×

Habari

Waziri wa Zamani Iddi Simba Afariki Dunia

Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara, Iddi Simba amefariki dunia leo saa Alhamisi Februari 13, 2020 saa 5 asubuhi...

READ MORE

Exim Bank Yachangia Mil. 25 Vitanda vya Wanafunzi Arusha

  Benki ya Exim Tanzania imechangia kiasi cha Sh milioni 25 kwa ajili ya ununuzi wa vitanda pacha (double deckers)...

READ MORE

Vodacom Wajanja Hawazimi Data – Video

Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom leo imezindua huduma yake mpya Wajanja hawazimi data. Katika huduma hiyo watumiaji wa...

READ MORE

Yondani: Nimerudi Kikosini, Mtafurahi

BEKI mkongwe wa Yanga, Kelvin Yondani amesema kuwa anafahamu alipoteza namba katika kikosi cha kwanza katika michezo iliyopita ya Ligi...

READ MORE

Maendeleo Bank Plc, Airtel Money na FSDT Waungana kuzindua Timiza Biashara

  Maendeleo Bank Plc leoimetangazakuunganana Airtel Money pamojana FSDT kwakuzinduakampeniya Timiza Biashara ambayoinalengakusaidiavikundividogovidogovyawajasiriamalimaarufukama Vicoba ilikuwezakuwekaakibapamojanakukopakwanjiayakidigitali (Kimtandao) zaidi.   MkurugenziMtendajiwa Maendeleo...

READ MORE

Vodacom Washusha Gharama za Bando ‘Wajanja Hatuzimi Data’ – Video

Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania, Linda Riwa. KAMPUNI ya Vodacom Tanzania leo Alhamisi, Februari  13, 2020, wamezindua vifurushi vipya...

READ MORE

Muuguzi Mbaroni kwa Kumtoa Mimba Mwanafunzi, Kumsababishia Kifo

MUUGUZI aliyetumbuliwa wakati wa kuondoa watumishi hewa mkoani Kagera, Dezber Solomon (49) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za...

READ MORE

Kisa Corona, Ighalo Apigwa Marufuku Mazoezi ya Man U

MSHAMBULIAJI mpya wa klabu ya Manchester United, Odion Ighalo amepigwa marufuku kujichanganya na wachezaji wenzake kwenye eneo la mazoezi la...

READ MORE

44 Waambukizwa Corona Meli, Abiria Wazuiwa Kutoka

WIZARA ya Afya ya Japan imethibitisha kuongezeka kwa watu wengine 44 wenye virusi vya Corona ndani ya meli ya Diamond...

READ MORE

Corona Yapewa Jina Jipya, Waliofariki Wafikia 1,113 – Video

IDADI ya waliofariki kwa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona imefikia 1,113, huku watu 38,800 wakiendelea na matibabu...

READ MORE

KOIKA, Exim Bank Waipiga Jeki  Shule Ya Mrisho Gambo

Shirika la Ushirikiano wa Maendeleo Korea (KOICA )limetoa msaada wa wataalamu 10 waliobobea katika masomo ya Sayansi na TEHAMA, kwa...

READ MORE

Rais Moi Azikwa Karibu na Bibi Yake

MIAKA 42 iliyopita, taifa lilimpoteza Rais Mwanzilishi wa Jamhuri ya Kenya ndiye Mzee Jomo Kenyatta. Rais huyo wa kwanza, aliaga...

READ MORE

Kenyatta Asimulia Mzee Moi Alivyokuwa Mkali – Video

Rais wa awamu ya pili wa Kenya hayati Daniel arap Moi amezikwa hii leo baada ya jeshi kutoa heshima kwa...

READ MORE

Madiwani Watano wa Zitto Watimkia CCM – Video

Madiwani watano wa Chama cha ACT Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe, wamejiuzulu nyadhifa zao zote katika chama hicho na kuomba...

READ MORE

Kamati Kuu CCM Yatoa Siku 7 Sakata la Membe, Kinana na Makamba

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyoketi Chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt John Magufuli imepokea taarifa ya awali...

READ MORE

Moto Wateketeza Vibanda 65 vya Machinga Mwanza

VIBANDA zaidi ya 60 vya Wamachinga vimeteketea kwa moto mkubwa uliozuka majira ya saa 9 alfajiri leo Jumatano, Februari 12,...

READ MORE

Marekani: Kobe Bryant na Mwanaye Gigi Wazikwa kwa Siri

VYOMBO mbalimbali vya habari nchini Marekani vimethibitisha kuwa mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu, Kobe Byrant (41) na mwanaye, Gianna...

READ MORE

Balozi Kairuki: Serikali Haitawarudisha TZ Wananfunzi Walioko China

BALOZI wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amesema wanafunzi wanaosoma katika mji wa Wuhan hawawezi kurudi kwa sababu kuna katazo...

READ MORE

Hotuba ya Kikwete, Mkapa, Wakiaga Mwili wa Moi – Video

Marais wastaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete baada ya kutua Jijini Nairobi kwa ajili ya mazishi rasmi ya...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Mbaroni Kwa Ulawiti Mwanafunzi

MWALIMU Mkuu wa Shule ya Chekechea ya Future iliyopo Msongola, Ilala jijini Dar, yamemkuta mazito. Mwalimu huyo aliyetajwa kwa jina...

READ MORE

Mazishi ya Rais Moi, Barabara Zafungwa Nairobi

MALORI na magari mengine ya mazigo hayaruhusiwi kutumia barabara kuu ya Nairobi – Eldoret huku maelfu ya waombolezaji wakitumia barabara...

READ MORE

Safari ya Mwisho ya Rais Moi Yaanza Kabarak Nakuru

MWILI wa aliyekuwa rais mstaafu wa Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi,  umesafirishwa kwa ndege ya kijeshi kutoka Nairobi ukipelekwa nyumbani...

READ MORE

Katibu Mkuu Apata Ajali Akienda Maziko ya Moi

KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Kenya kiitwacho Jubilee, Raphael Tuju,  amepata ajali katika eneo la Magina, Barabara Kuu ya...

READ MORE

Madee Ampa Neno Kali Mchumba Mpya wa Dogo Janja

RAPA maarufu nchini, Hamad Ally ‘Madee’ amemweleza mpenzi mpya wa kijana wake, Dogo Janja aitwaye Quenlinnah kwa kumwambia ategemee mengi...

READ MORE

SKENDO MAFUTA YA UPAKO

MWANGWI wa mafuta ya upako bado unavuma kila uchwao, skendo za kila aina zinazungumzwa, Uwazi linakuhabarisha.  Uchunguzi unaonesha kuwa wapo...

READ MORE

Wabunge wapongeza uwekezaji unaofanywa na SBL

Wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Bunge wamepongeza uwekezaji unaofanywa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL)unaohusisha upanuzi wa kiwanda...

READ MORE

NMB Yakabidhi Vifaa Tiba, Madawati ya Sh. Milioni 35 Kanda ya Magharibi

    KATIKA kuhakikisha inasaidia na kutatua baadhi ya changamoto zinazoikumba Sekta ya Afya na Elimu Mkoani Shinyanga, Benki ya...

READ MORE

Serikali Yamuomba Kabendera

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwanadishi wa Habari za Uchunguzi, Erick Kabendera, jana Februari 11, 2020 iliendelea kusikilizwa katika Mahakama...

READ MORE

Senzo ampiga stop Sven

Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, amepiga mkwara kwamba kikosi hicho kinachoongozwa na kocha Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, kwa sasa hakitakiwi kupoteza...

READ MORE

Eymael: Sisi Siyo Maroboti

LUC Eymael ambaye ni kocha mkuu wa Yanga, ameshangazwa na jinsi mwenendo wa ratiba yao ya ligi ambapo ameweka wazi...

READ MORE

DC Temeke Azindua Kisima Shule ya Wasioona

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva, mapema jana alizindua kisima cha maji safi kwenye shule ya msingi Toa Ngoma,...

READ MORE

Jackie Chan Amwaga Mamilioni kwa Atakayegundua Kinga ya Corona

NYOTA wa filamu za kichina, Jackie Chan ametangaza donge nono la Yuan milioni moja (wastani wa milioni 330 za kitanzania)...

READ MORE

Jaji Warioba Azungumzia Kinachoendelea CCM, Ataja Katiba Mpya

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema yanayotokea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa sasa si kitu kipya, na...

READ MORE

Mkapa na Kikwete Wawasili Kenya Kumzika Rais Moi

  MARAIS wastaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wageni mashuhuri, watakaoshiriki mazishi ya kitaifa ya...

READ MORE

China: Wanafunzi wa Tanzania Waomba Warudishwe Nchini

BAADHI  ya Watanzania waishio China wameomba kurudishwa nyumbani wakisema tatizo si kukosa nauli ila wamezuiwa kutoka ili kudhibiti #CoronaVirus na...

READ MORE

Yanga Kumenoga, Mreno Apewa Jukumu

ACHANA na ushindi walioupata juzi, unaambiwa uongozi wa Klabu ya Yanga umefikia katika sehemu nzuri kuelekea kwenye mabadiliko ya mfumo...

READ MORE

JPM Amfuta Kazi Aliyechana Quran – Video

RAIS  John  Magufuli amemfukuza kazi kijana aliyechana kitabu kitakatifu cha Quran mkoani Morogoro, Daniel Maleki,  na amemuagiza Waziri was Tamisemi,...

READ MORE

Staa wa Zamani Brazil ‘Pele’ Hoi

MTOTO wa mchezaji soka wa zamani wa  Brazil, Edson Cholbi do Nascimento, amesema baba yake, Edson Arantes do Nascimento ‘Pele’,...

READ MORE

Makonda: Mkajiandikishe Siku ya Wapendanao – Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuanzia Februari 14 hadi 20, 2020, uhuishwaji wa Daftari la kudumu la Wapiga...

READ MORE