×

Habari

Janeth Museveni: Mabinti Zangu Waliolewa Wakiwa Bikira

MKE wa Rais wa Rwanda, Yoweri Museveni, Janet Museveni amesema kuwa aliwalea na kuwatunza mabinti zake vizuri hadi wanaolewa wakiwa...

READ MORE

Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Kenya Ajiuzulu Akiwa Marekani

Nairobi, Kenya. Kamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya, Dk Roselyn Akombe ametangaza kujiuzulu nafasi yake...

READ MORE

WAZIRI ULEGA NA ZIARA YA KUHIMIZA UFUGAJI NA MAENDELEO

 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kibamba juu ya maendeleo mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

MEYA WA KINONDONI ASAINI MIKATABA UJENZI KIWANDA CHA MBOLEA

MEYA wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta leo ametia saini mkataba na Kampuni ya CRJE ya China, inayotarajia kujenga kiwanda...

READ MORE

WASHINDI WA WEKA AMANA NA BENKI YA CBA WAPATIKANA

  BENKI ya CBA, leo iliendesha droo yake ya Nne katika kampeni ya kuhamasisha umma kujiwekea akiba inayojulikana kama ‘weka...

READ MORE

Mama Aliyenyang’anywa Mume na Mwanaye wa Kumzaa Asimulia Mazito – Part 2

Mama afunguka kunyang’anywa mme nà mwanaye wa kumzaa. Duh kweli duniani kuna mambo hakuna wakumuamini kama mtoto anaweza kumsaliti mama....

READ MORE

WARAKA MZITO WA KUSHTUA KWA RAIS JPM… BABU SEYA AANIKA MAPYA

HIVI karibuni ulisambazwa waraka mzito na wa kushtua kwenye mitandao ya kijamii uliosemekana umeandikwa na mwanamuziki wa dansi mkongwe nchini,...

READ MORE

San; Kabila la Namibia Lililokuwa Halijui Fedha-3

KATIKA matoleo mawili yaliyopita nilijikita kumsimulia muigizaji maarufu X!xau aliyecheza filamu maarufu za “The Gods Must Be Crazy aliyetoka Kabila...

READ MORE

Mbowe Afungukia CCTV Kamera Zilizonasa Tukio la Lissu, Aituhumu Tena Serikali – Video

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema afya ya Mbunge Tundu Lissu ambaye amelazwa hospitalini Nairobi, Kenya, baada ya kushambuliwa...

READ MORE

Takukuru Yatoa Tamko Ushahidi wa Lema, Nassari Kuhusu Madiwani – Arusha

WANANCHI wanaopeleka taarifa katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) wametakiwa kuwa na subira na kutokishinikiza chombo...

READ MORE

Walioongoza Harakati za Kujitenga kwa Catalonia Yawakuta

JAJI nchini Uhispania amewazuia rumande viongozi wakuu wawili wa harakati za Uhuru wa Catalonia. Jordi Sánchez, ambaye anaongoza bunge la...

READ MORE

TMA Yatahadharisha Kuhusu Mvua Zitakazonyesha Novemba Hadi Aprili -Video

MAENEO ya Kusini-Magharibi mwa nchi yanategemewa kuanza kupata mvua za masika kuanzia mwezi Novemba mwaka huu hadi Aprili mwaka kesho...

READ MORE

Shambulio la Kikatili, 300 Wafariki Dunia Mogadishu

IDADI ya watu waliouawa kwenye, mlipuko mkubwa wa bomu katika eneo lenye shughuli nyingi kwenye Mji Mkuu wa Somalia Mogadishu...

READ MORE

RC MAKONDA, APOKEA TSH MIL.50 KUTOKA KWA PBZ

BENKI ya watu wa Zanzibar [PBZ], imemkabidhi hundi ya Tsh Mil.50, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,...

READ MORE

WAZIRI AHIMIZA UPENDO KWA WAKULIMA, WAFUGAJI MKURANGA

  NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ullega amewataka wakulima na wafugaji waondokane na chuki iliyopo kati yao ikiwa...

READ MORE

MHASIBU UBALOZI WA TANZANIA MSUMBIJI APANDISHWA KORTINI KISUTU

  MHASIBU wa Ubalozi wa Tanzania nchini Msumbiji, Joyce Moshi (56) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na...

READ MORE

Nassari Apeleka Flashi Nyingine ya Ushahidi Takukuru -Video

MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema)  amewasilisha ushahidi mwingine kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu...

READ MORE

VIGOGO WA CHUO CHA FEDHA WAPATA DHAMANA

  VIGOGO wawili wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) wanaokabiliwa na kosa la kuisababishia serikali hasara ya Sh. Bilioni 1,097,681,107,...

READ MORE

Kesi ya Lulu Kuhusishwa na Kifo cha Kanumba Kuanza Kuunguruma

MSANII maarufu wa kike wa fani ya uigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael Kimemeta, ‘Lulu’, anayekabiliwa na kesi ya mauaji...

READ MORE

Uongozi wa Mlimani City Wifunga Nakumatt Supermarket

UONGOZI wa Mlimani City umelifungia duka kubwa (Supermarket) la Nakumatt tawi la Mlimani City Jijini Dar es Salaam kutokana na...

READ MORE

Mwenyekiti ACT-Wazalendo Ajiuzulu

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi ya ACT-Wazalendo, Samson Mwigamba amejiuzulu uongozi ndani ya chama hicho. Wasira Aikosoa...

READ MORE

Waziri Lukuvi Abomoa Nyumba Yake kwa Mikono Kupisha Upanuzi wa Barabara

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi ameshiriki zoezi la uvunjaji wa nyumba kwa kuvunja nyumba yake...

READ MORE

Nkamia Aondoa Kusudio la Muswada Binafsi wa Kutaka Kuongeza Ukomo wa Ubunge

BUNGE  wa Chemba (CCM), Juma Nkamia, ameondoa kwa muda kusudio lake la kutaka kuwasilisha muswada binafsi wa mabadiliko ya Katiba...

READ MORE

Tshishimbi Ampoteza Kamusoko Yanga

KIUNGO wa Yanga, Papy Tshishimbi, juzi Jumamosi alifanikiwa kuziba vyema pengo la kiungo wa timu hiyo, Mzimbabwe, Thaban Kamusoko katika...

READ MORE

DKT ANGELINA MABULA AAHIDI WATAALAMU WA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI SINGIDA

Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeahidi kutoa timu ya wataalamu watakao suluhisha mgogoro wa mpaka...

READ MORE

RC AYOUB AMSHUKURU JPM NA DKT SHEIN

    Mkuu wa Mkoa wa mjini Magharibi, Zanzibar, Ayoub Mohammed Mahmoud, ametoa neno la shukrani kwa Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Okwi Alivyoishusha Yanga Kileleni

SAA 24 tangu Yanga ipande kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kwa kuifunga Kagera Sugar, juzi Jumamosi, hatimaye...

READ MORE

Hospitali ya Aga Khan Lazima Ibadilike, Vinginevyo Itaendelea Kuchafua Sura ya Kiongozi Wao wa Dini

  WIKI iliyopita nilielezea namna ambavyo nilimpeleka mama yangu Hospitali ya Aga Khan kutibiwa akiwa na tatizo la shingo (Spondylosis),...

READ MORE

Nape Afunguka Kuhusu Kuzuiwa Mikutano ya Kisiasa Nchini

MBUNGE wa Mtama, Nape Nnauye amesema kuzuiwa mikutano ya kisiasa si kuminya demokrasia kwa kuwa  kuna bunge ambalo linaweza kutumika...

READ MORE

Miaka Miwili Kifo cha Mumewe… Mke wa Filikunjombe Aandika Ujumbe Mzito

IKIWA ni miaka miwili imepita sasa tangu aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Haule Filikunjombe afariki dunia, mke wa wake Sarah...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi: Kiama cha Wasiojulikana Kimefika

IKIWA ni zaidi ya mwezi tangu kujeruhiwa kwa kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama...

READ MORE

Inauma Sana! Familia Yapukutika Ajalini Wakitoka Kwenye Harusi

WATU saba wamefariki papo hapo na wengine 14 kujeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Noah kugongwa na lori...

READ MORE

Wanachama 113 Wajitokeza Kuwania Uenyekiti UVCCM

Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) 113 kutoka bara na visiwani wamejitokeza kuwania nafasi ya uenyekiti Taifa katika...

READ MORE

Askofu Ataka Rais Magufuli Kuungwa Mkono

Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar, Agustino Shao amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais John Magufuli kwa hatua anazochukua za...

READ MORE

Polepole Apingwa na Wana-CCM, Kisa Ubunge na Udiwani

Wakati katibu wa oganaizesheni wa CCM, Pereira Silima akikanusha kupitishwa kwa sharti la ukazi kwa wagombea udiwani na ubunge, chama...

READ MORE

Jinsi Lissu Alivyowabadilisha Waliomuona Nairobi

Ungetegemea kuona watu wanaokwenda Nairobi kumjulia hali mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu wakirudi na amani kwamba wamekuta anaendelea vizuri,...

READ MORE

Sheikh Ponda Aachiwa Polisi

  Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemwachia kwa dhamana Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu...

READ MORE

Rais Magufuli Agoma Kuufuta Mwenge wa Uhuru – Video

RAIS John Magufuli ambaye leo Oktoba 14, 2017 ni Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho ya Kumbukumbu ya kifo cha Rais wa...

READ MORE