×

Habari

Mwl. Mkuu Akamatwa Baada Binti Aliyemkana Kukamatwa

Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma, ACP Martin Ottieno amesema tayari jana usiku wamemkamata kwa mara nyingine Mwalimu mkuu wa Shule...

READ MORE

IGP Sirro Abadilisha RPC Wanne

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amefanya mabadiliko ya kikazi kwa makamanda wakuu wa mikoa minne. Taarifa...

READ MORE

Benki Kuu (BoT) Yakanusha Kutoa Sarafu ya Sh. 3,000

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kwamba mwezi Julai, mwaka huu, (2019)  ilitoa sarafu ya kumbukumbu ya...

READ MORE

Mwandishi Kabendera afanyiwa vipimo

MWANDISHI wa habari za uchunguzi nchini Tanzania, Erick Kabendera, anayetuhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi, ameieleza mahakama nchini humo kuwa...

READ MORE

Jamhuri Yamuwekea Pingamizi Aliyefungua Kesi Ya Ukomo Wa Urais

Jamhuri imemuwekea pingamizi Mkulima Patrick Dezydelius Mgoya aliyefungua kesi ya Kikatiba inayohoji ukomo wa kipindi cha Urais wa Tanzania.  ...

READ MORE

Bocco Nje Mwezi Mzima, Kagere Naye Majanga

MAJANGA juu ya majanga! Ndiyo neno jepesi unaloweza kulitumia kwa mshambuliaji na nahodha wa Simba, John Bocco ambapo licha ya...

READ MORE

Sita Kizimbani kwa Kukutwa na Pembe za Ndovu

WATU sita wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akiwemo Hassan Likwena maarufu kwa jina la ‘Nyoni’, wakikabiliwa na...

READ MORE

Coco Beach Yafungwa

MEYA wa Kinondoni, Benjamin Sitta,  ametangaza rasmi kufungwa kwa ufukwe wa Coco Beach kwa miezi Sita ili kupisha ujenzi wa...

READ MORE

Wanafunzi Wanaodaiwa Kuua Waruhusiwa Kujiandaa na Mtihani

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Katoro Islamic wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya mwanafunzi mwenzao, Mudy Muswadiku, wameruhusiwa kujiandaa na mtihani...

READ MORE

Bigirimana Amtaka Molinga First Eleven

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mnyarwanda, Issa Bigirimana, amesema kuwa wiki ijayo ataanza mazoezi rasmi na timu huku akimwambia kocha wake...

READ MORE

Mwalimu bora duniani kutoka Kenya akutana na Trump

  BROTHER TABICHI ni mtawa wa Shirika la Kikatoliki la Mtakatifu Fransisco wa Capuchini na alishinda tuzo ya mwalimu bora...

READ MORE

Kesi ya Mo Dewji Kutekwa Ilipofikia

UPANDE  wa Jamhuri katika kesi inayomkabili dereva wa teksi mkazi wa Tegeta, Mousa Twaleb (46),  ya uhujumu uchumi ikiwamo kusaidia...

READ MORE

Vodacom wazindua Mtandao Supa

Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi inayoongoza Tanzania Vodacom Tanzania PLC leo imezindua kampeni yake ya Mtandao Supa yenye...

READ MORE

Mwandishi wa Habari Godfrey Dilunga Afariki Dunia

  ALIYEKUWA  Mhariri wa Gazeti la Jamhuri, Godfrey Dilunga, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Septemba 17, 2019, katika...

READ MORE

Binti Miaka 19 Ajifungua Watoto Watano Tabora – Video

BINTI mwenye umri wa miaka 19, Monica David, aliyekuwa na ujauzito wa miezi mitano amejifungua watoto watano katika muda wa...

READ MORE

TIGO YANG’ARISHA MKUTANO WA MAWAZIRI WA SADC

NCHI za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), zipo katika mkakati wa kuwa na mfumo satelaiti ambao utawezesha taarifa...

READ MORE

Makonda Aunda Kamati Kufuatilia Machinjio Vingunguti, Coco Beach

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo Jumanne Septemba 17, 2019 ameunda kamati maalumu kusimamia utekelezaji wa...

READ MORE

Mbowe, Wenzake Washindwa Kujitetea Mahakamani

VIONGOZI tisa wa Chama chas Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, wameshindwa kuanza kujitetea katika kesi ya...

READ MORE

JPM Azuia Ushuru Machinjio Vingunguti, Amwagiza Makonda

RAIS  John Magufuli ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Ilala kutochangisha fedha katika machinjio ya Vingunguti hadi pale watakapokamilisha ujenzi wa...

READ MORE

Mwanafunzi Amkana Mwalimu Aliyedaiwa Kumpa Mimba

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemwachia huru Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyantore iliyopo katika Halmashauri ya...

READ MORE

Majaliwa Awasimamisha Kazi Watumishi Wanane Ulanga

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, amewasimamisha kazi watumishi wanane  wa halmashauri ya wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro na kuagiza wafikishwe mahakamani...

READ MORE

BREAKING: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa DC na DED Wilaya Ya Malinyi Moro

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, Majula Mateko Kasika na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri...

READ MORE

Jela Miaka 60 kwa Kuvutisha Bangi watoto na Kuwalawiti

MAHAKAMA ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara, imemuhukumu Nyamasheki Malima (41), kifungo cha miaka 60 jela, kwa kumkuta na hatia...

READ MORE

JPM Ataja Sababu Ndege ya ATCL Kukamatwa Sauz – Video

RAIS John Magufuli amesema kuwa sababu ya ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kukamatwa nchini Afrika Kusini ni...

READ MORE

Mwendesha Baiskeli Afariki Akikwepa Ndege

MWANAMME mmoja raia wa Australia amefariki dunia katika ajali ya baiskeli wakati akijaribu kukwepa ndege aina ya kwenzi aliyekuwa akipaa...

READ MORE

Mzee Akilimali: Waganga Wamenifilisi, Sitasahau – (Picha + Video)

  KATIBU wa Baraza la Wazee la Klabu ya Yanga, Ibrahim Akilimali maarufu kama Mzee Akilimali, kwa sasa ni mgonjwa...

READ MORE

Majaliwa Awafanya Kitu Mbaya Watumishi 7 Walioiba Bil 1.3

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi saba katika halmashauri mbili za wilaya ya Kilombero kwa tuhuma za ubadhilifu wa...

READ MORE

Haijawahi Kutokea…. Bei ya Mafuta Yapanda Dunia Nzima

  BEI ya mafuta imepanda kwa kiwango cha juu kuwahi kushuhudiwa katika miezi minne baada ya mashambulio mawili dhidi ya...

READ MORE

Trump Athibitisha Marekani Kumuua Mtoto wa Osama

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amethibitisha kwamba Hamza Bin Laden mwana wa mwanzilishi wa kundi la Al Qaeda, Osama Bin...

READ MORE

Shinyanga: Madereva Bodaboda 57 Wanyakuliwa

MADEREVA pikipiki maarufu kama bodaboda 57 wamekamatwa na Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani mkoani Shinyanga baada ya kubainika...

READ MORE

EXCLUSIVE VIDEO: KUTANA NA WATOTO WAIGIZAJI, WANA KIPAJI BALAA!

KIPAJI Ni Hazina, haijalishi mwenye kipaji ni mtoto au mkubwa, lakini tu mtu mwenye kipaji anatakiwa kupewa sapoti kubwa ili...

READ MORE

Ummy Asema Hakuna Ebola Tanzania – Video

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amewatoa wasiwasi Watanzania juu ya uvumi wa kuwepo...

READ MORE

Walimu 10 Mbaroni kwa Wizi wa Mitihani Darasa la 7

POLISI mkoani Kagera linawashikilia walimu kumi  kwa tuhuma za kujihusisha na udanganyifu wa mtihani wa darasa la saba wilayani Ngara...

READ MORE

PROF. NDALICHAKO AWATAKA WALIMU KUJIWEKEA AKIBA

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, amewataka walimu kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba na kwamba akiba...

READ MORE

Biashara Ya Nyeti Bandia Gumzo Bongo – 2

Dar es Salaam: Katika uchunguzi wake wa kina wa wiki kadhaa jijini Dar, Gazeti la Ijumaa lilibaini kushamiri kwa biashara...

READ MORE

Ofisa Benki Atumbuliwa kwa Kulala na Wanaume 200

WANANCHI nchini Zambia wameshangazwa na habari kwamba ofisa mmoja mwanamke wa Benki ya Taifa ya Biashara ya Zambia (ZANACO), amesimamishwa...

READ MORE

Shigongo Awapa ‘Madini’ TCRA-SACCOS – Video

MHAMASISHAJI namba moja Afrika Mashariki na Kati, Eric James Shigongo, amewapa ‘madini’ wana-Ushirika wa Chama cha Kuweka na Kukopa cha...

READ MORE

Majaliwa: Waliozembea Ajali ya Moto Moro Wachukuliwe Hatua

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezielekeza mamlaka husika ziwachukulie hatua za kinidhamu watu wote ambao hawakutekeleza majukumu yao ipasavyo kufuatia tukio...

READ MORE