×

Habari

Baba Levo Aongezewa Hukumu Jela

 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kigoma imemuongezea hukumu Diwani wa Kata ya Mwanga (ACT-Wazalendo), Clayton Chipando ‘Baba Levo’,  kutoka miezi mitano...

READ MORE

Mtihani Darasa la 7, DED Aagiza Kuvunja Makundi Yote WhatsApp

Halmashauri ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma imevunja makundi yote ya ‘WhatsApp’ ya waratibu elimu msingi ili kuepuka udanganyifu katika...

READ MORE

Nape Amuomba Radhi Magufuli – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Nape Nnauye, leo Septemba 10, 2019,  amekutana na kumuomba radhi Rais na...

READ MORE

Mwalimu mbaroni ubakaji wa mwanafunzi ofisini

JESHI la polisi Mkoa wa Mara limemkamata mwalimu wa Shule ya Msingi ya Bwai A, Lazaro Mmanga, kwa tuhuma za...

READ MORE

Taarifa kwa Umma Kuhusu Tetemeko la Ardhi Katavi

TAREHE  9/09/2019 majira ya saa 9:38 usiku kumetokea tetemeko la ardhi katika kijiji cha Sibwesa Kata ya Sibwesa karibu na...

READ MORE

Watuhumiwa Wizi wa Dhahabu Wafikishwa Mahakamani

WATUHUMIWA 10 wanaodaiwa kuwa ni wafanyabiashara wa madini wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya ambapo watano kati...

READ MORE

Breaking: Mchungaji wa Wake 3 Ahukumiwa Jela na Wake Zake – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemhukumu mchungaji wa Kanisa la The Early Church of Lord Yeshwah,...

READ MORE

Mugabe Alivyomwokoa Mwinyi Mwaka 1985- Video

RAIS mstaafu wa serikali ya awamu ya pili ya Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, amesema kuwa alipoingia madarakani mwaka 1985, alikuta...

READ MORE

Maajabu! Bibi wa Miaka 74 Ajifungua Mapacha – Video

KIKONGWE mmoja aitwaye Erramatti Mangayamma mwenye umri wa miaka 74 katika jimbo la Kusini mwa India la Andhra Pradesh jijini...

READ MORE

Lugola Aagiza Nabii Eliya Mahela Akamatwe – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, ametua katika kanisa Pentecostal Power Ministry na kuamuru kukamatwa kwa mchungaji wa kanisa...

READ MORE

Speakers Conference: Shigongo, Harris Kapiga Wawanoa Vijana – Video

HATIMAYE ule mkutano wa kihistoria na wa aina yake uliopewa jina la Speakers Conference umefanyika Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa...

READ MORE

Hatimaye Kigwangalla Ajivua Uanachama

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Hamisi Kigwangalla, ametangaza kujiondoa kwenye uanachama wa Chama cha Mabaharia na kueleza tangu mwanzo kulikuwa...

READ MORE

‘Mzimu’ wa Ajali ya Lucky Vincent Bado Unatesa

ZAIDI ya ajali tatu mbaya zimeripotiwa kutokea tena katika barabara ileile ilipotokea ajali ya wanafunzi ya Shule ya Msingi, Lucky...

READ MORE

Lukuvi Azindua Ulipaji Kodi kwa Njia ya Airtel Money – Video

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amezindua huduma ya ulipaji kodi ya pango la ardhi kwa...

READ MORE

Exclusive: Mizengo Pinda Anavyopiga Mkwanja Shambani! – Video

WAKATI wastaafu mbalimbali nchini, hasa baadhi ya viongozi waliowahi kushika nyazfa tofauti tofauti nchini kuhamia nchi za nje na kufungua...

READ MORE

Ndugai Amjibu Lissu: Sijakuonea, Umeyataka Mwenyewe – Video

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amesema Mbunge Miraji Mtaturu, ni mbunge halali wa Singida Mashariki, kwa mujibu wa sheria baada...

READ MORE

Wanafunzi Chuo cha Ualimu Wajikuta Mikononi mwa Polisi

WANAFUNZI zaidi ya 400 wa Chuo cha Ualimu Moshi zamani Mong’are kilichopo Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro wamefunga barabara na...

READ MORE

Breaking: Kesi Kuvuliwa Ubunge, Maombi ya Lissu Yatupwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar  es Salaam, imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu kupinga uamuzi wa Spika wa Bunge, Job...

READ MORE

Rc Makonda Amkabidhi Kaseja Milioni 10 Alizomwaahidi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo September 09 amemkabidhi Mlinda Mlango wa Timu ya Taifa...

READ MORE

Wakili Ndege Kukamatwa ‘Sauzi’: Mlipeni Mkulima Fedha Zake – Video

MBUNGE   jimbo la Ulanga, mkoani Morogoro,  Goodluck Mlinga, ametoa pendekezo akimwomba Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuwaalika bungeni mawakili na...

READ MORE

Uamuzi Kesi ya Tundu Lissu Kutolewa Leo

 MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam, leo Septemba 9, 2019, inatarajiwa kutoa uamuzi wa kesi ya aliyekuwa Mbunge wa...

READ MORE

Mwili wa Mugabe Kuwasili Jumatano, Kuzikwa Jumapili

MWILI wa rais mstaafu wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe unatarajiwa kuwasili nchini humo Jumatano, Septemba 11, mwaka huu na mazishi...

READ MORE

Costech Yamwaga Milioni 320 kwa Vijana Wabunifu wa Dijitali

  TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH ), kwa kushirikiana na Ubalozi wa Denmark nchini, imekabidhi mtaji wa...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Laipiga Katavi – Video

TETEMEKO kubwa la ardhi limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 9:30 (usiku wa kuamkia leo) mkoani Katavi na...

READ MORE

Kaseja: Sijawahi Kufundishwa Kudaka Penalti – Video

MLINDA mlango wa timu ya taifa (Taifa  Star), Juma Kaseja, amesema kuzuia mikwaju ya penalti dhidi ya timu ya Burundi...

READ MORE

Wampa chatu mbuzi kukwepa majanga! – Video

WANANCHI mkoani Geita, kijiji cha Kasala kata ya Makulugusi wilayani Chato hivi majuzi wakijikita katika kile walichokiita  baraka kwa kumpa...

READ MORE

Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Afunga Mashindano ya Mchezo wa Golf

    MNADHIMU Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Mohamed Yacoub amefunga rasmi Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Mkuu wa...

READ MORE

Twendeni kwa wingi Taifa tukaisapoti Stars leo

TAIFA Stars inakipiga jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa. Inacheza na Burundi katika mechi ya kuwania kufuzu Kombe Dunia....

READ MORE

Wakala wa Tigo Pesa Tanzania wazidi kupata mafanikio

Bwana Said Issa Khatib,alianza safari yake ya kuelekea kwenye mafanikio kwa kutumia kadi ya simu ya kuazima kutoka kwa jirani...

READ MORE

‘Speakers Conference’ Yatikisa Dar – Pichaz

HATIMAYE ule mkutano wa kihistoria na wa aina yake uliopewa jina la Speakers Conference umefanyika leo Jumamosi katika Ukumbi wa...

READ MORE

Nyoka Mwenye Vichwa Viwili Aitwaye Double Dave

TUMEZOEA kuona nyoka wa rangi tofauti  na wenye maumbo makubwa zaidi duniani, leo tunakuletea nyoka huyo anaejulikana kwa jina Double...

READ MORE

Watatu wafariki, 5 hospitalini baada ya kunywa mkorogo

WATU watatu wameripotiwa kufariki na wengine watano wakilazwa hospitalini baada ya kunywa dawa ya miti shamba katika kijiji cha Tabani,...

READ MORE

Mchungaji Afariki Dunia kwa Kufunga Kula Siku 30

MCHUNGAJI Brighton Samajomba wa Kanisa la Heaven Is My Home la nchini Zambia, amefarki dunia siku ya 20 baada ya...

READ MORE

Mke wa Rais Ahukumiwa Jela Miaka 58

MKE wa rais wa zamani wa Honduras, Porfirio Lobo, aitwaye Rosa Elena Bonilla (52) amehukumiwa kwenda jela miaka 58 mara...

READ MORE

Magufuli Atangaza Siku 3 Maombolezo ya Mugabe

Rais Dkt John Magufuli ametangaza siku 3 za maombolezo ya kitaifa kuanzia Septemba 6 kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa...

READ MORE

Jogoo Ashinda Kesi, Mahakama Yaamuru Alipwe Fidia

JOGOO anayejulikana kwa jina la Maurice, ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili nchini Ufaransa ambako alikuwa anashtakiwa na majirani zake kwa kuleta...

READ MORE

Kisa Nyumba Bibi Miaka 85, Wajukuu Pachimbika

BIBI mmoja aliyefahamika kwa jina la Fatuma Kirobo (85) amejikuta katika wakati mgumu baada ya wajukuu zake Maua Mwalami (28),...

READ MORE

Dunia Haina Huruma… Anayepumulia Mashine Afanyiwa Kitu Mbaya

DAR ES SALAAM: DUNIA Haina Huruma! Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Bahati Bukuku alipata kuimba wimbo huo, ambao unasadifu...

READ MORE