×

Habari

Meya: Madiwani Wa Chadema Waliojiuzulu Wanaomba Kurudi

Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (Chadema) amesema kuwa baadhi ya madiwani waliojiuzulu na kukihama chama hicho...

READ MORE

Haa! Dimpoz Unaanzaje Kutembea na Mama?

MUZIKI wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva hivi sasa ni kitu kikubwa barani Afrika. Ile shida ya waasisi wake...

READ MORE

JANUARY MAKAMBA MGENI RASMI KONGAMANO LA WAZALENDO

WAKATI siku zikiyoyoma kuelekea Septemba 2, mwaka huu katika kongamano la kihistoria lijulikanalo kama Meza ya Wazalendo litakalofanyika ndani ya...

READ MORE

Naibu Waziri, Jafo Afunga Rasmi Mkutano wa Kitaifa wa Uhamasishaji wa Lishe

Naibu Waziri Seleman Jafo, amefunga rasmi mkutano wa kitaifa wa Uhamasishaji wa Urutubishaji Chakula nchini, uliokuwa ukifanyika kwenye Ukumbi wa...

READ MORE

NDOA YA MISS TANZANIA, MTOTO WA MAKAMBA… USIPIME!

DAR ES SALAAM: Ni historia! Harusi ya Mrembo aliyetinga Top Five ya Miss Tanzania 2007, Victoria Martin na mtoto wa...

READ MORE

Spika Ndugai Azungumza na Waandishi wa Habari

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai anazungumza na waandishi wa habari jioni hii kuhusu mambo...

READ MORE

Rais Magufuli Amuapisha Brigedia Mbungo TAKUKURU

Rais John Pombe Magufuli amemuapisha Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa, Naibu Mkurugenzi wa TAKUKURU.

READ MORE

TAKWIMU: Dar Yaongoza kwa Matusi, Mwanza kwa Wizi

UCHUNGUZI wa jeshi la polisi nchini umebaini kwamba pamoja na uwepo wa sheria ya makosa ya mtandao lugha ya matusi...

READ MORE

LHRC Walaani TANROADS Kupuuza Amri ya Mahakama

Kituo cha Sheria na haki za Binadamu (LHRC) kimelaani vikali vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyoendelea nchini. Pia...

READ MORE

LIVE: Misukosuko Iliyomkumba Kamanda Suleiman Kova

Kamanda Mstaafu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Suleiman Kova amefunguka mengi kuhusu maisha yake wakati akilitumikia taifa na baada ya...

READ MORE

IGP Sirro Afanya Mabadiliko ya Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Nyakoro Sirro amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi mikoani. Taarifa ambayo imetolewa...

READ MORE

TFF Yaomba Radhi kwa Makosa ya Uandishi Ngao ya Jamii

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeomba radhi wanafamilia wote wa mpira wa miguu nchini kutokana na makosa ya...

READ MORE

Malinzi na Wenzake Wakwama Tena Kisutu

UPANDE wa utetezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Sola nchini (TFF), Jamal Malinzi na wenzake,  umeiomba Mahakama...

READ MORE

INAUMA SANA… MKE AUAWA KWA SHOKA

GRACE Mwakipesile, mkazi wa UbungoKibangu jijini Dar, anadaiwa kuuawa kwa shoka, Amani lina mkasa kamili. Kwa mujibu wa chanzo makini...

READ MORE

VIDEO: Chadema Watangaza Maandamano, Wataka Lissu Aachiwe, Ngeleja Akamatwe

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya Baraza la Vijana (Bavicha), kinatarajia kufanya maandamano ya amani nchi nzima, Agosti...

READ MORE

Ajali ya Treni na Coaster Morogoro, Mganga Mkuu Anena

IKIWA imepita takribani miezi mitatu tangu wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent ya Mkoani Arusha wapate ajali na watu 35...

READ MORE

ARUSHA: Lema Akamatwa na Polisi

JESHI la Polisi mkoani Arusha limemkamata Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema  kwa madai ya kuzidisha muda wakati akihutubia kwenye...

READ MORE

SHINDA NYUMBA YATIKISA TAIFA

  WAKATI klabu za soka mahasimu wa jadi nchini za Simba na Yanga zikichuana jana katika mchezo wa Ngao ya...

READ MORE

Senga Atoboa Siri Anavyopiga Mkwanja

MCHEKESHAJI mkongwe, Ulimboka Mwakisikye ‘Senga’ amesema kwa sasa sanaa imekuwa ngumu hivyo kitu pekee kinachomuingizia pesa ni kufanya vichekesho vya...

READ MORE

MCHUMBA: RUKSA SHILOLE KUVAA NUSU UTUPU!

JAMAA ambaye ndiye usingizi wa staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed, Ashrafu Uchebe, ameibuka na kumpa ruksa mpenzi wake ya...

READ MORE

Mzee Majuto: Bado Naumwa Jamani!

DAR ES SALAAM: Mungu tenda! Ikiwa ni siku chache tangu muigizaji mkongwe, Amri Athman Amri ‘King Majuto’ kupata unafuu kufuatia...

READ MORE

Breaking News: Ajali ya Treni na Coaster Yaua Wanafunzi Morogoro

MWANAFUNZI mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya basi la abiria aina ya Coaster lililobeba wanafunzi...

READ MORE

AMBER LULU AANIKA SABABU ZA KUSTAAFU KUUZA NYAGO

  MWANADADA machachari Bongo, Lulu Eugen ‘Amber Lulu`ameamua kustaafu kazi ya u-video queen kutokana na watu wanavyoidharau kazi hiyo na...

READ MORE

Simba SC Wanyakua Ngao ya Jamii, Waipa Kipigo Yanga

Timu ya Simba imeibuka mshindi kwenye mchezo wa kufungua michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara (Ngao ya Jamii) baada ya...

READ MORE

Daraja la Ubungo lageuzwa chimbo la wapiga debe, machokoraa, wamachinga!

  Daraja la Ubungo  lililo nje ya stendi kubwa ya mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi lililopo Ubungo jijini...

READ MORE

TRUMP JEURI, ATOA KAULI ‘NGUMU’ KUHUSU UJENZI WA UKUTA WA MEXICO

  Trump jeuri… RAIS Trump amewalaumu vikali wapinzani wa chama cha Democratic kuwa wanakwamisha ujenzi wa ukuta utakaotenganisha Marekani na...

READ MORE

FT: YANGA Vs SIMBA LIVE UWANJA WA TAIFA, NGAO YA JAMII

  FULL TIME Simba imepata ushindi wa penati 5-4 baada ya matokeo ya 0-0. Waliokosa penati upande wa Yanga ni...

READ MORE

RAIS KARIA AWATEUA NYAMLANI, MGOYI, SHAFII DAUDA TFF

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia amewateua Makamu wa Rais wa zamani wa TFF, Athuman Nyamlani...

READ MORE

JPM Aifumua Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Agosti, 2017 amemteua Luteni Kanali...

READ MORE

Lukuvi Amjibu Sumaye Kunyang’anywa Mashamba

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema mtu yoyote asiyelipa kodi ya ardhi na kuendeleza ardhi...

READ MORE

RASMI AISHI MANULA ASAINI SIMBA KWA SH 50,000,000

Klabu ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya Kipa Bora wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2016/2017 aliyekuwa akiichezea Azam...

READ MORE

Polisi Wamaliza Upekuzi Nyumbani kwa Tundu Lissu

Jeshi la Polisi limemaliza zoezi la kufanya upekuzi katika nyumba ya Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...

READ MORE

Serikali Yatoa Siku 54 Magazeti Yote Tanzania Yasajiliwe Upya (Video)

SERIKALI imetoa tamko rasmi likiyataka magazeti na majarida yote hapa nchini kusajiliwa upya kuanzia leo Alhamisi, Agosti 23 hadi hadi...

READ MORE

LIGI KUU TANZANIA BARA SASA TIMU KUWA 20 BADALA YA 16

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litapandisha idadi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu msimu ujao...

READ MORE

Mkojo wa Manji Wazua Utata Mahakamani

WAKILI wa utetezi katika kesi inayomkabili mfanyabiashara Yusuf Manji ya kutumia madawa ya kulevya, Hoodson Ntisiepo, amemuuliza mtoa ushahidi kutoka...

READ MORE

SHAKA SSALI KUPAMBA KONGAMANO LA WAZALENDO SEPT. 2

MTANGAZAJI maarufu duniani kutoka Kituo cha Redio cha Sauti ya Amerika (VoA), Shaka Ssali anatarajiwa kupamba kongamano la Meza ya...

READ MORE

Polisi Wampeleka Tundu Lissu Nyumbani Kwake Kumpekua

MWANASHERIA Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amepelekwa nyumbani kwake na polisi kwa ajili ya kupekuliwa....

READ MORE

Shuhudia Haji Manara Alichomfanyika Shabiki wa Yanga (Video)

Katika kuelekea mchezo wa leo Jumatano, Agosti 23 wa watani wa jadi katika Dimba la Taifa, Msemaji wa Klabu ya...

READ MORE

RC Gambo Alivyofunga Mjadala wa Rambirambi za Lucky Vincent

Hatimaye utata uliokuwa umeenea wa kuwepo kwa ufujaji na matumizi mabaya ya fedha kiasi cha milioni 285.49 zilizokuwa zimechangwa na...

READ MORE

Mwakifwamba Adaiwa Kutafuna Fedha za Shirikisho

DAR ES SALAAM: Kimenuka! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya vyama saba kati ya kumi vina­vyounda Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’...

READ MORE