×

Habari

Watu 63 Wafariki Bomu Likilipuka Harusini

WATU wapatao 63 wameuawa na wengine 182 kujeruhiwa baada mtu asiyefahamika, aliyekuwa na bomu kujitoa mhanga, jana Jumapili Agosti 18,...

READ MORE

Dkt. Tulia: 2020 Nitagombea

NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania,  Dkt. Tulia Ackson, amesema ana mpango wa kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa 2020,...

READ MORE

Kabendera Akwama Kortini, Arudishwa Rumande Siku 12 – Video

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari za uchunguzi nchini Tanzania, Erick Kabendera, imeahirishwa kutokana na hakimu mkazi mwandamizi,...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Ajiua kwa Kunywa Sumu

MWALIMU Mkuu wa Sekondari ya Mbalamaziwa iliyopo mkoani Iringa, Roida Mbalwa,  amefariki dunia kwa kunywa sumu baada ya kutuhumiwa kwenye...

READ MORE

Moto Wateketeza Soko la Githurai 45

MOTO mkubwa ulioibuka usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Agosti 19, 2019, umeteketeza Soko la Githurai 45, lililopo Nairobi nchini Kenya...

READ MORE

Burundi Yakataliwa SADC

Ombi la nchi ya Burundi kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), limegonga mwamba baada kutokamilisha vigezo...

READ MORE

Manula Ampigia Saluti Kakolanya

KIPA namba moja wa simba, Aishi Manula amekiri kuwa kiwango cha kipa mwenzake, Benno Kakolanya kipo juu na anaamini atakuwa...

READ MORE

Madai Mazito Msanii Amuua Mwenzake Wakigombania Maiki

DAR ES SALAAM: Madai mazito; ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii wa Bongo Fleva aliyetajwa kwa jina moja la Daud...

READ MORE

VIDEO: MANENO YA BASHE WAKATI WA KUFUNGA MKUTANO WA SADC

 Naibu waziri wa kilimo Hussein Bashe amesema kuwa serikali haina mashamba “kama serikali tumepitia upya sera ya kilimo na...

READ MORE

JPM Ahitimisha Mkutano wa SADC, Ataja Mambo Mazito – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa SADC, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa wamekubaliana mambo kadhaa...

READ MORE

Jerry Muro Aibukia Tena Yanga

MKUU wa Wilaya ya Arumeru ambaye aliwahi kuwa ofisa habari wa Yanga Jerry Muro ameshangaa wanaodai timu yao ni dhaifu....

READ MORE

Waliofariki kwa Ajali ya Moto Moro Wafikia 95

Idadi ya waliokufa kutokana na ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro imefikia 95 baada ya majeruhi mmoja aliyekuwa amelazwa Hospitali...

READ MORE

Madenti Vyuo Vikuu Wanavyoambukizwa UKIMWI

TUNAIMALIZIA ripoti yetu ya uchunguzi tuliyoianza wiki mbili zilizopita. Kama mnavyokumbuka, kwenye matoleo mawili yaliyopita tuliona jinsi ambavyo wanafunzi wa...

READ MORE

Passport Yamuondoa Balama

IDARA ya Uhamiaji Tanzania imemzuia kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Mapinduzi Balama kujiunga na kambi ya kujiandaa na mchezo wa...

READ MORE

Lori la Mafuta Lateketea Kahama, Utingo Afariki, Dreva Mahututi!

Lori lenye shehena ya mafuta la kampuni ya Mount Meru Company  limeanguka na kuwaka moto   wilayani kahama mkoani Shinyanga  na kusababisha kifo...

READ MORE

Marais 11 Kati ya 16 Wahudhuria Mkutano wa SADC Tanzania – Video

MARAIS wa nchi 11 wamehudhuria mkutano wa kilele wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) unaofanyika jijini...

READ MORE

JPM Akabidhiwa Uenyekiti SADC, Ahutubia – Video

MKUTANO wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeendelea jijini Dar es...

READ MORE

Dkt. Slaa Awaponda Watanzania Wanaoikosoa Serikali

BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa, amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania kubeza miradi ya maendeleo inayotekelezwa na...

READ MORE

Mkutano wa SADC; Dar Yawa Moto

MKUTANO wa 39 wa wakuu na Serikali katika Nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza...

READ MORE

Kampuni ya Chakula, Simu Kumwaga Fedha Yanga

BAADA ya msoto wa muda mrefu wa kutawaliwa na hali ngumu ya kifedha hasa msimu uliopita, mambo mazuri yanaendelea kutokea...

READ MORE

SADC: Magufuli Ataka Zimbabwe Iondolewe Vikwazo – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameziambia nchi za Magharibi waondoe vikwako vya uchumi kwa...

READ MORE

Baba: Hakuna Straika wa Kumpita Yondani

BABA mzazi wa beki wa Yanga, Kelvin Yondani, mzee Patrick Yondani amefunguka kuwa kuelekea msimu mpya hana hofu na kiwango...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Agosti 17, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 17, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

Feisal Toto akubali yaishe Yanga

  KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum Toto amefunguka kuwa kuongezeka kwa wachezaji katika idara ya kiungo kutamfanya azidishe juhudi ili...

READ MORE

Jokate kufungua Tawi la Yanga Kisarawe

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, kesho Jumamosi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Tawi la Yanga Mlipo...

READ MORE

Rais Ramaphosa Atembelea Makaburi ya Wapigania Uhuru wa Sauz

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa leo Ijumaa Agosti 16, 2019 ametembelea makaburi ya wapigania uhuru wa nchi hiyo yaliyopo...

READ MORE

Mama wa Mbalamwezi Asimulia Kifo cha Mwanae – Video

KUFUATIA mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaounda Kundi la The Mafik, aitwaye ‘Mbalamwezi‘ kufariki dunia usiku wa kuamkia leo,...

READ MORE

Akutwa na meno ya bandia kwenye koo

MGONJWA mmoja nchini Uingereza amejikuta katika maumivu makali baada ya meno yake ya bandia kunasa kooni kwa wiki moja. Mgonjwa...

READ MORE

Aussems Afichua Siri Nzito Simba

LICHA ya wengi kuamini kwamba Simba itafanya vizuri msimu huu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kocha mkuu wa timu...

READ MORE

‘KATAMBUGA’ YAWAKA RASMI GLOBAL RADIO (PICHA +VIDEO)

JANA Agosti 16, 2019, kulifanyika uzinduzi rasmi wa Kipindi cha Uswahilini cha Katambuga (Kijiwe Dobo) kinachoruka kila siku za Jumatatu...

READ MORE

Bodi ya Mikopo (HESLB) Yaongeza Muda wa Kuomba Mkopo

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuongeza muda wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao...

READ MORE

Polisi Yavamia Mkutano wa Zitto, Yamkamata Msemaji ACT

BREAKING: Jeshi la Polisi limevamia makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo yaliyopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam na kuzuia...

READ MORE

Video: Ziara ya Rais Ramaphosa wa Sauz Mjini Morogoro

 Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa yupo nchini kwa siku 2 kabla ya kuanza Mkutano wa...

READ MORE

Tigo Yatoa Kompyuta 20 Chuo Kikuu cha Sayansi Mbeya

KATIKA juhudi za kuchangia malengo ya serikali ya kuboresha na kuinua viwango vya elimu katika taasisi za elimu ya juu,...

READ MORE

Haji Manara Awaombea Sapoti Yanga – Video

MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Haji Manara amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuungana na wapinzani wao Yanga katika mechi za...

READ MORE

Ajali Tena Morogoro, Wanne Wafariki Dunia

  Watu 4 wamefariki dunia na wengine 26,  wamejeruhiwa kufuatia ajali iliyohusha basi la abiria na Lori  kugongana uso kwa uso...

READ MORE

Global FC kuichakaza DSJ leo

MATAJIRI wa Sinza, timu ya Global FC, leo Ijumaa wanatarajiwa kushuka dimbani kumenyana na timu ya Chuo cha Uandishi wa...

READ MORE

Tanzia: Msanii Bongo Fleva Afariki Dunia

TANZIA: Taarifa zilizotufikia ni kwamba mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaounda Kundi la The Mafik, aitwaye ‘Mbalamwezi‘ (pichani katikati)...

READ MORE