×

Habari

Mastaa Hawa Mitandao Ya Kijamii Imewanusuru!

Makala: Gladness Mallya, Risasi Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Kwenye maisha kuna baadhi ya watu ambao wakiwa wanapata kipato kidogo au...

READ MORE

Msiba wa Ivan Wamuibua Baba Yake Zari

STORI: MWANDISHI WETU, RISASI JUMATANO, HABARI KAMPALA: Kwa muda mrefu staa wa muziki na mjasiriamali wa Afrika Mashariki, raia wa...

READ MORE

PICHAZ 13: Mazishi ya Mzee Philemon Ndesamburo

MOSHI: Mbunge mstaafu wa jmbo la Moshi mjini na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro Philemon Ndesamburo Kiwelu (82)  ambaye...

READ MORE

VIDEO: Komediani Katarina wa Karatu Asema Mzee Ndesamburo Alimshawishi Kuingia Kwenye Siasa

MOSHI: Mchekeshaji mahiri, Katarina wa Karatu, amefungukia kifo cha mzee Ndesamburo, akieleza kwamba ameguswa sanana msiba huo kutokana na jinsi...

READ MORE

VIDEO: Kauli ya Kwanza ya Anna Mghwira Baada ya Kuapishwa, Magufuli Awajibu Wanaompinga Uteuzi Huo

IKULU, DAR: Rais Magufuli amemuapisha Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Bi. Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, leo...

READ MORE

LIVE: SportPesa Super Cup, Simba Sc 4-5 Nakuru AllStars (Full Match)

Dakika 90 kati ya Nakuru na Simba iliisha kwa sare ya bila bao huku Nakuru wakionekana kupoteza nafasi nyingi zaidi....

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Awaonya Wanaume Wanaowapa Mimba Wanafunzi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mtu yeyote atakayebainika amemkatisha mwanafunzi wa kike masomo kwa kumpa mimba au kumfanyia vitendo vya...

READ MORE

Wanawake 4,000 Wajifunza Kuwa Maninja Iran, Kupitia Mbinu za Ninjutsu

WANAWAKE nchini Iran hivi sasa wanajifunza mbinu za wapiganaji wa Ninja kupitia mbinu za Ninjutsu katika klabu ya mafunzo hayo...

READ MORE

Kibiti: Askari Mgambo Auawa kwa Risasi Uvunguni mwa Kitanda

RUFIJI: Mkazi wa Kitongoji cha Kazamoyo, wilayani hapa,  Erick Mwarabu (37) ameuawa kwa kupigwa risasi usiku akiwa nyumbani kwake. Watu...

READ MORE

Yanayojiri Moshi Kwenye Mazishi ya Mzee Ndesamburo

MOSHI, KILIMANJARO: Viongozi wa CHADEMA pamoja na wananchi wakiwasili katika Usharika wa Kiboriloni kwa ajili ya ibada ya kumuombea aliyekuwa...

READ MORE

JPM Amuapisha Mama Anna Mghwira Kuwa RC wa Kilimanjaro na Kumkabidhi Ilani ya CCM

IKULU, DAR: Rais Magufuli amemuapisha Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Bi. Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, leo...

READ MORE

RC Anna Mghwira Afungukia Mazingira Yote ya Uteuzi Wake

Stori: Brighton Masalu |Uwazi | Habari DAR ES SALAAM: Kwa mara ya kwanza, mkuu mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna...

READ MORE

Freeman Mbowe: Polisi Wanaogopa Kutoa Brass Band, Wananiambia Niongee na IGP (Video)

NI simanzi. Ndivyo unaweza kusema baada ya maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro, hasa mji wa Moshi na miji...

READ MORE

Ratiba Kamili ya Maziko ya Nzee Ndesamburo na Kaburi Atakalozikwa

Global TV bado ipo karibu na yako wewe mfuatiliaji wetu ili kuweza kukuletea kila kinachoendelea msibani kwa aliyekuwa Mbunge mstaafu...

READ MORE

VIDEO: Lowassa na Sumaye Wanena Mazito Kwenye Msiba wa Ndesamburo

MOSHI: WAKIWA katika Viwanja vya Majengo mjini Msohi wakati wa kuuaga mwili wa marehemu mzee Philemon Ndesamburo jana Jumatatu, mawaziri...

READ MORE

Mwalimu Aliyekufa Kifo Tata, Mkewe Afichua Mazito

NA GREGORY NYANKAIRA, UWAZI MARA: Wiki mbili baada ya aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Sekondari Kukirango iliyopo katika Halmashauri ya...

READ MORE

Rosa Ree na Changamoto ya Kuombwa Penzi

NA ALLY KATALAMBULA | UWAZI–SHOWBIZ ROSA Ree, ni moja ya majina ya marapa wa kike ambao kwa sasa wameliteka gemu...

READ MORE

Wolper Awaonya Wanaopiga Pesa Kupitia Jina Lake

STORI: Ally Katalambula | UWAZI |Uwazi Showbiz MUIGIZAJI mwenye jina Bongo, Jacqueline Wolper ‘Wolper’ amefunguka kuwa kuna watu wamekuwa wakipiga...

READ MORE

Shinda Nyumba Yawapagawisha Mashabiki Juve, Madrid

Na Mwandishi Wetu| Uwazi | Shinda Nyumba Awamu ya Pili TIMU nzima ya Promosheni ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne June 6, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, June 6, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Madai Mazito Ndoa Ya Cathy Chali, Chanzo Chake Kinashangaza

Stori: Gladness Mallya |Risasi | Habari DAR ES SALAAM: Imevuja! Ile ndoa ya staa wa filamu za Kibongo, Sabrina Rupia...

READ MORE

Kifo cha Mumewe… Zari Kulipwa Mabilioni

Stori: Mwandishi Wetu, Wikienda Dar es Salaam: Wakati wanafamilia wakiwa bado katika majonzi kufuatia kifo cha mpendwa wao, Ivan Ssemwanga...

READ MORE

Madai Ya Kufulia, Kuuza Ghorofa Na Kukimbia Jiji… Vicky Kamata Abanwa, Awaka!

Stori: Brighton Masalu | IJUMAA WIKIENDA Dar es Salaam: Nini? Victoria Paschal Kamata ‘Vicky Kamata’ ni Mbunge wa Viti Maalum...

READ MORE

VIDEO: Msiba wa Ndesamburo; Povu la Gwajima kwa RC Mrisho Gambo si la Nchi Hii

Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa msibani Moshi amemshukia Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kuleta...

READ MORE

Kuwait Yatoa Bilioni 110 Kujenga Barabara Mkoani Tabora

  Kuwait yatoa msaada wa Tsh 110 bilioni kwa ajili ya kujenga barabara mkoani Tabora.  

READ MORE

Yanga Yatinga Nusu Fainali SportPesa kwa Mbinde

Yanga imetinga nusu fainali ya Sports Pesa Super Cup kwa mikwaju ya penalti. Yanga imeing’oa Tusker ya Kenya kwa mikwaju...

READ MORE

VIDEO + PICHAZ: Moshi Yafurika Kuuaga Mwili wa Mzee Philemon Ndesamburo

========== MOSHI: Mwili wa marehemu mzee Philemon Ndesamburo umeagwa leo mchana katika Viwanja vya Majengo, vilivyopo Moshi mkoani Kilimanjaro kisha...

READ MORE

VIDEO: Ndugu Wasisitiza Hawatamzika Ndugu Yao Aliyepigwa Risasi na Polisi Mpaka Kieleweke

  Familia ya Salum Almasi, Imamu wa msikiti wa Al-Kheri uliopo Kurasini jijini Dar es Salaam, aliyepigwa risasi na polisi...

READ MORE

VIDEO + PICHAZ: Yanayojiri Viwanja vya Majengo Moshi Kuaga Mwili wa Mzee Ndesamburo

MOSHI: Shughuli ya kuuaga mwili wa mmoja wa waasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na siasa za mageuzi...

READ MORE

Askari Waliomtoa Mnyika Bungeni Ijumaa Wapangiwa Vituo Vingine vya Kazi

Askari walioagizwa kumtoa, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika bungeni Ijumaa iliyopita, wamepangiwa vituo vingine vya kazi kwa kuchelewa kutekeleza agizo...

READ MORE

Ubuyu Uliyonyooka: Idris Choka Mbaya?

  Ubuyu: Gladness Mallya na Mayasa Mariwata |IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Wapenda ubuyu wanakuambia hakuna kinachodumu milele duniani! Ndiyo...

READ MORE

Breaking News: Mdee, Bulaya Wasimamishwa Kuhudhuria Bunge Hadi Mwaka 2018

DODOMA: Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya wote wa CHADEMA wameadhibiwa kwa kusimamishwa na...

READ MORE

Mungu Ndiye Hupanga Muda wa Wewe Kupata Mtoto-2

Na Gabriel Ng’osha | IJUMAA WIKIENDA | XX Love KWA wenzetu Waislam leo ni chungu cha kumi na moja kwenye...

READ MORE

Tanzia: Balozi Cisco Mtiro Afariki Dunia

Mkuu wa Itifaki mstaafu Balozi Cisco Mtiro amefariki dunia katika Hospitali ya Aga Khan  jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa...

READ MORE

Johari Apata Pigo Hevi

Stori: Brighton Masalu | IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Pole! Staa wa kitambo wa sinema za Kibongo, Blandina William Chagula...

READ MORE

Steve Awatolea Shombo Bongo Muvi

Stori: Gladness Mallya | IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Baada ya kutofautiana na mastaa wenzake kwenye sakata la maandamano ya...

READ MORE

Polisi Moshi Yazuia Jeneza la Mwili wa Ndesamburo Kupitishwa Barabarani

  KILIMANJARO: Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi wa Moshi limezuia utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa kuutembeza katika...

READ MORE

JK: Kuongoza Nchi ni Mzigo Mzito, Amtia Moyo Rais Magufuli

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amefunguka na kusema suala la kuongoza nchi ni kazi kubwa...

READ MORE