×

Habari

Wasanii Kuchangiwa Fedha za Matibabu… Mchawi ni Nani?

HAINA ubishi kwamba tasnia ya Bongo Fleva na Bongo Movies zinaongozwa kwa kupendwa nchini kuliko tasnia nyingine. Kwanza zina mashabiki...

READ MORE

KENYA YAONGEZA MISHAHARA KWA WATUMISHI

SERIKALI ya Kenya imetangaza ongezeko la asilimia 5 kwa kima cha chini cha mshahara ili kuwalinda wafanyakazi na mfumuko wa...

READ MORE

SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR ZAFANA

SHEREHE za Siku ya Wafanyakazi Duniani, leo zimefana jijini Dar es Salaam ambapo Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva, ...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Chief Mkwawa wa Iringa – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kiongozi wa kimila wa kabila la Wahehe...

READ MORE

EWURA YATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA PEROLI NA DIZELI

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji nchini (Ewura) imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta...

READ MORE

ANTY  EZEKIEL KUZINDUA FILAMU YA ‘MAMA’ MEI 13

  Msanii maarufu wa filamu nchini, Anty Ezekiel, anatarajia kuzindua filamu yake mpya aliyoipa jina la ‘Mama’, siku ya Jumapili...

READ MORE

Rais Magufuli Ataka Mama Huyu Apimwe Kizazi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa agizo kwa Mkuu wa Mkoa Iringa na Kamanda...

READ MORE

Mei Mosi: Rais Magufuli Amwagiza Waziri Mkuu Majaliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwashughulikia viongozi wa serikali...

READ MORE

WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU KUTOA HUDUMA KWA UFANISI

  KATIKA  kusherehekea siku ya Wafanyakazi Duniani, wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wameungana na wafanyakazi wote Duniani kwa kujumuika...

READ MORE

BAJAU: BINADAMU WA AJABU WANAOISHI BAHARINI KAMA VYURA

WATU wa kabila la Bajau wanaoishi katika visiwa vya Malay, Mashariki ya Mbali, hutumia muda mwingi wa maisha yao baharini...

READ MORE

LIVE: Hotuba ya Rais Magufuli, Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi – Video

  Rais Magufuli anaongea. -Anaanza na Salaamu kwa wote waliohudhuria mabibi na mabwana. – Nlitegemea kwakuwa kuna machifu hapa hii...

READ MORE

RC Gambo Awaongoza Wafanyakazi Arusha Mei Mosi

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,  leo amewaongoza maelfu ya wananchi mkoani humo kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei...

READ MORE

BILAGO: ‘Ugomvi’ wa Serikali na Shule Binafsi, ni Wivu tu – Video

SERIKALI imetakiwa kuzihudumia vyema shule zake na kuboresha mazingira na miondombinu ya kufundishia ili ziweze kushindana na shule binafsi ambazo...

READ MORE

Ajiua kwa Kunywa Sumu Kisa Kuachwa na Mke

MWANAMUME mmoja mkazi wa Katoro mkoani Geita aliyetambulika kwa jina la Maganiko Nunda amejiua kwa kunywa sumu kufuatia mgogoro ulioibuka...

READ MORE

FAMILIA YA JOHN HECHE YAIKOMALIA POLISI

KUUAWA kwa mdogo wake Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, John Heche Suguta , marehemu Suguta Chacha Suguta (27), mkazi...

READ MORE

Njemba Amuuwa Mpenzi Wake kwa Kumnyonga Shingo

Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia kijana aliyefahamika kwa jina la Nicholas Light (25) mkazi wa Mtaa wa Mahama, wilayani...

READ MORE

Ocean Road Yaondoa Hofu Upimaji wa Tezi Dume

WANAUME wengi wameonyesha wasiwasi wao na zoezi la upimaji wa tezi dume, wengi wakidai kwamba huwa ni wa udhalilishaji jambo...

READ MORE

POLISI WAFUNGUKIA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA KIFO CHA MASOGANGE

WAKATI kukiwa na shauku kubwa ya kujua sababu za mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ kufanyiwa uchunguzi wa kipolisi wakati...

READ MORE

JACK PEMBA ASUSA MAGARI YA BILIONI 1

BAADA ya kufunguliwa kesi na tajiri mwenzake, Godfrey Kirumira wa nchini Uganda, Pedeshee Jack Marshal Pemba, ametikisa baada ya kuibuka...

READ MORE

MEYA KINONDONI AZINDUA KAMPENI YA CHANJO SHINGO YA KIZAZI

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamini Sitta leo Aprili 30 amezindua rasmi chanjo ya kuwakinga wasichana dhidi ya saratani...

READ MORE

MEYA SITTA AMTEMBELEA BALOZI DKT. SLAA, SWEEDEN

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mhe. Benjamin Sitta hivi karibuni alifanya ziara nchini Sweden katika Manispaa ya Strangnas ambayo ni marafiki...

READ MORE

BASHE Apinga Vikali Walimu wa Sekondari Kuhamishiwa Msingi – Video

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, akisoma taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, iliyoandaliwa mahususi...

READ MORE

Chadema Wakanusha Lissu Kuerejea Nchini

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekanusha taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu uwezekano wa kurejea nchini kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho,...

READ MORE

KIMENUKA! Mlinga Sasa Kuwalipua Wakufunzi wa Vyuo Mafataki – Video

Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Elimu, ambayo imewasilisha Bungeni na Waziri wake, Profesa...

READ MORE

Makonda Ampokea Ahmed Aliyepooza Akitokea China

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo Jumatatu, Aprili 30, 2018 amempokea kijana, Ahmed Albaiti aliyekuwa nchini...

READ MORE

Dakika 4 za Prof Jay kwa Waziri wa Nishati – Video

MBUNGE wa Jimbo la Mikumi kwa tiketi ya Chadema, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ akiuliza swali alilolielekeza katika Wizara ya Nishati...

READ MORE

Breaking News: Mahakama Yaamuru Hans Pope na Lauwo Wakamatwe

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo April 30, 2018 imetoa amri kwamba Mwenyekiti wa Usajili wa Klabu ya Simba, Zacharia...

READ MORE

Hatimaye Tundu Lissu Kutua Dar

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu (50) aliyelazwa nchini Ubelgiji anatarajiwa kurejea nyumbani siku yoyote kuanzia juzi, baada ya madaktari...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA IRINGA-DODOMA (Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefungua barabara ya lami ya Iringa –...

READ MORE

WAMILIKI SOBA HOUSE WAWAJIBU WABUNGE TUHUMA ZA KUWACHOMA SINDANO WAATHIRIKA DAWA ZA KULEVYA

WAMILIKI wa nyumba zinazosaidia waathirika kujinusuru na dawa za kulevya nchini maarufu kama Soba house wamejibu tuhuma za kuwachoma vijana...

READ MORE

Magufuli Atoa Sh. Mil. Tano Sekondari ya Nyerere Mkoani Iringa (Video)

Rais John Magufuli leo ametoa  Tsh Mil. 5 kwa Shule ya Sekondari ya Nyerere iliyopo Migori mkoani Iringa kwa ajili...

READ MORE

Liverpool Yabananishwa na Stock City, Mo Salah Hoi

KLABU ya soka ya Liverpool ya Uingereza wakiwa nyumbani wameshindwa kufurukuta mbele ya Stock City baada ya kutoa sare ya...

READ MORE

Breaking News: Mvua Ya Mawe Yaleta Maafa Kagera

KAYA 150 za mkoani Kagera leo Jumamosi zimejikuta paa za nyumba zao zikiezuliwa na mvua ya mawe ambayo inaendelea kunyesha...

READ MORE

NAIBU SPIKA AZINDUA TULIA MARATHON, MBEYA

MKURUGENZI wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson,...

READ MORE

NAIBU SPIKA AWAONYA WANAFUNZI UDSM KUHUSU MAPENZI

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, amewahimiza wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kusoma...

READ MORE

Mama Jide Aagwa Dar, Kuzikwa Bunda – Mara

  MWILI wa mama mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Judith Mbibo Wambura ‘Lady Jaydee au Jide’, Bi. Martha Mbibo umefanyiwa...

READ MORE

Abbas Kandoro Aagwa Dar, Kuzikwa Kesho Iringa

MWILI wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro umeagwa leo kwenye Msikiti wa Manyema uliopo...

READ MORE