×

Habari

Ndugai: Mbowe Anajipima Ubavu na Mkuu wa Nchi… Arudishe Mil. 2

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kurejesha Tsh milioni mbili alizopewa na Bunge ili...

READ MORE

Benki ya CBA (Commercial Bank of Africa (Tanzania) yatoa msaada wa Matanki ya Maji kwa Hospitali za Umma jijini Dar es salaam.

Mwakilishi kutoka kitengo cha Ugavi wa Hospitali ya Mwananyamala, Hiltruda Patrick (kushoto) akipokea matanki ya maji kutoka kwa Geofrey Kivamba...

READ MORE

Watoto 2 Wanusurika Kufa Shangazi yao Akiwachoma Moto

KATIKA hali ya kusikitisha, watoto wawili wanaosoma darasa la kwanza Shule ya Msingi Mwanzumbi wilayani Igunga mkoani Tabora (majina yao...

READ MORE

WHO Wamfuata Rais Magufuli

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema dawa inayopulizwa mitaani katika baadhi ya nchi kama lengo la kuua virusi vya corona...

READ MORE

Mganga Mkuu wa Serikali Akanusha 92 Kufa kwa Corona Moro

SERIKALI imekanusha taarifa zilizotolewa na baadhi ya mitandao ya kijamii zinazosema kuwa watu 92 wamekufa mkoani kwa corona katika kipindi...

READ MORE

Mtoto wa Magufuli Apata Corona; ‘Alijifungia Chumbani’ – Video

RAIS John Magufuli amesema kuwa mwanaye wa kuzaa alipata maambukizi ya virusi vya corona lakini alijitibu kwa kujifukiza na kutumia...

READ MORE

Wateja Tigo Pesa wavuna shilingi bilioni 2.7

Dar es Salaam, 19 Mei 2020: Kampuni inayoongoza kwa mawasiliano ya kidigitali nchini Tanzania, Tigo, leo imetangaza kuwalipa wateja wake...

READ MORE

Tecno Camon 15 Yawashangaza Wengi

Ikiwa ni takriban mwezi mmoja umepita tangu kampuni ya simu za mkononi ya TECNO kuzindua simu yake mpya CAMON 15...

READ MORE

Rais Magufuli Afiwa na Dada Yake

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho msibani katika mtaa...

READ MORE

Video: Mbowe Azungumza Kuhusu Corona, Uamuzi Wa Kutoingia Bungeni

 MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, leo Mei 17, amehutubia taifa kuhusiana na hali ya...

READ MORE

JPM Atoa Salamu Baada ya Kusali Ibada KKKT Chato (Picha +Video)

Rais Magufuli leo Mei 17, 2020 ameungana na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ushirika wa Chato...

READ MORE

Gwajima Aichambua Corona, Awalipua Chadema, “Magufuli Safi” – (Picha + Video)

ASKOFU na Mchungaji kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema kuwa amewachukia viongozi wa Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Rais Magufuli Aweka Hadharani Takwimu Za Wagonjwa Wa Corona – Video

Rais John Magufuli amesema kuwa idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imepungua sana, huku baadhi ya vituo vilivyotengwa kwa...

READ MORE

Alichokisema Waziri Ummy Baada ya Ndugulile Kutenguliwa

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amemshukuru kwa ushirikiano wake aliokuwa akimpa, aliyewahi kuwa...

READ MORE

Kipaji + Shule + Ubunifu = Rostam

“HOI naona mtandao unakatika, huko kimya mkato au kundi limevunjika…Eeh na utanyooka raundi hii na hivyo huwezi bila mimi…Unajikuta Jay...

READ MORE

Uteuzi: Dkt. Mollel Awa Naibu Waziri Wa Afya Ndugulile Aondolewa

Rais Magufuli amemteua Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel kuwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...

READ MORE

Wachina Waliokwenda Kutibu Corona Nigeria ni ‘Mafundi Ujenzi’

Katika hali ya kushangaza mamlaka nchini Nigeria zimesema kuwa hazifahamu ilipo timu ya madaktari 15 wa binadamu raia wa China...

READ MORE

Corona: Tanzania na Rwanda Zafikia Makubaliano Mpaka wa Rusumo

TANZANIA na Rwanda zimefikia makubaliano juu ya mpango mkakati wa kusafirisha mizigo baina ya nchi hizo mbili katika kipindi hiki...

READ MORE

Bahati Nasibu Ya Shinda Gari, Wasomaji Mbagala Wamiminika Kujaza Kuponi

Msomaji akijaza kuponi yake kushiriki bahati nasibu ya shinda gari.  Katika kuelekea kuchezeshwa kwa Droo ndogo ya Bahati nasibu ya...

READ MORE

Vodacom Tanzania yawezesha wanafunzi kuendelea na masomo kupitia jukwaa la kidijitali bure.

Wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini kunufaika na utoaji wa elimu bure kupitia jukwaa la kidijitali. Shule za msingi na sekondari...

READ MORE

Breaking: Kenya Yafunga Mipaka Yake Tanzania na Somalia

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kufungwa kwa mipaka yake na Mataifa ya Tanzania na Somalia kuanzia usiku wa  kwa siku 30...

READ MORE

Jela Miaka 30 Kumwingilia Mjukuu wa Miaka 5

MWANAUME mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka...

READ MORE

Vifo Corona Marekani Sasa 88,507, Trump Alilia Chanjo Ipatikane

RAIS wa Marekani, Donald Trump,  amesema serikali yake itawekeza kwa makampuni yote makubwa yanayofanya jitihada za kutafuta chanjo ya virusi...

READ MORE

Amuua Mama Yake kwa Shoka, Anywa Damu Yake – Video

POLISI mkoani Arusha, linamshikilia Daniel Emmanuel (32) Mkazi wa Sakila wilayani Arumeru, kwa kukutwa akinywa damu ya mama yake mzazi...

READ MORE

Madai Fumanizi! Mwalimu wa Kike Ajinyonga Nyumbani kwa Mwal. Mkuu

MWALIMU wa kike katika shule Moja ya Msingi iliyopo Tarafa ya Mgeta Wilaya ya Mvomero Mkoa Morogoro, amezua gumzo baada...

READ MORE

RC Mghwira Apona Covid-19, Asimulia Ilivyokuwa – Video

MKUUwa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwir,a ameanza kazi rasmi leo Mai 16, 2020 , ikiwa ni siku mbili tu...

READ MORE

Madiwani 8 Tunduru Waikacha CUF, Wajiunga CCM

MADIWANI wanane wa kata nane za wilayani Tunduru  na kada maarufu ajulikanaye kama ‘Kiosa Kiosa’ wameachana na Chama Cha Wananchi...

READ MORE

Watanzania Waliokwama India Watua Bongo

UBALOZI  wa Tanzania nchini India, kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la Tanzania [Air Tanzania] pamoja na diaspora wa Tanzania...

READ MORE

Hotuba ya Bajeti Wizara ya Fedha na Mipango Mwaka 2020/21

MAELEZO YA MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB.), WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO WAKATI AKIWASILISHA BUNGENI HOTUBA YA MAKADIRIO YA...

READ MORE

TFF Wahojiwa na TAKUKURU Fedha za Rais Magufuli

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) imewataka maofisa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kuzirejesha...

READ MORE

Serikali: Idadi Wagonjwa #Covid-19 Tanzania Yapungua – Video

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata...

READ MORE

Hadharani: Shigongo Alivyomsema Rais Magufuli Kijasiri Marekani

MKURUGENZI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amempongeza Rais Dk John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kipekee...

READ MORE

Lockdown Suluhu Ya Mapambano Dhidi Ya Corona?

WAKATImaambukizi ya virusi vya Corona yakitimiza miezi mitano tangu mlipuko wake ulipoanza Disemba mwaka jana nchini China, nchi mbalimbali zimechukua...

READ MORE

Wabunge CHADEMA Watangaza Kurudi Bungeni Leo

Wabunge wote wa CHADEMA ambao wamehitimisha siku 14 za kujitenga kwa kukaa nyumbani na kutohudhuria shughuli za Bunge, vikiwemo vikao...

READ MORE

Aiba Sare za Baba Mkwe Wake, Atinga Nazo Mtaani, Anaswa!

Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia kinyozi wa Arusha, anayedaiwa kuiba na kuvaa sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)...

READ MORE

Msako Mkali! Polisi Dodoma Yakamata Magari 6 Ya Wizi

  Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linayashikilia magari sita yanayodhaniwa kuwa ya wizi. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Mei,14,2020...

READ MORE

Serikali Yaridhishwa na Utendaji wa ‘Bodi ya Mrema’

  SERIKALI imeridhishwa na kiwango cha kazi zinazofanywa na Bodi ya Taifa ya Parole pamoja na Bodi za Parole mikoa...

READ MORE

Majaliwa Akagua Ujenzi Reli ya Kisasa (SGR) – Video

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amekagua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) na kusema kuwa mradi huo umesaidia kupungua tatizo...

READ MORE