×

Habari

Picha 8: Hali Ilivyo Mafuriko Jangwani Dar

MVUA kubwa zilizonyesha kuanzia jana jioni hadi usiku zimesababisha adha kubwa ya usafiri kutokana na mafuriko ya maji kujaa katika...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latoa Taarifa Kuokotwa Mwili wa Mmiliki wa Mabasi ya Super Sami

Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi Mara, limetoa taarifa rasmi juu ya kuokotwa kwa mwili wa mfanya biashara na mmiliki...

READ MORE

JPM Ammwagia Minoti Mama Ntilie Morogoro – Video

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amempa Tsh. 100,000 mama aliyeibua kero ya kufukuza...

READ MORE

Binti Auwa Akitoka Kanisani, Kumwombea Mama Yake Kipofu! – Video

  DAR ES SALAAM: Inauma sana! Ndio unavyoweza kusema baada ya binti, Toto Aloyce (20), mkazi wa Buza kwa Lulenge,...

READ MORE

ZARI KUWAPELEKA WATOTO KANISANI KIBABE, KIMENUKA!

  DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kuonekana akiwapeleka watoto wake kanisani, imeelezwa...

READ MORE

USHIRIKA WAMPA MAKONDA SARUJI  ZA UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo amepokea tani 120 za saruji ambazo ni sawa na...

READ MORE

UGANDA: MFANYAKAZI AJIRUSHA KUTOKA KWENYE NDEGE

Mfanyakazi wa shirika la ndege la Emirates jana jioni alijirusha kutoka kwenye ndege ya shirika hilo na kuanguka katika uwanja...

READ MORE

Breaking News: JPM Ampokea Afande Sele CCM

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli amempokea msanii mkongwe...

READ MORE

Viwanda vya Nyerere Vyamtesa JPM, Alia na Mafuta Machafu Nchini – Video

  RAIS wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameeleza masikitiko yake kutokana na viwanda vingi vilivyoachwa na...

READ MORE

Mwandishi Dar Akimbia ‘Wasiojulikana’, Apewa Hifadhi Finland

MWANAHABARI Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi ambayo ofisi zake kuu zipo Dar es...

READ MORE

Mwili wa Mmiliki wa Mabasi ya Super Sami Waokotwa Mtoni

MWILI wa mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah,  unadaiwa umekutwa na wavuvi mto Ndabaka eneo la Bunda –...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO ALHAMISI, MACHI 15, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Machi 15, 2018. Ni yale ya...

READ MORE

NABII NYAKIA NA VIONGOZI WENZAKE WATEMBELEA GLOBAL LEO

NABII James Nyakia ambaye ni kiongozi wa Kanisa la Jerusalem lililopo Kitunda Kinyantira Jijini Dar es Salaam,  leo ametembelea ofisi...

READ MORE

ASKARI MAHAKAMANI KWA MAUAJI YA ASKARI MWENZIYE

  ASKARI  wa Jeshi la Wananchi nchini (JWTZ) Ramadhan Mlaku (28) leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa...

READ MORE

‘WEZESHA MZAWA’ YATOA ELIMU YA MIKOPO MUHIMBILI

         KAMPUNI inayotoa ya Mikopo Wezesha Mzawa Microfinance Ltd leo imetoa elimu kuhusu huduma zake za mikopo...

READ MORE

Baadilisha Maisha na Mtandao wa simu, Angalia Video Hii

 The #CaseForChange has travelled with Neema from thebongolese.com to Nyombo village – one of the most remote villages, and...

READ MORE

Viongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania waitwa kwa DCI

Viongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) waitwa kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI)

READ MORE

Breaking News: Mwanafizikia Stephen Hawking Afariki Dunia

Prof Stephen Hawking, mwanafizikia maarufu duniani, amefariki dunia akiwa na miaka 76, familia yake imetangaza. Mwingereza huyo alifahamika sana kwa...

READ MORE

Wa Kuolewa na Diamond ni Huyu!

DAR ES SALAAM: Mara baada ya kumwagana na mama watoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kisha kumuahidi mama...

READ MORE

POLISI AMUUA POLISI MWENZAKE KWA RISASI

  Kifo cha askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Konstebo Kulwa Gilbert, aliyepigwa risasi kwa bahati mbaya na mwenzake, ...

READ MORE

BREAKING NEWS: Trump Amtimu Waziri wa Mambo ya Nje, Tillerson

  RAIS Donald Trump leo amemwondoa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson, na amepanga kumteua Mkurugenzi wa...

READ MORE

RAIS ALIYEMVAA REFA NA BASTOLA ASABABISHA HAYA

BAO lililokataliwa dakika za mwishoni katika ligi ya soka nchini Ugiriki Jumapili iliyopita, lilimfanya rais wa klabu ya PAOK, Ivan...

READ MORE

TASWIRA YA MAGARI YA MWENDO KASI YAKIPITA KARIAKOO

  ENEO la Kariakoo kama ilivyozoeleka ni eneo ambalo shamrashamra zake ni nyingi, ikiwa ni pamoja na watu, magari na...

READ MORE

Mganga Ampa Ujauzito na Kumuoa Binti Yake wa Miaka 13

POLISI Wilaya ya Mpigi wanamshikilia mzee Vicent Ssenonga mwenye umri wa miaka 69 ambaye ni mganga wa kienyeji katika Kituo...

READ MORE

Orodha ya Wenyekiti na Makamu Wenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge 2018-2020

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ametoa orodha ya majina ya Wabunge mbalimbali ambao wameteuliwa...

READ MORE

Mambosasa: Abdul Nondo Alikwenda Iringa kwa Mpenzi Wake – Video

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa kauli kuhusu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul...

READ MORE

BREAKING: CHADEMA Wamshauri Rais! Watu Kutekwa, Kuuawa! – Video

BARAZA la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) limemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....

READ MORE

Binti: Nauawa Muda Wowote!

ROHO Mkononi! Mrembo aliyejitambulisha kwa jina la Samra Halfani, mkazi wa Mbagala- Kizuiani jijini Dar, yupo kwenye wakati mgumu akihofia...

READ MORE

BURUNDI YA NKURUNZIZA NI MFUPA ULIOMSHINDA MKAPA

KUONGEZA muda wa kutawala nchi kulii­fanya Burundi kuingia katika ghasia kubwa za kisiasa hata kuwepo kwa jaribio la mapinduzi ya...

READ MORE

Taharuki! Malori 3 Yashindwa Kupanda Mlima – Video

MALORI matatu ya mizigo yamezua taharuki huku yakitaka kupinduka baada ya kushindwa kupandisha mlima wakati yakitoka Mufindi kupitia Makambako Iringa...

READ MORE

INASIKITISHA! MWANAFUNZI ATEKWA, AUAWA – VIDEO

MOROGORO: Maskini mtoto wa watu! Ndivyo walivyosikika mashuhuda wa tukio la mwanafunzi Doricka Majeshi anayesemekana kutekwa kisha kukutwa akiwa ameuawa...

READ MORE

Mazungumzo Kati ya Serikali na Airtel Yaanza Rasmi Dar

Mazungumzo kati ya Kamati Maalum iliyoundwa na Rais Dkt. Magufuli na Kampuni ya Bharti Airtel yameanza rasmi leo tarehe 12...

READ MORE

Fundi Aporomoka Kwenye Jengo Anusurika Kifo – Video

AJALI KAZINI! Fundi mmoja wa ujenzi nusura apoteze maisha baada ya kudondoka, alipokuwa katika eneo lake la kazi na wenzake...

READ MORE

Ndugai Apangua Safu ya Wajumbe Kamati za Kudumu za Bunge

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amefanya uteuzi mpya wa wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge ambapo amesema amefanya uteuzi...

READ MORE

Kesi ya Madawa: Shahidi Afunguka Alichokikuta Chumbani kwa Wema

  MJUMBE wa Shina Namba 39, nyumbani anakoishi msanii wa filamu, Wema Sepetu, Steven Alphonce ambaye ni shahidi katika kesi...

READ MORE