×

Habari

Wabunge 17 Wahofiwa Kuwa na Corona Virus

TAHARUKI imezuka Bungeni baada ya taarifa mbalimbali kuripoti kuwa takriban wabunge na watumishi wa Bunge 17 wana maambukizi ya Virusi...

READ MORE

CAG: EWURA Imepoteza Lita Bil 1.4 za Petroli

MAMLAKA ya Usimamizi wa Nishati na Maji (EWURA) imeshindwa kuthibitisha matumizi ya lita bilioni 1.4 zilizoingia nchini kwa miaka mitatu...

READ MORE

Mvua Za Mwaka 2019 Zimevunja Rekodi-TMA

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema Mwaka 2019 umeweka historia ya pekee kwa kuwa wa nne kihistoria kwa...

READ MORE

Trump: WHO Wanaipendelea China, Nitaacha Kuwapa Pesa!

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amelilaumu Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa linaipendelea nchi ya China na kushirikiana nayo kuficha...

READ MORE

Kigwangalla: Kutumbuliwa Siyo Shida Kwangu, Nishachoka!

KUFUATIA Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini (CAG) ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 30,...

READ MORE

Ujasiri ni Muhimu Katika Kumkomboa Mwanamke

Wanawake nchini wameshauriwa kuwa na ujasiri katika kutafuta na kulinda haki yao katika familia kama nyenzo muhimu ya kuwaepusha na...

READ MORE

Kwa Mara ya Kwanza! Hakuna kifo cha Corona China

SERIKALI ya China imetangaza kwa mara ya kwanza kutokuwa na vifo vipya tangu virusi vya corona vilipoibuka mwishoni mwa mwaka...

READ MORE

CAG: Maliasili Wametumia Bil 2 Kinyume cha Utaratibu

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) imebaini matumizi ya Sh2.58 bilioni yaliyofanywa na...

READ MORE

WHO: Afrika Haitakuwa Uwanja wa Majaribio Chanjo ya Corona

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amekosoa vikali matamshi ya kibaguzi ya madaktari wawili wa Ufaransa waliopendekeza kufanyia...

READ MORE

Corona: Trump Aumizwa Waziri Mkuu wa Uingereza Kupelekwa ICU

RAIS wa Marekani Donald Trump ameungana na viongozi wengine duniani, kutoa pole kwa swahiba wake, Waziri Mkuu wa Uingereza Boris...

READ MORE

Ripoti ya CAG Yaibua Madudu “Marehemu Wamelipwa Mishahara”

Ofisi ya Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali [CAG] jana April 6, 2020 imewasilisha ripoti yake ya ukaguzi...

READ MORE

Waziri Atangaza Wagonjwa 2 Kupona Corona – Video

 WAZIRI wa Afya,  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, leo Aprili 07, 2020, amesema watu wawili...

READ MORE

Mkandarasi Yamkuta! Azuiwa Kutoka Nje ya Mkoa

MKANDARASI wa mradi wa maji wa Iyula uliopo Wilaya ya Mbozi amezuiwa kutoka nje ya Mkoa wa Songwe huku akiwekwa...

READ MORE

Mbowe Atoka Karantini, Atinga Bungeni na “Corona” – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Freeman Mbowe amesema #CoronaVirus ni janga ambalo linapaswa kupewa uzito kama ambavyo...

READ MORE

Corona Virus: Ubalozi wa Tanzania Wafungwa Marekani

Barua toka Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, kwenda kwa viongozi wa Jumuiya za Watanzania waishio nchini Marekani.    

READ MORE

Corona: Serikali Yaongeza Mishahara, Hakuna Kulipia Maji

RAIS wa Ghana, Nana Addo Dankwa Akufo-Addo, ametangaza kuwalipia wananchi ankara za maji kwa miezi mitatu (Aprili, Mei na Juni),...

READ MORE

Corona: Waziri Mkuu Uingereza Yuko Chumba cha Mahututi

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, amepelekwa katika chumba cha kuhudumia wagonjwa mahututi baada ya hali yake kiafya kuwa mbaya...

READ MORE

TANZIA: Mama wa Kocha Guardiola Afariki kwa Corona

    MAMA wa meneja (kocha) klabu ya Manchester City ya Uingereza,  Pep Guardiola, aitwaye Dolors Sala Carrió,  amefariki dunia...

READ MORE

Majaliwa Aonya Wakuu wa Mikoa Wanaotoa Matamko ya Corona

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa,  amewaonya baadhi ya viongozi wakiwemo Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwa kutoa matamko na...

READ MORE

RC Makonda: Ukikamatwa kwa Uzururaji Utazibua Mitaro

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema zoezi la kuwakamata wazururaji katika mkoa huo limeanza rasmi...

READ MORE

Mbunge Agoma Kukaa Karantini, Aambukiza Wawili

Mbunge wa Konde (CUF), Khatibu Said Haji, amemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aingilie kati ikiwezekana kumchukulia hatua stahiki, Waziri wa...

READ MORE

Breaking: Wagonjwa wa Corona Tanzania Wafikia 24

WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu, ametangaza uwepo wa wagonjwa wengine wapya wanne wa maambukizi ya virusi vya corona...

READ MORE

Infinix S5PRO NA KAMERA YA MAAJABU.

Ilianza S5 na S5 lite, sasa Infinix Mobile inakuletea S5 pro,ikiwa na sifa lukuki zinazoipa umaridadi zaidi. S5 pro imekujana...

READ MORE

Meya Jacob Atangaza Kutogombea Tena

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob ametangaza kutogombea tena nafasi ya udiwani wa kata ya Ubungo katika uchaguzi ujao...

READ MORE

Mbaroni kwa Kusambaza Taarifa za Uongo Kuhusu #Coronavirus

MTU mmoja aliyetambulika kwa majina ya African John Mlay (58) Mkazi wa Kiboroloni, Moshi anashikiliwa na  polisi mkoa wa Kilimanjaro...

READ MORE

Bibi wa Miaka 100 Asotea Mafao Miaka 37

DAR: MIAKA 37 unasotea mafao serikali si jambo dogo, lakini bibi kizee, Edina Kambona ‘100’ mkazi wa Mbagala Kwamagai, Dar...

READ MORE

Corona: Waziri Mkuu wa Uingereza Alazwa

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, amelazwa hospitalini ili kufanyiwa vipimo vya virusi vya corona, siku kumi baada ya kukutwa...

READ MORE

Kilimanjaro Marathon Ilivyopaishwa Mwaka Huu na Mdhamini

MBIO za Kilimanjaro Premium Lager 2020 zilizofanyika kwa mwaka 18 zimeacha alama si tu Kilimanjaro, lakini ulimwenguni kote. Kila mtu...

READ MORE

Chui Akutwa na Virusi vya Corona

CHUIMILIA wa miaka minne katika bustani ya wanyamapori (zoo) jijini New York amethibitishwa kuwa na maambukizi ya #Coronavirus yanayosababisha ugonjwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Aliyemng’oa Gaddafi Afariki kwa Corona

ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa mpito nchini Libya, Mahmoud Jibril,  amefariki dunia baada ya kupata maambukizi ya virusi vya Corona.  ...

READ MORE

Wenye Virusi vya Corona Nchini Kenya Wafika 142

Kenya imethibitisha kuwa na wagonjwa wapya 16 wa corona, baada ya kuwafanyia vipimo watu 530. Hadi sasa Kenya imefikisha idadi...

READ MORE

Corona: Wasafiri Kutoka Nje Wapelekwa Karantini UDSM

SERIKALI imetangaza rasmi kuwa wasafiri wote kutoka nchi zilizoathirika na ugonjwa wa virusi vya Corona, watalazimika kukaa karantini kwa muda...

READ MORE

Boomplay Yatoa Ofa Ya MB Milioni 25 Bure Kwa Watumiaji Wake

  App namba 1 barani Afrika inayotoa huduma ya usambazaji muziki, Boomplay imejitolea kuweka ahadi yake ya kuleta muziki wa...

READ MORE

Virusi vya Corona: Rais na Mawaziri wa Malawi kukatatwa 10% ya Mishahara Yao

Rais wa Malawi na mawaziri wote nchini humo watakatwa asilimia kumi ya mishahara yao ya miezi mitatu ili kupata fedha...

READ MORE

WHO: Corona Inasababisha Migogoro Kwenye Familia

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus ametoa angalizo juu ya kuongezeka kwa migogoro ya...

READ MORE

Idadi ya Maambukizi ya Corona Kenya Yaongezeka na Kufika 122

Watu 12 wamegundulika kuwa na virusi hivyo vya corona nchini Kenya katika kipindi cha saa 24 zilizopita. Idadi ya waliokufa...

READ MORE

Tandale, Kijitonyama Wapania ‘Kuchomoka na Gari Mpya’

TIMU ya Masoko ya Global Publishers, jana Jumamosi ilitembelea maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar ikiwemo Tandale na Makumbusho katika...

READ MORE

Masauni: Wapeni Dhamana Mahabusu Kuepusha Corona

Serikali imewaagiza Makamanda wa Polisi na Wakuu wa Magereza mikoa yote nchini kuhakikisha inawapa dhamana mahabusu wote wanaokidhi vigezo vya...

READ MORE

Corona: Mnajifungia, Ugonjwa Wenyewe Virusi? Tokeni Mkafanye Kazi – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewashangaa baadhi ya wananchi wa mkoa huo waliofunga biashara zao kisha...

READ MORE

Corona: Maagizo Mapya ya Wizara kwa Wasafiri

Tanzania imeboresha hatua za kuchukuliwa ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya #CoronaVirus kwa Wasafiri na kujuisha hatua za usafirishaji wa...

READ MORE