×

Habari

BREAKING NEWS: Maalim Seif Kutua Chadema Kuwania Urais- Video

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema endapo migogoro ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) itaendelea basi watamshawishi Katibu Mkuu...

READ MORE

Waziri Kabudi: “Mnaikejeli Mahakama? Nitaleta Marks Zenu Hapa” – Video

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesimama Bungeni leo katika mkutano wa 12 na kutoa ufafanuzi kuhusiana na...

READ MORE

WANNE WAFARIKI AJALINI KILIMANJARO

WATU  wanne wakiwemo wawili wa familia moja wamefariki dunia papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Isuzu kuacha...

READ MORE

MAKONTENA YA MAKONDA YAMEKUA KAMA SINEMA

  MAKONTENA 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda yalitakiwa kupigwa mnada kwa agizo la Waziri...

READ MORE

K-Vant ndani ya chupa mpya yazinduliwa mkoani Arusha

KAMPUNI ya Mega Beverages Company Limited, yenye makao yake makuu mjini Arusha, imezindua chupa mpya za kinywaji chake cha K-Vant...

READ MORE

NAUNGA MKONO MWAKYEMBE KUPIGA CHINI ‘KIMOMBO’ MISS TANZANIA

MWAKA 1972, Mwanamitindo Julia Morley ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa shirika linaloratibu mashindano ya Miss Dunia alianzisha kitu kinaitwa...

READ MORE

BREAKING NEWS: KAMISHNA WA TRA APATA AJALI DODOMA – PICHA

KAMISHNA wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Marwa Kichere amepata ajali leo Jumanne, Septemba 11, 2018, baada ya gari lake aina...

READ MORE

SHAMBULIO LA SEPTEMBA 11: MIAKA 17 BAADAYE, BADO MAJERAHA HAYAJAPONA

Miaka 17 imepita tangu dunia ilipotingishika kufuatia mashambulizi makubwa ya kigaidi yaliyolenga jengo refu zaidi duniani, World Trade Centre jijini...

READ MORE

CHADEMA: “CCM Wanamtumia LOWASSA, Hatutakubali” – VIDEO

WANACHAMA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamekilalamikia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakidai kuwa chama hicho kinalitumia jina la...

READ MORE

Mavunde Aipongeza Puma kutoa Elimu Usalama barabarani shule za Msingi

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu, Antony Mavunde, akizungumza jambo.   NAIBU Waziri Ofisi...

READ MORE

MAKONDA AKAZIA ONYO LA MGAMBO KUPIGA RAIA – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, ametoa taarifa ya kampeni ya usafi iliyoanza takribani mwezi mmoja uliopita...

READ MORE

Meneja Simba Afungiwa Kujihusisha na Soka, Faini Milioni 4 – Video

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungia mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya soka, Meneja wa Klabu...

READ MORE

SMART CODES YABORESHA MWONEKANO WA NEMBO YAKE

    KAMA moja ya maendeleo, Kampuni ya Smart Codes inayohusika na utoaji wa huduma za kiteknolojia na matangazo jijini...

READ MORE

DENTI MWINGINE ATENGULIWA MKONO NA MWALIMU WAKE

MOROGORO: Wakati walimu wawili wa Shule ya Msingi ya Kibeta iliyopo Bukoba mkoani Kagera wakiburuzwa mahakamani wakidaiwa kumchapa viboko hadi...

READ MORE

Spika Ndugai Apiga ‘STOP’ Kucha na Kope Bandia Bungeni – Video

Spika wa Bunge la Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai leo Septemba 10, 2018 amepiga marufuku wabunge wanawake...

READ MORE

Jack Pemba Sasa Kumwaga Pesa Soka la Bongo

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kwa sasa linahesabu siku chache tu kabla ya kupata dawa ya kupunguza makali ya kuendesha...

READ MORE

MAGUFULI: Ng’ombe Umtoe Kizazi, Wewe Utolewe Kizazi? Sikubali!

RAIS John Magufuli amepingana na sera ya  uzazi wa mpango akidai kuwa sera hiyo inapunguza nguvu-kazi kwa taifa na kuwataka...

READ MORE

Kuku Wamuokoa Timbulo

MSANII wa Bongo Fleva, Ally Timbulo ameweka wazi kwamba, kilichomuokoa kwenye maisha ukiachana na muziki ni ufugaji wa kuku ambao...

READ MORE

Breaking News: Rais wa Moldova, Igor Dodon Apata Ajali

Rais wa Jamhuri ya nchi ya Moldova, Igor Dodon, amejeruhiwa kwenye ajali mbaya ya barabarani kaskazini magharibi mwa mji mkuu Chisinau. Vyombo...

READ MORE

JPM AMRARUA WAZIRI JAFO HADHARANI ‘SIJAFURAHISHWA KABISA’- Video

Rais Dkt John Magufuli ameataka wananchi kufanya kazi kwa bidii na kuongeza uzalishaji mali ili kuliendeleza Taifa. Rais Magufuli ametoa...

READ MORE

Breaking: Msafara wa JPM Wapata Ajali Meatu, Waandishi Wajeruhiwa

GARI lililokuwa limebeba waandishi wa habari wa Mkoa wa Simiyu limepata ajali kwenye msafara wa Rais John Magufuli mjini Mhanuzi...

READ MORE

Wassira Ateuliwa Mwenyekiti Bodi Kumbukumbu ya Nyerere

RAIS John Magufuli amemteua Stephen Wassira kuwa Mweyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,  nafasi iliyokuwa inashikiliwa...

READ MORE

UTAPELIMKUBWA 40 YA MZEE MAJUTO

AMA KWELI kufa kufaana! Hayo ndiyo maneno unayoweza kusema endapo yatakufikia madai ya utapeli mzito unaofanywa na baadhi ya watu...

READ MORE

Mama, wanawe wanne yawafika mazito!

MAMA anayeishi na familia yake na kufanikiwa kuzaa watoto wanne kufikia hatua ya kulala kando ya barabara si kitu cha...

READ MORE

NAMA International Conference kuzikutanisha asasi za kiraia

KAMPUNI ya Kimataifa ya Mikutano na Maonesho iitwayo, NAMA International Conference and Exhibition  (NICX) inatarajia kufanya kongamano kubwa ambalo linalenga...

READ MORE

JPM: Walisema Mtaka Hafai Kuwa Hata DC, Leo Anaongoza Kuchapa Kazi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameendelea na ziara yake ya kukagua na kuzindua miradi...

READ MORE

LUGOLA Alivyofurahia JPM Kumtimua Mkurugenzi! – VIDEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amempongeza Rais Dkt John Magufuli kwa kumtimua Mkurugenzi aliyekamatwa na ubadhilifu...

READ MORE

STARS YAONYESHA KANDANDA SAFI, YATOKA SARE NA UGANDA

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imelazimishwa sare ya bila kufungana kikiwa ugenini dhidi ya wenyeji wake Uganda, Mechi...

READ MORE

ANAYEDAIWA KUMUUA MWANAKWAYA GESTI AKAMATWA KANISANI

  KIJANA anayedaiwa kumuua Mariam Charles (26), mwanakwaya wa Kanisa la AICT, Chang’ombe (anafahamika kwa jina moja la Frank) amekamatwa...

READ MORE

VILIO TUPU! KUAGWA KWA MWANAKWAYA ALIYEUAWA GESTI – PICHAZ

VILIO, simanzi na mazjonzi vimetawala miongoni mwa waombolezaji leo Jumamosi, Septemba 8, 2018 wakati wa kuaga mwili wa mwanakwaya Mariam...

READ MORE

TUSUA MAISHA… NANI KUIBUKA MSHINDI DROO YA MWISHO?

PENALTI ya mwisho! Hebu vuta picha, wewe ni mchezaji wa mpira wa miguu, mpaka dakika tisini zinaisha hakuna mshindi, unawadia...

READ MORE

Mwanakwaya Aliyeuawa Gesti, Familia Yasimulia Mazito – Video

DAR ES SALAAM: Tukio la mwanakwaya wa Kwaya ya Vijana ya Kanisa la AICT-Chang’ombe (CVC) Mariam Charles, 25, (pichani) mkazi...

READ MORE

BAD NEWS: AJALI YA MAGARI MATANO MBEYA, WALIOFARIKI WAFIKA 15

IDADI ya watu waliokufa katika Ajali ya lori iliyogonga Magari mengine manne kabla ya kupinduka na kuwaka moto kwenye mteremko...

READ MORE

TUKIO ZIMA: Wanafunzi Wachomana Visu DAR! – Video

MWANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Msimbazi anadaiwa kuchoma mwanafunzi mwenzake kisu kichwani baada ya kutaka kulipiza kisasi kutokana na ugomvi...

READ MORE

WASHINDI WA DROO YA TISA NA KUMI WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Washindi wa droo ya tisa na kumi wa Shindano la Tusua Maisha na Global, wamekabidhiwa zawadi zao, tukio ambalo limefanyika...

READ MORE

Kimenuka: Muro Aichana Hadharani Hotuba ya Chama, “Mtakufa” – Video

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro ameichana Hotuba ya Chama Cha Ushirika cha Wilaya ya Arumeru iliyosomwa na kukabidhiwa...

READ MORE

KING MSUKUMA Afunguka Mali Zake Kupigwa Mnada – Video

Baada ya taarifa kusambaa katika mitandao ya Kijamii kuwa Mali za mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini (CCM), Joseph Kasheku...

READ MORE

Serikali Yawasilisha Marekebisho Sheria ya TLS, Wabunge ni Marufuku

SERIKALI imewasilisha marekebisho ya Sheria ya Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) sura namba 307 ambapo sasa watumishi wa umma, madiwani,...

READ MORE