×

Habari

RAIS MAGUFULI ALICHOKIFANYA KWA WAISLAM LEO – VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 17 Desemba, 2018 ameungana na Baraza Kuu...

READ MORE

SPORTPESA YAMWAGA ZAWADI MOSHI

Zuberi Maeda (19) mkazi wa Kiterini, Moshi, mkoani Kilimanjaro,  amebahatika kuibuka kuwa mshindi wa Bajaj wa droo ya 71 ya...

READ MORE

Lukuvi, Makonda Wacharukia Migogoro ya Ardhi Gongo la Mboto – Video

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,William Lukuvi, yupo Mkoani Dar es Salaam akitatutua kero mbalimbali za wananchi wenye...

READ MORE

Benki ya FINCA Yatoa  mil 10 kwa wajasiriamali shindano la ‘Kuza Ofisi na FINCA’

  Bugingo Emmanuel  ameibuka mshindi wa shindano la biashara la Kuza Ofisi na FINCA na kuondoka na kiasi cha TZS...

READ MORE

TCAA YAIPA SIKU 28 FAST JEST, VINGINEVYO ITAIFUTIA LESENI

MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imelipa notisi ya siku 28 Shirika la Ndege la FastJet Tanzania kabla haijalifutia leseni kwa madai...

READ MORE

Mtoto Abakwa Na Zee La Miaka 40

  Binti wa miaka mitatu yupo mahututi hospitalini nchini India baada ya kubakwa Jumapili Desemba 17.Mtuhumiwa, mwenye umri wa miaka...

READ MORE

TUTUMIE VIDEO ZA MATUKIO TUKULIPE MKWANJA CHAPCHAP!

GLOBAL TV – RIPOTA ni Youtube Channel ya Jamii, inakupa nafasi wewe mdau ku share habari na matukio ya kipekee na...

READ MORE

Salum Mwalimu Atiwa Mbaroni Iringa

NAIBU Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar), Salum Mwalimu, leo Jumapili, Desemba 16, 2018 amekamatwa na polisi Mafinga mkoani Iringa akiwa...

READ MORE

NBC yatoa elimu ya kifedha kwa mama na baba lishe soko la fer

    BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) Juzi ilikabidhi msaada wa vifaa vya kufanyia usafi kwa Mtendaji wa Soko la Samaki la...

READ MORE

SHANGWE ZA WASAFI FESTIVAL MWANZA USIPIME CCM KIRUMBA! (Picha +Video)

USIKU wa kuamkia leo Tamasha la Wasafi Festival lilofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Baadhi ya wasanii watakaotumbuiza...

READ MORE

MSIMAMO WA GLOBAL PUBLISHERS SAKATA LA BUNGE LA ULAYA

TUMECHAGUA KUSIMAMA NA RAIS WETU Tumesoma barua ya maazimio 15 ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Union) kwa serikali...

READ MORE

Serikali yatoa siku mbili kwa Wamiliki wa viwanda vya kubangua Korosho

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Joseph Kakunda amewapa siku mbili wamiliki wa viwanda vya ubanguaji korosho kupitia mikataba waliyopewa...

READ MORE

ALICHOFANYIWA MTOTO HUYU… INAUMA MPAKA BASI

DAR ES SALAAM: AMA kweli kesho si siku ya kuitegemea sana; kwa sababu hujui kitakachotokea; mtoto Issaya Merikion ‘2’ mkazi...

READ MORE

AFUNGA NDOA NA WAKE WAWILI KWA MPIGO

  Morani mmoja katika kaunti ya Kajiado nchini Kenya, Tom Mako, maarufu kama Junior, (27) ameacha watu midomo wazi baada ya...

READ MORE

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2019 – DAR

UTANGULIZI FINAL 2018.pdf SELECTION DSM 2019.htm TAARIFA KWA VYOMBO HABARI SELECTION 2019.docx

READ MORE

Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2019 – Kilimanjaro

Machaguo Moshi DC Wavulana PLSE 2019.pdf Machaguo Wavulana Moshi MC 2019.pdf Machaguo Wavulana Rombo DC PLSE 2019.pdf Machaguo Siha-PLSE 2019-Wavulana.pdf...

READ MORE

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2019 – ARUSHA

Tazama Hapa  Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2019 Mkoa wa Arusha. Bonyeza Mkoa unaotaka kuona Majina hapo...

READ MORE

NAIBU WAZIRI KILIMO ATEMBELEA MAGHALA YA KOROSHO PWANI

…Mgumba akizungumza na viongozi wa vyama vya ushirika wa Mkoa wa Pwani.    Naibu Waziri  wa Kilimo, Mhe. Omary Mgumba...

READ MORE

WAZIRI ATAKA WALIOKOPA SACCOS WALIPE NDANI YA MIAKA MITATU

WAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga,  ameagiza kurejeshwa ndani ya miezi mitatu madeni yote yaliyokopwa kwenye vyama vya akiba na mikopo...

READ MORE

 MAKONDA: Picha za AMBER RUTTY Zinaongeza Joto DSM – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wasanii wote wenye mashabiki wengi kwenye mitandao ya kijamii pamoja...

READ MORE

MPANGO: Misaada ya Wafadhili Imepungua, Nchi Inapitia Kipindi Kigumu

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amesema nchi inapita kwenye kipindi kigumu kutokana na wafadhili kupunguza misaada na...

READ MORE

NISAIDIENI NIKATWE MGUU

DAR ES SALAAM: NI mtihani mzito! Peter Stewart (31), mkazi wa Ubungo – Maziwa, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye...

READ MORE

Asimulia Alivyomwagiwa TINDIKALI na MKE Mwenza – Video

INASIKITISHA SANA! MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Vumilia Sankemwa (32) amefanyiwa ukatili wa aina yake na mke mwenzake katika Kata ya...

READ MORE

BENKI YAFAFANUA MBUZI KUFUNGWA KWENYE TAIRI YA GARI LA SERIKALI

Benki ya Maendeleo (TIB) imetolea ufafanuzi kuhusu picha ya gari inayosambaa mtandaoni ikionyesha gari hiyo imebeba mbuzi aliyefungwa kwenye tairi...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Chanli ya Utalii ‘Tanzania Safari Channel’ – Video

Leo Desemba 15, 2018, Serikali kupitia wizara ya Maliasili na Utalii inazindua Channel ya Utalii inayoitwa ‘TANZANIA SAFARI CHANNEL’. Uzinduzin...

READ MORE

Lindi: Mvua, Upepo Mkali Vyabomoa Nyumba 157

NYUMBA 157 yakiwamo majengo ya serikali zimebomolewa na upepo mkali ulioambatana na mvua iliyonyesha juzi Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi....

READ MORE

NDOA YA PILI YA MCHUNGAJI ILIYOTIBULIWA KANISANI… MAPYA YAIBUKA!

DAR ES SALAAM: Lile sakata la Mchungaji wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies of God la Mlandizi, Julius Andrew aliyenaswa...

READ MORE

MKE: NIMEBAKWA, NIMETOBOLEWA MACHO! – VIDEO

SHINYANGA unaweza kujiuliza ni unyama wa kiwango gani wa mtu kumbaka mwanamke, halafu kama dhambi hiyo haitoshi anamuachia na kilema...

READ MORE

Wanafunzi 133,747 Waliofaulu Darasa la 7 Wakosa Nafasi Form One

Wanafunzi 133,747, sawa na asilimia 18.24 ya waliofaulu mtihani ya darasa la saba mwaka huu hawajapata nafasi ya kuchaguliwa kujiunga...

READ MORE

Ujumbe Mzito wa Mo Dewji kwa ‘Waliyomfanyia Mabaya’

Ujumbe wa mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’ aliouweka katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter akizungumzia kutenda mema hata...

READ MORE

AISHI NA MAITI YA MAMA YAKE KWA AJILI YA PENSHENI

MTU mmoja nchini Hispania anayedaiwa aliishi na maiti ya mama yake kwa mwaka mzima akiwa ameificha ili aendelee kupata pensheni...

READ MORE

JELA MAISHA KWA KUKIRI KUUA, KULA NYAMA YA BINADAMU

WANAUME wawili nchini Afrika Kusini wamefungwa maisha baada ya kutiwa hatiani kwamba walimuua na kumla mtu mmoja. Watu hao waliotiwa...

READ MORE

AJALI ILIYOUA MSANII NA WENZAKE WATATU… UNDANI NI HUU!

JUMAMOSI iliyopita, msanii wa muziki wa uswazi Mchiriku, Jackson Simela ‘Dogo Jack’(pichani) na wenzake watano walipata ajali ya gari na...

READ MORE

Mwanza: Mkuu wa Chuo ‘Atekwa’, Apotea

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shanna ameeleza juu ya tukio la kupotea kwa Mkuu wa Chuo cha Nyakato...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala – Pichaz

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John...

READ MORE

BENKI YA BARCLAYS YAMZAWADIA TV MSHINDI WA  ‘FANYA MIAMALA USHINDE’

    BENKI ya Barclays Tanzania kupitia kampeni yake ya ‘Fanya Miamala na Ushinde’ imemkabidhi Darius Tebuka, mkazi wa Dar...

READ MORE

Sima: Tutoe Fedha Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Sima amezitaka nchi zilizoendelea kutimiza wajibu wao wa...

READ MORE

MASHAIDI 15 KUANZA KUMTETEA ZITTO KABWE

  Kesi inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, mashahidi 15 kutoka upande wa mashtaka...

READ MORE