×

Habari

Aliyevamia Msafara wa Rais Akiona

Adriunus Landnam (34), mkaazi wa Mkunazini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, amefikishwa mahakamani kwa kosa la kuingilia msafara wa Rais wa...

READ MORE

Tangaza na BETIKA Kwa bei Ndogo Tu, Upate Faida KUUUBWA

Gazeti la Betika linakaribisha watangazaji kutoka makampuni mbalimbali yakiwemo ya kubeti, lotto, simu na biashara nyingine zozote kwa ajili ya...

READ MORE

WAZIRI KIGWANGALLA APATA PIGO TENA

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Hamis Kigwangalla amefiwa na mtoto wake anayefahamika kwa jina la Zul, ambapo mazishi yatafanyika kesho...

READ MORE

Wizara Yatoa Sababu za Kondomu Kuadimika Mitaani

BAADA ya kuwapo kwa malalamiko ya upungufu wa kondomu katika baadhi ya maeneo nchini, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya...

READ MORE

MJADALA HOT: BARRICK WAKUBALI KULIPA BIL 682, ACACIA WAKANA

Jana Februari 20, 2019, Rais Dkt. John Magufuli alikutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation, Dkt....

READ MORE

WABUNGE WAWILI CHADEMA WASAKWA

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa amesema jeshi hilo linawasaka wabunge wawili wa Chadema, Peter Lijualikali (Kilombero) na...

READ MORE

TGNP WAJA NA KAMPENI YA ‘LINDA MTOTO’

MTANDAO wa kijinsia nchini (TGNP) umeadhimira kuandaa kampeni ya ‘Linda Mtoto’ katika mazingira hatarishi ikiwa ni pamoja na ngono,  kama...

READ MORE

Kioja! Wapenzi wa jinsia moja wapata mtoto!

  MPENZI wa jinsia moja wa Waziri Mkuu wa Serbia, Ana Brnabic, amejifungua mtoto wa kiume.   Wawili hao wote...

READ MORE

Lugola Aagiza Haya Tukio la Kijana Kupigwa Hadi Kuoza Mguu Polisi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuunda Kamati Maalumu itakayochunguza tukio la kijana...

READ MORE

HATARI: ‘TANROADS WANASUBIRI ZIFIKIE AJALI NGAPI HAPA?’

GAZETI hili kwanza lina kila sababu ya kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli. Ndani...

READ MORE

Samaki Aina ya Papa Kutibu ya Saratani

PAPA aina ya ‘great white‘ inawezekana wakawa wanashikilia siri za kutibu saratani na maradhi mengine yanayoambatana za uzee. Watafiti kwa...

READ MORE

RAIS MAGUFULI ATEUA MKURUGENZI WA TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA

Mkurugenzi mpya wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima ni Dkt. Ng’umbi. Jaji Magoiga ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la...

READ MORE

Rais Museveni Ateuliwa Kugombea Urais kwa Mara ya Sita

Chama tawala nchini Uganda kimemteua Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi wa mwaka 2021. Hii...

READ MORE

Magufuli Akutana na Vigogo wa Barrick

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya...

READ MORE

Prof. Lipumba, Maalim Seif Waendeleza Ubabe

CHAMA Cha Wananchi (CUF) upande wa Mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa, Profesa...

READ MORE

VIDEO: ‘BAKI MULE MULE’ NA VODACOM YAWANUFAISHA BODABODA

 Mtandao supa wa simu za mkononi nchini, Vodacom, msimu huu wa sikukuu umeongeza kiwango cha  kugawa zawadi kwa wateja...

READ MORE

CHADEMA Wacharuka “Mnaua Watu, Watoto wa Mbowe Wamepigwa” – Video

BARAZA la Vijana wa Chadema BAVICHA, limetoa malalamiko dhidi ya vitendo vya jeshi la polisi nchini vinavyoingilia Uhuru wa Mahakama....

READ MORE

PAKUA GLOBAL APP USHINDE TABLET MPYAAAA!

Hujachelewa, download Application namba moja Tanzania kwa Habari za Kitaifa, Kimataifa, Burudani, Matukio, Breaking News na Exlusive Interview za mastaa...

READ MORE

‘BETIKA’ LAZIDI KUTIKISA MTAANI, KILA KONA LINAGOMBEWA!

GAZETI namba moja na la kijanja linalohusu ishu nzima za kubeti lijulikanalo kwa jina la BETIKA ambalo linatolewa bure, leo...

READ MORE

Babu Mlemavu Ateketea kwa Moto Aliowasha Shambani Kwake

MKAZI wa kijiji cha Kilongo, Muheza mkoani Tanga,
 Saidi Sekizenge (72), amefariki dunia kwa kuteketea kwa moto akiwa shambani kwake....

READ MORE

MAJALIWA AFUNGA SOKO LA WAKIMBIZI NA RAIA KIGOMA – VIDEO

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameamuru kufungwa kwa Soko la Nduta na kuagiza lihamishiwe ndani ya kambi ya wakimbizi ili kuhibiti wa...

READ MORE

MENEJA MAWASILIANO TFS AFARIKI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI

Meneja Mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS), Glory Mziray alifariki dunia jana mchana (Februari 19, 2019), wakati akizungumza...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFUKUZA MTU KAZI, ATEUA MWINGINE!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya uteuzi wa Mkurugenzi wa PSSSF na Mwenyekiti wa...

READ MORE

Wateja wa Halotel kupiga simu, kutumia intaneti bila kikomo

  Katika kuendeleza ubunifu wa kuwahudumia wateja kwa kuwapatia kile wanachokihitaji, kampuni ya mawasiliano ya simu ya Halotel imekuja na...

READ MORE

MAKONDA AMPA FID Q MIL 5 AMPELEKEE MAMA WA GODZILLA

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, leo Jumanne, Februari 19, 2019 amemkabidhi rapa Farid Kubanda ‘Fid Q’...

READ MORE

HATIMAYE! ‘Malkia wa Tembo’ Ahukumiwa Jela Miaka 17 – Video

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu washtakiwa watatu akiwemo raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu kama ‘Malkia wa...

READ MORE

DStv yaja na promosheni kabambe kwa wateja wake!

  Jumanne Februari 19,2019. Kampuni ya MultiChoice Tanzania kupitia huduma zake za DStv imetangaza promosheni maalum ijulikanayo kama “Tia kitu,...

READ MORE

Maajabu ya binti aliyejifungua bila kujua ana ujauzito!

    MSICHANA mwenye umri wa miaka 18, ambaye alizirai kwa muda wa siku nne baada ya kuumwa kichwa ameshangazaa...

READ MORE

POLISI, MWALIMU WAIBUKA WASHINDI CHEMSHA BONGO NA UWAZI

POLISI wa Kituo Kikuu cha Kati (Sentro),Vincent Laurent na mwalimu wa Shule ya Keko-Magurumbasi, Jacqueline Mbawala wamejishindia kila mmoja kiasi...

READ MORE

Matibabu ya Ruge ni Tsh 5m kwa siku, familia yaomba sapoti!

FAMILIA ya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, imesema gharama za matibabu ya ndugu yao...

READ MORE

Rais Donald Trump Kushtakiwa

  MUUNGANO wa majimbo 16 nchini Marekani yakiongozwa na California yameushtaki utawala wa Rais Donald Trump kuhusu uamuzi wa kutangaza...

READ MORE

Waziri Biteko: Siwezi Kuingia Kwenye Mtego Nafuta Leseni Zote – Video

WAZIRI wa Madini, Doto Biteko ameiagiza Tume ya Madini kuziandikia hati za makosa leseni za madini 18, 341 zinazodaiwa ili...

READ MORE

Mshindi wa simu ya Championi akabidhiwa zawadi yake

MSHINDI wa shindano linaloendeshwa na gazeti nambari ‘Waheed’ kwa michezo Tanzania, Joseph Peter Mkazi wa Mbagala, kakabidhiwa kilongalonga chake cha...

READ MORE

MTOTO WA GODZILLA AWATOA WATU MACHOZI

  INAUMA sana! Mbali na waombolezaji kuguswa na kifo cha Rapa Golden Mbunda ‘Godzilla’, mtoto pekee wa marehemu ait­waye Shawn...

READ MORE

KISA ‘KUCHEZA’ NA BINTIYE, BABA AMPA KIPIGO MTOTO WA JIRANI

CHEZA na pesa usicheze na mwanangu! Hakimu Mwampondela (40) mkazi wa Mwakibete, Iyunga mkoani hapa amethibitisha usemi huo kwa kumpa...

READ MORE

MAHAKAMA YATENGUA WAJUMBE WA LIPUMBA, YAIFUTA BODI YAKE

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Februari 18, 2019, imetengua uteuzi wa wajumbe wa bodi ya...

READ MORE

BREAKING NEWS: BODI YA FILAMU WAMFUNGULIA WEMA SEPETU

BODI ya filamu nchini imetangaza leo kumfungulia muigizaji Wema Sepetu baada ya adhabu ambayo ilitokana na video yake ya kimahaba...

READ MORE

Jambo Food Products waifanyia kazi kauli ya JPM – Video

KAULI mbiu y a Rais Dkt John Pombe Magufuli, ni Tanzania ya Viwanda! Malengo yake ni kuona viwanda vinajengwa kila...

READ MORE

KILICHOTOKEA MAHAKAMANI RUFAA YA MBOWE NA MATIKO – VIDEO

LEO Jumatatu, Februari 18, 2019 kesi ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko...

READ MORE