×

Habari

Mbowe: “Serikali Inaongozwa Kibabe”…. Majaliwa Amjibu – Video

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema vyama vya siasa nchini havijazuiwa kufanya shughuli zake za kisiasa isipokuwa kumewekwa utaratibu wa vyama...

READ MORE

Marekani: Seneti Lamfutia Mashtaka Trump -Video

BUNGE la Seneti limemfutia Rais wa Marekani, Donald Trump kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuingilia Bunge, na hivyo...

READ MORE

UNDANI MAFUTA YA UPAKO NI HUU

  BAADA ya watu 20 kufariki dunia kwa kukanyagana mjini Moshi wakigombea kukanyaga mafuta yanayoitwa ya upako, wengi wamekuwa wakijiuliza...

READ MORE

NMB Kuunga Mkono Juhudi za Serikali

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)  Mhe. Selemani Jafo akisalimiana na Mkuu wa...

READ MORE

Breaking: Moto Mkubwa Unateketeza Nyumba Kigamboni – Video

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba moto mkubwa ambao chanzo chake hakijafahamika umezuka ghafla na kuteketeza nyumba maeneo ya Kigamboni...

READ MORE

Kabudi: Uhusiano wa TZ na Benki ya Dunia ni Imara, Puuzeni ya Mitandaoni

Benki ya Dunia imesema mahusiano na baina ya Serikali ya Tanzania na benki hiyo ni imara na kuihakikishia Tanzania ushirikiano...

READ MORE

Rais Magufuli Amwaga Mil 600 kwa Halima Mdee – Video

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo February 05  amethibitisha kupokea kiasi cha Shilingi Milioni...

READ MORE

Waliokufa Kwa Corona China Wafikia 492

IDADI ya vifo kutokana na virusi vya corona imepanda na kufikia watu 492 nchini China, huku visa vipya kwenye meli...

READ MORE

Hakimu Ataka Serikali Ikamilishe Upelelezi Kesi ya Magoti

UPANDE wa mashitaka umetakiwa kukamilisha upelelezi wa kesi ya utakatishaji fedha wa zaidi ya Sh. mil.  10 inayowakabili Afisa wa...

READ MORE

Vigogo 6 wa Lugola Wafika TAKUKURU na Laptops Walizopewa Ulaya

WALIOKUWA wajumbe wa kamati ya utekelezaji wa makubaliano yaliyosainiwa Agosti 22, 2019, kati ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na...

READ MORE

Betika Latua kwa Wafanyabiashara Kinyerezi, Tabata Segerea

MAPEMA leo Jumatano, Februari 5, 2020, timu ya maofisa masoko ya Global Publishers imetembelea maeneo ya Kinyerezi, Tabata Segerea ambapo...

READ MORE

Video: WAITARA Awakaanga CHADEMA Bungeni – ‘Si MLISUSA Nyie!’

 NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa  na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara, amesema jalada la uchaguzi wa serikali...

READ MORE

Spika Aichanachana Hotuba ya Rais Trump Mbele Yake

BAADA ya Rais wa Marekani, Donald Trump,  kususia mkono wa Spika wa Bunge la Wawakilishi nchini Marekani, Nancy Pelosi,  spika...

READ MORE

Makocha Wageni Wabanwa Bungeni

SERIKALI imezitaka timu zote za mpira zinazoajiri makocha na wachezaji kutoka nje ya nchi kutoa taarifa kwa Mamlaka ya Mapato...

READ MORE

Wema Kutoa Mimba Mbili za Kanumba, Mama Aangua Kilio Upya

MACHOZI! Staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amemliza upya mama wa aliyekuwa mwigizaji maarufu Bongo, marehemu Steven...

READ MORE

Mafurikio Hanang, Hali ni Tete!

KAYA 91 katika kijiji cha Bassotu wilayani Hanang mkoa wa Manyara zimezingirwa na maji hali iliyosababisha wayahame makazi yao baada...

READ MORE

Mtoto Darasa la 3 Apewa Mimba na Dereva Bodaboda

MTOTO mwenye umri wa miaka 13 (jina lake limehifadhiwa) ambaye alikuwa akisoma katika Shule ya Msingi Msakila Halmashauri ya Manispaa...

READ MORE

Waliomteka Mo Hakimu Aibua Jipya Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetaka kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili dereva tksi, Mousa Twaleb, kuendelea bila washtakiwa wengine ambao...

READ MORE

Askari Waliofariki kwa Ajali Njombe Waagwa

MAMIA ya wananchi wamejitokeza jana, Jumanne, Fenruari 4, 2020, katika viwanja vya jeshi la polisi mkoani Njombe kuaga miili ya...

READ MORE

Wawili Wakamatwa na Dawa za Kulevya

MAMLAKA  ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imeendelea na kasi yake ya kuumaliza mtandao wauzaji na watumiaji...

READ MORE

Januari Ilikuwa Nyepesiiiii Kwa Real Madrid

VIPI Januari ilikuwaje kwako? Watu wengi wanasherehekea kuvuka mwezi Januari ambao kwa wengi huwa ni mgumu lakini Real Madrid, huo...

READ MORE

Serikali Kupanda Miti Bilioni 1 Mlima Kilimanjaro

SERIKALI imeandaa programu mbalimbali za kutunza mazingira ikiwa ni pamoja na kupanda miti zaidi ya bilioni moja katika eneo la...

READ MORE

Mbunge: Wabakaji Hawakomi, Waondolewe Kizazi, Miaka 30 Haitoshi – Video

  Serikali imesema haiwezi kuongeza adhabu kali kwa wabakaji zikiwemo adhabu za kuhasiwa kwani zilizopo ni kali na zinatosha.  ...

READ MORE

Breaking: Mwamposa Aachiwa Na Polisi Kwa Dhamana

Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro leo Jumanne 4, 2020 limewaachia kwa dhamana watu nane akiwemo Mtume na Nabii, Boniface Mwamposa...

READ MORE

Kilichoua Wanajeshi 10 Bagamoyo, CDF Mabeyo Ataja Sumu – Video

JESHI la Ulinzi la Tanzania limetangaza kuwa askari 10 wa jeshi hilo wamepoteza maisha wakati wakifanya mazoezi.   Hayo yamethibitishwa...

READ MORE

Mahakama Yaamuru Rais Zuma Akamatwe

MAHAKAMA ya juu ya Pietermaritzburg nchini Afrika Kusini imetoa hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma....

READ MORE

Madaktari Vijana Watuhumiwa Kuwatongoza Wagonjwa

CHAMA Cha Mapinduzi Mkoa wa Singida, kimeibua tuhuma nzito kwa madaktari wa Hospitali ya Rufaa mkoani hapa, ikiwamo madai ya...

READ MORE

Wapinzani Wataka Kiongozi Aliyemkashifu Rais Aachiwe

MWANASIASA wa muungano wa upinzani wa Lamuka nchini Congo DR unaoongozwa na Martin Fayulu, wamevitaka vyombo vya usalama kumwachilia huru...

READ MORE

Membe Aitwa CCM Kuhojiwa: ‘Nitahudhuria Mapema Bila Kukosa’

  KUPITIA ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Twitter, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe,  amesema ameitwa jijini...

READ MORE

Ishu ya Steve Nyerere, Kigwangala Amjibu Msigwa, Diamond Atajwa – Video

WAZIRI wa maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla, amefafanua Bungeni sababu za kuwatumia watu maarufu kwenye kutangaza utalii akiwemo mwanamuziki,...

READ MORE

Kauli ya Mwisho Mbongo Aliyeuawa Sauzi Inauma

MAMBO mawili yaliyoumiza wengi juu ya kifo cha Mtanzania, Shabani Ally aliyekutwa amefariki dunia ndani ya gari lake baada ya...

READ MORE

Wanafunzi 14 Wafariki kwa Kukanyagana

WANAFUNZI  14 wa shule ya msingi Kakamega nchini Kenya wamefariki baada ya kupata taharuki na kukanyagana shuleni.   Mkuu wa...

READ MORE

Rais Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi Kifo cha Rais Moi

Rais  Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa niaba ya Watanzania kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia kifo cha aliyekuwa...

READ MORE

Mfahamu Rais Daniel arap Moi ‘Profesa wa Siasa’

Daniel arap Moi alizaliwa Septemba 2, mwaka 1924, katika jamii ya wakulima katika Kaunti ya Baringo, katikati magharibi mwa Kenya....

READ MORE

Breaking News: Rais Mstaafu Moi Afariki Dunia

RAIS Mstaafu wa Kenya, Daniel arap Moi, amefariki dunia akiwa na miaka 95, rais Uhuru Kenyatta athibitisha. “Kwa masikitiko makubwa...

READ MORE

Yanga Hii Mtateseka Sana

YANGA imeshashika kasi yake. Kama ni gari tayari limeshakoleza moto na kwa mwendo huu, wapinzani wao watateseka sana. Yanga juzi...

READ MORE

Rais JPM Ampa ‘Vyeo Viwili’ Dkt. Abbas – Video

Dkt. Hassan Abbasi, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ataendelea kutumikia cheo chake cha awali cha Msemaji...

READ MORE

Vifo vya Watu 20, Mwamposa Abebeshwa Zigo la Gharama za Mazishi

  SERIKALI imesema, Kanisa la Inuka Uangaze la Mchungaji Boniface Mwamposa, lina jukumu la kugharamia msiba wa watu 20 waliofariki...

READ MORE