×

Habari

JPM Afichua Vigogo Walivyopiga Bil. 1.2 za Korosho – Video

RAIS John Magufuli amesema Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inawashikilia viongozi wa vyama vya ushirika 92 mkoani...

READ MORE

‘Hakuna cha Kumzuia Aggrey Kucheza na Simba’

KOCHA msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amewahakikishia mashabiki wa timu hiyo kuwa hakuna kitu kitachomzuia beki kitasa na nahodha...

READ MORE

Tigo Fiesta Ilivyoacha Historia Dodoma

ZAIDI ya wasanii 16 juzi walitingisha baada ya kutoa burudani ya aina yake katika tamasha la Tigo Fiesta Saizi Yako,...

READ MORE

Zahera Apewa Mtihani Yanga

KIKOSI cha Yanga jana asubuhi kilitua jijini Mwanza tayari kwa mechi zake mbili jijini humo katika Uwanja wa CCM Kirumba...

READ MORE

Yanga: Hakuna kulala Mwanza

 GUMZO la jijini hapa ni ujio wa Yanga na uamuzi wa timu hiyo kucheza mechi yake ya Kombe la Shirikisho...

READ MORE

JPM Awaapisha Viongozi Aliowateua, Ikulu Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mathias Bazi Kabunduguru kuwa Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

Video: DC Amkamata Jamaa Na Milioni 11 Bandia

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, leo amekamata Richard, akiwa na kiasi cha pesa za Bandia milioni 11.

READ MORE

Barick Waondoka Tanzania

 Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi ametangaza leo kuwa Serikali kwa kushirikiana na Barrick Gold Corporation wameunda...

READ MORE

Sauti ya Marehemu Yasikika Wakizika

WALA siyo uongo bali ni kweli kabisa imetokea! Shay Bradley kutoka Leinster, Ireland amezua taharuki muda mfupi baada ya kuzikwa...

READ MORE

Majembe Tisa Yampa Jeuri Kocha Yanga

BAADA vya kufanya vibaya katika msimu uliopita wa Ligi Kuu ya Wanawake bara, Kocha Mkuu wa Yanga Princess, Edna Lema...

READ MORE

Machozi! Watoto Walia Baba Yao Kufia Mikononi mwa Polisi -Video

MACHOZI! Hivyo ndiyo unavyoweza kusema kufuatia watoto wa dereva wa bodaboda, Thobias Joseph a.k.a Mchuwau, mkazi wa Temeke-Mikoroshini jijini Dar,...

READ MORE

GSM Yazindua Tokomeza Godoro Bovu

        KAMPUNI ya GSM Tanzania, imezindua kampeni kabambe itakayofanyika nchi nzima inayofahamika kama”Tokomeza Godoro Bovu tumia godoro...

READ MORE

Vodacom Yazindua Lipa kwa Simu Dodoma

KAMPUNI ya simu za mkononi nchini Vodacom, imezindua huduma ya Lipa kwa Simu yako katika Ofisi za Shabiby jijini Dodoma....

READ MORE

Mbasha Yamkuta!

YAMEMKUTA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mwimbaji wa Injili Bongo, Emmanuel Mbasha kuingia kwenye utata baada ya kuonekana klabu akicheza muziki...

READ MORE

Kurejea kwa Lissu TZ, Polisi Yatoa Neno

JESHI la polisi nchini limetoa neno la kumuondolea hofu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu...

READ MORE

Joh Makini Afunguka Kuachia Ngoma na Falz Kutoka Nigeria

Msanii mahiri wa muziki wa HIP HOP hapa nchini, John Simon maarufu kwa jina la Joh Makini, amesema hajaamua kuachia...

READ MORE

JPM Awatumbua DC na DED Nachingwea

Leo Jumamosi Oktoba 19, 2019 Rais Dkt. John Magufuli amefanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali ambapo ametengua uteuzi wa Mkuu wa...

READ MORE

Bosi Yanga SC Ampa Zahera Faili la Niyonzima

HATIMA ya kiungo wa zamani wa Yanga Mnyarwanda, Haruna Niyonzima ya kurejea Jangwani hivi sasa ipo mikononi mwa Kocha Mkuu...

READ MORE

Waziri Mahiga: Kompyuta Zilizoibiwa Si za DPP

WAZIRI wa Katiba na Sheria wa Tanzania, Balozi Dkt. Augustine Mahiga amekanusha kuwa hakuna kompyuta za Ofisi ya Mkurugenzi wa...

READ MORE

Ngoma, Chirwa Wapangwa Kuimaliza Simba

AZAM FC imesema haina hofu na mchezo wao wa ligi dhidi ya Simba utakaopigwa Oktoba 23, mwaka huu kwenye Uwanja...

READ MORE

Tigo Yatoa Msaada Wa Sh110 Milioni kwa Hospitali Ya CCBRT kusaidia Watoto Wenye Matatizo Ya Mguu

Dar es Salaam. Oktoba 18, 2019. Kampuni ya mawasiliano ya Tigo leo imetoa msaada wa Sh 110 milioni kwa Hospitali...

READ MORE

Bosi Man U Afunguka Mpango wa Kumtimua Solskjaer

SAA chache kabla ya kuivaa Liverpool katika Premier League, bosi wa Manchester United, Ed Woodward amejitokeza na kumuunga mkono kocha...

READ MORE

Ruvuma: Mbaroni Akituhumiwa Kuua Mdogo Wake

JESHI la Polisi linamshikilia Mohamed Luambano (70) mkazi wa Mtelamwai wilayani Namtumbo kwa tuhuma za kumkata na kitu chenye ncha...

READ MORE

Zahera Arejea Dar, Awatoa Hofu Mashabiki

ACHENI hofu! Ndivyo Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera alivyowaambia wadau wa klabu hiyo juzi baada ya kurejea nchini....

READ MORE

Molinga, Moustafa Wakwama CAF, Kuwakosa Pyramids ya Misri

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utaendelea kuwakosa nyota wake wawili wa kimataifa katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika...

READ MORE

Muuguzi Asimamishwa Kazi Akituhumiwa Kubaka Hospitalini

BARAZA la Ukunga na Uuguzi Tanzania (TNMC) limeisimamisha kwa miezi mitatu leseni ya muuguzi aliyemchoma sindano ya usingizi na kisha...

READ MORE

Balaa la Mchepuko Mke Afunga Mtaa, Azua Timbwili, Adai Talaka!

DAR: Balaa la mchepuko linapokuzukia kwenye ndoa yako, weee! Lisikie hivyohivyo, usiombe likutokee kama kijana Hamza Imam lilivyomtia aibu mtaani. ...

READ MORE

Mbunge CCM Atishiwa Kuuawa

DAR: SIKU chache baada ya kuibua ufisadi mbele ya Rais John Magufuli, Mbunge Nkasi Kaskazini, Ali Keissy (CCM) amesema amekuwa...

READ MORE

Wanafunzi 39 Wanusurika Kufa kwa Radi Geita

WANAFUNZI 39 wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Ihumilo kata ya Nkome Wilayani Geita wamenusurika kufa kwa radi...

READ MORE

Ombi la Mbowe, Wenzake Lakataliwa Kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya upande wa utetezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo...

READ MORE

Ndege ya Namibia Yazuiliwa Afrika Kusini

MAMLAKA ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege nchini Afrika Kusini juzi iliizuia ndege ya Namibia kutokana na kutolipa ankara za...

READ MORE

Menina Asimulia Video Yake Chafu

MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva nchini, Menina Abdulkarim ‘Meninah’ hatimaye jana alijisalimisha kwenye Ofisi za Baraza la Sanaa la...

READ MORE

Kalugendo na Mwenzake Wapandishwa Kisutu

  MAPEMA leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Aliyekuwa...

READ MORE

Yanga Wakanusha Waarabu Kugomea Kirumba…

  UONGOZI wa Klabu ya Yanga umekanusha taarifa za wapinzani wao wa Kombe la Shirikisho Afrika (Caf), Pyramids FC ya...

READ MORE

Watoto wa Bilionea Msuya Warejeshwa Kwenye Nyumba Yao – Video

SERIKALI jana Alhamisi, Oktoba 17, 2019, iliagiza watoto wa aliyekuwa mfanyabiashara mkubwa nchini, bilionea Erasto Msuya,  warudishwe kwenye makazi ya...

READ MORE

Bad News: Kijana Aliyeishi kwa Mashine ya Gesi, Afariki Dunia – Video

KIJANA Hamad Awadh, aliyeishi kwa kutegemea mashine ya kumsaidia kupumua amefariki dunia jana jioni Oktoba 17, 2019 katika Hospitali ya...

READ MORE

Dk 270 Ajibu Apangua Mfumo wa Aussems Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji amekoshwa na uwezo ambao ameuonyesha kiungo mshambuliaji wake, Ibrahim Ajibu katika...

READ MORE

Orodha ya Wanafunzi Waliopata Mkopo 2019/20

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya kwanza yenye wanafunzi 30,675 wa...

READ MORE

Kitenge: Nimetua Rasmi Wasafi FM

  MTANGAZAJI maarufu wa Habari za Michezo Tanzania, Maulid Kitenge ‘chumvi’ ameweka wazi kuwa ameachana na Kituo cha Redio cha...

READ MORE

BODI MIKOPO WANAFUNZI (HELSB) YAANZA KUTOA MIKOPO

  BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB) imetangaza orodha ya awamu ya kwanza yenye wanafunzi 30,675...

READ MORE