MKUU wa Polisi Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed amefariki dunia. Afande Masoud hivi karibuni alijizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii...
READ MOREMhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Dkt. Job Asheri Chaula amefariki dunia leo Ijumaa, Mei 8, 2020, asubuhi katika...
READ MOREKIUNGO mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu ameanika wazi kwamba huwa hakasiriki kutokana na kuitwa mvivu wa mazoezi kutokana na kuwa...
READ MORETaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Dodoma inamshikilia Simon Mapunda Jumbe (43), mkazi wa Kisasa jijini...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne wa ujambazi akiwemo mganga wa kienyeji wakiwa na silaha...
READ MOREMBUNGE wa Ndanda kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecil Mwambe, amesema kuwa kwa sasa amerejea Bungeni rasmi kumalizia...
READ MOREWizara ya Afya Uganda imesema Dereva mwingine wa Lori kutoka Tanzania (32) amebainika kuwa na corona na kufanya maambukizi...
READ MORESHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa #CoronaVirus unaweza kusababisha vifo kwa Waafrika wapatao 190,000 ndani ya mwaka mmoja...
READ MORESERIKALI ya Italia na Maaskofu wa Kanisa Katoliki wamesaini makubaliano ya kuruhusu Ibada pamoja na mikusanyiko vya kidini kama harusi...
READ MORERAIS wa Marekani, Donald Trump na Makamu wake, Mike Pence wamelazimika kupima tena maambukizi ya virusi vya corona baada...
READ MOREWizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya 29 wa covid 19 visiwani Zanzibar na kufikia idadi...
READ MOREKampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imefanya maboresho makubwa katika tovuti yao ya kubashiri, ambayo kwa sasa itawawezesha wateja wao...
READ MORECHADEMA kimemjibu Spika Ndugai kwa kumuambia kuwa kama anataka Wabunge warudi Bungeni wakiwa wamepima, basi aseme anataka wakapime wapi kwa...
READ MOREMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali hoja za pingamizi za awali za mfanyabiashara James Rugemarila na wenzake wawili ikiwemo...
READ MOREMwanaume mmoja mkazi wa Mombasa nchini Kenya anayejishughulisha na udereva wa malori yanayosafirisha mizigo kutoka nchi moja kwenda nyingine (transit),...
READ MOREKatibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Lugano Mwafongo amefariki dunia leo Alhamisi, Mei...
READ MOREWabunge ambao bado wapo jijini Dar es Salaam watakiwa kwa hiyari yao kuripoti Ofisi ya Upelelezi Kanda Maalum Dar es...
READ MOREMKUU wa Wilaya ya Nyang’wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 majira ya saa 5:00...
READ MOREKituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) kimesema kwamba vifaa vya kupimia virusi vya corona nchini Tanzania havina shida...
READ MOREMAUAJI ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani...
READ MOREWAKAZI wa Maeneo ya Eastleigh jijini Nairobi na Old towm mjini Mombasa nchini Kenya hawatoruhusiwa kutoka katika maeneo hayo katika...
READ MOREKIWANDA cha kukoboa kahawa cha Kharim Amri kilichopo Mgakorongo wilayani Karagwe, kimeungua moto. Taarifa za awali zinadai kuwa mashine na...
READ MOREMsimamo usioyumbishwa! Hiyo ndiyo picha aliyoitengeneza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kueleza...
READ MOREMVUA kubwa zilizonyesha nchini Kenya zimeua watu 30 hivi karibuni na kufanya idadi ya jumla ya watu 194 kupoteza maisha...
READ MOREKaimu Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NMB,Ruth Zaipuna. Benki ya NMB kwa kushirikiana na Mastercard na kampuni ya...
READ MORESPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiandaa kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na Makamu...
READ MOREFashion Association of Tanzania (FAT) chaendesha mchakato wa uchangiaji wa vitakasa ikiwa sehemu ya mchango wao dhidi ya maambukizi ya...
READ MORESPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, jana Mei 6, 2020, amewataka wabunge wa Chama...
READ MORERais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Delphine Magere kuwa RAS Pwani akichukua nafasi ya Theresia Mmbando ambaye amestaafu, Rais...
READ MOREMBUNGE wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Suleiman Masoud Nchambi (CCM) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumiliki...
READ MORESIMANZI na majonzi vimetawala wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mchungaji wa Ghala la Chakula cha Uzima (WCC), Marehemu Peter Mitimingi,...
READ MORESpika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo Mei 6, 2020 amewataka wabunge wa Chadema kurudi...
READ MOREWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametoa wito kwa wawekezaji wa viwanda ndani ya...
READ MOREWAZIRI wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba, amesema kitendo cha baadhi ya wabunge wa upinzani kususia vikao vya Bunge kwa...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, leo Mei 6, 2020, ametoa Saa 24 kwa wabunge wote waliokimbia...
READ MOREWAKATI idadi kubwa ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hawahudhurii vikao vya Mkutano wa 19 wa Bunge...
READ MOREMWANZUONI nguli wa Tanzania na Afrika Mashariki, Sheikh Suleiman Amran Kilemile, amefariki usiku wa kuamkia leo, May 06, 2020, katika...
READ MOREShirika la kimataifa la Childbirth Survival International (CSI), limetoa msaada wa vyakula , sukari na sabuni kwa kaya zaidi ya...
READ MOREWATU sita wamefariki dunia katika ajali ilitokea usiku wa kuamkia jana eneo la Vigwaza, Chalinze mkoani Pwani, barabara kuu ya...
READ MOREMAJASUSI ncini Marekani wanaripoti kuona taasisi za kijasusi za nchi nyengine wakijaribu kupitia mtandao kuchunguza tafiti za chanjo ya virusi...
READ MORE