×

Habari

VIDEO: PSPF YAFUNGUA OFISI MPYA PEMBA NA UKEREWE, NI SEHEMU YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA DUNIANI

NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID MFUKO wa Pensheni wa PSPF, umezindua ofisi mpya mbili moja kisiwani Pemba na nyingine kisiwa cha...

READ MORE

NENO LA SHUKURANI KWA WAFANYAKAZI NA MKURUGENZI WETU, ERIC JAMES SHIGONGO

Kila jambo jema na lenye mafanikio halikosi kuwa na watu nyuma yake waliosababisha mafanikio hayo. Wakati na baada ya harusi...

READ MORE

George Majaba Amenunua Nyumba kwa Sh. 59,500 Tu!

UKISIKIA kismati ndiyo kama hiki. Mshindi wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, George Majaba, ambaye ni mkazi...

READ MORE

YALIYOJIRI KESI YA MALIMA KUDAIWA KUSHAMBULIA POLISI

  KESI ya Naibu Waziri wa Fedha wa zamani, Adam Malima na dereva wake, Ramadhan Mohammed, ya kuzuia Polisi kutekeleza...

READ MORE

RC Rukwa Aishauri Benki ya NMB Kufungua Tawi Bonde la Ziwa Rukwa

  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen ameishauri benki ya NMB kufungua tawi katika bonde la Ziwa...

READ MORE

Mhasibu Ahukumiwa Jela kwa Kumkashifu Rais Magufuli

Mhasibu wa Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Joseph, Elizabeth Asenga (40) amehukumiwa kulipa faini ya Sh 5 milioni ama kutumikia kifungo...

READ MORE

Kortini Kwa Kusambaza Uongo Kuhusu Mazungumzo ya Serikali na Acacia

MKAZI wa Chato mkoani Geita, Obadia Frank (41), mapema leo  amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za...

READ MORE

JPM: Nimepata Taarifa Kuna Wakurugenzi Wawili Watatu Walevi

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameahidi kuwafukuza kazi Wakurugenzi kadhaa wa halmashauri kwa ulevi...

READ MORE

Mkurugenzi Mpya Ajipanga Kuifikisha Mbali Zaidi Zantel

  Dar es Salaam: Wateja wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu Zantel wataweza kuendana na mabadiliko ya kidunia katika  sekta ya...

READ MORE

Aliyeua Watu 59, Kujeruhi 527 Las Vegas Alikuwa Bilionea

MTU ambaye Jumapili iliyopita usiku aliua watu 59 na kujeruhi 527 kwa bunduki jijini Las Vegas, Marekani, alikuwa ni tajiri...

READ MORE

Waliokuwa Maofisa wa TanTrade Wahukumiwa Miaka 3 Jela

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh5 milioni kwa kila kosa waliokuwa...

READ MORE

Said wa Scorpion Kufikishwa Kortini

SAKATA la Said Mrisho aliyedaiwa kutobolewa macho na Salum Njwete ‘Scorpion’ na mkewe Stara Sudy, linatarajiwa kufikishwa mahakamani baada ya...

READ MORE

Lema: Takukuru Wameshaanza Kuwachunguza Madiwani Arusha -Video

WABUNGE wa Chadema, Joshua Nassari (Arumeru Mashariki), Godbless Lema ( Arusha Mjini) na Mchungaji Peter Msigwa(Iringa Mjini) wamesema uchunguzi dhidi...

READ MORE

AIRTEL YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUZINDUA OFA KAMBAMBE

  Airtel leo wamezindua shamra shamra za wiki ya huduma kwa mteja kwa kuwakaribisha wateja wake wote waliongia madukani kwao...

READ MORE

Msigwa Aanika Mbinu Walizotumia Iringa Kuwanasa Madiwani Wanaodaiwa Kuhongwa na CCM

Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kusema kuwa biashara ya kununua madiwani wa...

READ MORE

Vilio, Simanzi Vyatawala Kuagwa Mwili wa Mtangazaji Chogo wa EFM

Mtangazaji na mchekeshaji wa kituo cha redio EFM, Dennis David Rupia ‘Chogo’, ameagwa leo katika kanisa la Mtakatifu Maxmilian Kolbe...

READ MORE

Manji Yamkuta Mapya Tena Dar

MAMALAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imezifunga ofisi za kampuni ya mfanyabiashara Yusufu Manji kutokana na kudaiwa Sh 12.2 bilioni. Akizungumza...

READ MORE

Familia ya Tundu Lissu Yafanya Kikao Kizito na Bunge

WAKATI Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Nairobi, familia yake imefanya kikao cha siri...

READ MORE

MABULA: MIPANGO MIJI INAKWAMISHWA NA WATENDAJI WASIO WAADILIFU

  NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amewaagiza wakurugenzi wa Halmashauri kuweka utaratibu wa kupanga...

READ MORE

Kazi Imeanza… Lema na Nassari Wawasili Takukuru na Ushahidi – Video

Wabunge wa Chadema, Joshua Nassari (Arumeru Mashariki), Godbless Lema ( Arusha Mjini) na Mchungaji Peter Msigwa(Iringa Mjini) wamewasilisha Takukuru ushahidi...

READ MORE

ALAT: Vyanzo vya Mapato vya Halmashauri Virudishwe

  MWENYEJI wa mkutano wa 33 wa Jumuiya ya Tawala na Serikali za Mitaa (ALAT) ambaye ni  Meya wa Jiji...

READ MORE

Lema Awastukia ‘Watu Wasiojulikana’ Kwenye Gari Lake

GARI la Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema limechomoka matairi leo Jumatatu baada kudaiwa kuwa limefunguliwa nati 13 kati ya...

READ MORE

MAREKANI: 20 WAUAWA, 100 WAJERUHIWA KWA RISASI

WATU zaidi ya 20 wameuawa na 100 kujeruhiwa wakati mtu mwenye bunduki alipofyatua mamia ya risasi kutoka ghorofa ya 32...

READ MORE

Catalonia Yajitenga na Hispania

KIONGOZI wa Jimbo la Catalonia, Carles Puigdemont amesema kuwa eneo hilo lililokuwa sehemu ya nchi ya Hispania limepata haki ya...

READ MORE

Magufuli Hatoshiriki Kongamano la Nyerere

Taasisi mbalimbali za umma na zisizo za umma zinazomualika Mhe. Rais katika shughuli za kumbukumbu ya Mwl. Julius Nyerere zinakumbushwa...

READ MORE

Mwinyi Ataja Sababu Zilizomfanya Ajiuzulu Uwaziri

Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ametaja sababu za kujiuzulu kwake nafasi ya Waziri wa Mambo ya...

READ MORE

Meya wa Dar Ashauri Taasisi za Kibenki Kuwapatia Mikopo Walemavu Wasioona

MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amezishauri Taasisi za kibenki kuwasaidia watu wenye ulemavu wasioona ili...

READ MORE

MSAMA AMPONGEZA MWAKYEMBE KUBANA WEZI WA KAZI ZA WASANII

MKURUGENZI wa Msama Promotions, wasimamizi na wasambazaji wa kazi za Muziki wa Injili, Alex Mwita Msama, amempongeza Waziri wa Habari,Utamaduni,...

READ MORE

LEMA NA NASSARI WAANIKA USHAHIDI WA MADIWANI WA CHADEMA WALIVYONUNULIWA

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema) na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, leo wamewasilisha ushahidi wa jinsi madiwani...

READ MORE

Nyumba ya Professor Jay Yabomolewa, Afunguka Mazito

Mbunge wa Mikumi Mjini, Joseph Haule maarufu kama Professor Jay amekumbwa na zoezi la bomoa bomoa linaloendelea maeneo ya Kimara,...

READ MORE

Kutana na George Majaba, Mshindi wa Nyumba ya Global Publishers

Hatimaye George Majaba, mkazi wa Dodoma, Mshindi Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba iliyokuwa ikiendeshwa kwa zaidi ya miezi 6 na...

READ MORE

MARIE STOPES YAZINDUA HOSPITALI ILIYOBORESHWA MWENGE, DAR

Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Einar Hebogard Jensen (katikati) akikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi wa hospitali iliyoboreshwa ya...

READ MORE

DC HAPI ATOA MWEZI MWEKEZAJI SOKO LA MAKUMBUSHO KULIPA DENI (VIDEO)

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi leo  katika ziara yake ya kutembelea wananchi wa wilaya yake ametoa mwezi mmoja...

READ MORE

Rais Shein Ateua Majaji Wapya

Zanzibar. Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar. Kwa uwezo aliopewa chini...

READ MORE

China Yaipatia Tanzania Msaada Wa Sh. Bilioni 29.4

Serikali ya China imeipatia Tanzania msaada wa Shilingi 29.4bilioni kwa ajili ya kusaidia sekta ya elimu, utalii wa kijiolojia na...

READ MORE

Airtel yatoa mafunzo ya TEHAMA kwa Walimu Dar

    Kampuni yasimu za mkononi ya Airtel kwa kushirikiana na Atamizi ya Teknohama ya Dar es Salaam (DTBi)  imeanza...

READ MORE

Aliyeandika Uongo WhatsApp Kuhusu Polisi Kuonekana Hospitali ya Nairobi

MKAZI mmoja wa Kigamboni, Mbutusyo Mwakihaba (40), amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kusambaza ujumbe katika mtandao kwamba kachero wa Usalama...

READ MORE

Serikali Yalifungia Gazeti la Raia Mwema kwa Kuandika Taarifa za Uongo Kuhusu JPM

SERIKALI yalifungia gazeti la Raia Mwema kwa kuandika taarifa zisizo za kweli kumuhusu Rais John Magufuli.

READ MORE

Kituo cha Mabasi Ubungo Kuzalisha Ajira 20,000

  MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amekutana na ugeni kutoka Jiji la Shanghai nchini China...

READ MORE

Kidoa: Nilibanwa Sana, Sasa Napumua

  MUUZA nyago kwenye video za Bongo Fleva ambaye pia ni msanii wa filamu, Kidoa Salum amesema kuwa mwanzoni mchumba...

READ MORE