zake zote isipokuwa za dharura na kutoa likizo...
READ MOREMNADHIMU wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Ester Bulaya, ametangaza kuwa wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
READ MORERAIS wa Nigeria, Muhammadu Buhari amemteua mtu aliyefariki kushika wadhifa serikalini, jambo ambalo limeibua mjadala nchini humo huku baadhi wakidai...
READ MOREWATU 92 wakiwemo raia 10 wa Msumbiji walioingia nchini kupitia mpaka wa Mkenda, wilayani Songea wamewekwa karantini kwa siku 14...
READ MORERAIS John Magufuli amewapongeza na kuwatakia heri wafanyakazi nchini leo Mei 1, 2020, katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani.
READ MOREKanisa la International Evangelism Cente lenye makao makuu yake eneo la Sakila Wilayani Arumeru mkoani Arusha,kupitia zahanati ya kanisa hilo...
READ MORESerikali imesisitiza kuwa haitopanga wala kuingilia bei za mazao ya wakulima nchini badala yake wakulima watajipangia bei na kuuza...
READ MOREWAKILI maarufu Albert Msando hatimaye ameachiwa huru kwa dhamana baada ya kushikiliwa na polisi jijjni Arusha na kuhojiwa kwa saa...
READ MOREALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Aloyce Kimaro, amefariki dunia jana katika Hospitali ya...
READ MORERAIS wa Marekani Donald Trump amesema kwamba China inampango wa kutumia kila njia ili kumfanya asichaguliwe tena kwenye uchaguzi mkuu...
READ MORERais wa zamani wa Sudan Omar al-Bashir ametaka kuhamishwa gereza kufuatia habari kwamba mmoja wa wasidizi wake wa zamani ameambukizwa...
READ MOREIDADI ya maambukizi ya virusi vya Corona nchini Afrika Kusini imefika watu 5,350 baada ya visa vipya 354 kuthibitishwa, huku...
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa msaada wa Mabati yenye Thamani ya shilingi Milioni 476...
READ MOREKATIKA mapambano ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona, moja njia inayopendekezwa ni matumizi ya vipukusi (sanitizers) ambavyo huua...
READ MORE Global TV imefanya mahojiano na Rais wa Chama cha Maabara Tanzania, Yusuph Rahisi, kuhusiana na kauli aliyoitoa Mbunge wa...
READ MORESERIKALI imewataka wananchi wasisite kutumia njia mbadala ambazo zitaweza kuwasaidia katika janga hili la corona, ikiwemo kujifukiza, kwani utaratibu huo...
READ MOREWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amelitaka Baraza la Mitihani Tanzania...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana Jumatano, Aprili 29, 2020, iliamuru kukamatwa kwa kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kwa kukiuka...
READ MOREKAIMU Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha, Koka Moita, amesema wakili wa kujitegemea, Albert Msando, ameitwa na jeshi la polisi kwa...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amesema amepimwa na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Alisema kuwa...
READ MOREToka kuingia kwa virusi vya coronavirus nchini njia mbalimbali zimechukuliwa na zinaendelea kuchukuliwa kuzuia kasi ya maambukizi.Taasisi za elimu zimefungwa,...
READ MORERais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia, Spika Ndugai na Wananchi wa Jimbo la Sumve Mkoani Mwanza...
READ MOREIDADI ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani imeongezeka na kufikia zaidi ya Milioni moja, huku idadi ya watu...
READ MORESpika wa Bunge, Job Ndugai, leo Aprili, 29, 2020, ameahirisha Mkutano wa 19, Kikao cha 9, cha Bunge hadi kesho,...
READ MOREMAPEMA leo Jumatano, Aprili 29, mwaka huu timu ya maofisa masoko ya Kampuni ya Global Publishers ilitembelea maeneo ya Vingunguti...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi Mkuu Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema njia...
READ MOREWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Jumatatno, Aprili 29, 2020 amewakabidhi wabunge magari 50 ya kubebea wagonjwa yenye thamani ya...
READ MOREMBUNGE wa Jimbo la Sumve kwa titeki ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Richard Ndassa, amefariki dunia mapema leo Jumatano, Aprili...
READ MOREWAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema maambukizi mapya ya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona, sasa yamefikia watu 480...
READ MORERais wa Marekani, Donald Trump amesema Serikali za majimbo nchini humo zinapaswa kufikiria kufungua shule za umma ili wanafunzi waendelee...
READ MORERAIS Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya za kudhibiti mienendo ya madereva wa malori yanayoingia nchini humo kutoka mataifa jirani baada...
READ MOREKAMPENI za uchaguzi wa urais utakaofanyika Mei 20, 2020, zimeanza leo ambapo mgombea kupitia chama tawala (CNND-FDD), Evariste Ndayishimiye na...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare, amesema mazishi ya aliyekuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro, Isihaka Sengo,...
READ MOREMAPEMA leo Jumatano, Aprili 29 mwaka huu timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Buguruni, Malapa...
READ MORERAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amemuondoa madarakani Waziri wa Mambo ya Ndani, Jenerali Patrick Nyamvumba, kutokana na masuala ya uwajibikaji...
READ MOREMKUU wa Uhamiaji mkoani Kagera, Pendo Butenghe, amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Rufaa Mkoa ya Bukoba, baada...
READ MOREJeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia Ibrahim Peter (26) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha...
READ MOREMKUUwa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, amegawa bure sukari kiasi cha kilo 5,000 iliyokamatwa katika mpaka wa Namanga unaotenganisha Tanzania...
READ MORE