×

Habari

Vodacom Yawapongeza Wateja Wake

Mkurugenzi wa Biashara Vodacom Tanzania, Linda Riwa (kulia) akinyanyua juu Champagne kuzinduzi rasmi wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika kwenye...

READ MORE

Breaking News: Wambura wa TFF Aachiwa Huru – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura, baada...

READ MORE

Wanafunzi 8 Mbaroni Tuhuma za Mauaji ya Mwenzao

JESHI la Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga linawashikilia wanafunzi wanane wa Shule ya Sekondari Seeke kwa tuhuma ya kumshambulia na...

READ MORE

JPM Awaka: Wanaume wa Rukwa Msiwape Mimba Watoto – Video

Rais Dk. John Magufuli, leo Oktoba 7, 2019 amezindua Mradi wa Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira uliopo...

READ MORE

Bulaya Augua, Kesi ya Kina Mbowe Yakwama – Pichaz

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuanza kusikiliza utetezi wa viongozi tisa wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA )...

READ MORE

Tembo Wafa Maji Wakijaribu Kumuokoa Mwenzao

NCHINI Thailand imeripotiwa Tembo sita wamekufa wakijaribu kuokoana katika mteremko wa maji baada ya tembo mdogo kuteleza na kuanguka ndani...

READ MORE

Jaji Ajipiga Risasi Katika Chumba cha Mahakama

JAJI Kanakorn Pianchana wa Thailand amejipiga risasi kifuani katika chumba cha mahakama baada ya kuwaachia huru watuhumiwa watano wa mauaji....

READ MORE

PM Majaliwa Aagiza Vigogo Hawa Wakamatwe – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Singida, Bw. Adili Elinipenda amkamate Afisa Manunuzi wa Chuo cha...

READ MORE

ATCL Yasitisha Safari Zake Afrika Kusini

SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limesitisha rasmi safari zake kati ya Dar es Salaam na Johanessburg, Afrika Kusini,  kuanzia...

READ MORE

Chadema Yapata Pigo Tena

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepata pigo jingine baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Njombe Edwin...

READ MORE

Sinaloa; Mji Uliojaa Makaburi ya Kifahari!

UTAMADUNI wa kujengea makaburi upo hata hapa kwetu na gharama za ujenzi zinatofautiana. Ukiwa miongoni mwa watu wanaoshangaa uzuri wa...

READ MORE

Ni Zaidi Ya Unyama, Mtoto Miaka 3 Abakwa Hadi Kufa

DUNIA katili na inawezekana kabisa hizi ni dalili ya siku za mwisho! Ndiyo kauli inayoweza kukutoka unaposoma madai haya ambayo...

READ MORE

CEED TANZANIA YATOA MAFUNZO YA KUKUZA, KUSIMAMIA BIASHARA

    Kituo cha Ujasiriamali na Maendeleo ya Utendaji (CEED), kimewakutanisha wajasiriamali mbalimbali jijini Dodoma katika semina iliyolenga kutoa elimu...

READ MORE

Wafanyakazi NBC Watoa Elimu ya Fedha Kwa Wanafunzi Dar

Mkuu wa Kitengo cha Mikopo cha Makampuni wa Benki ya NBC, Elibariki Ndossi (kushoto), akizungumza na wanafunzi wa Shule ya...

READ MORE

Wawa Hadi Akosee Ndio Tutamkumbuka!

MASHABIKI wa mpira wana asili inayofanana sana hasa katika suala la kushabikia. Ndio maana huwa unaona wakati wa ushangiliaji uwanjani...

READ MORE

Mchungaji Anaswa na Denti Kichakani

  DAR ES SALAAM: Hii ni aibu iliyoje? Hebu vuta picha mtu mwenye heshima yake kwenye jamii kama mchungaji, halafu...

READ MORE

Umefika Wakati Tukubali, TFF ya Sasa, Kwanza Kwa Saburi, Kwisha Kwa Sururi

WAKO wadau wa soka ambao wanakumbuka miaka ile ya Chama cha Soka Tanzania (Fat). Chama ambacho wakati wa uongozi wake...

READ MORE

JPM Ampigia Simu IGP Sirro “Msimamishe Huyu Sasa Hivi” – Video

Rais John Magufuli ameagiza kamanda wa polisi wa Wilaya ya Sumbawanga, Polycarp Urio kusimamishwa kazi  kwa madai ya kushindwa kutekeleza...

READ MORE

JPM Ampa Siku 5 Mfugale Kuhama Jengo – Video

Rais Dkt. John Magufuli ametoa siku tano kwa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuhama katika jengo walilopanga na kuhamia katika...

READ MORE

Yanga Kuanza Kazi leo dhidi ya Coastal Union Uwanja wa Uhuru

SARE ya mabao 3-3 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye Uwanja wa Uhuru imewazindua Yanga. Kamati mbili nzito ndani ya klabu...

READ MORE

Funga Mdomo, Molinga Ameanza Kazi Yake Rasmi

MASHABIKI wa Yanga wanasema kwamba, “Funga mdomo, David Molinga ameanza kazi yake rasmi.” Kauli hiyo ya mashabiki lialia wa Yanga...

READ MORE

JPM: “Wananchi Wanakufa, Aliyechoma Mradi wa Maji Akamtwe Sasa Hivi” – Video

Rais Dk. John Magufuli leo Jumapili Oktoba 6, 2019 ameanza ziara ya siku tatu mkoani Rukwa ambapo anatarajiwa kufungua barabara...

READ MORE

Yanga Yafikishwa Kamati ya Sheria TFF

  KUFUATIA madai ya waliokuwa wachezaji watatu wa Klabu ya Yanga kufikisha malalamiko yao katika Chama cha Haki za Wachezaji...

READ MORE

Sheva, Kagere na Ibrahim Simba ni Balaa!

SAFU ya ushambuliaji ya kikosi cha Simba inazidi kunoga kwa sasa ikiwa ni kikosi kipya na kimeanza kuunda utatu wenye...

READ MORE

Waziri Mkuu Ambananisha DED – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Singida, Bw. Adili Elinipenda amchunguze Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkalama,...

READ MORE

Majaliwa Agoma Kuweka Jiwe la Msingi ”Mkabandue” – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Singida, Bw. Adili Elinipenda amchunguze Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkalama,...

READ MORE

Dkt Mabula Avutiwa na Kasi ya Ujenzi Machinjio Vingunguti

      Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula ametembelea mradi wa ujenzi wa...

READ MORE

Mrisho Mpoto Ajiunga Rasmi CCM

MSANII Mrisho Mpoto, leo Jumamosi, Oktoba 5, 2019 amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kukabidhiwa kadi ya Chama...

READ MORE

Hudefo Yabaini Changamoto Za Wazee

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Human Dignity and Environmental Care Foundation (Hudefo) limebaini changamoto nyingi zinazowakabili wazee. Shirika hilo linalojihusisha...

READ MORE

JPM, Rais Lungu Wazindua Kituo cha Huduma Tanzania na Zambia – (Picha + Video)

KITUO cha huduma za pamoja kati ya Tanzania na Zambia kilichopo mpakani Tunduma kwa Tanzania na Nakonde kwa Zambia, kimefunguliwa...

READ MORE

Usiku wa Mabingwa… Nampepeche Amepepecha Bondia wa Moro

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Issa Nampepeche amefanikiwa kumchapa Ally Hamisi wa Morogoro kwa pointi katika pambano la usiku...

READ MORE

JPM Amuwashia Moto Mbunge “Acha Kumchongea Mwenzio, Simfukuzi” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameataka viongozi kuacha malumbano yasiyo na tija na badala...

READ MORE

Askari Sita Wakuhumiwa Kwa Kuiba Mafuta ya Ndege

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu askari sita akiwemo wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) kulipa faini ya Sh...

READ MORE

Sheva ampagawisha Mzungu Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Miraji Athuman’ Sheva’, jana amezua balaa katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Gymkhana jijini...

READ MORE

JPM: Walisema TANESCO Ubungo Haibomolewi, Nikaibomoa – Video

Rais Dk. John Magufuli leo Oktoba 5, 2019 amezindua ujenzi wa barabara ya Mpemba – Isongole iliyopo katika Halmashauri ya...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Oktoba 05, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 05, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

NMB TAWI LA MIRERANI WAZINDUA MIKOPO YA AFYA LOAN

Wafanyakazi wa benki ya NMB Tawi la Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wamezindua wiki ya huduma kwa wateja kwa kutangaza...

READ MORE

Maskini familia hii! Ukisikia mateso yao, lazima utoe machozi

UKISIKIA mtihani mkubwa kwenye maisha ndiyo huu! Maskini, familia ya Mzee Lenati Semgweno ya Kijiji cha Makuyu wilayani Mvomero, Morogoro...

READ MORE

Aliyekiri Kuhujumu Uchumi Ahukumiwa Jela, Faini Sh mil 100 – Video

MFANYABIASHARA Yasin Katare amehukumiwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kulipa faini ya Mil.100 au kifungo cha miaka mitatu...

READ MORE

Hotuba ya Rais Magufuli Songwe – Video

                       

READ MORE