×

Habari

Magufuli Akutana na Wanunuzi Wa Korosho Atoa Msimamo Serikali – Video

Rais John Magufuli ametoa msimamo wa Serikali kuwa bei ya korosho isipungue Sh 3000 kwa kilo moja. Rais Magufuli ameyasema...

READ MORE

Zitto Kabwe Aitupia Lawama Serikali Sakata la Bei Ya Korosho – Video

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Serikali haipaswi kukwepa lawama kwenye suala la...

READ MORE

ZITTO afunguka ‘Mo Dewji’ Kutekwa / Azory, Ben Saa Nane wako wapi? – VIDEO

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe amewataka wananchi kutokaa kimya yanapotokea matukio ya utekaji nchini Tanzania, akibainisha kuwa kukemea...

READ MORE

MWILI WA GAMBA KUWASILI LEO USIKU; HISTORIA YA MAISHA YAKE

MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa vituo mbalimbali vya redio nchini na Ujerumani, Issac Gamba, utawasili kesho (Jumatatu) jijini Dar es...

READ MORE

Mtanzania Rebeca Gyumi Atunukiwa Tuzo ya Haki za Binadamu ya UN

REBECCA GYUMI, mwanaharakati wa haki za wanawake na wasichana nchini Tanzania pamoja na watu wengine wawili na shirika moja la...

READ MORE

Mjue Bilionea wa Sudan ya Kusini Mwenye Utajiri Tata

BILIONEA tata wa Sudan ya Kusini,  Lawrence Lual Malong Yor Jnr, amezua sintofahamu miongoni mwa watu wa Kenya wiki hii...

READ MORE

Helikopta ya Leicester City Yaanguka na Kuwaka Moto Ikitoka Uwanjani

HELIKOPTA ya bilionea, mmiliki wa klabu ya soka ya Leicester City ya Uingereza, Vichai Srivaddhnaprabha, imeanguka na kuwaka moto ikiwa inaondoka...

READ MORE

BILIONEA WA FACEBOOK ATUMIA MABILIONI KUJILINDA ASIUAWE

MWAKA 2017, kampuni ya mtandao wa Facebook ilitumia Dola 7.3 (Sh. bil. 16.7) kwa ajili ya usalama wa Mtendaji Mkuu...

READ MORE

HII KALI! WALEMAVU 8 WAJIWEKA LOKAPU

HII ni kali ya aina yake! Watu wanane wenye ulemavu wa macho wamevamia Ofisi za Wakala wa Barabara Tanzania,(Tanroads) na...

READ MORE

SHOO YA RICH MAVOKO USIPIME TIGO FIESTA MWANZA VIBE KAMA LOOTEE

  Msanii wa muziki wa Bongo fleva Richard Martin maarufu kwa jina  la ‘Rich Mavoko’ usiku wa kuamia leo ametoa...

READ MORE

Wamwera wa Dar Wafunika Maadhimisho ya Siku ya Utamaduni

JAMII ya Kabila la Wamwera waishio jijini Dar es Salaam wamefunika kwa kuonyesha utamaduni wao wa asili wakati wa Maadhimisho...

READ MORE

TANZIA: MUIGIZAJI WA FUTUHI AFARIKI DUNIA

HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema mwigizaji maarufu wa Kundi la Vichekesho la FUTUHI maarufu kwajina la Karumekenge amefariki dunia jana...

READ MORE

Sahle-Work Zewde Awa Rais wa Kwanza Mwanamke Ethiopia

BUNGE la Ethiopia limemchagua Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi hiyo. Sahle-Work ni mwanadiplomasia mkongwe ambaye anakuwa...

READ MORE

MADENTI WAINGIZWA GESTI MCHANA

HIVI wazazi wawafiche wapi watoto wao wa kike ili waweze kutimiza ndoto zao kimasomo? Jibu la swali hili ni gumu...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Wenyeviti 9 Bodi za Taasisi za Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti 9 watakaoongoza bodi za taasisi...

READ MORE

Breaking News: Ajali Mbaya Yaua Chalinze Usiku Huu

Watu wanne akiwemo dereva wa Coaster wamefariki na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Coaster kugongana...

READ MORE

WATOTO FAMILIA MOJA WATEKWA

DAR ES SALAAM: Wakati wimbi la watoto kutekwa likiendelea kutikisa nchini huku Jeshi la Polisi likiendelea kuwatafuta, watoto Kulthum Ally...

READ MORE

NANDY AZINDUA BIDHAA ZAKE MWANZA, ATOA FURSA KWA VIJANA

    MSANII wa kizazi kipya, Faustina Mfinanga ’Nandy’amezindua bidhaa zake jijini Mwanza huku akiwataka vijana kuchangamk-ia fursa za kuzisambaza...

READ MORE

BREAKING: Magufuli Acharuka Sakata la Korosho, Atoa Maagizo Mazito

RAIS Dkt. John Magufuli ameitaka Wizara ya Kilimo ijitathmini kutokana na suala la mauzo ya zao la korosho linavyoendelea pamoja...

READ MORE

CHOO CHA SHULE CHAPOROMOKA, MTOTO MMOJA AJERUHIWA – PICHA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU Leo 26/10/2018 majira...

READ MORE

CCM WAMALIZA ZIARA YAO CHINA, WARUDI NA UJUMBE MZITO – VIDEO

Msafara wa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally, umerejea nchini ukitokea...

READ MORE

KIMENUKA! BASATA: Amber Rutty ni Hayawani, Wema Mnafiki

KATIBU Mtendaji Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Godfrey Mngereza amefunguka juu ya matukio la kusambaa ka video ya ngono ya...

READ MORE

Polisi Wamsaka Dereva wa Dangote Aliyesababisha Ajali na Kuua Watano

Kamanda wa Polisi Mkoani Lindi, Prudeciana Protas amethibitisha kukimbia kwa dereva wa lori, mali ya Kampuni ya Dangote ambalo limesababisha...

READ MORE

BOBI WINE YAMKUTA TENA

HUENDA huu ukawa mwaka mbaya kwa mwanamuziki ambaye pia ni Mbunge wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Kyagulanyi Robert ‘Bobi Wine’...

READ MORE

Mgombea wa Uenyekiti Simba Ajiondoa

ALIYEKUWA mgombe wa nafasi ya Uenyekiti katika klabu ya Simba ambaye pia ni nyota wa zamani wa timu hiyo, Mtemi...

READ MORE

Wabunge Ethiopia Wamchagua Rais Mwanamke

WABUNGE nchini Ethiopia wamemchagua Sahle-Work Zewde, kuwa rais wa kwanza mwanamke baada ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Mulatu Teshome,...

READ MORE

Waziri Mkuu Apokea Ripoti ya MV Nyerere

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea ripoti ya uchunguzi wa ajali ya kivuko cha MV Nyerere kutoka kwa kamati iliyoundwa...

READ MORE

JAJI MFAWIDHI TANGA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA

      Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tanga, Mhe. Amir Mruma amemuhimiza Mkandarasi SUMA JKT kuharakisha ukamilishaji...

READ MORE

AJIBU AONDOLEWA KIKOSINI YANGA

IBRAHIM Ajibu ambae amehusika kwenye mabao 11 ya Yanga msimu huu, hatokuwa sehemu ya mchezo wa leo usiku  wakati timu...

READ MORE

NECTA YATANGAZA MATOKEO DARASA LA SABA 2018, YATAZAME HAPA

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (darasa la saba) kwa mwaka...

READ MORE

BENKI YA CBA YAZINDUA TAWI JIPYA SAYANSI KIJITONYAMA

  BENKI ya CBA leo imezindua tawi jipya la benki hiyo lililopo Sayansi Kijitonyama jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa...

READ MORE

BARACK OBAMA, HILLARY CLINTON WATUMIWA MABOMU

MARAIS wastaafu wawili wa Marekani, Bill Clinton, Barack Obama na Mbunge, Mazine Walters, ni miongoni mwa watu ambao wametumiwa mabomu...

READ MORE

Tattoo za Wawa zina maana nyingi

HUENDA beki wa kigeni wa Simba, Pascal Wawa ndiye mchezaji mwenye michoro mingi mwilini ‘tattoo’ kati ya wachezaji wanaocheza katika...

READ MORE

MKUU KITENGO CHA USALAMA SHIRIKA LA POSTA ATOWEKA

MKUU wa Kitengo cha Usalama wa Shirika la Posta Tanzania, George Mwamgabe (pichani kushoto), ametoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa...

READ MORE