×

Habari

Kauli ya Babu Seya Baada ya Kumuona Rais Magufuli – Ikulu

MWANAMUZIKI nguli wa Dansi Nguza Vicking “Babu Seya” amesema ana furaha kubwa kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Baraka The Prince Amtembelea Lissu Nairobi – Pichaz

Msanii wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya ‘Sometimes’, Baraka The Prince amefika katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya...

READ MORE

FIFA Yaipa Shavu Tanzania

Tanzania imeteuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kufanyia mkutano wake mkuu wa kila mwaka ambao utashirikisha Mataifa 19...

READ MORE

DR. MWAKYEMBE ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA LIMONGA JUSTINE LIMONGA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwanahabari na...

READ MORE

Breaking News: Babu Seya, Papii Watinga Ikulu

Familia ya mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanaye Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza  leo walikwenda...

READ MORE

Breaking News: Televisheni 5 Nchini Zapigwa Faini na TCRA kwa Kukiuka Maadili

 Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA, imekipiga faini kituo cha runinga cha Star TV ya jumla ya shilingi milioni 7.5...

READ MORE

Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Aitwa Polisi

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ na mratibu wa chama hicho Kanda ya Nyanda za Juu...

READ MORE

Polepole: Lema Utalisikia Hewani tu Jimbo la Arusha Mjini 2020

KATIBU wa Itikadi na Uenezi  wa  Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole amemtahadharisha Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwakumwambia...

READ MORE

Baada ya Kudaiwa Kukamatwa kwa Uchochezi, Kipanya Awatoa Hofu Watanzania

KUFUATI taarifa kusambaa mitandaoni jioni ya leo Januari 1,2018 kwamba, mchora katuni maarufu Tanzania, Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la...

READ MORE

Utata Waibuka Kuhusu Alipo Mchora Katuni Masoud Kipanya

Majira ya jioni leo Januari Mosi 2018 zimesambaa taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwamba, mchora katuni maarufu Tanzania, Masoud Kipanya...

READ MORE

Sajuki Amliza Upya Wastara!

STAA wa Filamu nchini Tanzania, Wastara amesema inapofika tarehe kama ya leo  huwa anaikumbuka kwa kumuenzi aliyekuwa mume wake marehemu...

READ MORE

Walionipiga Risasi Niliwaona Lakini Siwafahamu – Lissu

HALI ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu inaendelea kuimarika huku akiendelea na mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Nairobi...

READ MORE

Ujumbe wa JPM Mwaka Mpya 2018

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amewatakia watanzania wote hjeri ya mwaka mpya 2018, huku...

READ MORE

Kigwangalla: Ukimpeleka Mahakamani Askofu Kakobe, Atashinda!

WAZIRI wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla (CCM) amesema kuwa ukimpeleka mahakamani Askofu Zacharia...

READ MORE

Chadema Yawataka Viongozi Wa Dini Kuendelea Kuikosoa Serikali (Video)

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimewataka viongozi wa dini kuendelea kuikosoa serikali na wasitishwe na mtu yoyote kwani...

READ MORE

KAKOBE ASEMA YUKO TAYARI KUCHUNGUZWA UTAJIRI WAKE (VIDEO)

  ASKOFU  mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) Zakaria Kakobe,  amesema hahofii kuchunguzwa na serikali kuhusiana na...

READ MORE

Kanisa Katoliki Laitisha Maandamano Ya Amani Kongo

Kuna wasi wasi wa kukosekana utulivu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayokabiliwa kwa sasa na mgogoro wa kisiasa kufuatia...

READ MORE

PPF Wafunguka Kukamatwa Mfanyakazi Wao Na Mirungi

MFUKO wa Pensheni wa PPF umesema mfanyakazi wake, Anitha Oswald, wa ofisi ndogo ya Moshi aliyekamatwa wiki hii akiwa na...

READ MORE

Serikali Yapiga Marufuku Malipo Ya Fedha za Kigeni Kuanzia Jan 1, 2018

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametoa maagizo kuhusu matumizi ya fedha za kigeni katika Jamhuri...

READ MORE

Lema Atabiri Majibu ya Kakobe Kwa TRA

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amefunguka na kutoa utabiri wake wa majibu ambayo Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Full...

READ MORE

Follow Instagram ya Global Publishers Upate Smartphone Mpya Bure!

KATIKA Msimu huu wa Sikukuu, Instagram Account ya Global Publishers inendelea kukupa zawadi kabambwe. Baada ya wiki ya Krismasi kugawa...

READ MORE

Vilio, Simanzi na Majonzi Mazishi ya Mary Bukos

  VILIO, simanzi na majonzi vimetawala wakati wa kuaga mwili wa mdogo wa Mwandishi na Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya...

READ MORE

Mwili wa Mary Bukos Waagwa Dar

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Global Publishers wakiongozwa na Meneja Mkuu wao Mkuu, Abdallah Mrisho leo Desemba 30, 2017 wameungana na...

READ MORE

TRA Kumchunguza Kakobe Baada ya Kusema Ana Pesa Nyingi Kuliko Serikali

Kufuatia Kauli ya Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zakary Kakobe kudai kuwa ana pesa nyingi kuliko serikali,...

READ MORE

Mdogo wa Mpigapicha Mkuu wa Global Kuzikwa Leo Mburahati, Dar

MWILI Mdogo wa Mwandishi na Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers, Richard Bukos, Mary Bukos unatarajiwa kuzikwa leo Desemba...

READ MORE

Dk. Shika Atangaza Kuihama Tanzania, Anaelekea Wapi? Soma Hapa

MAPYA TENA! Dkt. Louis Shika ambaye amejipatia umaarufu baada ya kutangaza dau la kununua nyumba za Lugumi, amesema kwamba hivi...

READ MORE

Apple Kutoa Punguzo Ununuzi wa Betri Mpya za Simu

MTENDAJI mkuu wa kampuni ya Apple, Tim Cook, amewaomba radhi wateja wake kuhusiana na kwamba simu za kampuni hiyo hupungua...

READ MORE

Zitto Ataka Daftari la Rasilimali na Madeni la Viongozi Lianikwe

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametoa wito kuwa,  Daftari la Rasilimali na Madeni...

READ MORE

Hizi Ndizo Rasilimali na Madeni ya Zitto Kabwe Mwaka 2017

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe leo amewasilisha Tamko lake la Rasimali na...

READ MORE

Tuko Tayari Kwa Ushindi Dhidi ya Mbao – Dismas Ten

LIGI Kuu Tanzania Bara raundi ya 12 inatarajiwa kuendelea siku ya Jumapili ambapo miongoni mwa michezo itakayochezwa siku hiyo ni...

READ MORE

Yanga Wataka Mtaro Unaoharibu Uwanja wa Kaunda Ukarabatiwe

Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwasa (kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo.   UONGOZI wa Klabu ya Yanga ya...

READ MORE

BOT Yataka Taarifa Ya Fedha Ya Celtel, Zain & Airtel 2000/17

Barua toka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuziagiza taasisi zote za fedha nchini kuwasilisha taarifa za fedha za Celtel, Zain...

READ MORE

Ni Kweli Askofu Kakobe Amekamatwa na Polisi? – Video

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefunguka na kusema kuwa jeshi la polisi mpaka sasa...

READ MORE

Matukio Mwaka 2017, Polisi Dar Yakamata bunduki 27, Risasi 1,147 – (Video)

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, Lazaro Mambosasa, leo Desemba 29, 2017...

READ MORE

Polepole Awazungumzia Viongozi Wa Dini

KATIBU  wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole amesema Askofu Zakaria Kakobe  na viongozi wengine wa...

READ MORE