×

Habari

Wafungwa Waliosamehewa na JPM Handeni Waachiwa – Video

BAADA ya Rais John Magufuli kutangaza msamaha kwa wafungwa 3,973 nchini, Wilaya ya Handeni imekuwa miongoni mwa wilaya za kwanza...

READ MORE

Tanzia: Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Afariki Dunia

MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Evod Mmanda, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu, Aprili 27, 2020, katika Hospitali ya...

READ MORE

Baada ya Kuugua Covid 19, Hatimaye Boris Kurejea Ofisini Leo

WAZIRI mkuu wa Uingereza Boris Johnson atarejea ofisini leo Jumatatu baada ya kupona maambukizi ya virusi vya corona.Msemaji wa serikali...

READ MORE

SBL yotoa msaada wa vitakasa mikono kupambana navirusi vya Corona

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu (kushoto) akipokea sehemu ya lita 1,250 za vitasa...

READ MORE

Mrithi Wa Mama Rwakatare Huyu Hapa, Makanisa ya Mlima wa Moto

Kilekitendawili cha mrithi wa usimamizi wa Makanisa ya Mlima wa Moto- Mikocheni B Assemblies Of God, yaliyokuwa chini ya Askofu...

READ MORE

Waliofariki na Corona Wafikia 200,000 Duniani Kote, Maambukizi Yafikia Milioni 2.86

Idadi ya waliofariki duniani kutokana na janga la virusi vya corona imepanda kufikia watu 200,000 leo Jumapili,(26.04.2020) Wakati huo huo...

READ MORE

Muhimbili Yafunga Mashine Kuhudumia Wagonjwa wa Figo, Corona Amana

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine tatu za kusafisha damu kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo zenye thamani ya...

READ MORE

Rais Magufuli Atoa Msamaha Kwa Wafungwa 3,973

Rais Dkt John Pombe Magufuli ametoa msamaha wa wafungwa 3973, ambapo kati yake wafungwa 3717 wamesamehewa vifungo vyao,na Wafungwa 256...

READ MORE

TANZIA: Aliyewahi Kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah Afariki, Kuzikwa Leo

Aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mafia, Abdulkarim Shah kati ya mwaka 2005 hadi 2010 na amefariki dunia jioni ya ...

READ MORE

Kim Jong-un Adaiwa Kufariki Dunia

Vyombo vya habari vya Hong Kong na Marekani vimeripoti kuwa, inawezekana kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amefariki dunia...

READ MORE

Kocha Simba, Global Wawakumbuka Mayatima Mwanza

  Kampuni ya Global Publishers chini ya Mkurugenzi Mtendaji, Eric Shigongo wakishirikiana na aliyekuwa kocha na mchezaji wa zamani wa...

READ MORE

Washindi wa Droo ya Pili ‘Baba Lao’ Wakabidhiwa Vitita

WASHINDI wa sita waliopatikana kupitia droo ya pili ya Jishindie Gari na Spoti Xtra, iliyofanyika hivi karibuni wamekabidhiwa zawadi zao...

READ MORE

Diamond Kuchangia Kodi Ya Pango Kwa Kaya 500 Nchini

Staa wa muziki wa Bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’  leo Aprili 25, 2020 amesema kuwa atachangia ‘kodi ya pango’...

READ MORE

Madai! Nadharia ya Corona Ilikoanzia na Aliyeisambaza

WAKATI janga la ugonjwa wa COVID-19 likiitingisha dunia, kuwekuwepo na nadharia na uvumi mbalimbali kutokana na kuibuka kwake.   Miongoni...

READ MORE

Corona Yaongeza Simanzi Mazishi ya Mama Rwakatare

    DAR: Licha ya kuwa ni desturi ya Waafrika na Watanzania kushiriki mazishi ya ndugu, jamaa, marafiki na wapendwa...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Lapiga Geita

TETEMEKO la ardhi limetokea majira ya saa 6:07 usiku wa kuamkia leo na kutikisa maeneo ya Kanda ya Ziwa hususani...

READ MORE

Licha ya Corona: Wanafunzi Elimu ya Juu Wafanya Mitihani ya Mwisho

  TAKRIBAN wanafunzi 52,000 wamefanya mitihani yao ya mwisho huku shule na vyuo vikiwa vinaendelea kufungwa ili kuepusha maambukizi ya...

READ MORE

Serikali Kumwaga Ajira 4000 za Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imetangaza ajira zaidi ya 4,400 kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini. Akiwasilisha...

READ MORE

Mvua Kubwa Yaua Wawili Arusha

    MVUA zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Arusha, zimesababisha vifo vya watu wawili wilayani Arumeru. Akitoa...

READ MORE

Wagonjwa 37 Wapona Corona, Wengine 71 Wanasubiri Wako Fiti – Video

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu leo Aprili 24, 2020 amesema wagonjwa 37 wa...

READ MORE

Rufaa ya Mbowe na Wenzake Kuanza Kuunguruma Mei 13

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, inatarajia kuanza kusikiliza rufaa iliyokatwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi...

READ MORE

Chamazi Fresh Wanasubiri Ligi Tu

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa tayari ukarabati wa Uwanja wa Azam Complex umekamilika asilimia zote ukiwa sawa na ule...

READ MORE

Watanzania 6 Wakutwa na Corona Uganda

WATU 74 wabainika kuwa na virusi vya Corona nchini Uganda baada ya kuongezeka maambukizi mapya 11, ambapo kati ya watu...

READ MORE

Simbachawene Apiga Marufuku Trafiki Kujificha Vichakani

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi ameliagiza jeshi la polisi nchini kuwa na mbinu za kistaarabu za kisimamia sheria...

READ MORE

CORNA: NECTA Yaahirisha Mtihani Kidato cha Sita 2020

WIZARA ya elimu nchini imeahirisha mtihani wa kidato cha sita mwaka 2020 hadi hapo itakapoamuliwa vinginevyo kutokana na janga la...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Kenya Wafikia 320

  WIZARA ya Afya nchini Kenya imesema idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona sasa imefika 320 baada ya leo...

READ MORE

Kocha Simba Aungana na Global Dhidi ya Corona – (Picha +Video)

MKURUGENZI Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo leo Aprili 23, 2020 ametoa pongezi kwa kocha wa zamani wa Simba, Talib...

READ MORE

HATARI! Vifaa Vya Hospitali Vyazagaa Mtaani

WANANCHI wa Mtaa wa Makongoro uliopo katikati ya Mji wa Morogoro wako hatarini baada ya vifaa vya hospitali vilivyotumika kuzagaa...

READ MORE

Ccm Dar, Kugawa Bure Barakoa Milioni 1

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es Salaam, Kate Kamba amesema ofisi yake imedhamiria kugawa bure barakoa...

READ MORE

Licha Kim Kukanusha! Korea Kaskazini Yadaiwa Ina Wagonjwa wa Corona

LICHA ya viongozi wa Korea Kaskazini kukanusha kila mara kuwepo kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, Corvid-19, inayosababishwa na...

READ MORE

Mama Rwakatare Azikwa Kanisani Kwake – Picha

ALIYEKUWA Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Askofu Dkt. Getrude Rwakatare,  amezikwa leo...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Walazimisha Kuondoka Amana Hospital

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, amethibitisha kuwa kuna baadhi ya wagonjwa walioathirika wa virusi vya Corona waliokuwa kwenye...

READ MORE

Madereva Watanzania Wakutwa na Corona Uganda

Raia wawili wa #Tanzania wote madereva wa malori wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona nchini #Uganda. Mmoja alikuwa kwenye...

READ MORE

Wabunge Waazimia Kujigawia Mil. 20 Kila Mmoja za Corona

WABUNGE nchini Uganda wameazimia kujigawia Shilingi za Uganda mil. 20 kila mmoja kama fedha ya ahueni wakati huu wa janga...

READ MORE

Rais Madagascar Adai Kugundua Dawa Tiba ya Corona

WAKATI wanasayansi duniani kote wakihangaika kupata chanjo na tiba ya virusi vya corona, Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amezindua dawa...

READ MORE

Iran Yarusha Setalaiti ya Kijeshi Angani

JESHI la walinzi wa kimapinduzi nchini Iran limesema limepeleka setalaiti yake ya kwanza ya kijeshi katika mzunguko wa dunia.  ...

READ MORE

Bidhaa za Red Gold Zaweka Rekodi Ya Ubora Kwa Watumiaji

Yawezekana kwa kipindi kirefu umekuwa ukitumia bidhaa zinazozalishwa na Red Gold lakini pengine hukuwahi kujua kwamba ubora wake wa kipekee...

READ MORE

#CoronaVirus: Watanzania Wawili Watupwa Baharini

WATANZANIA wawili ambao majina yao ni Amiri Salamu (20) na Hassani Rajabu (30) walitoswa baharini na Wachina wakiwa wamepewa ‘life...

READ MORE

Utajiri wa Mama Rwakatare Ngoma Nzito!

  KIFO cha ghafla cha Mchungaji Kiongozi, Askofu Dk Getrude Rwakatare ‘Mama Rwakatare’ wa Makanisa ya Mlima wa Moto (Assemblies...

READ MORE

NMB MastaBoda Yafika Kileleni, Watano Washinda Pikipiki    

Washindi wakionyesha kadi za pikipiki baada ya kukabidhiwa.   Benki ya NMB imehitimisha kampeni yake ya Mastaboda, kwa kuwazawadia waendesha...

READ MORE