×

Habari

Kheri James Anyakua Uenyekiti UVCCM Taifa

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wadhamini la Umoja...

READ MORE

Uhuru Kenyatta Amwandikia Barua Rais Magufuli

RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kupinga kitendo...

READ MORE

UKAWA Watishia Kususia Uchaguzi wa Januari 13, Endapo Serikali Haitafuata Haya (Video)

VIONGOZI wa Vyama vya Upinzania Vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wamekutana na kufanya mazungumzo na wanahabri leo Jumatatu,...

READ MORE

Mwenyekiti UVCCM Taifa Apandishwa Kizimbani Akidaiwa Kugawa Rushwa

DODOMA: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Sadifa Juma Khamis (Mb.) amefikishwa Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

LIVE: Matokeo ya Uchaguzi UVCCM Taifa Yatangazwa- Dodoma

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), yametangazwa leo Mjini Dodoma, walioshinda ni kama ifuatavyo....

READ MORE

Simba Yailiza Yanga, Mo Asaini Miaka 2 Simba SC

KLABU ya Yanga imeshindwa kumpa kiungo Mohamed Ibrahim ‘Mo Ibra’ kile anachotaka, hivyo leo Jumatatu mchezaji huyo anatarajiwa kusaini mkataba...

READ MORE

Hatimaye Wema, Makonda ‘Bifu’ Kwisha!

BAADA ya madai ya muda mrefu juu ya uwepo wa bifu kati ya Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu na...

READ MORE

Babu Seya, Papii Kocha Walituma Ujumbe Mzito kwa JPM

BADO mitaani kuna shangwe inayotokana na kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Joseph Magufuli...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU, DEC 11, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Dec 11, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Shughuli Ya Kumuapisha Odinga Kama Rais Wa Kenya Yaahirishwa

Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya NASA, umetangaza kuahirishwa kwa shughuli ya kumuapisha kinara mkuu wa muungano huo Raila Odinga...

READ MORE

Msando Awalipua UVCCM Mbele ya Magufuli (Video)

WAKILI Alberto Msando, ambaye alijiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akitokea chama ACT-Wazalendo, leo akiongea kwenye mkutano wa UVCCM Taifa,...

READ MORE

JWTZ Wazungumzia Vifo vya Wanajeshi 14

Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania limesema kikundi chake cha ulinzi na usalama kilichopo DRC kwaajili ya kutekeleza jukumu...

READ MORE

Rais Dkt. Magufuli Asaini Misamaha Ya Wafungwa 63

Rais John Magufuli amesaini nyaraka za wafungwa 63 ambapo wafungwa 61 walikuwa wamehukumiwa kunyongwa na wawili kifungo cha maisha.  Nyaraka...

READ MORE

Mwenyekiti UVCCM Taifa, Sadifa, Akamatwa na TAKUKURU

MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Sadifa Juma Khamis (Mb.) amekamatwa na maofisa  Taasisi ya Kuzuia...

READ MORE

RC Ataka Waliotia Mimba Wanafunzi 20 Kukamatwa

MKUU wa Mkoa wa Pwani Evarist Ndikilo ameitaka polisi mkoani humo kuwakamata watu waliowatia mimba wanafunzi 20 ambao walishindwa kufanya...

READ MORE

Breaking News: Babu Seya na Papii Kocha Waachiwa Huru

Wanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na mwanawe Johnson Nguza (Papii Kocha) wametoka jioni hii katika Gereza la Ukonga jijini Dar...

READ MORE

NDUGU WA BABU SEYA WAMIMINIKA GEREZANI, WAMSHUKURU JPM

BAADA ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutoa msamaha kwa familia ya Nguza Viking...

READ MORE

Mwananchi Waanika Kisa cha Kupotea kwa Mwandishi Azory Gwanda (Video)

KUFUATIA kupotea kwa mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Azory Gwanda, Ambaye leo Desemba 9, 2017, ametimiza siku 18 tangu apoteee...

READ MORE

Kauli ya Mtoto wa Babu Seya Baada ya Familia Yake Kuachiwa Huru

IKIWA ni saa chache baada ya Mwanamuziki wa dansi Nguza Viking ‘Babu  Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kuachiwa...

READ MORE

Babu Seya, Papii Kocha Waachiwa Huru kwa Msamaha wa JPM (Video)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu, ametangaza msamaha kwa Nguza Viking maarufu kama Babu Seya...

READ MORE

Ni Majonzi, Simanzi Vyatawala Kuagwa kwa Joel Bendera (Pichaz + Video)

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewaongoza mamia ya watu waliojitokeza  kumuaga aliyewahi kuwa kocha wa Taifa...

READ MORE

LIVE: Makomando Wakikinukisha Maadhimisho ya 56 ya Uhuru wa Tanzania

Leo, Disemba 09, 2017 Tanzania inaadhimisha miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara (Tanganyika) ambapo sherehe hizo zinafanyika katika Uwanja...

READ MORE

MIAKA 56 YA UHURU NA MAFANIKIO YA JPM

LEO ni siku ya kipekee kwa Watanzania wote kwani Taifa letu linaadhimisha miaka 56 ya uhuru tukiwa na amani na...

READ MORE

Siku Chache Baada ya Kuhama Chadema, Lema Aanika Siri za Wema

DAR ES SALAAM: Ikiwa ni takriban siku sita tangu mlimbwende maarufu Bongo, Wema Sepetu ang’atuke Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

LIVE: Maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania, Dodoma

Leo, Disemba 09, 2017 Tanzania inaadhimisha miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara (Tanganyika) ambapo sherehe hizo zinafanyika katika Uwanja...

READ MORE

Rais Magufuli Atuma Salamu Za Rambirambi Kufuatia Kuuawa Kwa Askari 14 DRC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha askari 14...

READ MORE

Wanajeshi 14 Watanzania Wauawa DR Congo

Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa takribani wanajeshi 14 kutoka Tanzania waliokuwa wanalinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Kongo...

READ MORE

MAMA SAMIA AZINDUA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, baada ya kuzinduka Kampeni ya Uzalendo na...

READ MORE

Wabunge wa CHADEMA, Lijualikali na Susan Kiwanga Waachiwa kwa Dhamana

WABUNGE wa CHADEMA, Peter Lijualikali (Kilombero) na Suzan Kiwanga (Mlimba) pamoja na washtakiwa wengine 37 ,leo Ijumaa, Desemba 8, 2017...

READ MORE

KESI YA VIGOGO KAMPUNI YA SIX TELECOMS WARUDISHWA RUMANDE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetaja tarehe nyingine ya kuendelea na kesi ya uhujumu uchumi na kusababisha hasara ya USD...

READ MORE

Mzee wa Miaka 70 Ajinyonga Kisa Mapenzi

Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 70 katika kaunti ya Homa Bay nchini Kenya, amejitoa uhai baada ya kuachwa na...

READ MORE

Kanisa la Askofu Gwajima Labomolewa Usiku

KUFUATIA agizo la serikali kuwataka wale wote wenye nyumba ndani ya hifadhi ya Barabara ya Morogoro kuziondoa ili kupisha upanuzi...

READ MORE

Tshishimbi Aamsha Molari Mazoezi Yanga

KIUNGO makabaji wa Yanga raia wa Congo Pap Tshishimbi Kabamba, kwa mara nyingine leo ameamsha molari ya wachezaji na mashabiki...

READ MORE

JPM Atoa Onyo Uchaguzi Mkuu wa UWT – CCM (Video)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli ametoa onyo...

READ MORE

NAIROBI: Lissu Agoma Kuhojiwa na Polisi wa Tanzania

JESHI la Polisi limekwama kumhoji Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), akiwa hospitalini Nairobi, Kenya baada ya kiongozi huyo...

READ MORE

Rais Magufuli Kuifumua Benki ya Wanawake Nchini (Video)

Rais John Magufuli, amesema watapitia upya na kuchambua uongozi wa Benki ya Wanawake nchini (TWB), ili benki hiyo iweze kufanya...

READ MORE

Breakings: Madabida Ahamishiwa Mahakama ya Mafisadi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu kesi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam,...

READ MORE

Breaking News: Mama Anna Mghwira Atangaza Kujiunga CCM (Video)

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mgwhira ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga rasmi...

READ MORE

Bunge Tanzania Haikamatiki, Uganda Wasusa

  TIMU ya Mpira wa Pete (Netiboli) ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jana Desemba 6, 2017, asubuhi...

READ MORE