×

Habari

Mgambo Atokomea na Milioni 17 za Ushuru

Mgambo mmoja aliyekuwa akikusanya fedha za ushuru wa maegesho ya malori Igunga Mjini mkoani Tabora, Peter Areray amekimbia na fedha...

READ MORE

Kocha Lipuli Achachawa Kiwango cha Simba

KIKOSI cha Simba kilitua jana Alhamisi katika ardhi ya Iringa tayari kwa mchezo wao wa kesho Jumamosi dhidi ya Lipuli...

READ MORE

Dada wa Marehemu Balali Azidi Kusota Rumande

DADA wa aliyekuwa Gavana wa Banki Kuu, marehemu Daudi Balali, Elizabeth Balali (54) anayekabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, anaendelea...

READ MORE

Babu wa Miaka 78 Arejea kwa Mkewe Baada ya Miaka 26

MZEE Edward Mwangi (78) kutoka Gikangu kaunti ya Murang’a nchini Kenya aliondoka nyumbani kwake miaka 26 iliyopita baada ya kuzozana...

READ MORE

Ruvuma: Wanafunzi Watano Waliogongwa na Gari Wazikwa

WANAFUNZI watano wa shule ya msingi Ndelenyuma, Ruvuma, waliofariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya kugongwa na Land Cruiser juzi...

READ MORE

Amchinja Mkewe Mjamzito Siku ya Kupatana

ANTHONY ASENGA (33) mkazi wa Kijiji cha Mrere wilayani Rombo, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, Happiness...

READ MORE

Prof. Ndalichako Atoa Rai Kwa Watendaji Wa Wizara Yake Kusimamia Vizuri Fedha za Miradi

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ametoa rai kwa watendaji wa Taasisi zilizo chini ya Wizara...

READ MORE

Global Publishers Yaanzisha Shindano Kusaka Vipaji Vya Wazungumzaji Bora Kitaifa

KAMPUNI inayoongoza kwa uchapishaji magazeti nchini, Global Publishers imezindua rasmi shindano maalum la kusaka vipaji vya vijana wazungumzaji bora mbele...

READ MORE

Wachina Wanne Watimuliwa Kenya kwa Kumcharaza Mkenya

  RAIA wanne wa China waliokamatwa na Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wanatarajiwa kurudishwa kwao...

READ MORE

Malawi: Mahakama Yatupilia Mbali Rufaa ya Rais Mutharika

MAHAKAMA ya Katiba nchini Malawi imekataa rufaa iliyokatwa na Rais Peter Mutharika ya kupinga hukumu ya mahakama hiyo kumfutia ushindi...

READ MORE

Kidoa Mjamzito?

BAADA ya kudaiwa ni mjamzito kwa sasa, mwanadada Asha Salum ‘Kidoa’ ambaye alijipatia umaarufu kupitia uvideo queen na sasa amegeukia...

READ MORE

Benki ya CRDB Yatoa Udhamini Mnono Tamasha la Sauti za Busara!

Msimu wa 17 wa Sauti za Busara umeanza rasmi leo Alhamis ya Februari 13 hadi 17 utakaofanyika eneo la kihistoria...

READ MORE

Shilole Acharuka, Kisa………!

  MSANII wa muziki wa Bongo Fleva pia mjasiriamali maarufu, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amewacharukia wanaomsengenya kisa kutomzalia mumewe Ashraf Uchebe....

READ MORE

Mama Samia Suluhu Ashiriki Maadhimisho Ya Miaka 43 Ya CCM Dar

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam...

READ MORE

Rugemalira Acharuka Kortini, Atoa Notisi kwa Taasisi Tisa – Video

  Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira amewasilisha notisi kwa taasisi tisa...

READ MORE

Vijana 300 Wajitokeza Shindano La ‘Public Speaking’

ZAIDI ya vijana 300 wamejitokeza kushiriki Shindano la kusaka vipaji vya kuzungumza mbele ya hadhara ‘Public Speaking’  linalolenga kuwajengea uwezo...

READ MORE

Waziri wa Zamani Iddi Simba Afariki Dunia

Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara, Iddi Simba amefariki dunia leo saa Alhamisi Februari 13, 2020 saa 5 asubuhi...

READ MORE

Exim Bank Yachangia Mil. 25 Vitanda vya Wanafunzi Arusha

  Benki ya Exim Tanzania imechangia kiasi cha Sh milioni 25 kwa ajili ya ununuzi wa vitanda pacha (double deckers)...

READ MORE

Vodacom Wajanja Hawazimi Data – Video

Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom leo imezindua huduma yake mpya Wajanja hawazimi data. Katika huduma hiyo watumiaji wa...

READ MORE

Yondani: Nimerudi Kikosini, Mtafurahi

BEKI mkongwe wa Yanga, Kelvin Yondani amesema kuwa anafahamu alipoteza namba katika kikosi cha kwanza katika michezo iliyopita ya Ligi...

READ MORE

Maendeleo Bank Plc, Airtel Money na FSDT Waungana kuzindua Timiza Biashara

  Maendeleo Bank Plc leoimetangazakuunganana Airtel Money pamojana FSDT kwakuzinduakampeniya Timiza Biashara ambayoinalengakusaidiavikundividogovidogovyawajasiriamalimaarufukama Vicoba ilikuwezakuwekaakibapamojanakukopakwanjiayakidigitali (Kimtandao) zaidi.   MkurugenziMtendajiwa Maendeleo...

READ MORE

Vodacom Washusha Gharama za Bando ‘Wajanja Hatuzimi Data’ – Video

Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania, Linda Riwa. KAMPUNI ya Vodacom Tanzania leo Alhamisi, Februari  13, 2020, wamezindua vifurushi vipya...

READ MORE

Muuguzi Mbaroni kwa Kumtoa Mimba Mwanafunzi, Kumsababishia Kifo

MUUGUZI aliyetumbuliwa wakati wa kuondoa watumishi hewa mkoani Kagera, Dezber Solomon (49) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za...

READ MORE

Kisa Corona, Ighalo Apigwa Marufuku Mazoezi ya Man U

MSHAMBULIAJI mpya wa klabu ya Manchester United, Odion Ighalo amepigwa marufuku kujichanganya na wachezaji wenzake kwenye eneo la mazoezi la...

READ MORE

44 Waambukizwa Corona Meli, Abiria Wazuiwa Kutoka

WIZARA ya Afya ya Japan imethibitisha kuongezeka kwa watu wengine 44 wenye virusi vya Corona ndani ya meli ya Diamond...

READ MORE

Corona Yapewa Jina Jipya, Waliofariki Wafikia 1,113 – Video

IDADI ya waliofariki kwa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona imefikia 1,113, huku watu 38,800 wakiendelea na matibabu...

READ MORE

KOIKA, Exim Bank Waipiga Jeki  Shule Ya Mrisho Gambo

Shirika la Ushirikiano wa Maendeleo Korea (KOICA )limetoa msaada wa wataalamu 10 waliobobea katika masomo ya Sayansi na TEHAMA, kwa...

READ MORE

Rais Moi Azikwa Karibu na Bibi Yake

MIAKA 42 iliyopita, taifa lilimpoteza Rais Mwanzilishi wa Jamhuri ya Kenya ndiye Mzee Jomo Kenyatta. Rais huyo wa kwanza, aliaga...

READ MORE

Kenyatta Asimulia Mzee Moi Alivyokuwa Mkali – Video

Rais wa awamu ya pili wa Kenya hayati Daniel arap Moi amezikwa hii leo baada ya jeshi kutoa heshima kwa...

READ MORE

Madiwani Watano wa Zitto Watimkia CCM – Video

Madiwani watano wa Chama cha ACT Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe, wamejiuzulu nyadhifa zao zote katika chama hicho na kuomba...

READ MORE

Kamati Kuu CCM Yatoa Siku 7 Sakata la Membe, Kinana na Makamba

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyoketi Chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt John Magufuli imepokea taarifa ya awali...

READ MORE

Moto Wateketeza Vibanda 65 vya Machinga Mwanza

VIBANDA zaidi ya 60 vya Wamachinga vimeteketea kwa moto mkubwa uliozuka majira ya saa 9 alfajiri leo Jumatano, Februari 12,...

READ MORE

Marekani: Kobe Bryant na Mwanaye Gigi Wazikwa kwa Siri

VYOMBO mbalimbali vya habari nchini Marekani vimethibitisha kuwa mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu, Kobe Byrant (41) na mwanaye, Gianna...

READ MORE

Balozi Kairuki: Serikali Haitawarudisha TZ Wananfunzi Walioko China

BALOZI wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amesema wanafunzi wanaosoma katika mji wa Wuhan hawawezi kurudi kwa sababu kuna katazo...

READ MORE

Hotuba ya Kikwete, Mkapa, Wakiaga Mwili wa Moi – Video

Marais wastaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete baada ya kutua Jijini Nairobi kwa ajili ya mazishi rasmi ya...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Mbaroni Kwa Ulawiti Mwanafunzi

MWALIMU Mkuu wa Shule ya Chekechea ya Future iliyopo Msongola, Ilala jijini Dar, yamemkuta mazito. Mwalimu huyo aliyetajwa kwa jina...

READ MORE

Mazishi ya Rais Moi, Barabara Zafungwa Nairobi

MALORI na magari mengine ya mazigo hayaruhusiwi kutumia barabara kuu ya Nairobi – Eldoret huku maelfu ya waombolezaji wakitumia barabara...

READ MORE

Safari ya Mwisho ya Rais Moi Yaanza Kabarak Nakuru

MWILI wa aliyekuwa rais mstaafu wa Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi,  umesafirishwa kwa ndege ya kijeshi kutoka Nairobi ukipelekwa nyumbani...

READ MORE

Katibu Mkuu Apata Ajali Akienda Maziko ya Moi

KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Kenya kiitwacho Jubilee, Raphael Tuju,  amepata ajali katika eneo la Magina, Barabara Kuu ya...

READ MORE

Madee Ampa Neno Kali Mchumba Mpya wa Dogo Janja

RAPA maarufu nchini, Hamad Ally ‘Madee’ amemweleza mpenzi mpya wa kijana wake, Dogo Janja aitwaye Quenlinnah kwa kumwambia ategemee mengi...

READ MORE