×

Habari

Polisi Waacha Kituo Wakitazama Mechi, Wezi Waondoka na Kuiba Bunduki 3

WEZI wamevunja kituo cha Polisi cha Kamorwon kilichopo kaunti ya Nandi nchini Kenya, na kuiba baadhi ya silaha zilikuwepo katika...

READ MORE

Mapokezi ya Nabii Mwanamke Yatikisa Airport DSM – Video

Nabii wa Kimataifa anaejulikana kama Dkt. Lucy Natasha kutokea nchini Kenya, ametua Tanzania kwa ajili ya Semina ya maalum ya...

READ MORE

MARIAM WA SINGIDA ANAYETESEKA KWA KIDONDA AFIKISHWA MUHIMBILI

BINTI Mariam Rajab (25), mkazi wa Singida ambaye video yake imesambaa kwenye mitandao ya kijamii akiomba msaada wa matibabu, amewasili...

READ MORE

Rais JPM Atoa Wiki Moja Lukuvi na Kakunda

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wiki 1 kwa Wizara ya Ardhi inayoongozwa na William Lukuvi, na Wizara...

READ MORE

Serikali Yafunguka Kuhusu Elimu ya Msingi Kuishia Darasa la 6

SERIKALI imesema kwa sasa hakuna haja ya kubadilisha muda wa kuhitimu elimu ya msingi kwa sababu imebaini muda wa miaka...

READ MORE

Serikali Yashusha Gharama Za Urasimishaji Ardhi

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kuanzia sasa gharama za urasimishaji haitazidi shilingi 150,000 badala...

READ MORE

JPM Atoa Rambi Rambi Mil 5, Utekaji na Mauaji ya Watoto Njombe

MKUU wa mkoa wa Njombe, Christopher Olesendeka amekabidhi fedha ya rambi rambi kiasi cha shilingi milioni tano zilizotolewa na Rais...

READ MORE

Mwenyekiti wa CHADEMA Dodoma Ahamia CCM

Yona Kusaja ambaye alikuwa ni Diwani wa Kata ya Kikombo na Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Dodoma Mjini, amejivua uanachama...

READ MORE

IMEFICHUKA! SABABU YA MAKABURI KUFUKULIWA, MAITI KUDHALILISHWA!

WANAFUKUA makaburi na kuzifanyia udhalilishaji maiti kwa sababu gani? Ni swali ambalo wengi wangetamani kupata majibu yake; ambapo UWAZI linakuja...

READ MORE

MAKONDA AMPONGEZA MKURUGENZI TEMEKE – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amempongeza Mkurugenzi wa Wilaya ya Temeke, Lusubulo Mwakabibi kwa kusimamia miradi mbalimbali inayoendelea...

READ MORE

Betika  Kugawiwa Bure Katika Maboksi Maalum Dar

  LIKIWA na takribani miezi miwili mtaani, Gazeti la Betika limezidi kutikisa kila kona  nchini  ambapoleo Aprili 17 limemwaga masanduku...

READ MORE

Betika Lazidi Kutikisa Kila Kona

  LIKIWA na takribani miezi miwili mtaani, gazeti la Betika limezidi kutikisa kila kona ya Tanzania kutokana na utofauti wake....

READ MORE

 Balozi Falme za Kiarabu ajitolea kusomesha watoto wa kike

BALOZI wa Falme za Kiarabu nchini na wamiliki wa Erminet, Khalifa Abdul Rahman Al-Marzooqi, wamejitolea kuwasomesha wanafunzi wa kike 100...

READ MORE

Moto Ulivyotikisa Jengo Kubwa Dodoma

Jana Jumanne, Aprili 16, 2019 ajali kubwa ya Moto ilitokea katika jengo la mfanyabiashara, Franscis Maiko Shio Jijini Dodoma lililo...

READ MORE

Kisa Marekani, Urusi Sasa Kuuunda INTERNET Yake ya Pekee

Bunge la Urusi limepitisha muswada ambao ukiwa sheria basi Taifa hilo lenye Watu zaidi ya M.140 litaunda INTERNET yake peke...

READ MORE

Hakuna MIMBA za MAGEREZANI / Wafungwa Hawaruhusiwi Kuburudika! – Video

NI kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma ambapo leo ni kikao cha 12 katika mkutano wa 15 wa...

READ MORE

Ofisi Ya Bunge Yakanusha Taarifa Hizi Kuhusu CAG

Ofisi ya Bunge imekanusha kuwa Spika Job Ndugai ameandika barua inayotoa wito kwa CAG, Prof. Mussa Assad kujiuzulu ama kujieleza...

READ MORE

ARUSHA: AJICHINJA KOROMEA HADI KUFA, RPC AFUNGUKA! – VIDEO

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limethibitisha kifo cha Mkazi Mmoja wa Simanjiro, Razaro Kiolori (53) ambaye amefariki dunia baada ya...

READ MORE

Jeshi la Sudan Lapwa Siku 15 Kung’oka Ikulu

Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika, limelitaka Jeshi la Sudan kuhakikisha linaachia madaraka kwa utawala wa kiraia...

READ MORE

Mwalimu wa Nursery Matatani Ubakaji!

  HII NI AIBU! Mwalimu siku zote amekuwa ni kimbilio kwa wazazi ambao huamini ni mlezi wa pili, lakini linapokuja...

READ MORE

MASIKINI! Mrembo wa Ini, Figo, Moyo, Kibofu Afariki!

INASIKITISHA sana! Zakia Mohammed (18), mkazi wa Tabata jijini Dar ambaye wiki iliyopita Gazeti hili la Uwazi liliandika habari yake...

READ MORE

Mashine ya Korosho ‘Yachinja Mtu, Afariki, Yajeruhi Wawili

SADA Juma (28) ni mkazi wa Kata ya Msinjahili, Manispaa ya Lindi mkoani hapa ambaye hivi karibuni alifariki dunia kwa...

READ MORE

ALIYEBOMOLEWA NYUMBA KWA JIWE LA MGODINI ALIA KUTOSWA!

WAZIRI Biteko upo? MZEE Boniphace Mhere Mgaya, (pichani) mkazi wa Kijiji cha Nyabichune, Kata ya Matongo- Nyamongo, Wilaya ya Tarime...

READ MORE

ACHA MILA ZENYE MADHARA; TOKOMEZA UKEKETAJI

Kila mwaka, Februari 6 Tanzania huungana na jamii ya ulimwengu kuadhimisha Siku ya Kupinga Ukeketaji. Historia ya ukeketaji imeendelea kuwepo...

READ MORE

USIYOYAJUA KUHUSU MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG)

MWEZI Aprili mwaka huu umeanza na mjadala mkubwa juu ya ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali baada ya...

READ MORE

Wasanii wasisitizwa kujitambua, kujithamini na kujitangaza

  WASANII nchini wamesisitizwa juu ya umuhimu wa kujijenga uwezo, kujithamini na kujitangaza iwapo wanataka kuiinua tasnia ya sanaa hiyo...

READ MORE

Rais wa Ufaransa Aomba Msaada Kulijenga Upya ‘Notre Dame’

RAIS  wa Ufaransa ameahidi kupata misaada ya kimataifa katika kulijenga upya kanisa kongwe la Notre Dame jijini Paris baada ya...

READ MORE

Gavana BoT: Fahamu Umhimu wa Elimu ya Fedha na Taarifa za Mikopo

  GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Florens Luoga, amesema elimu kuhusu masuala ya fedha ni muhimu katika...

READ MORE

Mabehewa, Vichwa vya Treni 1,400 Kuwasili, Majaribio ya SGR Yaanza

MSEMAJI wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amebainisha kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Serikali inatarajia kuleta mabehewa na vichwa vya...

READ MORE

WATEJA WA TIGO MBEYA, IRINGA KUFANYA MALIPO KWA MFUMO WA KIELETRONIKI

  Wateja  wa Kampuni ya Tigo wa mikoa ya Mbeya na Iringa sasa wanaweza kufanya malipo kutumia mfumo wa Kielektroniki...

READ MORE

DAKTARI AWAPA MIMBA WANAWAKE 49 BILA RIDHAA YAO

DAKTARI wa uzazi, Jan Karbaat anayeshutumiwa kwa kupandikiza mbegu zake za uzazi kwa wagonjwa bila ridhaa yao amethibitishwa kuwa baba...

READ MORE

MKUCHIKA: Ole Wake Mkuu wa Mkoa au wa Wilaya Atakayemsweka Mtu Ndani – Video

WAZIRI wa Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika amesema kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya wenye tabia...

READ MORE

JPM Aongoza Kikao cha NEC, Pallangyo Apitishwa Jimbo la Nassari

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi, Dk. John Pombe Magufuli pamoja na Kikao cha Kamati Kuu kimemteua, John Danielson Pallangyo kuwa...

READ MORE

Ndege kubwa Zaidi duniani yaanza kuruka Marekani

NDEGE kubwa zaidi duniani yenye injini sita aina ya Boeing 747 imeruka kwa majaribio mara ya kwanza mwishoni mwa wiki...

READ MORE

ALIYEJIAJIRI SERIKALINI, HAENDI KAZINI, ANAJILIPA MSHAHARA, AGUNDULIKA

  Mwanafunzi mmoja anayesomea masuala ya TEHAMA nchini Afrika Kusini, Bright Chabota anasakwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za...

READ MORE

NMB YATOA MSAADA WA TISHETI 250 KWA JESHI LA MAGEREZA

    BENKI ya NMB imekabidhi msaada wa flana 250 kwa ajili ya wanamichezo wa Jeshi la Magereza Tanzania ambao...

READ MORE

SERIKALI IMEDHAMIRIA KUKAMILISHA SKIMU ZOTE ZA UMWAGILIAJI- MHE MGUMBA

  SERIKALI inayo dhamira ya kukamilisha skimu zote za umwagiliaji ambazo utekelezaji wake haujakamilika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu...

READ MORE

Mkandarasi Barabara ya Biafla Atakiwa Kuripoti Polisi – Video

  Mkandarasi alijenga barabara ya kiwango ya lami Biafla Kinondoni jijini Dar es Salaam ametakiwa kuripoti Polisi, siku ya Ijumaa kwa...

READ MORE

Mbeya: Mtekaji Aliynyonga Mtoto na Kumtupa Kwenye Mahindi Akamatwa

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtu mmoja [Jina linahifadhiwa] kwa tuhuma za mauaji ya mtoto aitwaye JUNIOR BAKARI...

READ MORE