×

Habari

VIJANA WAINGREZA WAISHI MSITUNI WAKIWA WATUPU – VIDEO

Vijana wawili kutoka nchini Uingereza wamefanya tukio la kushangaza watu wengi baada ya kuingia msituni na kuishi kwa muda wa...

READ MORE

KUHUSU MFEREJI WA MAJI HAYA…. MBAGALA WAIANGUKIA SERIKALI

WANANCHI wa Mbagala Kiuzuiani Mtaa wa Juhudi wameiomba Halmashauri ya Wilaya  Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam kuwawekea mifereji...

READ MORE

Mwanamke apambana na wabakaji watatu wa binti yake, amuua mmoja

  NOKUBONGA QAMPI amekuwa akifahamika kama “Simba Mama” nchini Afrika Kusini baada ya kumuua mmoja wa wanaume watatu waliombaka binti...

READ MORE

DUDU BAYA AIANGUKIA FAMILIA YA RUGE MUTAHABA- VIDEO

MSANII wa Bongo Fleva, Dudu Baya ameipigia magoti familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji, Ruge Mutahaba akiomba radhi...

READ MORE

NMB YACHANGIA MABATI 802, MADAWATI 50 NA VITANDA 8 VYA HOSPITALINI

      BENKI ya NMB imechangia jumla ya mabati  802 kwa ajili ya kuezeka madarasa ya Chuo cha Veta Kalambo,...

READ MORE

CAG Akabidhi Ripoti 17 za Ukaguzi kwa JPM

RIPOTI 17 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, kwa mwaka wa fedha unaoishia...

READ MORE

Jiunge na huduma ya nafasi za kazi kiganjani mwako

KAMPUNI ya Global Publishers, imetambulisha rasmi huduma mpya ya kupata nafasi za kazi kwa kutumia simu yako ya mkononi, mahali...

READ MORE

Ajibu ataja siku ya kutua Simba

ISHU ya Ibrahim Ajibu inahitaji kujiongeza sana ili uelewe. Straika huyo mwenye asisti 15 ametamka kwamba kila kitu kuhusiana na...

READ MORE

DC Jokate Mwegelo Amuomba Radhi Pierre Liquid

    BAADA ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kumkosoa Mchekeshaji aliyejizolea umaarufu kwenye vyombo vya...

READ MORE

JPM AMTEUA NDUNGURU KUWA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA

  Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua Bw. Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru kuwa Naibu...

READ MORE

UNYAMA: BABA wa SAID Auawa KIKATILI, Kisa Chake Kitakutoa Machozi – VIDEO

INGAWA dhahabu ikipitishwa kwenye moto mara kadhaa huzidi kung’aa, lakini binadamu anapopita kwenye majanga juu ya majanga huhuzunika zaidi; ndivyo...

READ MORE

KABLA HATA YA MWAKA MMOJA MADARAKANI… JOKATE SI YULE

UKIAMBIWA mambo aliyoyafanya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Jokate Urban Mwegelo tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo, miezi minane...

READ MORE

NAIBU WAZIRI FEDHA NA MIPANGO ATEMBELEA CHUO KIKUU MZUMBE

  Naibu Waziri Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (MB) ametembelea Chuo Kikuu Mzumbe na kukagua ujenzi wa Mabweni...

READ MORE

Alliance wanunua mabao ya Yanga

KATIKA kuhakikisha wanapata ushindi, Uongozi wa Alliance FC umeweka wazi kwamba hawataki utani kwenye mechi yao dhidi ya Yanga ndiyo...

READ MORE

Magufuli Atunuku Kamisheni Maofisa 146 JWTZ – Video

AMIRI Jeshi Mkuu Majeshi ya Ulinzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, akikagua gwaride la heshima...

READ MORE

Watumiaji Wa Mitandao Wamshambulia Raisi Wa Burundi

  Watumiaji wa mtandao wa Twitter wameunga mkono hatua ya wasichana watatu wa shule kwa kuzichora na kuharibu picha za...

READ MORE

FLORA LAUWO ASAIDIA WABONGO, APEWA TUZO UARABUNI

UKIINGIA katika Mtandao wa Google na kuandika jina la Flora Lauwo, utapata maelezo mengi, lakini zaidi utamuona kwenye kusaidia jamii...

READ MORE

Kituo cha Umeme Mlandizi Chaungua Moto – Pichaz

Kituo cha Kuzalisha na Kusambaza Umeme cha Mlandizi mkoani Pwani kimungua kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na...

READ MORE

Sakata la Brexit: Bunge la Uingereza Lapiga Kura

  BUNGE la Uingereza jana (Ijumaa) lilimepiga kura  kupitisha sehemu ya makubaliano kwa taifa hilo kujiondoa kutoka Umoja wa Ulaya...

READ MORE

‘Wanawake Jifunzeni Kuweka Akiba Benki’ – Samia Suluhu

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu, amewaasa wanawake kufungua akaunti kwa ajili ya familia zao kwa kuwa wao ndiyo walezi wa...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAMOSI, MACHI 30, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo MACHI 30, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

TOFAUTI YA JOKATE MSANII NA DC JOKATE MWEGELO!

ALIJULIKANA kama Jokate Mwegelo aliyeibuliwa na Miss Tanzania mwaka 2006 ambapo alichukua namba 2 akitokea Kanda ya Temeke. Baada ya...

READ MORE

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

  SERIKALI imesema itaendelea na juhudi za kushawishi wadau wa maendeleo na Jumuiya za Kimataifa ili kupata fedha za kusimamia...

READ MORE

Mvuvi wa dagaa Kagera ashinda milioni 84 za M-Bet

MVUVI wa dagaa kutoka katika Mkoa wa Kagera, Semistocles Mkiza, ameshinda Sh 84,814,160 kupitia Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya...

READ MORE

SERIKALI YAKANUSHA KUIUZA NDEGE YAKE YA AIRBUS NCHINI KENYA

SERIKALI imekanusha taarifa za uvumi zinazosambaa mitandaoni zikidai ndege mpya aina Airbus 220-300 iliyowasili nchini mwishoni mwa mwaka jana kuwa...

READ MORE

Mahakama yabariki Ndugai kumvua ubunge Nassari

  JAJI wa Mahakama Kuu Dodoma, Latifa Mansour,  amekubaliana na uamuzi wa Spika wa Bunge, Job Ndugai kumvua ubunge Joshua...

READ MORE

KIGOGO TAKUKURU ALIYETAJWA NA JPM KWA KUTAPELI YAMKUTA KISUTU

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha mahakamani, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini wa taasisi hiyo,...

READ MORE

Jiunge na Global na Sports Breaking News Popote Ulipo

KUWA wa kwanza kupata habari zote za michezo wakati wowote zinapotokea, Tuma SPORTS kwenda 15599 utapata habari za kitaifa na...

READ MORE

Duh! Kwa Zawadi Hizi… GLOBAL APP Wametisha Mbaya – Video

APPLICATION namba moja kwa habari Tanzania, GLOBAL APP imeendelea kuwajali wasomaji wake kupitia shindano lake mahsusi la PAKUA USHINDE, baada...

READ MORE

Breaking: Kigogo Takukuru aliyetajwa na JPM kudhulumu viwanja anaswa

MKURUGENZI wa Mipango wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kulthum Mansoor, aliyetajwa jana, Machi 28, 2019 na...

READ MORE

UNYAMA: BABA wa SAID Auawa KIKATILI, Kisa Chake Kitakutoa Machozi – Video

NI mfululizo wa ukatili wa kutisha kati ya wakulima na wafugaji! Siku ya tarehe 26.03.2019 ambapo mtu mmoja afahamikaye kwa...

READ MORE

RIPOTI KUTOKA INDIA ..PASCAL CASSIAN TAA YA KIJANI

KAMA wewe ni shabiki wa muimbaji wa muziki wa Injili aliyewahi kuwa mshindi katika Shindano la Bongo Star Search ‘BSS...

READ MORE

DENTI CHUO KIKUU ANYONGWA DAR!

INAUMA sana! Mrembo Happyness Fredric ‘Happy’, mkazi wa Yombo-Kanisani jijini Dar ambaye alikuwa ni denti wa mwaka wa kwanza wa...

READ MORE

RAIS MAGUFULI ASHTUKIZA KUKAGUA NDEGE INAYOPAKWA RANGI – PICHAZ

Rais Dkt. John Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza kukagua kazi ya upakaji wa rangi ndege ya Foker 50 iliyokuwa...

READ MORE

Membe Atinga Mahakama Kuu, Ataka Musiba Amlipe Bilioni 10

WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernad Membe, leo ametinga Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kusikiliza kesi...

READ MORE

JPM Awataja Waliotaka Kupiga Dili Ndege Yake, Amwonya Balozi ‘Anayepiga Misele’

RAIS  John Magufuli ameeleza kushangazwa kwake na baadhi ya watumishi wa serikali  ambao bado wana ‘damu’ ya rushwa kwenye mioyo...

READ MORE

Wasomaji Wasema: Betika Linarahisisha Kazi Yetu ya Kubeti

WASOMAJI wa gazeti la Betika katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam yakiwemo Gongo la Mboto, Ukonga na Mombasa,...

READ MORE