×

Habari

Meya Dar Akuta Tukio Kwenye Mlango wa Ofisi Yake

IKIWA zimepita siku kadhaa baada ya Baraza Kuu la Madiwani Dar es Salaam kufanya mkutano na kumvua wadhifa wake, Meya...

READ MORE

Familia ya Kifalme Kumweka ‘Kati’ Prince Harry, Meghan

MALKIA wa Uingereza ameitisha mkutano na wanafamilia wa ngazi za juu wa kifalme leo Jumatatu, 13, 2020, katika eneo la...

READ MORE

Mwanafunzi wa Div 1 ya 7 Aliyefariki Akitoka Kutazama Matokeo Azikwa

MWANAFUNZI Honest Mulokozi Juventus aliyefariki dunia wakati akitoka kutazama matokeo yake ya kidato cha pili, amezikwa kijijini kwao Wilaya ya Karagwe Jimbo...

READ MORE

Kibiti: Mtoto Auawa, Achunwa Ngozi, Akatwa Nyeti

MTOTO Hassan Muba mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa Kibiti, mkoani Pwani, anadaiwa kuuawa kisha kuchunwa ngozi usoni na...

READ MORE

Lukuvi Aonya: ‘Msiijaribu Serikali’ – Video

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  William Lukuvi, amewaonya wananchi wanaojenga mijini bila kufuata utaratibu.   Ametoa onyo...

READ MORE

Iran Waandamana Baada ya Serikali Kukiri Kutungua Ndege ya Ukraine

MUDA mfupi baada ya Serikali ya Iran kukiri kuitungua ndege kwa bahati mbaya, kundi la waandamanaji nchini humo limejitokeza kutaka...

READ MORE

Ugonjwa wa Ajabu Wamtesa Miaka 10 ‘Mnisaidie’ – Video

  Miongoni mwa vitu ambavyo jamii haifahamu ni kuwa kuna wimbi la watu mtaani wanaoishi kwenye mazingira magumu wakikabiliwa na...

READ MORE

Watu Wanavyotengeneza Mkwanja Kirahisi

KILA siku, binadamu hutumia hela ili kutafuta hela zaidi. Jinsi gurudumu hili la maisha linapozunguka, sio hakikisho kuwa mambo yatakuwa...

READ MORE

Rais Wa Zanzibar Dk Shein Atangaza Kuongeza Mishahara – Video

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein kwenye maadhimisho ya miaka 56...

READ MORE

Sherehe Za Miaka 56 Ya Mapinduzi Matukufu Ya Zanzibar (Picha +Video)

Sherehe za maadhimisho ya miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zimefanyika leo Jumapili Januari 12, 2020 katika Uwanja wa Abeid...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Januari 12, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 12, 2020. Ni yale ya...

READ MORE

JPM Aweka Jiwe La Msingi Shule Ya Sekondari Mwanakwerekwe Zanzibar -Video

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na ziara yake hapa Zanzibar ambapo anaweka jiwe...

READ MORE

Mogella, Mayay Wazindua Duka Jipya la Vifaa vya Michezo la GSM Liitwalo ANTA

  WAKONGWE wa soka nchini, Zamoyoni Mogella na Ally Mayay, Mwisho mwa wiki walizindua rasmi duka la kimataifa la vifaa...

READ MORE

Akatwa Uume Gesti kwa Kushindwa Kulipia Penzi Alilopewa

JESHI la Polisi mkoani Mara wanamshikilia mwanamke mmoja aitwaye  Nyangi Ismael kwa tuhuma za kumkata sehemu za siri mpenzi wake,...

READ MORE

Video: AJALI Mbaya ILIVYOUA MTU SINZA LEO, MASHUHUDA Wasimulia TUKIO Zima..

 Mtu mmoja mwanaume amefariki dunia asubuhi ya leo Jumamosi Januari 11, 2019 maeneo ya Sinza Mori baada ya kugongwa...

READ MORE

Samsung Wametengeneza Watu (Artificial Human)

KAMPUNI ya Samsung kushirikiana na Advanced Research Lab (Star Lab) wamefanikiwa kutengeneza watu wasio asilia ambao watakuwa wanafanana na binadamu...

READ MORE

Mke wa Mwanamfalme Harry, Meghan Aondoka Uingereza

IKIWA ni siku mbili baada ya tangazo la nia ya wawili hao kujitoa katika nafasi zao kama wanafamilia waandamizi wa...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumuingilia Mbwa na Kumuua

JAMAA mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mutuku Munyao wa Kangundo, Machakos nchini Kenya,  amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumbaka...

READ MORE

Tahadhari: Mvua Kubwa Kunyesha Mikoa 7

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa kuanzia leo katika mikoa saba ambayo ni Singida,...

READ MORE

Wauza Majeneza Wasababisha Msongo wa Mawazo kwa Wagonjwa

WAFANYABIASHARA ya kuuza majeneza karibu na maeneo ya hospitali wamepewa hadi Machi kuondoa bidhaa zao karibu na hospitali moja iliyopo...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Azindua Hoteli ya Bakhresa Zanzibar

Rais Dkt. Jonh Magufuli anafungua hoteli yenye hadhi ya nyota tano iitwayo Hotel Verde Azam Luxury Resort and Spa iliyopo...

READ MORE

Iran Yakiri Kudungua Ndege Ya Ukraine

JSHI  la Iran hatimaye limekiri kudungua kimakosa ndege ya abiria ya Ukraine siku ya Jumatano ya Januari 8, mwaka huu, ...

READ MORE

Raila: Miguna Hajazuiwa Kurudi, ‘Anabweka Kama Mbwa’

  KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amemzungumzia msaidizi wake wa zamani, Miguna Miguna, akisema  hakuna mtu aliyemzuia kurejea...

READ MORE

Sultani Qaboos wa Oman Afariki Dunia

SULTANI Qaboos bin Said wa Oman aliyeitawala nchi hiyo kwa karibu nusu karne amefariki dunia akiwa na umri wa miaka...

READ MORE

JPM Amuonya Mkandarasi, Ampiga Biti Katibu Mkuu – Video

    RAIS John Magufuli leo Jumamosi Januari 11, 2020,  anaendelea na ziara yake ya kikazi visiwani Zanzibar ambapo ameweka...

READ MORE

Breaking News: Aggrey Morris wa Azam FC Afiwa na Mkewe

NAHODHA  wa Azam FC, Aggrey Morris,  amefiwa na mkewe usiku wa leo jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya...

READ MORE

Mwanafunzi Aliyepata Div. 1 ya 7 Afariki Akitoka Kutazama Matokeo

MWANAFUNZI Honest Mulokozi Juventus aliyekuwa akisoma katika Seminari ya Rubya iliyopo Parokia ya Kasambya, Jimbo Katoliki la Bukoba mkoani Kagera, amefariki...

READ MORE

Habari Njema kwa Vijana Wenye Vipaji vya Public Speaking

KAMA wewe ni kijana na una kipaji cha kunena mbele za watu kwa lugha nyingine (PUBLIC SPEAKER) basi usikubali kupitwa...

READ MORE

Jokate, K-Lynn Wang’ara Afrika

DAR: Tanzania imeingia kwenye historia ya kipekee baada ya warembo wawili, Jacqueline Mengi Ntuyabaliwe ‘K-Lynn’ na Jokate Urban Mwegelo kung’ara...

READ MORE

Mama Rwakatare Kutoa Mtaji kwa Vijana Kesho Kanisani – Video

MCHUNGAJI wa Kanisa la Mikocheni B Assemblies of Gog ‘Mlima wa Moto’, Dkt. Getrude Rwakatare, ametangaza kutoa mitaji kwa waumini...

READ MORE

Lugola Awatimua Kazi Maofisa wa NIDA

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amemuondoa madarakani Afisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Mkoa...

READ MORE

Rasmi Samatta Aaga Genk

MSHAMBULIAJI wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mtanzania, Mbwana Samatta amewaaga wachezaji na viongozi wa timu hiyo tayari kwa safari yake...

READ MORE

Mahakama ya Kisutu Yatupilia Mbali Ombi la Meya Mwita

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita...

READ MORE

Rais Magufuli Atua Zanzibar Kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Tano

Rais Magufuli leo Ijumaa Januari 10, 2020 ameanza ziara ya kikazi ya siku tano visiwani Zanzibar. Rais Magufuli  ataweka jiwe...

READ MORE

Kidato cha 4 Anywa Sumu Baada ya Kupata Division Four

MWANAFUNZI Michael Aloni (20) Mkazi wa Kijiji Cha Ihanda mkoani Songwe amenusulika kifo baada ya kunywa sumu kufuatia kupata matokeo...

READ MORE

Wazazi Wamuua Mwalimu Kisa Matokeo Mabaya

WASHUKIWA wawili wamekamatwa baada ya kukashifiwa kwa kumuua mwalimu wa shule ya msingi kaunti ya Kitui. Wawili hao wanazuiliwa huku...

READ MORE

Bunge la Marekani Lazuia Vita Dhidi ya Iran

Bunge la Wawakilishi nchini Marekani limepitisha azimio linalolenga kumzuia Rais Donald Trump kupigana vita na Iran. Bunge hilo ambalo linafahamika...

READ MORE

Netflix Kuifuta Filamu Inayomwonesha Yesu Kama ‘Shoga’

Mahakama yaamuru mtandao maarufu wa kuonyesha filamu, Netflix kufuta filamu inayoonyesha Yesu kama mtu anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja.  ...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni kwa Kumuomba Rushwa ya Ngono Mwanafunzi Wake

Taasisi za ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha nchini Tanzania, inamshikilia mwalimu wa shule ya Sekondari,...

READ MORE

Basi Lapinduka Morogoro, 9 Wajeruhiwa

  WATU 9 wamejeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la kampuni Kidinilo kuacha njia jana Alhamisi Januari 9, 2020 na...

READ MORE