×

Habari

Nmb Yadhamini Kongamano La Ngos, Yabainisha Mchango Wa Sekta Ya Fedha Katika Maendeleo Ya Taifa

Benki ya NMB imedhamini na kushiriki kikamilifu Kongamano la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) 2025, lililofanyika Agosti 13 jijini Dodoma,...

READ MORE

Mkutano Wa Wakandarasi Wanawake wapigwa Jeki na Equity Bank, Yapania Kuinua Uwezeshaji Wa Kiuchumi

Equity Bank Tanzania imeendeleza dhamira yake ya kukuza huduma za kifedha kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati (MSEs na SMEs)...

READ MORE

CRDB Yazindua Hatifungani ya Kwanza Isiyo na Riba kwa Wawekezaji wa Kiislamu

Katika uzinduzi wa kihistoria wa CRDB Al Barakah Sukuk, Mgeni Rasmi ambae ni Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri...

READ MORE

CCM Kuanza Harambee ya Bilioni 100 Kesho, Rais Samia Kuongoza Uzinduzi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kuwa chama chake kimepanga kukusanya Shilingi...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Mazishi Ya Hayati Ndugai

Asema aliimarisha ushirikiano kati ya Bunge na Serikali Atoa rai kwa Watanzania kuenzi mema yote aliyoyafanya enzi za uhai wake...

READ MORE

Hayati Job Ndugai Aagwa kwa Heshima Kongwa, Azikwa Kijiji cha Madumbwa

Leo, Agosti 11, 2025, mamia ya waombolezaji wakiwemo waumini, viongozi wa serikali na vyama vya siasa wameungana katika Kanisa la...

READ MORE

Mkutano wa Maafisa Wakuu Jeshi la Polisi Moshi Kufunguliwa na Makamu wa Rais Dkt. Mpango

Jeshi la Polisi nchini linatarajia kufanya Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi kuanzia Agosti...

READ MORE

Polisi Wakamata Milioni 82 na Dola 267 Zilizoporwa Nyumba ya Salasala

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata shilingi milioni 82 za wizi na dola za Marekani 267,...

READ MORE

Aspect Gaming & Superspade Games Sasa Ndani ya Meridianbet

Mpaka wakati huu, kwenye ulimwengu wa michezo ya kasino ya mtandaoni, majina makubwa yamekuwa yakitengeneza historia kwa ubora, ubunifu na...

READ MORE

Wakulima Wabenkika Kidijitali Mpaka Shambani na Azania Bank Nanenane 2025

Azania Bank imeshiriki kikamilifu katika maonesho ya Nanenane mwaka huu katika mikoa Saba ya Dodoma, Morogoro, Mbeya, Mwanza, Simiyu, Tabora...

READ MORE

Mtoto wa Ndugai Ampongeza Rais Samia, Atoa Shukrani Kwa Niaba ya Familia – Video

Mtoto wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Ndugai, Yustino Ndugai, ametoa salamu za...

READ MORE

Rais Samia: Hayati Ndugai Alikuwa Mkomavu Kisiasa Na Kiuongozi (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Hayati Job Yustino Ndugai alikuwa kiongozi mkomavu...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili Wa Hayati Job Ndugai (Picha +Video)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesaini Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili...

READ MORE

Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina Akaribishwa kwa shangwe Unguja

Agosti 9, 2025, mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, pamoja...

READ MORE

Nchimbi Apokea Baraka za Mama Yake Mzazi

Mama mzazi wa Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akimpa baraka mwanaye muda mfupi kabla ya mgombea huyo mwenza kwenda kuungana...

READ MORE

TRA Yasisitiza Mawinga Wachangie Maendeleo Kupitia Kodi

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amewataka wafanyabiashara wa kati maarufu kama mawinga kuhakikisha wanazingatia sheria...

READ MORE

Rais Samia: Tukomeshe Makundi Baada Ya Uteuzi, Tujikite Katika Umoja Wa CCM – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...

READ MORE

Dkt. Samia Suluhu Achukua Fomu za Kugombea Urais 2025 (Picha +Video)

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama...

READ MORE

Hotuba Nzito Ya Shigogo Iliyompa Kura Nyingi Mbele Ya Wajumbe “Kipaumbele Ni Kuondoa Umaskini”- Video

Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, amefanikiwa kuongoza katika kura za maoni za kinyang’anyiro cha ubunge wa jimbo hilo kwa...

READ MORE

Trump: Kuna Fursa ya Kukutana na Viongozi wa Urusi na Ukraine

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa “kuna fursa” ya kufanyika kwa mkutano wa kilele kati yake na viongozi wa...

READ MORE

INEC Yatangaza Ratiba ya Kuchukua Fomu za Uteuzi kwa Wagombea Urais na Makamu wa Rais 2025

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza ratiba ya kuchukua fomu za uteuzi kwa wagombea wa vyama 14 vya...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Atoa Pole kwa Familia ya Marehemu Job Ndugai Jijini Dodoma

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewasilisha salamu za pole kwa Dkt. Fatma Mganga,...

READ MORE

Taharuki! Mgombea Udiwani CCM Apotea Mara, Gari Lake Laokotwa Nzega – Video

Hali ya sintofahamu imeibuka baada ya mgombea wa udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara kuripotiwa kupotea ghafla, huku...

READ MORE

Mshambuliaji Habib Kyombo Ajiunga na Mbeya City

Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Habib Kyombo, amejiunga rasmi na Mbeya City kama mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 8, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Makandarasi Banawake Watakiwa Kutekeleza Miradi ya Barabara Kwa Ufanisi

Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imetoa rai kwa Makampuni 15 ya Makandarasi Wanawake waliopata fursa ya ujenzi wa barabara kwa...

READ MORE

Rais Samia Kuchukua Fomu ya Urais Kesho

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla amesema kuwa Mgombea wa Urais kupitia...

READ MORE

OCP Yaonesha Ubora wa Mbolea ya TSP Katika Maonesho ya Nane Nane Mbeya

Mbeya, 8 Agosti 2025 – Kama sehemu ya dhamira yake ya kuendeleza kilimo, OCP TANZANIA imeshiriki Maonesho ya Kilimo ya...

READ MORE

Kesi ya CHADEMA Kusikilizwa Agosti 18, Mahakama Kutoa Uamuzi wa Zuio

Kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, inayohusu zuio la...

READ MORE

Utalii Wafunga Mwaka 2024/25 Ukiongoza Fedha za Kigeni

Ripoti mpya ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) iliyotolewa jana Agosti 5, 2025 ikionesha takwimu za mwezi Juni, 2025, imethibitisha...

READ MORE

Mazishi ya Kitaifa ya Job Ndugai Kufanyika Agosti 11, Kongwa

Mazishi ya kitaifa ya Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai, yanatarajiwa kufanyika Jumatatu...

READ MORE

Majaliwa: Tuhakikishe Vijana Wanapata Mafunzo Ya Ufundi Stadi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa wazazi na walezi kote nchini kuhakikisha wanawapeleka vijana wao kupata mafunzo ya ufundi...

READ MORE

Wanaocheza na Simba Kwenye Zoo Wapewa Tahadhari

Morogoro, 6 Agost 2025: Imekuwa kama fasheni flani iliyoibuka hivi karibuni hapa nchini kwa watu kutembelea kwenye bustani za wanyama...

READ MORE

Mtanzania Atelekezwa India, Aomba Msaada wa Matibabu – Video

Halima Kaisi ni Mtanzania aliyejipata kwenye hali ngumu nchini India baada ya kushawishiwa na mwanaume aliyekuwa mpenzi wake kwamba angemtafutia...

READ MORE

TBL Yaahidi Kuendeleza Sekta ya Kilimo Nchini, Yawezesha Wakulima Kupitia Mafunzo, Ubia na Masoko

Dodoma: 8, Agosti 2025 – Tanzania Breweries Plc (TBL Plc), mwanachama wa familia ya AB InBev, imedhihirisha upya dhamira yake...

READ MORE

Mechi Tatu, Mkeka Mmoja – Ushindi Mkubwa Unakungoja Meridianbet

Mshindo mkubwa unapatikana Meridianbet leo, hivyo bashiri mechi zako zote leo na ujiweke kwenye nafasi nzuri ya kushinda pesa nyingi....

READ MORE

Tanzania Kuziunga Mkono Nchi Zinazoendelea Zisizo Na Mlango Wa Bahari

Tanzania imeeleza kuziunga mkono nchi zinazoendelea zisizo na mlango wa bahari kutimiza matarajio na kukabiliana na changamoto zinazozikabili na kutoa...

READ MORE

Tuhakikishe Vijana  Wanapata Mafunzo Ya Ufundi  Stadi Waziri Mkuu Majaliwa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa wazazi na walezi kote nchini kuhakikisha wanawapeleka vijana wao kupata mafunzo ya ufundi...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Atuma Salamu za Pole Kufuatia Kifo cha Job Ndugai

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametuma salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Bei ya Mafuta Yapungua Dar, Yapanda Mtwara – EWURA Yatangaza Bei Mpya za Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa

Dar es Salaam, Agosti 6, 2025 – Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo...

READ MORE