×

Habari

Simanzi! Safari ya mMwisho ya Marin Hassan wa TBC – Video

INASIKITISHA! Simanzi, vilio na majonzi vimetawala kwenye tasnia ya habari kufuatia kifo cha mwandishi mwandamizi wa habari kutoka Shirika la...

READ MORE

Tito Magoti Ahofia Corona Gerezani “Mrundikano ni Mkubwa” – Video

Mshtakiwa Tito Magoti anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ameiambia mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wanajawa na hofu kubwa...

READ MORE

Makonda: Bodaboda, Bajaji Ziingie Mjini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul makonda leo April Mosi ameruhusu Pikipiki na Bajaji kuingia katikati ya...

READ MORE

Mwingine Akutwa na Corona Dar, Wagonjwa Wafikia 20

WIZARA ya Afya leo Jumatano, Aprili 1, 2020 imethibitisha kuwepo kwa kesi ya mpya maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID-19)...

READ MORE

Wasomaji Betika Waapa Kuendelea Kulisoma

Leo ikiwa ni  Aprili Mosi ya Jumatano, mwaka huu  wasomaji wa Gazeti la Betika wamesema kuwa  wataendelea  kulisoma gazeti hilo...

READ MORE

Rais JPM Amlilia Marin Hassan wa TBC

Rais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba...

READ MORE

Afrika Kusini: Vifo vya Corona Vyafikia Vitano

AFRIKA Kusini hadi sasa ina wagonjwa 1,353 wa homa ya Covid-19 ambapo watano wamekufa, kwa mujibu wa taarifa ya  Waziri...

READ MORE

Tanzia: Marin Hassan wa TBC Afariki Dunia

NGULI wa habari nchini aliyekuwa akifanya kazi katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Marin Hassan Marin, amefariki dunia leo Aprili...

READ MORE

Mfanyabiashara Azikwa na Benz Lake

MFANYABIASHARA maarufu nchini Afrika Kusini ameushangaza ulimwengu baada ya kuzikwa akiwa ndani ya gari lake aina ya Mercedes Benz ambalo...

READ MORE

SIRI CORONA KUTESA WANAWAKE WACHACHE YAFICHUKA

TANGU ugonjwa wa COVID -19 ubishe hodi nchini China Desemba 31 mwaka jana, idadi ya wanaume wanaofariki kwa ugonjwa huo...

READ MORE

Rc Makonda aruhusu boda Boda na Bajaji kuingia mjini

Mkuu Wa Mkoa Wa Dar es Salaam Poul Makonda ameruhusu madereva Wa Boda Boda na Bajaji kuingi mjini ili kuweza...

READ MORE

Ndugai; Tusiwaige Wazungu Kupambana na Corona

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema kuwa kama nchi haiwezi kuchukua tahadhari kama zilivyochukuliwa...

READ MORE

Mdee Ashauri Wabunge Wote Wapimwe Corona

MBUNGE wa Jimbo la Kawe (Chadema) na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama hicho, Halima Mdee, amelishauri bunge  kuwapima...

READ MORE

Meya Iringa Aliyevuliwa Cheo Akabidhi Ofisi

ALIYEKUWA Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe leo Jumanne, Machi 31, 2020, amekabidhi ofisi pamoja na gari alilokuwa akitumia...

READ MORE

Mrithi wa Maalim Seif CUF Afariki Dunia

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Khalifa Suleiman Khalifa,  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Machi 31 2020,...

READ MORE

Eric Shigongo: Maoni Yangu Kuhusu Corona

MARA nyingi nimeongea na watu ninaofanya nao kazi kwanba sifa ya kiongozi bora ni kuwa na uwezo wa kulitatua tatizo...

READ MORE

Mgonjwa wa Kwanza wa Corona Afariki Tanzania

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wazee na Watoto,  imethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa virusi vinavyotokana...

READ MORE

Wauza nyama vibudu watikisa

WAKAZI wa Kijiji cha Ikumbi, Kata ya Bonde la Songwe katika Halmashauri Mji Mdogo wa Mbalizi Wilaya ya Mbeya Vijijini...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafika 50

WAZIRI wa Afya wa Serikali ya Kenya, Mutahi Kagwe jana Jumatatu, Machi 30, alitangaza wagonjwa nane zaidi wa ugonjwa wa...

READ MORE

Stamina: Naweza Kusimama Bila Roma

RAPA mkali Bongo, Bonventure Kabogo ‘Stamina Shorwe-bwenzi’ amejimwambafai kuwa, anaweza kusi-mama mwenyewe bila rapa mwenzake, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ wanaounda...

READ MORE

Corona: Hakuna Maswali ya Papo kwa Hapo kwa Waziri Mkuu

VIKAO vya Bunge la bajeti kuu vinavyoanza leo Machi 31, 2020, huku utaratibu mpya ukiwekwa juu ya tahadhari ya Corona...

READ MORE

Corona: Bodaboda Aliyeuawa Alimpeleka Mjamzito Hospitali

Familia moja nchini Kenya yataka haki itendeke baada ya kifo cha Khamisi Juma Bega (49), bodaboda ambaye alipigwa na polisi...

READ MORE

China Yatangaza Ushindi Dhidi ya Coronavirus

SERIKALI ya China imesema kuna wagonjwa wapya 31 wa ugonjwa wa COVID-19 na vifo vinne hivi leo, kwa mujibu wa...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Rwanda Wafikia 70

TAARIFA mpya kutoka nchini Rwanda zimeeleza kuwa watu wengine 10 wamethibitika kuambukizwa virusi vya corona (covid-19) nchini humo na kufanya...

READ MORE

SBL yasaidia kusambaza vipererushi vya elimu ya Covid 19

Mkurugenzi wa Mahusiano kwa Umma wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) John Wanyancha (kulia) akipokea sehemu ya vipeperushi vyenye...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Tanzania Wafikia 19

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu,  amesema wagonjwa wa corona nchini Tanzania wamefikia 19, baada ya watano kuongezeka leo Jumatatu Machi...

READ MORE

Mtoto Mkubwa wa Sokoine Kuzikwa Kesho Monduli

MTOTO wa kwanza wa waziri mkuu wa zamani, Edward Moringe Sokoine, Lazaro Sokoine (pichani kushoto), aliyefariki dunia Jumamosi Machi 28,...

READ MORE

Aliyekuwa Mhasibu wa Tanroads Adaiwa Kujitwanga Risasi

MHASIBU wa zamani wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Ruvuma, Justin Rwendera amefariki akidaiwa kujiua kwa kujipiga risasi...

READ MORE

Zitto Aanika Mambo Mazito Kuhusu Corona – Video

KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa mapendekezo manane kupitia barua aliyomwandikia Rais John Magufuli, kuhusu nini kifanyike...

READ MORE

NMB Yakabidhi Hundi Ya Mil 100 Mapambano Dhidi Ya Ugonjwa Wa Corona

    Kama mchango wa Benki ya NMB katika kudhibiti na kupambana dhidi ya virusi vya Corona, Kaimu Mkurugenzi wa...

READ MORE

TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Katani Ltd Afariki Dunia

MKURUGENZI wa zamani wa Katani Limited, Salum Shamte, amefariki dunia katika Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) jijini Dar es...

READ MORE

Mgogoro na Mkewe… Mume Ajichongea Jeneza

CHANZO ni kuwa na mgogoro na mkewe, Sylvester Mihayo (45) amefikia uamuzi mgumu wa kujichongea jeneza ili siku akifa mambo...

READ MORE

Mchungaji Bongo Aibuka Upasuaji  wa Kimiujiza

  MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Jerusalem lililopo Kitunda jijini Dar, Nabii James Nyakia ameibuka na upasuaji wa kimiujiza, RISASI...

READ MORE

Maeneo 5 Hatari kwa Corona Bongo Yaanikwa

WAKATI nchi mbalimbali duniani zikiimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 unaonezwa na virusi vya Corona, RISASI Jumamosi linakuchambulia maeneo...

READ MORE

Sumaye Akabidhiwa Rasmi Kadi ya Uanachama CCM – Video

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. BASHIRU ALLY jana Machi 29, 2020 amemkabidhi rasmi kadi ya uanachama wa...

READ MORE

GNM: Licha ya Corona, Tunaendelea Kusafirisha Mizigo Kutoka China

UCHUMI wa dunia nzima ni kama umesimama! Biashara nyingi zimefungwa, wafanyabiashara wanahofia kusafiri kwenda China kufuata bidhaa mbalimbali, serikali za...

READ MORE

Soko Laungua Moto Arusha, Polisi Wacharuka Kisa Corona -Video

 Soko la Samunge Jijini Arusha  limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Machi 29, 2020 chanzo cha moto huo...

READ MORE