×

Habari

WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2017: WATEJA NA WANACHAMA WA PSPF WAPATIWA HUDUMA ZA ZIADA

WATEJA wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF wanaofika kwenye ofisi za makao makuu jengo la Jubilee Tower jijini Dar es...

READ MORE

Mrisho Gambo Amzungumzia Godbless Lema

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema anapaswa kutambua kuwa yeye kama...

READ MORE

Taarifa Muhimu ya TCU kwa Wanafunzi Waliokosa Vyuo

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inautangazia Umma kuwa  awamu ya kwanza ya Udahili wa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na masomo...

READ MORE

IGP Sirro Kuhusu Miili Iliyookotwa Coco Beach

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro amesema wameunda timu ya wataalamu kuchunguza miili iliyookotwa na sampuli kutoka miili...

READ MORE

Joshua Nassari Apeleka vielelezo vingine Takukuru

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amewasilisha vielelezo vingine katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ili kuthibitisha...

READ MORE

Lori la Mahindi Lilivyopinduka na Kuua 15, Rukwa

WATU 15 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafiria kupinduka eneo la Ntembwa ndani ya Hifadhi...

READ MORE

ACT- WAMJIBU RAIS MAGUFULI ISHU YA KUTOONGEZA MISHAHARA

  CHAMA cha Act-Wazalendo kimesikitishwa  na kauli ya Rais Magufuli aliyoitoa jana kwenye ufunguzi wa mkutano wa Jumuiya ya Tawala...

READ MORE

Yaliyojiri Kisutu Kuhusu Uamuzi Kesi ya Wema Sepetu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kutoa uamuzi wa ama kupokea au kutopokea kielelezo cha hati ya ukamataji mali nyumbani...

READ MORE

Yaliyojiri Kortini Kuhusu Kesi ya Vigogo wa Simba

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya utakatishaji fedha na kugushi inayowakabili Rais wa Simba, Evans Aveva na Makamu...

READ MORE

Nyumba ya Msanii Bobi Wine Yapigwa Bomu

TAARIFA kutoka nchini Uganda zinasema shambulio la bomu la kutupwa na mkono limepiga kwenye nyumba mbili za wabunge wawili wa upinzani...

READ MORE

Kauli ya RC Makonda Baada ya JPM Kumpa ‘Tano’

BAADA ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kutaka Wakuu wa mikoa wengine kuiga utendaji...

READ MORE

NASSARI: Maisha Yangu Yapo Kwenye Bonde la Uvuli wa Mauti

MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki (CHADEMA) Joshua Nassari amefunguka na kusema maisha yake yapo hatarini na kudai kuwa watu...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano, Oktoba 4, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Oktoba, 2017. Ni yale ya Hardnews,...

READ MORE

Rais Magufuli: Hata Kama Hajui ‘A’… Kwangu RC Makonda ni Msomi Mzuri

RAIS, Dkt. John Pombe Magufuli amesisitiza kuwa hakuja kuuza sura bali kufanya kazi na kwamba mke wake akimpenda inatosha kwake....

READ MORE

VIDEO: PSPF YAFUNGUA OFISI MPYA PEMBA NA UKEREWE, NI SEHEMU YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA DUNIANI

NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID MFUKO wa Pensheni wa PSPF, umezindua ofisi mpya mbili moja kisiwani Pemba na nyingine kisiwa cha...

READ MORE

NENO LA SHUKURANI KWA WAFANYAKAZI NA MKURUGENZI WETU, ERIC JAMES SHIGONGO

Kila jambo jema na lenye mafanikio halikosi kuwa na watu nyuma yake waliosababisha mafanikio hayo. Wakati na baada ya harusi...

READ MORE

George Majaba Amenunua Nyumba kwa Sh. 59,500 Tu!

UKISIKIA kismati ndiyo kama hiki. Mshindi wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, George Majaba, ambaye ni mkazi...

READ MORE

YALIYOJIRI KESI YA MALIMA KUDAIWA KUSHAMBULIA POLISI

  KESI ya Naibu Waziri wa Fedha wa zamani, Adam Malima na dereva wake, Ramadhan Mohammed, ya kuzuia Polisi kutekeleza...

READ MORE

RC Rukwa Aishauri Benki ya NMB Kufungua Tawi Bonde la Ziwa Rukwa

  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen ameishauri benki ya NMB kufungua tawi katika bonde la Ziwa...

READ MORE

Mhasibu Ahukumiwa Jela kwa Kumkashifu Rais Magufuli

Mhasibu wa Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Joseph, Elizabeth Asenga (40) amehukumiwa kulipa faini ya Sh 5 milioni ama kutumikia kifungo...

READ MORE

Kortini Kwa Kusambaza Uongo Kuhusu Mazungumzo ya Serikali na Acacia

MKAZI wa Chato mkoani Geita, Obadia Frank (41), mapema leo  amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za...

READ MORE

JPM: Nimepata Taarifa Kuna Wakurugenzi Wawili Watatu Walevi

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameahidi kuwafukuza kazi Wakurugenzi kadhaa wa halmashauri kwa ulevi...

READ MORE

Mkurugenzi Mpya Ajipanga Kuifikisha Mbali Zaidi Zantel

  Dar es Salaam: Wateja wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu Zantel wataweza kuendana na mabadiliko ya kidunia katika  sekta ya...

READ MORE

Aliyeua Watu 59, Kujeruhi 527 Las Vegas Alikuwa Bilionea

MTU ambaye Jumapili iliyopita usiku aliua watu 59 na kujeruhi 527 kwa bunduki jijini Las Vegas, Marekani, alikuwa ni tajiri...

READ MORE

Waliokuwa Maofisa wa TanTrade Wahukumiwa Miaka 3 Jela

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh5 milioni kwa kila kosa waliokuwa...

READ MORE

Said wa Scorpion Kufikishwa Kortini

SAKATA la Said Mrisho aliyedaiwa kutobolewa macho na Salum Njwete ‘Scorpion’ na mkewe Stara Sudy, linatarajiwa kufikishwa mahakamani baada ya...

READ MORE

Lema: Takukuru Wameshaanza Kuwachunguza Madiwani Arusha -Video

WABUNGE wa Chadema, Joshua Nassari (Arumeru Mashariki), Godbless Lema ( Arusha Mjini) na Mchungaji Peter Msigwa(Iringa Mjini) wamesema uchunguzi dhidi...

READ MORE

AIRTEL YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUZINDUA OFA KAMBAMBE

  Airtel leo wamezindua shamra shamra za wiki ya huduma kwa mteja kwa kuwakaribisha wateja wake wote waliongia madukani kwao...

READ MORE

Msigwa Aanika Mbinu Walizotumia Iringa Kuwanasa Madiwani Wanaodaiwa Kuhongwa na CCM

Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kusema kuwa biashara ya kununua madiwani wa...

READ MORE

Vilio, Simanzi Vyatawala Kuagwa Mwili wa Mtangazaji Chogo wa EFM

Mtangazaji na mchekeshaji wa kituo cha redio EFM, Dennis David Rupia ‘Chogo’, ameagwa leo katika kanisa la Mtakatifu Maxmilian Kolbe...

READ MORE

Manji Yamkuta Mapya Tena Dar

MAMALAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imezifunga ofisi za kampuni ya mfanyabiashara Yusufu Manji kutokana na kudaiwa Sh 12.2 bilioni. Akizungumza...

READ MORE

Familia ya Tundu Lissu Yafanya Kikao Kizito na Bunge

WAKATI Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Nairobi, familia yake imefanya kikao cha siri...

READ MORE

MABULA: MIPANGO MIJI INAKWAMISHWA NA WATENDAJI WASIO WAADILIFU

  NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amewaagiza wakurugenzi wa Halmashauri kuweka utaratibu wa kupanga...

READ MORE

Kazi Imeanza… Lema na Nassari Wawasili Takukuru na Ushahidi – Video

Wabunge wa Chadema, Joshua Nassari (Arumeru Mashariki), Godbless Lema ( Arusha Mjini) na Mchungaji Peter Msigwa(Iringa Mjini) wamewasilisha Takukuru ushahidi...

READ MORE

ALAT: Vyanzo vya Mapato vya Halmashauri Virudishwe

  MWENYEJI wa mkutano wa 33 wa Jumuiya ya Tawala na Serikali za Mitaa (ALAT) ambaye ni  Meya wa Jiji...

READ MORE

Lema Awastukia ‘Watu Wasiojulikana’ Kwenye Gari Lake

GARI la Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema limechomoka matairi leo Jumatatu baada kudaiwa kuwa limefunguliwa nati 13 kati ya...

READ MORE

MAREKANI: 20 WAUAWA, 100 WAJERUHIWA KWA RISASI

WATU zaidi ya 20 wameuawa na 100 kujeruhiwa wakati mtu mwenye bunduki alipofyatua mamia ya risasi kutoka ghorofa ya 32...

READ MORE

Catalonia Yajitenga na Hispania

KIONGOZI wa Jimbo la Catalonia, Carles Puigdemont amesema kuwa eneo hilo lililokuwa sehemu ya nchi ya Hispania limepata haki ya...

READ MORE

Magufuli Hatoshiriki Kongamano la Nyerere

Taasisi mbalimbali za umma na zisizo za umma zinazomualika Mhe. Rais katika shughuli za kumbukumbu ya Mwl. Julius Nyerere zinakumbushwa...

READ MORE