×

Habari

KAKOBE ASEMA YUKO TAYARI KUCHUNGUZWA UTAJIRI WAKE (VIDEO)

  ASKOFU  mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) Zakaria Kakobe,  amesema hahofii kuchunguzwa na serikali kuhusiana na...

READ MORE

Kanisa Katoliki Laitisha Maandamano Ya Amani Kongo

Kuna wasi wasi wa kukosekana utulivu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayokabiliwa kwa sasa na mgogoro wa kisiasa kufuatia...

READ MORE

PPF Wafunguka Kukamatwa Mfanyakazi Wao Na Mirungi

MFUKO wa Pensheni wa PPF umesema mfanyakazi wake, Anitha Oswald, wa ofisi ndogo ya Moshi aliyekamatwa wiki hii akiwa na...

READ MORE

Serikali Yapiga Marufuku Malipo Ya Fedha za Kigeni Kuanzia Jan 1, 2018

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametoa maagizo kuhusu matumizi ya fedha za kigeni katika Jamhuri...

READ MORE

Lema Atabiri Majibu ya Kakobe Kwa TRA

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amefunguka na kutoa utabiri wake wa majibu ambayo Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Full...

READ MORE

Follow Instagram ya Global Publishers Upate Smartphone Mpya Bure!

KATIKA Msimu huu wa Sikukuu, Instagram Account ya Global Publishers inendelea kukupa zawadi kabambwe. Baada ya wiki ya Krismasi kugawa...

READ MORE

Vilio, Simanzi na Majonzi Mazishi ya Mary Bukos

  VILIO, simanzi na majonzi vimetawala wakati wa kuaga mwili wa mdogo wa Mwandishi na Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya...

READ MORE

Mwili wa Mary Bukos Waagwa Dar

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Global Publishers wakiongozwa na Meneja Mkuu wao Mkuu, Abdallah Mrisho leo Desemba 30, 2017 wameungana na...

READ MORE

TRA Kumchunguza Kakobe Baada ya Kusema Ana Pesa Nyingi Kuliko Serikali

Kufuatia Kauli ya Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zakary Kakobe kudai kuwa ana pesa nyingi kuliko serikali,...

READ MORE

Mdogo wa Mpigapicha Mkuu wa Global Kuzikwa Leo Mburahati, Dar

MWILI Mdogo wa Mwandishi na Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers, Richard Bukos, Mary Bukos unatarajiwa kuzikwa leo Desemba...

READ MORE

Dk. Shika Atangaza Kuihama Tanzania, Anaelekea Wapi? Soma Hapa

MAPYA TENA! Dkt. Louis Shika ambaye amejipatia umaarufu baada ya kutangaza dau la kununua nyumba za Lugumi, amesema kwamba hivi...

READ MORE

Apple Kutoa Punguzo Ununuzi wa Betri Mpya za Simu

MTENDAJI mkuu wa kampuni ya Apple, Tim Cook, amewaomba radhi wateja wake kuhusiana na kwamba simu za kampuni hiyo hupungua...

READ MORE

Zitto Ataka Daftari la Rasilimali na Madeni la Viongozi Lianikwe

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametoa wito kuwa,  Daftari la Rasilimali na Madeni...

READ MORE

Hizi Ndizo Rasilimali na Madeni ya Zitto Kabwe Mwaka 2017

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe leo amewasilisha Tamko lake la Rasimali na...

READ MORE

Tuko Tayari Kwa Ushindi Dhidi ya Mbao – Dismas Ten

LIGI Kuu Tanzania Bara raundi ya 12 inatarajiwa kuendelea siku ya Jumapili ambapo miongoni mwa michezo itakayochezwa siku hiyo ni...

READ MORE

Yanga Wataka Mtaro Unaoharibu Uwanja wa Kaunda Ukarabatiwe

Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwasa (kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo.   UONGOZI wa Klabu ya Yanga ya...

READ MORE

BOT Yataka Taarifa Ya Fedha Ya Celtel, Zain & Airtel 2000/17

Barua toka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuziagiza taasisi zote za fedha nchini kuwasilisha taarifa za fedha za Celtel, Zain...

READ MORE

Ni Kweli Askofu Kakobe Amekamatwa na Polisi? – Video

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefunguka na kusema kuwa jeshi la polisi mpaka sasa...

READ MORE

Matukio Mwaka 2017, Polisi Dar Yakamata bunduki 27, Risasi 1,147 – (Video)

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, Lazaro Mambosasa, leo Desemba 29, 2017...

READ MORE

Polepole Awazungumzia Viongozi Wa Dini

KATIBU  wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole amesema Askofu Zakaria Kakobe  na viongozi wengine wa...

READ MORE

Tundu Lissu Amekaa Mwenyewe kwa Mara ya Kwanza

  Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) leo amekaa mwenyewe pasipo msaada wa madaktari katika Hospitali ya Nairobi nchini...

READ MORE

Mugabe Apata Mafao Kibao Baada ya Kustaafu

ALIYEKUWA Rais wa Zambia na kuondolewa madarakani hivi karibuni, Robert Mugabe, amepatiwa mafao kibao ya kustaafu ambayo hutolewa na na...

READ MORE

Watoto Wafukua Kaburi la Baba Yao

Familia ya watoto wanne wakiongozwa na mama yao mzazi Julieta Majaliwa wamelazimika kufukua kaburi la baba yao Stanford Gombo, wakidai...

READ MORE

NABII KIBOKO YA MAPEPO KUFANYA MIUJIZA YA FUNGA MWAKA

Kwa mara ya kwanza, Kanisa la Christ Mandate and Power Ministries International linawaletea ibada ya mkesha wa kuvuka mwaka kuingia...

READ MORE

Babu Seya, Papii Kocha ‘Wapigana’ Kumuona Magufuli

WASANII wa muziki wa dansi Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanawe Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ ambao kwa sasa wapo mapumzikoni...

READ MORE

Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za dini zinazokiuka misingi ya kuanzishwa kwake

  Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kidini Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi chini ya Sheria ya Jumuiya,...

READ MORE

MWILI WA MWANAHABARI WAZIKWA JIJINI DAR

  WANAHABARI nchini wameombwa kuendeleza amani na upendo katika kumuenzi marehemu, Mayage S. Mayage liyefariki dunia juzi jijini Dar es...

READ MORE

Rais Magufuli Atoa Kauli kwa Kamati ya Kuhakiki Mali za CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe...

READ MORE

JPM Awasilisha Fomu Zake za Rasilimali na Madeni ya Viongozi – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewasilisha fomu zake za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Viongozi wa Umma kwa Kamishna...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji CRDB Atangaza Kung’atuka

MTENDAJI Mkuu wa CRDB Bank, Dr Charles Kimeo, leo ametangaza kustaaafu ifikapo Mei 2019. Dkt. Kimei aliwaambia waandishi wa habari...

READ MORE

Ikulu Haina Taarifa ya JPM Kushinda Tuzo ya Mandela

IKIWA ni siku moja baada ya taarifa kusambaa mitandaoni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe...

READ MORE

Polisi: Tutamkamata na Kumhoji Askofu Kakobe kwa Uchochezi

Licha  ya kutokiri moja kwa moja juu ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kumkamata Askofu Zakaria Kakobe wa Kanisa la Full...

READ MORE

Mwanajeshi Apigwa Risasi na Mpenzi Wake, Afariki

ASKARIwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Kikosi cha Makambako (KJ 514) ambaye amefahamika kwa jina la Neema Masanja...

READ MORE

Mbunge Peneza Aanika Mbinu Wanawake Kufanikiwa!

MAFANIKIO yamemaanishwa kwa kila mwenye bidii. Leo kwenye safu hii ya Ulipo Mwanamke Tupo (UMT), tunaye Mbunge wa Viti Maalum...

READ MORE

Kesi ya Mke wa Bilionea Msuya Yaahirishwa Hadi Mwaka Kesho

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeahirisha kesi ya mauaji inayomkabili mke wa bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrina na mwenzake...

READ MORE

Arusha: Askofu Mkuu Jimbo Katoliki Aachia Ngazi

ARUSHA: Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Joseph Lebulu ameng’atuka katika nafasi yake hiyo leo baada ya Baba...

READ MORE

Nsekela: Wasilisheni Orodha ya Mali Zenu Kabla ya Desemba 31

  KAMISHNA wa Maadili Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu, Harold Nsekela, amesema sheria ya maadili ya...

READ MORE