×

Habari

Kenya: Manusura wa Shambulio la Al Shabaab….’Mungu Ameniokoa’

MANUSURA wa shambulio la Westlands lililofanywa leo na Al Shabaab jijini Nairibu nchini Kenya ambaye ni mwanamke anayefanya kazi katika...

READ MORE

Waziri Mgumba awakumbusha wananchi faida za michezo

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe. Omary Mgumba, amewataka watu wa rika mbalimbali kuwa na kawaida ya kushiriki katika...

READ MORE

MOHAMED MANSOUR ALITANGAZAVYEMA TAIFA ANGA ZA KIMATAIFA

Mtanzania, Mohamed Mansour Nassor anayetokea Zanzibar ambae anafanya masomo kiwango cha juu ya PhD katika fani ya Uchumi ambae pia...

READ MORE

BREKING NEWS: Al-Shabaab Washambulia Westlands Nairobi – Video

MAGAIDI sita wa Kundi la Al-Shabaab wamethibitisha kushambulia kwa mabomu na risasi eneo la 14 Riverside, Westlands karibu na Hoteli...

READ MORE

SERIKALI YAMFANYIA KITU MBAYA MO DEWJI

BILIONEA Mohamed Dewji ‘Mo’ amefanyiwa kitu mbaya na serikali baada ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,...

READ MORE

VIGOGO TFDA Kizimbani kwa Kuisababishia Serikali Hasara ya Tsh 58m

MAOFISA wanne wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka...

READ MORE

Kombe la SportPesa Mubashara ndani ya DStv

  Dar es Salaam, Tanzania – Jumanne, 15 Januari 2018 Wapenzi wa kandanda Afrika Mashariki, wanauanza mwaka huu kwa burudani...

READ MORE

MAGUFULI AAGIZA VIJIJI VILIVYOPO MAENEO YA HIFADHI VISIONDOLEWE

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kusitishwa mara moja kwa zoezi la kuviondoa vijiji na vitongoji vinavyodaiwa kuwepo katika maeneo...

READ MORE

Mahakama ya ICC Yamwachia huru Gbagbo

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC), imemwachia huru rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo, baada ya...

READ MORE

Zawadi ya Simu Yaongezwa Chemsha Bongo ya Uwazi

Zawadi ya simu kali ya kijanja imeongezwa kwenye Chemsha Bongo inayoendeshwa na gazeti hili ambapo mbali na pesa taslim shilingi...

READ MORE

MTOTO ALIYEDAIWA KUSULUBIWA NA MAMA’KE… HALI NI MBAYA!

DAR ES SALAAM: Mtoto Hamisa Abduli (19), mkazi Kalokeni mkoani Mwanza, am­baye anadaiwa kuteswa na mama yake wa kufikia, hali...

READ MORE

JPM: Hatujawahi Kupata Hata Senti Tano Kutoka Airtel – VIDEO

Kampuni ya Mawasiliano ya Bharti Airtel, leo Jumanne, Januari 15, 2018 imesaini mkataba na Serikali ya Tanzania Ikulu jijini Dar...

READ MORE

Ndege Ndefu Zaidi Duniani Yatayarishwa Kibiashara na Abiria (PICHA)

  NDEGE ndefu zaidi duniani ipo tayari kwa ajili ya kuanza kutengenezwa kwa ajili ya kibiashara na abiria.   Hatua...

READ MORE

Alichokifanya RC Mwanri Mradi wa Maji, Utashangaa – Video

Baada ya kamati iliyoundwa na Mkuu wa mkoa wa Tabora kuchunguza ujenzi wa tanki la maji katika Kijiji cha Ibhelamilundi...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi: ICT Teachers -Dar Independent School

Job Title: ICT Teachers Overview Dar es Salaam Independent School Registration Numbers S. 2544 and DS/02/7/037 Immediate Vacancy Due to...

READ MORE

Mstaafu Auawa Kikatili na Mfanyakazi wa Ndani Ili Achukue Mafao

TUNSUME Sakajinga (60), mkazi wa wilayani Mgeninani, Kijichi, Temeke jijini Dar es Salaam ameuawa baada kupigwa na kitu kizito kichwani kisha kuchomwa...

READ MORE

BAADA YA KUOA BINTI WA KIBONGO…MZUNGU AUAWA KIKATILI BONGO!

KUSEMA kweli kuna wakati Dunia Haina Huruma! Ndivyo ambavyo unaweza kusema baada ya Familia ya Mzee Boniphace Raphael Umela wa...

READ MORE

POLISI WAFUNGUKA KUMSHUSHIA KIPIGO ‘HEVI’ DEREVA WA FUSO

JESHI la Polisi mkoani Songwe limeeleza sababu ya askari wa usalama barabarani kumshambulia dereva kwa kipigo kuwa alitumia lugha ya...

READ MORE

WATEJA 6 WA NMB WAJISHINDIA SAMSUNG S9+’

    SHINDANO la Benki ya NMB kuhimiza matumizi ya ‘NMB Mastercard’ au ‘NMB Masterpass’ linalojulikana kama ‘MastaBata’, leo limeendelea kuchezeshwa...

READ MORE

Kocha Simba si mtu mzuri, awafanyia umafia Waarabu

ILIZOELEKA katika mechi za nyumbani za Simba za Ligi ya Mabingwa Afrika, kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems...

READ MORE

ALIYEMSAFIRISHA PAKA KWA NJIA YA POSTA YAMKUTA

MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Yang (33) nchini Taiwan amepigwa faini ya dola za Taiwan NT$60,000 (sawa na Tsh...

READ MORE

Kesi Yanga ikiunguruma, Manji kurudi kwa kishindo

KUM EKUCHA Yanga! Hivyo ndi­vyo unavyoweza kusema baada ya taarifa mpya kuibuka klabuni hapo mara tu baa­da ya uchaguzi wa...

READ MORE

UZEMBE! AWESO ‘AMPITIA’ MHANDISI WA MAJI MULEBA

Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameagiza Jeshi la Polisi kumkamata Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba...

READ MORE

Mke wa kafulila Aibua Ufisadi wa Trilion 1.3 Sakata la SONGAS – Video

WAZIRI Kivuli wa Nishati, Jesca Kishoa amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai kumuita mbele ya Kamati ya Bunge na Maadili,...

READ MORE

Trump Atishia Kuuangamiza Uchumi Wa Uturuki

  RAIS wa Marekani Donald Trump ametishia ‘kuiangamiza Uturuki kiuchumi’ iwapo taifa hilo litavishambulia vikosi vya Wakurdi nchini Syria baada...

READ MORE

BREAKING: MAHAKAMA KUU YAIFUTA KESI YA ZITTO NA WENZAKE

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeifuta kesi iliyofunguliwa na Kiongozi wa ACT Wazalendo na wenzake wa vyama vya...

READ MORE

Jembe jipya Yanga kuibuka Taifa kesho

KIUNGO mpya wa Yanga, Mohammed Issa ‘Banka’, kesho Jumanne anatarajiwa kuibukia Uwanja wa Taifa wakati kikosi hicho kikipambana na Mwadui...

READ MORE

MANENO YA IDRIS BAADA YA KUMZIKA BIBI YAKE

MSANII maarufu wa vichekesho (comedy) Bongo, Idris Sultan amejikuta akiandika waraka mzito kwa mashabiki wake kuhusu maisha yake baada ya...

READ MORE

WAJUE WANAWAKE 12 WALIOANDIKA REKODI YA KUZAA WAKIWA VIKONGWE

  Mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu mwenyewe na unaweza ukaolewa au ukawa na mwanaume lakini usipate mtoto kwa kipindi...

READ MORE

ALIYEDAIWA KUUAWA NA MUMEWE AZIKWA NA SANDA NYEUSI

MAAJABU! Sintofahamu imeibuka kwa wakazi wa Mtaa wa Pombo-Madale, nje kidogo ya Jiji la Dar katika mazishi ya marehemu Rose...

READ MORE

Waimbaji wa Injili wamfuta machozi Cassian!

MSA­NII wa nyimbo za Injili nchini ambaye pia ni mlezi wa waimbaji wa injili Tanzania, Emmanuel Mbasha ameeleza jinsi yeye...

READ MORE

Mwana FA: Hata waje Barcelona kwa Simba hii hawatoki

MKALI wa michano Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, ameungana na msemaji wa Wekundu wa Msimbazi, Haji Manara, kusema kwamba hata Barcelona...

READ MORE

UNDANI WA KIGOGO WA MAFUTA ALIYETEKWA DAR

INASIKITISHA! Kigogo wa kampuni moja ya mafuta (jina tunalihifadhi kwa sababu maalum) ya jijini Dar, Dawson Buberwa Ishengoma, anadaiwa kutekwa...

READ MORE

WAZIRI LUGOLA AWASIMAMISHA KAZI VIGOGO WATANO – VIDEO

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amewasimamisha kazi vigogo watano wa idara ya wakimbizi kwa madai ya kushindwa kutoa...

READ MORE

ZITTO: Nimelipeleka Suala la CAG na Spika Jumuiya ya Madola -Video

Kiongozi wa chama wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kufuatia mvutano mkubwa uliojitokeza kati ya Spika wa Bunge la Jamhuri...

READ MORE

Mtanzania Ashinda Tuzo Ya Kuhamasisha Vijana Moscow

  Mtanzania Mohamed Mansour ameshinda tuzo ya kuhamasisha vijana wa Afrika nchini Urusi katika masuala ya Taaluma (Elimu) na Maendeleo...

READ MORE

SIMBA TISHIO CAF, WAIGONGA JS SAOURA BAO 3-0 (PICHA+VIDEO)

  TIMU ya Simba wamefanikiwa kuwapa furaha mashabiki wao na Watanzania kwa Ujumla baada ya kuibuka na ushindi wa bao...

READ MORE

MOOVN DRIVER YATOA MSAADA KITUO CHA WATOTO YATIMA HANANASIFU

KAMPUNI Ya usafirishaji abiria ya Moovn Driver kwa kushirikiana na umoja wa madereva wa mtandao (TODA), leo wametoa msaada wa...

READ MORE

MCHUNGAJI ALIYETABIRI MABADILIKO SERIKALI YA JPM 2019 – VIDEO

UNABII UMETIMIA! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema ikiwa ni siku 8 tu tangu Mtumishi wa Mungu, Pastor Malachi Joseph kutabiri kuwa...

READ MORE

SINGIDA UNITED YAMCHUKUA ‘KOCHA WA SIMBA’

KLABU ya Singida United imemwajiri Kocha Mserbia Dragan Popadic kuchukua Mikoba ya Kocha Moroco mwenye majukumu ya kitaifa ya maandalizi...

READ MORE