×

Habari

NABII Shillah Ataja Watu Wanaotaka ‘Kumteka’ – Video

NABII wa Kanisa la Bethel Ministry, Daniel Shillah amefunguka mazito ambayo yanaonyesha viashiria vya watu ambao wanamtafuta na kutaka kumteka.  ...

READ MORE

CUF Wamponda Mtolea, Wampongeza Magufuli- Video

CHAMA cha Mwananchi (CUF) upande wa mwenyekiti wa chama hicho anayetembulika na Msajili wa Vyama vya Siasa, Prof. Ibrahimu Lipumba, ...

READ MORE

Spika Ndugai Apongeza NMB Kutoa Elimu ya Ujasiriamali Kwa Watanzania

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema kuwa watanzania wengi wamekuwa wakishindwa kufikia malengo yao kutokana na kutokuwa na...

READ MORE

‘Masaji ni tiba kubwa kwa wanamichezo’

SUALA la massage ‘masaji’ ni kitu ambacho kimekuwa na taswira tofauti katika jamii ya Afrika ikiwemo Tanzania, wengi wamekuwa wakijua...

READ MORE

Meya Iringa Anaswa na Takukuru Akipokea Rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe (CHADEMA), kwa tuhuma za...

READ MORE

UNDANI BABU ALIYEDAIWA KUBAKA KATOTO

DAR ES SALAAM: Mkazi wa Mburahati Motomoto jijini Dar, Mohammed Hassan ‘Babu Komeni’ anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 65,...

READ MORE

MREMBO ADAIWA KUMUUA MCHUMBA WAKE!

MREMBO ambaye ukimuona unaweza kusita kuamini anachodaiwa kukifanya, yuko mikononi mwa polisi akituhumiwa kumuua mchumba wake aitwaye Erick Msodiki mkazi...

READ MORE

KIGOGO POLISI ALIYENASWA NA KABINTI KITANDANI, UTATA WAIBUKA!

SIKU nane baada ya kigogo aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Mkoa (RTO) kabla ya kustaafu, Mashaka Mdachi...

READ MORE

Mjane Moro afanyiwa kitu mbaya

MOROGORO: Baada ya mumewe ambaye alikuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani hapa, Nyakatale Alphonce kufariki dunia miezi minne iliyopita, mjane ambaye...

READ MORE

KUPOTEA KWA MTOTO, BALAA LA MGANGA USIPIME!

DAR ES SALAAM: Majanga! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya sakata la kupotea kwa mtoto Gabriella Kilimba (3) kuchukua sura mpya...

READ MORE

Breaking News: Mtolea Apokelewa CCM

Ndugu Zangu Salaam, ALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE NDG. ABDALAH MTOLEA AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) 15 Novemba 2018...

READ MORE

BREAKING: SUZAN KIWANGA ATIMULIWA BUNGENI HADI 2019

Spika wa Bunge, Job Ndugai amemtoa nje ya bunge, Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga (Chadema) na kumtaka kutohudhuria vikao vya...

READ MORE

VODACOM, Doris Mollel Foundation WATOA MIL 25 KUSAIDIA HOSPITALI YA RUFAA DODOMA

KATIKA kuunga mkono lengo la serikali la kupunguza vifo vya uzazi na watoto njiti ili  kupunguza uwiano wa vifo vya uzazi...

READ MORE

BREAKING: MBUNGE KATANI HAJAJIUZULU

MBUNGE wa Jimbo la Tandahimba, Mtwara kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Katani Ahmadi Katani, hajajiuzulu Ubunge wa Tandahimba...

READ MORE

Tanzania kunufaika na fursa za uchumi endelevu wa Bahari

    Katika jitihada za kujenga uelewa juu ya dhana nzima ya uchumi endelevu utokanao na rasilimali za  bahari, mabwawa...

READ MORE

OFISA MALAZI (UDSM) AKABIDHIWA  NDINGA YAKE NA TBL

      KAMPUNI ya TBL leo imemkabidhi mshindi wa kwanza wa zawadi kubwa ya gari  aina ya Renault KWDI,...

READ MORE

Breaking News: Mtolea Ajiuzulu Ubunge wa Temeke – Video

Mbunge wa TEMEKE (CUF), Abdallah Mtolea amejivua uanachama na kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge na nafasi zote ndani ya CUF...

READ MORE

Spika Awaapisha Wabunge Chadema Waliyotimkia CCM – Video

Leo Novemba 15, 2018, Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania linaendelea na vikao vyake jijini Dodoma.   Kabla ya...

READ MORE

DC MURO AZISAKA MILIONI 400 ZILIZOKOMBWA ARUMERU

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wilayani Arumeru linamsaka aliyekuwa mweka hazina...

READ MORE

Ukatili! Mama wa Kambo Amchoma Kisu Mtoto

Mama mmoja mkoani Tanga aliyefahamika kwa jina moja la Ashura, amemchoka kwa kisu mtoto wake wa miaka nane kwa madai...

READ MORE

FAHYMA ATAJA SIRI PENZI LAKE NA RAYVANNY KUDUMU

MZAZI mwenzake na msanii anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahyma ametaja siri inayomfanya kudumu na...

READ MORE

MAGUNIA 100 YA KOROSHO ZA MAGENDO KUTOKA MSUMBIJI YAKAMATWA MTWARA

IKIWA ni siku moja tu baada ya Rais John Pombe Magufuli kutangaza kuwa Serikali itanunua korosho kwa bei ya Tshs...

READ MORE

Baba Kanumba Amsaka Lulu

IKIWA ni siku moja imepita tangu msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amalize kifungo cha nje alichokuwa amehukumiwa...

READ MORE

Mipango ya Mo, Okwi tishio CAF

LICHA ya mbwembwe zake na uzoefu wake, Kocha wa Mbabane Swallows ya Swaziland, Thabo ‘Koki’ Vilakati akisikia jina la Mohammed...

READ MORE

BREAKING: Msigwa, Lema Wafukuzwa Bungeni – Video

Naibu Spika Dk Tulia Ackson, amemtoa nje Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa wakati wabunge wakichangia Azimio la kumpongeza...

READ MORE

Kazi Imeanza! JWTZ Yakabidhiwa Rasmi Kiwanda cha Korosho Lindi

JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ) leo limekabidhiwa rasmi kiwanda cha kubangua korosho cha Buko kilichopo mkoani Lindi tayari kwa kuanza...

READ MORE

KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI ALIYEKUWA MHASIBU WA TAKUKURU YAKWAMA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya utakatishaji fedha na kumiliki mali zisizolingana na kipato...

READ MORE

Waziri Ajiuzulu Kwa Kashfa ya Video ya Ngono na Mkewe

Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa South Africa, Malusi Gigaba,  amejiuzulu wadhifa wake huo kutokana na kashfa ya kuvuja...

READ MORE

Wananchi wafurahia ofa  ya Danube

Siku chache baada ya GSM Tanzania kuzindua kampeni ya “BEI CHEE” yenye lengo la punguzo la bei kwa asilimia 70%...

READ MORE

TRC Yaanika Usiyoyajua Kuhusu Ujenzi wa Reli ya Umeme – Video

Shirika la Reli  Tanzania (TRC) limeeleza mafanikio mbalimbali ya shirika hilo kwa kipindi cha miaka mitatu ya serikali ya awamu...

READ MORE

Maamuzi ya Waziri Mpya wa Kilimo Kuhusu Korosho

Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga amesema kuwa wizara yake itatekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

ASIA MUSTAFA: BINTI ANAYEISHI BILA FIGO KWA MIAKA 12

  ASIA MUSTAFA ni msichana anayeishi bila figo kwa miaka 12 sasa na alianza kuugua mwaka 2004 ambapo zilifeli zote mbili,...

READ MORE

Moto wa MSIGWA Bungeni, Amnyanyua Waziri – VIDEO

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Petter Msigwa (CHADEMA) amehoji juu ya tatizo la ajira nchini, na kuitaka serikali kuboresha vyuo...

READ MORE

MBOWE Alivyoitwa Mbele ya Makamu wa Rais “Yuko wapi?” – VIDEO

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu amehitimisha ziara yake katika mkoa wa Kilimanjaro katika...

READ MORE

Dereva Mzembe wa Serikali Alivyoingia Kwenye 18 za Polisi – VIDEO

Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kinafanya operesheni mbalimbali ili kuhakikisha kinapambana kuzuia ajali mbalimbali zinazotokea nchini ambazo hivi...

READ MORE

WAZIRI MKUU ASIKITISHWA NA WIZI KWENYE MRADI WA NSSF DEGE

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa nyumba unaojengwa kwa ubia kati Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na...

READ MORE

MMBATIA: Magufuli Amekubali Kuzungumza na Chadema, Sisi ni Wamoja – Video

Rais Dkt. John Magufuli amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi,...

READ MORE

MAHAKAMA, TPSF KUWA NA JUKWAA LA PAMOJA

Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imepanga kuwa na Jukwaa la pamoja kujadili masuala...

READ MORE

Rayvanny, Diamond, WCB Wapigwa Faini ya Tsh 9m na BASATA – Video

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limewatoza faini Tsh milioni 9 wanamuziki Rayvanny, Diamond Platnumz na Lebo yao ya WCB,...

READ MORE