×

Habari

Jerry Muro Amtolea Povu la Mwaka Tundu Lissu

ALIYEKUWA msemaji wa Klabu ya Yanga, Jerry Muro amemtolea povu Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Tundu Lissu kutaka...

READ MORE

Uchunguzi wa Polisi Kulipuliwa Bomu Ofisi za IMMMA Advocates

  Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, leo limesema kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa watu wasiojulikana...

READ MORE

Mbunge Ester Bulaya Aruhusiwa Kutoka Muhimbili

Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Amos Bulaya (CHADEMA) ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa akitibiwa tangu wiki...

READ MORE

Mahakama Yapokea Kielelezo cha Mkojo wa Masogange

MAHAKAMANI ya Hakimu Mkazi Kisutu leo August 28, 2017 imepokea taarifa ya Mkemia kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali...

READ MORE

Kesi ya Kupinga Ushindi wa Kenyatta Yaanza Kusikilizwa Kenya

  Mahakama Kuu nchini Kenya imeanza kusikiliza kesi ya kupinga ushindi wa Rais wa Kenya,Uhuru Kenyata, iliyotakiwa kuanza kusikilizwa jana....

READ MORE

JPM: Tumebaini Mengi ya Hovyo, TAKUKURU Msiwe na Kigugumizi

Ulinzi umeimarishwa katika ofisi za makao makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) zilizoko Upanga, jijini...

READ MORE

Dtk. Mpango Kuongoza Mkutano wa Kimataifa wa Udhibiti Fedha Haramu

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango ambaye ni mwenyekiti wa baraza hilo anatarajia kuongoza Baraza la Mawaziri...

READ MORE

Mgomo wa Mawakili Nchi Nzima, Tundu Lissu Apingwa -(VIDEO)

Wakili wa kujitegemea na mmiliki mwenza wa Smile Stars Attorneys, Leonard Tungaraza Manyama amepinga wito uliotolewa na Rais wa Chama...

READ MORE

Hospitali ya Kairuki Kortini kwa Kusahau Vitu Tumboni mwa Mjamzito

Mkazi  wa jijini Dar es Salaam, Khairat Omary, ameishtaki Hospitali ya Kairuki na kudai fidia ya Sh milioni 155 kwa...

READ MORE

Jaji Mkuu, Polisi Watoa ONYO Mgomo wa Mawaikili Nchi Nzima

Kaimu  Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma na Jeshi la Polisi nchini, wamelionya Baraza la Uongozi la Chama cha...

READ MORE

Sokabet… Tabiri Bingwa Uvune Mamilioni

SIKU chache tangu kuzinduliwa na kuanza kufanya kazi, tovuti ya www.sokabet.co.tz imekuwa kimbilio la washiriki wengi wa mchezo wa kubahatisha...

READ MORE

Okwi Atamba: Subirini Mabao…

BAADA ya kufunga mabao manne kwenye mchezo wake wa kwanza wa ligi kuu, mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi raia wa...

READ MORE

Niyonzima: Kwa mwendo huu, mtaumia wengi

  KIUNGO mchezeshaji wa Simba, Haruna Niyonzima, ameweka wazi kuwa kwa staili ambayo wameanza nayo ya kufunga idadi kubwa ya...

READ MORE

Kocha Simba: Kombinesheni ya Okwi, Liuzio Hatari

KOCHA Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja, raia wa Uganda, amefunguka kuwa, kombinesheni ya washambuliaji wao, Emmanuel Okwi na Juma Liuzio...

READ MORE

Meza ya Wazalendo… Makamba, Sarungi, Shaba Kupendezesha Kongamano

MTOA mada mashuhuri nchini, Maria Sarungi Tsehai anatarajiwa kuungana na Lawrence Masha, Eric Shigongo, Mzee Shaba na Benjamin Fernandes katika...

READ MORE

Polepole Afafanua CCM Kufuta Uchaguzi Baadhi ya Maeneo (Video)

KATIBU wa Itikadi na  Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole amefafanua kuhusu kufutwa na kurudiwa upya katika baadhi...

READ MORE

Mkurugenzi Global Ahudhuria Mahafali ya Mwanaye Elite Sprints

MKURUGENZI wa Kampuni ya Global Publishers Ltd inayochapisha magazeti ya Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa na Championi, Lydia James Bukumbi, jana...

READ MORE

Breaking: Tundu Lissu Awataja Waliolipua Ofisi za IMMMA Advocates, Atangaza Mgomo wa Mawakili

Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, Tundu Lissu amewataja watu wanaodaiwa kulipua ofisi za Immma Advocates zilizopo Barabara ya...

READ MORE

Kampuni ya Aborder Yazindua Bidhaa za Nyumbani

    KAMPUNI ya Aborder inayojishughulisha na masuala ya uuzaji wa bidhaa za Solar, televisheni za kisasa, redio, majiko ya...

READ MORE

Matukio Yote ya Kutwa Nzima, Agosti 26, 2017 (Video)

Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lucas Mkondya amethibitisha kushambuliwa ofisi za wanasheria za IMMMA saa...

READ MORE

KUELEKEA DROO KUBWA… SHINDA NYUMBA YATIKISA TEMEKE

Kuelekea droo kubwa, Shinda Nyumba yatikisa Temeke Watu wajitokeza kujaza kuponi kama inavyoonekana pichani. Mtu anaruhusiwa kutuma kuponi nyingi awezavyo!

READ MORE

INAUMA! KIGOGO AMLAZA MJANE KICHAKANI

  KIGOGO mmoja mkubwa nchini, anadaiwa kumlaza kichakani mama mjane aitwaye Irene Mbusye maarufu kama Mama Jenny, baada ya kushirikiana...

READ MORE

Video: Ofisi za IMMMA Advocates Zateketea Kwa Moto

Ofisi za IMMMA Advocates zinazomilikiwa na  wanasheria Fatuma Karume na Lawrence Masha zilizopo Upanga jijini Dar es Salaam, usiku wa...

READ MORE

Polisi Yaanza Kuchunguza Mlipuko Ulioteketeza Ofisi za Mawakili

Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lucas Mkondya amethibitisha kushambuliwa ofisi za wanasheria za IMMMA saa...

READ MORE

Kumbukumbu ya Kifo cha Baba Mzazi wa Eric Shigongo Yafanyika Dar

Agosti 25, 2017 (jana), ilitimia miaka mitano tangu kufariki kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises...

READ MORE

#SOKABET: Nani Kuibuka Mshindi? Beti Sasa Ujishindie TZS 20, 000,000

Nani kuibuka mshindi Mayweather vs Mc Gregor usiku wa kuamkia kesho Jumapili beti sasa ujishindie hadi TZS 20, 000, 000....

READ MORE

Ratiba ya Mazishi Ya Robert Mshale

Mwili wa marehemu Robert Mshale utafikishwa  nyumbani kwa mama yake karibu na geti la kuingilia Chuo cha Aridhi jijini Dar...

READ MORE

Wema na Mashosti Zake, Nani Big G?

MIAKA ya hivi karibuni mrembo ambaye ni kipenzi cha watu na Mshindi wa Shindano la Miss Tanzania mwaka 2006, Wema...

READ MORE

Kikwete, Mkapa Wakutana Sauzi

Marais wastaafu, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete wamekutana kwa mara ya kwanza katika jukwaa moja wakiwa nje ya nchi wakihudhuria...

READ MORE

Breaking News: Mahujaji wa Mecca Watapeliwa Dar, Wakwama Airport

  BAADHI ya mahujaji waliokuwa wamejiandaa kwa ajili kwenda Mecca nchini Saudi Arabia, wamekwama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

READ MORE

JPM Ashtukiza Feri Dar, Atoa Maagizo kwa RC Makonda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Agosti, 2017 amefanya ziara ya...

READ MORE

TANZIA: KADA MAARUFU CCM AFARIKI DUNIA KWA AJALI

  Aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 alichukua fomu ya kugombea Ubunge wa...

READ MORE

Makonda Abaini Polisi Wanaojihusisha na Unga, Kuvusha Kobe (Video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema amewabaini baadhi ya askari polisi jijini humo wanaoshiriki biashara haramu...

READ MORE

TANZIA: KLABU YA MAISHA BASEMENT WAPATA MSIBA MZITO

UONGOZI wa E-Master Entertainment unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi  wa0 aliyekuwa Meneja wa Matukio katika klabu ya Maisha Basement, Robert...

READ MORE

Uzinduzi Wa Sokabet… Mamilioni Yanakufuata Ulipo

# Sokabet inazinduliwa leo, anza kubeti sasa # Namba ya bahati ni 335757   BAADA ya ahadi ya wiki kadhaa...

READ MORE

Taarifa kwa Wote Walioomba na Watakaoomba Kazi Serikalini

Mtakumbuka Serikali katika mwaka wa fedha uliomalizika 2016/2017 iliahidi kutoa Ajira serikalini zaidi ya 52,000 kwa Watanzania, ambapo katika siku za hivi karibuni Serikali...

READ MORE

Simba SC Kamili Gado Kuiua Ruvu Shooting kKesho

  KIKOSI cha Simba leo kimejinoa kwa mara ya mwisho kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wao wa kwanza dhidi...

READ MORE

Bilionea wa Samsung Afungwa Miaka 5 Jela

MAHAKAMA nchini Korea Kusini imemhukumu bilionea anayetarajiwa kurithi Kampuni Samsung, Lee Jae-yong kifungo cha miaka mitano jela kwa makosa ya...

READ MORE

Manji Akutwa na Kesi ya Kujibu, Mashahidi 15 Kumtetea

Mfanyabiashara na aliyekuwa mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amekutwa na kesi ya kujibu katika shtaka la analotuhumiwa kutumia...

READ MORE