×

Habari

Makaburi Sita ya Umati Yenye Maiti 6000 Yagunduliwa Burundi

KAMISHENI ya Ukweli na Maridhiano ya Burundi imetangaza habari ya kugundua makaburi sita ya umati yenye maiti 6000 katika mkoa...

READ MORE

CHAN: Taifa Stars Yapangwa na Wababe Hawa

Droo ya michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN 2020 imepangwa usiku wa jana, Februari 17, 2020...

READ MORE

Rais JPM Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu...

READ MORE

Zitto Ajilipua: “Nimesaini Kufa, Siogopi – Video

Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jana Jumatatu...

READ MORE

Nabii Bendera Amwangushia JPM Maombi Mazito – Video

MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufunuo, Askofu  Paul bendera amemwangushia maombi mazito Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John...

READ MORE

Zitto Kabwe Achukua Fomu

Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe leo Februari 18, jijini Dar es Salaam amechukua fomu ya kuomba kugombea...

READ MORE

Mahakama Yasema Zitto ana Kesi ya Kujibu Uchochezi

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyopo jijini Dar es Salaam, imemkuta na kesi ya kujibu Mbunge wa Jimbo la...

READ MORE

Watoto Wafariki kwa Kujipikia Chakula Chenye Sumu

WATOTO wawili wamefariki dunia huku wengine 11 wakipelekwa hospitali baada kula vitafunwa mfano wa hamri vinavyosadikiwa kuwa na sumu nchini...

READ MORE

Mama Amchoma Moto Mwanae wa Kumzaa, Kisa Kitakushangaza – Video

MWANAMKE mmoja aliefahamika kwa jina la Agatha Julius (21), anatuhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha kwa kumchoma moto mwanae wa kumzaa...

READ MORE

Katibu Mkuu Chadema, Dkt. Mashinji Atimkia CCM – Video

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Vicent Mashinji,  amekihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumatatu, Februari...

READ MORE

Kitoto Kichanga Chatupwa Kichakani

MTOTO wa siku moja mwenye jinsia ya kike, amekutwa ametupwa kwenye kichaka [akiwa amefariki ]katika kata ya mlimba, tarafa ya...

READ MORE

Amber Rutty Yamkuta Tena, Aburuzwa na Polisi Akiwa Mtupu – Video

AKIWA bado anakabiliwa na kesi mahakamani, msanii Amber rutty, amekutwa na mazito baada ya aliekuwa mpenzi wake, Said Mtopali akiwa na...

READ MORE

Lema Awatibua Polisi, Wampa Onyo ‘Kaa Mbali Kabisa’ – Video

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Jonathan Shana,  amemkanya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kuacha tabia ya kupenda...

READ MORE

TECNO Yafungua Duka Kubwa la Kisasa Arusha

Kampuni ya simu za mkononi TECNO imezindua duka kubwa la simu, maarufu ‘Smarthub’ jijini Arusha ambalo linatoa huduma mbalimbali. Akizungumza...

READ MORE

Breaking News: Moto Wateketeza Maduka Tegeta-Nyuki Dar

MADUKA saba katika soko la Tegeta-Nyuki Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam yameteketea kwa moto leo asubuhi Februari 18,...

READ MORE

Balaa la Lukuvi Lamkumba Ofisa Aliyetajwa na JPM

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , William Lukuvi, amemsimamisha kazi ofisa ardhi wa Wilaya ya Kigamboni ambaye...

READ MORE

Mwafrika wa Kwanza Apona Corona “Sikutaka Kupeleka Ugonjwa Afrika”

KEM Senou Pavel Daryl,  kijana raia wa Cameroon aliyepatwa na ugonjwa wa homa kali inayosababishwa na virusi vya Corona, alithibitika...

READ MORE

Mkandarasi Atii Agizo La Rais, Aanza Ujenzi Wa Barabara Kigamboni

Mkandarasi anayejenga barabara yenye urefu wa kilomita 1.2 kutoka Daraja la Nyerere hadi Feri – Kibada ametii agizo la Rais...

READ MORE

Mwanamuziki Mashuhuri Rwanda Ajinyonga

POLISI nchini Rwanda leo Februari 17,  2020,  imetangaza kifo cha mwanamuziki mashuhuri nchini humo, Kizito Mihigo (38), ambaye inadai kuwa...

READ MORE

‘National Public Speaking Competition’… Mkombozi Kwa Vijana Kutimiza Ndoto

TANZANIA na Dunia kwa ujumla inahitaji watu hususani vijana wenye uwezo wa kuzungumza kwa usahihi mbele ya hadhara. Kila nyanja...

READ MORE

Video: HARMONIZE Amkosha MAGUFULI, Aimba LAIVU Uzinduzi wa TASAF

Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize leo Februari 17, 2020 amefanya shoo mbele ya Rais Dkt John Magufuli akizindua kipindi cha...

READ MORE

Video: RC MAKONDA Amwambia MAGUFULI – ‘MKAPA Alinipa NAULI’

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Feburuari 17, 2020 amesema TASAF ya Awamu iliyopita imewanufaisha sana...

READ MORE

Wananchi Chumbuni Zanzibar Wanufaika na Gari La Kubeba Wagonjwa

  Mbunge wa jimbo la Chumbuni Ussi,  Salum Pondeza amesema wakati wanaingia madarakani miaka mnne liyopita katika jimbo hilo kulikuwa...

READ MORE

Sven Akoshwa Na Clean Sheet Za Manula

KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck, amefunguka kuwa amekoshwa na uwezo wa kipa wake Aishi Manula na mabeki wake kutokana na...

READ MORE

Benki Ya CRDB Yanogesha Tamasha La Sauti Za Busara- Zanzibar

Zanzibar, 16 February 2020. Benki ya CRDB imeelezewa kuwa mdau muhimum katika kufanikisha tamasha kubwa la kila mwaka la kimataifa...

READ MORE

NMB Kuhakikisha Mkoa wa Songwe Unakuwa Kiuchumi Kupitia Uwekezaji

      WAZIRI  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Angela Kairuki amewata wawekezaji wa ndani na nje ya...

READ MORE

Miaka 2 Baada ya Kuachana… Zari Aaanza Vita Mpya na Mondi

PASI na shaka, mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’...

READ MORE

Video: Msigwa Amjibu Steve Nyerere ‘Siwezi Kucheza Kwenye Kuku Mimi Ni Tai!’

Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini amepata wasaa wa kuzungumza na Global TV akielezea mambo...

READ MORE

Mageuzi Makubwa Yaliyofanywa na DCB

  KATIKA kuhakikisha wazazi na walezi wanakuwa na uhakika wa elimu ya watoto wao, Benki ya Biashara ya DCB imeongeza...

READ MORE

Mbunge Cecil Mwambe Ajitoa Chadema Arejea CCM – Video

Mbunge wa Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe amejiuzulu uanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania na kujiunga na CCM...

READ MORE

Wasomaji wa Gazeti la Championi, Mbezi Mwisho, Goba Wajinyakulia Mtonyo wa Mr. Championi

  IKIWA ni mwezi mmoja sasa umetimia tangu Gazeti namba moja la Michezo na Burudani Tanzania la Championi kuingia mtaani...

READ MORE

Kili Canvas Yawa Kivutio Kwa Wakimbiaji Dar

Dar es Salaam Februari 15, 2020: Kili Canvas iliyozinduliwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia Bia yake ya Kilimanjaro...

READ MORE

StarTimes Yazindua Tamthilia Mpya – Video

KAMPUNI ya Star Media, kupitia king’amuzi chake cha StarTimes, imezindua tamthilia mpya ya Razia Sultan, ambayo imekuja baada tu ya...

READ MORE

GSM  Wazindua Shoexpress Dodoma

KAMPUNI ya GSM Group jana  Februari 14, mwaka 2020, ilizindua duka kubwa la kuuza viatu vya kisasa na vyenye ubora...

READ MORE

Serikali Yamsaka Nabii Anayejitangaza Kugundua Tiba ya Corona

SERIKALI  imemuonya vikali mtu anayejiita Nabii Namba Saba ambaye jina lake halisi ni Mosses Mollel kuwa itamchukulia hatua kali iwapo...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Februari 15, 2020 (Picha +Video)

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 15, 2020. Ni yale ya...

READ MORE

Iddi Simba Akizikwa Dar, Vilio Na Majonzi Vyatawala

Vilio na majonzi vilitawala leo Februari 14, 2020 wakati mwili wa Waziri wa zamani wa Serikali ya Awamu ya Tatu,...

READ MORE

Zahera: Huyu Morrison Ndiye Nilikuwa Namtaka

KOCHA wa zamani wa Yanga, raia wa DR Congo, Mwinyi Zahera amekiri wazi kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Benard Morrison...

READ MORE

Kijiji Chawatimua Watatu kwa Uchawi

WANANCHI wa kijiji cha Mahulu wilayani Makete mkoani Njombe, wamewatimua kijijini hapo wananchi watatu waliopigiwa kura nyingi wakiwatuhumu kuwa ni...

READ MORE