×

Habari

MKUTANO WA 37 WA SADC WAMALIZIKA MJINI PRETORIA

Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC umemalizika tarehe 20...

READ MORE

MAKONDA AWAPA TBC NOAH, PIKIPIKI NA KOMPYUTA

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo ametoa msaada wa gari aina ya Noah, pikipiki tatu, kompyuta...

READ MORE

DKT SHEIN AHIMIZA WANAFUNZI KUKAZANIA MASOMO

  WANAFUNZI Zanzibar wametakiwa kukazania masomo kwa ajili ya kujijenga maisha ya baadaye badala ya kufanya mambo yasiyoendana na umri...

READ MORE

Wananchi Wapatao 1500 Wachomewa Nyumba Zao 160, Wamlilia JPM

Global TV Online inakuletea tukio hilo LIVE Ni balaa kubwa! Wananchi wa kijiji cha Kwakonje, Kata ya Kibindu Wilaya ya...

READ MORE

KIPINDI MAALUM GLOBAL TV KURUSHWA JUMAPILI MCHANA

NDUGU mfuatiliaji na mtazamaji wa Global TV Online, kufuatia wananchi wa Kijiji cha Kwakonje, Kata ya Kibindu Wilaya ya Bagamoyo,...

READ MORE

MBEYA: Katibu Soko la Sido Akamatwa kwa Uchochezi

Wakati hali ya amani na utulivu ikiwa imerejea katikati ya Jiji la Mbeya baada ya kutokea vurugu juzi mchana, jeshi...

READ MORE

DAR: Wapigadebe 150 Watiwa Mbaroni

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limetangaza kukamata watu wapatao 150 kuanzia Agosti 14 hadi 17 mwaka...

READ MORE

KENYA: Odinga Auawa, Mwili Wake Watupwa Sokoni

JESHI la Polisi katika Kaunti ya Siaya linaendelea na upelelezi baada ya mwili wa mwalimu wa kike aliyetambulika kwa jina...

READ MORE

Taarifa Ya Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia Kwa Watanzania

WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi inapenda kuutarifu umma kuwa taarifa zinazosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii yenye...

READ MORE

Watoto Lucky Vincent Walivyopokelewa Shuleni Kwao (Video+Pichaz)

Kutokea katika Shule ya Lucky Vincent, Karatu ikiwa ni siku moja tangu watoto watatu, Wilson, Sadia pamoja na Doreen ambao...

READ MORE

Mawaziri Wampanda Kichwani Dkt Shein, Aahidi Kula Nao Sahani Moja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, ametoa onyo kwa mawaziri wa Serikali ya...

READ MORE

Breaking News: Mbunge Esther Bulaya Atiwa Mbaroni

JESHI la Polisi Mkoani Mara limemkamata Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Amos Bulaya (CHADEMA) akiwa katika Hotel ya...

READ MORE

Makonda: Marufuku Watendaji Wa Dar Kutoka Nje Ya Mkoa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amepiga marufuku watendaji wa serikali wa mkoa huo kutoka nje...

READ MORE

Serikali Yamjibu Lissu Madai ya Bombadier Kushikiliwa Kisa Madeni

Kufuatia madai mazito yaliyotolewa na Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

MWANAHARAKATI WA MAUAJI YA TEMBO AUAWA

MWANAHARAKATI wa kuhifadhi Wanyamapori raia wa Afrika Kusini, Wayne Lotter, amepigwa risasi na kuuawa maeneo ya nyumbani kwake, Masaki jijini...

READ MORE

Maskini Lucky Vincent, Wanafunzi Wamwaga Machozi Tena!

  Kutoka katika Shule ya Msingi, Lucky Vincent, Karatu. Ni siku moja tangu watoto watatu, Wilson, Sadia pamoja na Doreen...

READ MORE

FAMILIA ZA WATU 1500 ZALIA: RAIS JPM, LUKUVI TUOKOENI

Ni balaa kubwa! Wananchi wa kijiji cha Kwakonje, Kata ya Kibindu Wilaya ya Bagamoyo, wapatao 1500 wamemuomba Rais John Pombe...

READ MORE

MREMBO ATOBOLEWA MACHO, AUAWA KIKATILI NA MPENZI

KIJaNa mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, anadaiwa kumtoboa macho mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Maria Pius kisha...

READ MORE

HIVI NDIVYO WAUME ZA WATU WANAVYOIBIWA SALUNI DAR

Kufuatia kuwepo kwa taarifa kuwa waume za watu kuibiwa bila kujielewa, kufanya uzinzi, usaliti na ngono katika baadhi ya saluni...

READ MORE

USHUHUDA MZITO: Mbunge wa Marekani Aliyeambatana na Watoto wa Lucky Vicent

Kutokea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro ambapo siku ya ijumaa ya tar 18 mwezi Augst majira ya...

READ MORE

Global TV Rwanda: Rais Kagame Aapishwa, Awaponda Wazungu!

Rais Paul Kagame wa Rwanda jana amliapishwa kuongoza taifa hilo kwa miaka mingine saba baada ya kushinda kiti hicho kwa...

READ MORE

NUH MZIWANDA: Kuoa Tena Namuachia Mungu

  NUH MZIWANDA: Kuoa Tena… MWANAMUZIKI Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ambaye hivi karibuni mkewe, Nawal alifunga ndoa na mwanaume mwingine...

READ MORE

Shilole: Siwezi Kuolewa na Mume wa Mtu

MSANII wa Miondoko ya Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa watu wajaribu kuziba midomo yao kutokana na ishu yake ya...

READ MORE

Sita Wakamatwa na Kilo 300 za Meno ya Tembo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe leo amesema kuwa Jeshi la Polisi imewakamata watu sita kwa makosa ya...

READ MORE

Alichokisema Tundu Lissu Leo Hoteli ya Protea

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) Tundu Lissu, leo ameongea na waandishi wa habari katika Hoteli ya...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Wa Wenyeviti Watatu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 18 Agosti, 2018 amefanya uteuzi na...

READ MORE

PICHAZ: Watoto wa Lucky Vincent Walivyopokelewa KIA

  WATOTO watatu wa Shule ya Msingi Lucky Vincent waliokuwa majeruhi wa ajali iliyotokea Karatu na kwenda kutibiwa nchini Marekani,...

READ MORE

Yaliyojiri Mahakamani Kesi ya Wema Kuhusu Vielelezo vya Bangi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeiahirisha tena kesi inayomkabili staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu na wenzake wawili  kwa...

READ MORE

CHIMBO LA MASTAA WABWIA UNGA LANASWA

HILI ni janga! Miezi kadhaa baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuchimba mkwara mzito kwa...

READ MORE

Yusuf Manji Augua Tena, Ashindwa Kufika Mahakamani!

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, imeahirishwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar...

READ MORE

Watoto wa Shule ya Lucky Vincent Wawasili KIA

WATOTO watatu wa Shule ya Msingi Lucky Vincent waliokuwa majeruhi wa ajali iliyotokea Karatu na kwenda kutibiwa nchini Marekani, tayari...

READ MORE

KISA MKWANJA WA MUMEWE MPYA, NAWAL AAMUA KUFUTA TATTOO YA NUH!

Baada ya Jini Mkatakamba kuipitia ndoa ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, aliyekuwa mkewe Nawal amefunguka kuwa yupo katika...

READ MORE

Bi. Samia Awasili Afrika Kusini Kumwakilisha JPM Mkutano wa SADC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Afrika ya Kusini tayari kwa...

READ MORE

Watoto wa Lucky Vincent Waondoka Marekani Kuja Tanzania

  WATOTO watatu wa Shule ya Msingi Lucky Vincent waliokuwa majeruhi wa ajali iliyotokea Karatu na kwenda kutibiwa nchini Marekani,...

READ MORE

Wanajeshi wa China, Wamtembelea Mkuu wa Mkoa Dar (VIDEO)

VIONGOZI  wa jeshi la China leo wamemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ambapo amewaomba kumsaidia kuwapatia...

READ MORE

Ujio Mpya wa Bad Boy Tanzania Isimame Kidogo!

  MSANII  wa filamu Tanzania, Ibrahimu Mbwana ‘Bad Boy’, aliyewahi kutamba kwenye filamu kama Misukosuko , Double J na nyingine...

READ MORE

Mrembo Apata Aibu ya Mwaka!

  MBEYA: Binti mmoja aliyefahamikwa kwa jina moja la Esta amejikuta akipata aibu ya mwaka baada ya kuchapwa kichapo hevi...

READ MORE